Martha Mwaipaja - Amenitengeneza (Official Music Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лют 2025
  • Amenitengeneza ni wimbo nilioimba ukiwa na maudhui ya kuzungumzia namna Mungu alivyo waajabu kwenye maisha yetu kila inappitwa leo.Chukua muda huu kumwambia Mungu asante kwa kukutengeneza vile ulivyo.
    #MarthaMwaipaja#Amenitengeneza#OfficialVideo

КОМЕНТАРІ • 4 тис.

  • @MoureenNkirote-lj5ov
    @MoureenNkirote-lj5ov Рік тому +24

    Tanzanians ni nini mlifanyia Mungu akawabariki na wanawake warembo na wenye hekima ...Mwaipaja,Shusho,Bukuku
    Nyimbo zao ni ujumbe ambao ni tiba ya roho....Kenya twawaonea wivu

  • @alphoncegeorgechatanda8245
    @alphoncegeorgechatanda8245 Рік тому +6

    Nakualika katika mkutano mkubwa utakao fanyika pawaga mkoani iringa tarehe 26/6/2023 kwa kuhani na mtume Alphonce george chatanda

  • @betyanyas8780
    @betyanyas8780 4 роки тому +23

    Sote tuliotengenezwa na Mungu, gonga like km upo... 👍

  • @gracesamuel2147
    @gracesamuel2147 2 роки тому +4

    AMENITEGEZA HUYU BABA ,,,,,, AMENIFANAYA KUA NEEMA KATIKA WENYE NEEMA ASANTE BABA HER SONGS MAKES
    ME FEEL SO SPECIAL IN MY LIFE

  • @gracemutheu2078
    @gracemutheu2078 10 місяців тому +8

    Ni Mungu mwaminifu Kila wakati 🎉🎉 amenitengeneza pia🙏🙏🙏❤️

  • @georgekajimba6081
    @georgekajimba6081 2 роки тому +8

    Amenitoa mbali na kunifuta machozi, kweli amenitengeneza huyu Baba. Amefanya watesi wangu waaibike. Alikuja kama mtawala wa haki kwangu.

  • @tayanamasanja3952
    @tayanamasanja3952 11 місяців тому +33

    Nimekuwa nikisikiliza huu wimbo mara nyingi ila leo….Nimeusikiliza kwa kuelewa aliyoimba🙌🙌😭Hakika Mungu amenipenda mimi

  • @jonathankabeya773
    @jonathankabeya773 10 місяців тому +4

    Cette chanson me rappelle ma vie je était rejeté a 14 ans mais Dieu n'a pas permis que je me retrouve dans la rue en passant par ma mes grands parents je suis resté en famille. Aujourd'hui je forme ma propre famille avec une femme et deux enfants.

  • @hamzamwinyiheri8050
    @hamzamwinyiheri8050 3 роки тому +53

    Kama ww ni muislam kama mm naunapenda hii nyimbo nipe like mungu mmoja!!!

  • @zawadicharo9740
    @zawadicharo9740 4 роки тому +36

    Kama umetengenezwa na yes weka like yako hapa. From kenya

    • @sudybrown583
      @sudybrown583 3 роки тому

      Martha mimi nimpezi namba 1 wanyimbo zako zote hongera mungu akufanyie wepes kwenye utunz wako amani ya mungu ikuongoze dada

  • @lydiashisia2169
    @lydiashisia2169 4 роки тому +274

    "Amenitengeneza, YESU amefanya maadui zanga waibike" Kama tunakubaliana na Dadetu martha mwaipaja gongeni hapa likes.martha be blessed injili mbele

  • @juliananifa5437
    @juliananifa5437 2 роки тому +12

    Mwimbo huu hunipa nguvu n ujsiri Kila ninapousikiliza nakupenda sana dadangu Mungu akipe kibali zaidi uendele kutuimbia nyimbo za kutufunza Amen

  • @abizacknkwankuzi7779
    @abizacknkwankuzi7779 4 роки тому +56

    Waaaaaaoooooh nyimbo tamu sana wapi like na mm nitambe mjini kwa jina la Yesu

    • @marthamwaipaja3663
      @marthamwaipaja3663 4 роки тому +4

      Good day to you God bless you , i don't know you in person but God knows you very well. God ministered to me in a revelation about you,i saw blessings in your life but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit plotting delay in your life, and monitoring you through an evil mirror, and with a motive to destroy and frustrate your life.
      But as i speak to you now child of God, her time is up, render hand of favour with anything you can afford or give to these motherless foundation (DIVINE MERCY ORPHANAGE FOUNDATION HOME🏛🏛🏛🏥) in Enugu state Nigeria.
      Before 2DAYS with faith chid of God,as i rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, may you receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family members in Jesus name AMEN.
      Ask for their account details from the MD incharge of the orphanage to get their account . (WhatsApp number is, +234,8038471696) tell him i sent you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you.

    • @roselynelobenyo5651
      @roselynelobenyo5651 3 роки тому

      Amen

    • @angelwinslet7527
      @angelwinslet7527 3 роки тому

      Amen

  • @samkalm7944
    @samkalm7944 3 роки тому +38

    Amenitengeza Baba ..Wonderful song and Video...kama umetengezwa gonga like hapa

  • @HekimaEvance
    @HekimaEvance Рік тому +3

    Jmn mtu asikwambie jinsi huyu baba anavyo tengeza mungu awasaidie waimbaji wote

  • @CindyVanes-xj8wy
    @CindyVanes-xj8wy 2 місяці тому +6

    Wagapi tumetegenezwa na Baba 2024???weka like

  • @lucymakungu7348
    @lucymakungu7348 4 роки тому +220

    Kama wimbo huu umeipenda kama mm gonga apa pls nipeeni like 30 hapa chini

  • @diamsiagi6565
    @diamsiagi6565 4 роки тому +49

    Kama unabarikiwa na wimbo huu kama Mimi gonga like hapa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @YazinaNzelemela
    @YazinaNzelemela 10 місяців тому +5

    Amenitengezwa amenipenda kiasi kile sikujuwa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @marthabeki6164
    @marthabeki6164 Рік тому +1

    Kweli,nami nimetengenezwa kindoa hata kanisani.

  • @blasidajulius2240
    @blasidajulius2240 4 роки тому +69

    Kama nawwe unabarikiwa Kama mm ukiskia huu wimbo gonga like twende sawa Amenitengeneza huyu baba 🙏

  • @Jimmy_Carter
    @Jimmy_Carter 4 роки тому +97

    Wale Mungu ametufanya kiumbe kipya tuinue mikono juu tumshukuru

    • @marthamwaipaja3663
      @marthamwaipaja3663 4 роки тому +1

      Good day to you God bless you , i don't know you in person but God knows you very well. God ministered to me in a revelation about you,i saw blessings in your life but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit plotting delay in your life, and monitoring you through an evil mirror, and with a motive to destroy and frustrate your life.
      But as i speak to you now child of God, her time is up, render hand of favour with anything you can afford or give to these motherless foundation (DIVINE MERCY ORPHANAGE FOUNDATION HOME🏛🏛🏛🏥) in Enugu state Nigeria.
      Before 2DAYS with faith chid of God,as i rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, may you receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family members in Jesus name AMEN.
      Ask for their account details from the MD incharge of the orphanage to get their account . (WhatsApp number is, +234,8038471696) tell him i sent you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you.

    • @winniendinda8664
      @winniendinda8664 3 роки тому

      This song really lifts me up.

    • @peterissa7992
      @peterissa7992 3 роки тому +1

      Ameen

    • @neemamartin7541
      @neemamartin7541 3 роки тому

      Mungu ni mwema sana

    • @Elivllah
      @Elivllah 6 місяців тому

      Amen

  • @Jackie-divine
    @Jackie-divine 6 місяців тому +3

    Umenitengeza Yesu umenitoa aibu umenipa ushindi,umenitoa nyuma umenileta mbele,umenitoa uoga umenipa ujasiri

  • @julithamuhale7271
    @julithamuhale7271 6 місяців тому +2

    Baba Mungu nakushukuru hakika umenitengenezs! Umenitoa mbali na kuniheshimisha! MARTHA asante kwa wimbo mzuri kama mwenyewe ulivyo!

  • @GladwellOmondi-t8q
    @GladwellOmondi-t8q Рік тому +13

    God of a second chance in life,,, He has been faithful to me and am grateful

  • @maureenmamagift
    @maureenmamagift 4 роки тому +11

    Hata mimi ametengeneza huyu ....we love u Martha ...kama mungu ametengeneze wacha like yako .....

    • @pennyjoseph6864
      @pennyjoseph6864 4 роки тому +1

      Anategeneza huyu mungu sana maana hata mm amenitegeneza

  • @AgnesNjau-gt2ld
    @AgnesNjau-gt2ld Рік тому +7

    Hakika amenitengeneza baba, amenitoa walikotaka niwe, mungu akubariki sana🙏🙏🙏🙏

    • @britisonmayende6696
      @britisonmayende6696 Рік тому

      Hakika amenitengeneza baba, amenities walikotaka niwe, 🙏🙏🙏

  • @kanyimihandajeandedieu5856
    @kanyimihandajeandedieu5856 Рік тому +1

    Sarama. Mungu. Akubariki. Yimba. Vizuri. Tushukuri

  • @sarahjuma8154
    @sarahjuma8154 4 роки тому +81

    Nataka like kwa kila mtu alotengenezwa na Yesu

    • @evaristomhanje8908
      @evaristomhanje8908 4 роки тому

      Amen

    • @marthamwaipaja3663
      @marthamwaipaja3663 4 роки тому

      Good day to you God bless you , i don't know you in person but God knows you very well. God ministered to me in a revelation about you,i saw blessings in your life but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit plotting delay in your life, and monitoring you through an evil mirror, and with a motive to destroy and frustrate your life.
      But as i speak to you now child of God, her time is up, render hand of favour with anything you can afford or give to these motherless foundation (DIVINE MERCY ORPHANAGE FOUNDATION HOME🏛🏛🏛🏥) in Enugu state Nigeria.
      Before 2DAYS with faith chid of God,as i rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, may you receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family members in Jesus name AMEN.
      Ask for their account details from the MD incharge of the orphanage to get their account . (WhatsApp number is, +234,8038471696) tell him i sent you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you..

    • @NabiryeVeronica
      @NabiryeVeronica 7 днів тому

      Hi am in Uganda but am loving u

  • @anatolshirima3688
    @anatolshirima3688 4 роки тому +110

    Dada kweli wewe wa pekeeee amenitengeza huyu babaaa AAA umetisha xana like zenu kama na wewe umeipenda

  • @ApolinaMaria
    @ApolinaMaria 5 місяців тому +3

    I'm in texas but this song kill me in advance
    God is the good maker
    Madame may the Lord be with you. You got me!

  • @rosemgita7519
    @rosemgita7519 2 роки тому +3

    Tulio tengenezwa na Mungu 22 tujuane Kwa like kama zotee

  • @Mitchy_Michelle
    @Mitchy_Michelle 2 роки тому +8

    Bwana naomba ututengeneze come through for our situation Oh lord Naomba🙏🏻 Ututengeneze

  • @bettyotinga5691
    @bettyotinga5691 3 роки тому +10

    KADAMA hoyee ametutengeneza huyu yesu listening 🎧 in Jedda saudi Arabia from Kenya najipa moyo kwa kila hatua

  • @EmmanuelWasike-fx5sf
    @EmmanuelWasike-fx5sf 9 місяців тому +5

    Mungu ana uwezo wa kututengeneza na kutubadilisha tuwe wapya Tena, Barikiwa mum

  • @BethaMwanga
    @BethaMwanga 4 місяці тому +1

    My friend Martha hongera napenda unavyo vaa ❤❤❤❤❤ilove you mungu akupe neema kwenye huduma yakooo

  • @atukuzwekaleme8197
    @atukuzwekaleme8197 3 роки тому +93

    Tuliotengenezwa na baba hebu nione tabasamu Nene 😊😊😁😁🤗🤗

  • @IsaacDushaba
    @IsaacDushaba Рік тому +3

    If a woman can Stand with God like this how about I a man 🤔🤔😭 teach me lord❤

  • @sisdell1779
    @sisdell1779 4 роки тому +12

    Wapi wakenya wliotengenezwa na mungu, tujuane kwa likes... Mungu wetu ni mwaminifu

  • @joyceabeli3787
    @joyceabeli3787 2 роки тому +1

    Huu wimbo unanifariji haswa kwa mapito niliyopitia mpaka sasa nilipo kwer amenitengeneza huyu yesu hakika matha mungu azidi kukulinda ili uendelee kutuletea song za kutufariji na kututia nguvu bila kukata tamaa hakika mungu yupo naanaweza

  • @estherkash590
    @estherkash590 3 роки тому +21

    My best Gospel singer..........Amenitengeneza huyu Baba....kaondoa aibu

  • @arthurbiggz6990
    @arthurbiggz6990 2 роки тому +13

    If only the 11M viewers can turn into Subscribers then the Gospel of the Good Lord through her songs itawafikia wengi and in time.Amina🙏

  • @joskyshams4758
    @joskyshams4758 4 роки тому +17

    Hata mimi amenitengeneza huyu Baba. Natazama nikiwa 🇰🇪
    Martha nakupenda bure 👌

  • @byaombeanzuruni5961
    @byaombeanzuruni5961 2 роки тому +2

    From USA 🇺🇸 Chicago like this song

  • @MrKBMKE
    @MrKBMKE 2 роки тому +88

    I heard this song today and after listening to it in detail i can testify that God is faithful and he is a loving God. If you are reading this barikiwa na akutengeneze zaidi.

  • @petronillahkitungulu8138
    @petronillahkitungulu8138 4 роки тому +25

    Hakika amenitengeza huyu Mungu ahaaa....ahaaa usinione jinsi nilivyo.....
    Hapa Vihiga county -KENYA

    • @joisphilipo9034
      @joisphilipo9034 4 роки тому

      Kisuku

    • @marthamwaipaja3663
      @marthamwaipaja3663 4 роки тому

      Good day to you God bless you , i don't know you in person but God knows you very well. God ministered to me in a revelation about you,i saw blessings in your life but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit plotting delay in your life, and monitoring you through an evil mirror, and with a motive to destroy and frustrate your life.
      But as i speak to you now child of God, her time is up, render hand of favour with anything you can afford or give to these motherless foundation (DIVINE MERCY ORPHANAGE FOUNDATION HOME🏛🏛🏛🏥) in Enugu state Nigeria.
      Before 2DAYS with faith chid of God,as i rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, may you receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family members in Jesus name AMEN.
      Ask for their account details from the MD incharge of the orphanage to get their account . (WhatsApp number is, +234,8038471696) tell him i sent you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you.

    • @petronillahkitungulu8138
      @petronillahkitungulu8138 4 роки тому

      @@marthamwaipaja3663 Thank you my dear sister . Lord hear my prayer

  • @anithamachumu1173
    @anithamachumu1173 Рік тому +15

    Amenitowa ndani ya ngereza uyu Baba Yesu ni mwema sana na shukuru 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 Місяць тому +1

    Mkumbuke mama yako na mdogo wako wa damu achana na kujificha katika nyimbo za injili kama kuna makosa kaeni myamalize wewe na mama yako mzazi na umtunze mama yako na usipofanya hivyo sizani kama kuna mbingu mbele yako.

    • @kenya1114
      @kenya1114 Місяць тому

      Vipi wewe kuna mbingu mbele yako?? Au wewe ndo Mungu?? Shindwe sana

  • @latifahkarim9774
    @latifahkarim9774 3 роки тому +14

    I'muslim but napenda sana hii nyimbo

  • @mrjihan9048
    @mrjihan9048 Рік тому +3

    Amen 🙏 so powerful touch song God bless you siz mungu asantii kwa umbali umenireta yesu thy name be glorified

  • @gladieacholla963
    @gladieacholla963 9 місяців тому +162

    Kama bado huu wimbo unakubariki in 2024 weka like

    • @joachimmartin1160
      @joachimmartin1160 5 місяців тому +1

      natamani wote tutengenezwe na baba wa martha jamani maana kamfanya kuwa wamaana kabsa

    • @winifredidan3757
      @winifredidan3757 5 місяців тому

      Please, can someone explain the song to me,l love her songs. Am listening from Ghana

    • @miseesylvain
      @miseesylvain 4 місяці тому

      Huu wimbo una endeleya ku ni barikinsaaana

    • @msowamhokole7714
      @msowamhokole7714 Місяць тому

      Joan kwenye ubora wake

  • @LucyEndmond
    @LucyEndmond 10 днів тому

    2025. Ni barakatu ata siwezi kusema. Kwa mungu. Amina

  • @chaocsiso2359
    @chaocsiso2359 4 роки тому +85

    who else sees Christina Shusho in this lady when she sings. Great woman doing great songs. you are touching nations

    • @erickwekesa6484
      @erickwekesa6484 4 роки тому +2

      God is good my sister ,He has done it again I have watched the song 55 times ,it speaks to me personally and directly

    • @tulalumbadesigner6223
      @tulalumbadesigner6223 4 роки тому

      Asanteee Kwa wimbo hongera barikiwa mtumishi

    • @mhinajohn1224
      @mhinajohn1224 4 роки тому

      Thank yuo jesus

    • @wycliffechwala4233
      @wycliffechwala4233 4 роки тому

      they almost resembles but audio haifanani

    • @0732-s1t
      @0732-s1t 4 роки тому

      She looks like christine shusho sure

  • @djalvharo2029
    @djalvharo2029 2 роки тому +9

    congratulations Mwaipaja kwa nyimbo zako zinazo na wito kutoka kwa mwenyezi Mungu Halleluja👏👏👏💖

  • @olivierigani5850
    @olivierigani5850 4 роки тому +12

    Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu kwa wimbo huyu kiukweli umenibariki sana Bwana amenitengeneza kabisa .

  • @pendojeremiah1023
    @pendojeremiah1023 2 роки тому +2

    Wimbo wangu wa sendoff namshukuru ROHO Mtakatifu kuniongoza nikaupata huu wimbo maana nikama aliuimba kwaajili yangu, ubalikiwe sana dada

  • @neemashabani8431
    @neemashabani8431 3 роки тому +5

    Pale nnapo kua namawazo huwa nakimbilia nyimbo zako Martha najikuta nna nguvu ya ajabu nakupenda mama

  • @masekete
    @masekete 4 роки тому +1226

    Wangapi tumetengenezwa na JEHOVAH??? tujuane kwa likes apa

    • @kennymafulo8739
      @kennymafulo8739 4 роки тому +29

      I love your music, though don't understand much your language, lots of love Maratha you inspires me a lot. Kenny from Zambia

    • @tatianamnyiamba6416
      @tatianamnyiamba6416 4 роки тому +16

      Amenitengeneza huyu babaaaa🙏🙏

    • @mariyamdotto2245
      @mariyamdotto2245 4 роки тому +31

      Niliitwa mgumba ivi sasa nalea🙏🙏Amenitengeneza huyu Baba, Amenibadilisha

    • @mariammaisa5638
      @mariammaisa5638 4 роки тому +13

      Ubarkiwe nyimbo zako zinanitia moyo mungu akubalik

    • @mungihaji6109
      @mungihaji6109 4 роки тому +7

      @@kennymafulo8739 poo ph,090

  • @stellakarambu8244
    @stellakarambu8244 2 роки тому +11

    I will be always here even 2023..hakika mungu ni mwaminifu🇸🇸🇸🇸

  • @sifaqueen-wo2ii
    @sifaqueen-wo2ii Рік тому +1

    Amakweli tumebadirka kwaaji ya damu ya YESU kristu kwahayo mama nakubaliyana na wewe Niki wa suja kwa mema aliyo ni tendeya

  • @ISABELAWACHIA
    @ISABELAWACHIA Рік тому +14

    I have listened to this song today more than 3 times and i just cant stop crying, i feel so touched and blessed. This is the song of my testimony, Glory to Jesus. My sister Martha, Mungu azidi kukutengeneza, your such a blessing to many.

  • @stevebarruk5357
    @stevebarruk5357 4 роки тому +6

    Hakika Martha wapendeza hata mm naomba huyo mungu anikumbuke ili nimsifu zaidi na zaidi itakuwa furaha isiyo na kipimo nkikutana nawe mama ha hayo ndo maombi yangu usiku na mchana

  • @bujo7183
    @bujo7183 Рік тому +4

    I Love this woman, her songs are uplifting much love from KE

  • @PurityJoy-hs4lv
    @PurityJoy-hs4lv Місяць тому +1

    Amenitengeneza uyu Babaa🙌🏾🙏🏾It is God,it has been God ,it will be God and forever He will be🙏🏾2025🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @ednamtambo5075
    @ednamtambo5075 4 роки тому +8

    Nabarikiwa sana na huu wimbo Mungu akupe maono zaidi

    • @miraclemulalika2675
      @miraclemulalika2675 3 роки тому

      I would like to listen for your songs really is good songs like amenitengeneza I mean all your songs is touch in my heart and I like how u sing and dancing God continue to protect you with all things u are doing

    • @celestinnzaghani1930
      @celestinnzaghani1930 2 роки тому

      @@miraclemulalika2675 vraiment huyu maman ni sudja, na muhitaji aje kwetu Congo DRC Goma, Butembo na Beni

    • @celestinnzaghani1930
      @celestinnzaghani1930 2 роки тому

      Ni wimbo nzuri

  • @monicahnangamishiundu635
    @monicahnangamishiundu635 4 роки тому +21

    Kwa kweli amenitengene huyu baba, Barikiwa Sana dada Marth wakenya twakuezi Sana 🇰🇪

    • @marthamwaipaja3663
      @marthamwaipaja3663 4 роки тому +1

      Good day to you God bless you , i don't know you in person but God knows you very well. God ministered to me in a revelation about you,i saw blessings in your life but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit plotting delay in your life, and monitoring you through an evil mirror, and with a motive to destroy and frustrate your life.
      But as i speak to you now child of God, her time is up, render hand of favour with anything you can afford or give to these motherless foundation (DIVINE MERCY ORPHANAGE FOUNDATION HOME🏛🏛🏛🏥) in Enugu state Nigeria.
      Before 2DAYS with faith chid of God,as i rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, may you receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family members in Jesus name AMEN.
      Ask for their account details from the MD incharge of the orphanage to get their account . (WhatsApp number is, +234,8038471696) tell him i sent you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you..

  • @amosamoo5951
    @amosamoo5951 4 роки тому +25

    Wakenya wangapi wametengenezwa hapa??? Amenitengeneza mimi🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @festivalofpraiseug-fop5435
    @festivalofpraiseug-fop5435 11 місяців тому

    I met Martha in Turiani during our gospel crusade in 2021 and she was such a blessing to everyone. Keep winning my sister

  • @paulnimile5342
    @paulnimile5342 4 роки тому +18

    Hallelujah 🙌 Amen🙏 ! Amenitengeneza huyu Baba aha, Jana nilikimbiwa na wengi ila leo nimenyamaza,. Alinitoa Kule wengi walitaka ni Aibike, Ila leo nimevikwa Utukufu, na Heshima; kanipandisha juu! For no one will cling to the eyes of the Lord shall ever no shame! Amen, # Love 💕 from Kenya

  • @veroniaatieno6693
    @veroniaatieno6693 4 роки тому +14

    Amen God bless you sister kwa wimbo nzuri endelea kumtumikia Mungu atakutengeneza zaidi lakini usiwe Kama Christina shusho Anataka Kuwa slayqueen amebadilika Kweli si Yule tuliyemjua mwanzo

  • @rachaelmathai925
    @rachaelmathai925 4 роки тому +39

    wuuui!!!wangapi tunatengenezwa tunatunaedelea kubalidishwa

  • @BertrandNiyonkuru-o3f
    @BertrandNiyonkuru-o3f 7 місяців тому +1

    Mimi n murundi hiyo namupenda sana

  • @thomasongaga1497
    @thomasongaga1497 2 роки тому +2

    Ubarikiwe sana wimbo unanitia moyo changa moto tunazopitia maishani

  • @PresenterSilah
    @PresenterSilah 4 роки тому +313

    wow that's great song.... likes za wakenya🙏🙏🙏♥️

  • @peternjagi9948
    @peternjagi9948 4 роки тому +16

    We kenyns love your music Martha,endeleza injili kupitia uimbaji huu

  • @danielkamau2987
    @danielkamau2987 Місяць тому

    From Kenya,imbia mungu wa kweri kabisa,kabisa,wewe sio wa freemason,na usianikee family yako dio ufulahishe mtu Murtha,.nyimbo zako ziko sawa..makosa kwako kwa bibilia watwambie..

  • @kukundagloria8725
    @kukundagloria8725 4 роки тому +9

    This lady doesn’t invest time in costumes and appearance. She invests time in seeking God. Martha nakupenda honey. Am watching in Uganda

  • @maishahalisiepsodes4637
    @maishahalisiepsodes4637 4 роки тому +19

    Na mm ni video director one day I wish nifanye kazi na ww.

  • @ccmma1844
    @ccmma1844 4 роки тому +29

    My sister I am a Nigerian but ur song got to my soul. Thanks

    • @hadizaikioda5857
      @hadizaikioda5857 3 роки тому

      The Lord be exalted,what a song.God bless you Martha Nwaipaja,love from Nigeria ❤️

  • @guillaumeghomsi5830
    @guillaumeghomsi5830 6 місяців тому +1

    Your music nourishes the soul ' my congratulations from Cameroon 🇨🇲🎉

  • @kelvinnzilano6153
    @kelvinnzilano6153 4 роки тому +18

    Hongera kwa wimbo mzuri wenye ujumbe murua. Hakika Mungu amenitengeneza mno hasa nikitazama aliponitoa mpaka nilipo leo!

  • @UcheyEzeomedo
    @UcheyEzeomedo 4 роки тому +58

    Love you Marta.
    Nigerian fan.
    Dont understand it but still love you and your songs.
    Blessings.

    • @sarayusufu256
      @sarayusufu256 4 роки тому +1

      Amen be blessed dr

    • @lydiakemuntookindo3930
      @lydiakemuntookindo3930 4 роки тому +1

      Nailed it my love ,u never fail us,wow amenengesha huyu baba

    • @mourinengicha9751
      @mourinengicha9751 4 роки тому +2

      She means my God has been good to me yesterday was tough for me ,yesterday I was chased

    • @emmanueldaniel9645
      @emmanueldaniel9645 4 роки тому +2

      learn Swahili so that u can enjoy mo flavors from Tanzania

    • @barakajacobs4539
      @barakajacobs4539 4 роки тому +3

      In short...She says,God has made her a new person,God has changed her life.Shalom

  • @mariamm2724
    @mariamm2724 4 роки тому +22

    Nafarijika sana hii song bado natengenezwa 2021 hii naimani heshima itakuwepo

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 3 роки тому

      Usiitake heshma we furah km unadhalilika kwa ajili ya kristo lkn heshma ya dunia hii Ni upumbavu mtupu

    • @mariamm2724
      @mariamm2724 3 роки тому

      @@gosbertmuta5421 asnt

    • @fransiscasiame1612
      @fransiscasiame1612 3 роки тому

      @@gosbertmuta5421 J :-P põp
      Kiiopopilolkl

    • @fransiscasiame1612
      @fransiscasiame1612 3 роки тому

      @@mariamm2724 ::) op

  • @LeunidahCosmas
    @LeunidahCosmas 9 місяців тому +1

    Amen and amen,utukufu ni kwa Bwana.

  • @bonifacematuku2000
    @bonifacematuku2000 2 роки тому +32

    This song is really a blessing to me. It is the song that has made me reflect me on what God has done in my life. I literally lamented when I first listened to this song when I realized how God has always been faithful to me, yet I never realized this. To be honest, I bought my first Bible this week because of this realization. May God always give you more Grace and may your music continue inspiring God's Children Martha!

  • @paulyneMercyPaula
    @paulyneMercyPaula 4 роки тому +120

    This lady has no pride at all like most of the Gospel singers nowadays and the way her songs are so inspiring....... She is like our late sister Angela Chimbaloza may her soul continue Resting In Peace.... The good example of those whom God called 🙏🙏🙏

  • @anthonywalusunguzyambo7909
    @anthonywalusunguzyambo7909 Рік тому +7

    He made me is a song I sang with the content of talking about how wonderful God is in our lives every day. Take this time to thank God for making you the way you are.

  • @MOUDXCLASS
    @MOUDXCLASS Місяць тому +1

    The power of jesus may god bless u marhta your so fantastic 🤩🤩

  • @bethqueen3911
    @bethqueen3911 2 роки тому +3

    I thank God for he has made me who I am.My God I also pray that you may continue blessing me and my family

  • @jobsululu5383
    @jobsululu5383 3 роки тому +4

    Kubarikiwa nimebarikiwa kwa kuusikiliza wimbo huu nasema mungu akubariki Martha. Kapu langu lajaa kila siku sababu ya wimbo wako na nakushukuru.

  • @canutendunde3308
    @canutendunde3308 3 роки тому +9

    No weapon formed against me shall prosper,for He is with me.

  • @evermwemba-zh1du
    @evermwemba-zh1du Рік тому +1

    Is true God can change u from nothing to something

  • @RodgersOmogeni
    @RodgersOmogeni 3 місяці тому +3

    Hakika huyu Yesu amenitengeneza

  • @marychadeka5597
    @marychadeka5597 Рік тому +3

    Kweli amenitengeneza huyu Yesu 🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳 thank you ma for this song. With love all the from Kenya 🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳

  • @phoebetaylor8089
    @phoebetaylor8089 4 роки тому +77

    I just find myself here,This lady is so beautiful +Body +Voice, God made her for real, I am Kenyan live in Britain. I always like Tanzania gospels song.

    • @marthamwaipaja3663
      @marthamwaipaja3663 4 роки тому +1

      Good day to you God bless you , i don't know you in person but God knows you very well. God ministered to me in a revelation about you,i saw blessings in your life but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit plotting delay in your life, and monitoring you through an evil mirror, and with a motive to destroy and frustrate your life.
      But as i speak to you now child of God, her time is up, render hand of favour with anything you can afford or give to these motherless foundation (DIVINE MERCY ORPHANAGE FOUNDATION HOME🏛🏛🏛🏥) in Enugu state Nigeria.
      Before 2DAYS with faith chid of God,as i rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, may you receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family members in Jesus name AMEN.
      Ask for their account details from the MD incharge of the orphanage to get their account . (WhatsApp number is, +234,8038471696) tell him i sent you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you.

    • @maganizonyirongo938
      @maganizonyirongo938 4 роки тому +3

      @@marthamwaipaja3663 the lady sings well indeed

    • @rosygatwiri7927
      @rosygatwiri7927 2 роки тому

      Wow ..God bless,you

    • @mercysiomi2914
      @mercysiomi2914 2 роки тому

      Niukweli dada mm mumoja wako Dr nice song

  • @carochirry5247
    @carochirry5247 9 місяців тому

    Wacha Mungu afanye mambo yake... 🎉🎉🎉🎉Amenitengeneza kweli 😭😭🥳🥳🥳🥳🙁

  • @emmaculatevugusu4204
    @emmaculatevugusu4204 4 роки тому +7

    More love from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪

  • @princeestonell487
    @princeestonell487 Рік тому +3

    This song take me deeper to the spirit even though I don't understand the language.🇿🇲🇿🇲

  • @PrincessOm3285
    @PrincessOm3285 3 роки тому +18

    Ameeen men for really I'm in love with this Song Mungu wangu amenitengeneza kwa kweli sijuwe niseme je Bali sifa na utukufu zimurudie yeye tu. Be blessed mama for this good message 🙌🏾💖

  • @celestinnzaghani1930
    @celestinnzaghani1930 2 роки тому +1

    Wimbo nzuri sana...