AMINI USIAMINI HILI NDIO ENEO LA BEI JUU ZAIDI KULALA TANZANIA, MILIONI 22 SIKU MOJA, UNAOGA NA PAPA
Вставка
- Опубліковано 11 гру 2024
- Inawezekana usiamini kwamba kuna sehemu zinagharimu zaidi ya shilingi Milioni 22 za Kitanzania kulala kwa usiku mmoja tu! Amini au usiamini sehemu hizo zipo, tena hapa hapa nchini kwetu Tanzania.
Thanda, ni sehemu kwa ajili ya mapumziko iliyotengenezwa na mtu binafsi katika eneo la kisiwa cha Shungimbili kilichomo Wilaya ya Kisiwa cha Mafia. Kisiwa hiki kina ukubwa wa takribani hekari 20 ambamo ndani yake imejengwa nyumba moja. Nyumba hiyo ina vyumba vya kulala vitano na vibanda viwili pembezoni mwa ufukwe wa bahari ya Hindi kusini mwa Tanzania ambapo familia ya watu mpaka 10 inaweza kuishi.
Thanda Hotel full respect, na sio wote wanaijua
Habari njema,Ningependa kufahamu tumeingiza kiasi gani Cha kodi kupitia uwekezaji huu tangu kuanzishwa kwake.
Oya bandugu tufanyen mema na tumuombe Mungu tuipate Pepo yake .....ndio kwenye starehe ya kudumu
Naam
Unaijua pepo wewe? Wakati wenzio wanapambana na maisha na kukuibia rasrimali na kufaidi maisha kupitia utajiri wako, wewe unang'ang'ana na pepo! Kama dunia ndo pepo Mungu amekupatia? Unajuaje pepo iko wapi! Akili za ajabu hizi zitatuua ngozi nyeusi
@@samkitwima7933 ww mzima lakn ....ivi uliona hapa dunian kuna stareh endelev...haya kuwa tajir na iyo stareh unayitaka tuone utaishia wapi.....
@@ommymehmed8880 We unadhani Mungu alimuumba binadamu ateseke duniani kisa kuna pepo? Endelea kuibiwa afu ujidanganye eri Mungu anawapenda maskini. Kwanza watu kama nyie ndo mnatuharibia dunia kwa kujidanganya kuna mbingu wakati Mungu ametupa mbingu safi ya Afrika wajinga weupe kwa kushirikiana na vibaraka kama wewe mkiiangamiza.
@@samkitwima7933 ww ukapmwe mavi.. Naona hujielewi kijana au kidada hata hueleweki...hapa sijaongelea utajir wala umaskin tulionao ....ninachokiongelea hapa ni kwamba starehe zozote au shida zozote hapa dunian ni za kupita tu na sio za kudum....hivyo basi ni muhim kumuomba Muumba wetu atujaalie PePo yake ....
Mbona hyo cha mtoto
Ulizia Singita Grumeti reserves ndani ya hifadhi ya Serengeti
utaelea huko ni chamtoto aseeee
diva akilala kilimanjaro anatutangazia nchi zima😂😂😂
😂😂 story haichekeshi kwa wenye hela ila wengine inachekesha 😂😂😂
😄😄
😂😂😂acha tu
😂😂😂😂😂
Yaniiii ii ni kweli kabisa
Millard.ayo
Napenda unavyotanga
Very clear swahili
Pronunciation.
Hongera sana Pasco...
hii sio sauti yake
Ni mtz hivyo si ajabu kutangaza kwa lugha fasaha
Binafsi nlitamani kuona mtanzania ndo anamiliki hii sehem😪
Ili nchi iwe na maendeleo wamiliki duniani kote wanatoka nje ya nchi ukienda Dubai wamiliki wamarekani ukienda marekani wamiliki waisrael ukienda Africa kusini wamiliki warusia ndio dunia ilivyo
Mm pia 😢
Nilikuwepo hapo jana, nimefaidi sana papa.
😂😂😂😃 kwa video au live??😉😉
@@ilovejesus9303 🤣🤣🤣
Wewe jamaa
Aaaaàa
😂😂🤣🤣
Natamani insha'Allah ntafanikiwa Allah kareem
Inshallah kwa sote
Asante Millard Ayo maana sijatoka bure kwani nimejifunza dolphine kwa kiswahili anaitwa pomboo😹.
Mhhhh hela ya shamba na nyumba na gari juu
😂😂😂😂😂😂😂weeee debrah
Napaelewa sana hapo nishalala sana ila kwa sasa nipo U.A.E. kikazi. Wale maboss ambao wamelala hapo naomba like zenu tujuane
Duh hiyo pesa kwangu ni mtaji,💪🙏
Millard kwann Mnatutia stress za maisha?
🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sio hapo thanda tuu mafia nzima nikisiwa kinachokuja kwa kasi ki utalii na nikisiwa kikubwa cha utalii
Wanangu wa Mafia piga kelele
😂😂😂✋🤚🤣🤣🤣
Tushukuru kutuelimisha
Daaaaaaa Mimi na toka na enda kutafuta Niki pata ndarudi, asante
Hii cha mtoto peponi ndo baba lao😁😁
Ndoto yangu na Mim siku moja nije kulala ktk hiko kisiwa nione uzur wake
Hyo zaman Milado nenda sasa hv utashangaa
Mungu atujalie jenat faridos
Tujuane tulikuja kuangalia baada ya kuona heading ya kuoga na papa ili tuelewe ni papa gani😂😂😂
Papa la gigy money
😂😂😂😂😂
Dah ulichowaza ss 😂😂😂😂
😲😂😂😂😂😂😝
@@anitamwehonge8287 INNALILAH
Hii ndioaloyosemaga mzee baba Magu
Watu waliofeli maisha wenzie wakifanikiwa wao hujifanya wanamjua sana mungu
Aaaaaah aisee Dunia isivyoisha kutushangaza wakati nawaza mpaka sasa Duniani nimeishi siku 10,800 na katika siku zote hizo sijawahi kushika milion100 zakwangu kwa mara moja leo mtu anatumia milion 20 kwasiku 🤲🤲🤲🤲🤲
Ndo unamiaka mingapi kwa hizo siku
@@veronicacharles9993 29 hiyo
Acha tu
Thanda Island-najua baba ii-
nauza eneo karibu na hapo
Kwani ukilala hapo unaiona mbingu direct? Napenda vitu vizuri Ila si huu ujinga wa kuharibu pesa hivi
Niliitafuta sana sehemu ya kupumzika na yenye utulivu kama hii kwa mada wa wiki 1 tu asante sana wacha niboking sasa.
Hapo huwezi mzee hajamalizia milard hiko kisiwa unaweka booking kuanzia watu watatu kwa maana million 60 today
🤣🤣🤣
MB zangu mwenyew zinanipa Stress, Millardayo utantoa roho ety, Wakati Me naitafuta hiyo M5 tu Kuna Mtu anaikul kwa Siku daah😂😂😂😂😂
Hahahahahah
😂😂
Mimi nimelala hapa jana kuamkia leo kwani iko nini😜
Proud to be Mafian man
niaje ndugu yangu
Mimi ndyo nimekaa chumban hku nasoma comments hpa.In kweli nafaidi hapa
Hahahaahahha
Future husband where you baba please bring me there🔮😭😭
Hivi amntarifu chumba kilicho chini ya maji bei gan
Daah so pow
It's good kaka lakina sio sehemu ghali kuliko nyingine Tanzania jaribu kutafuta lodge inaitwa four seasons safari lodge Serengeti kwa usiku mmoja ni almost $12,000 ambazo ni sawa na karibia mil27 za kitanzania
acha io sehem ambayo ndo mwisho n gurumeti fund ad dolla 27000
Aaaah wap, Kuna mission za watu huko,, endeleen kusema hotel😏
Kuna watu wana ishi dsm na pwani lakini cha ajabu awpajui shungi 2 kabisa tena unaweza kumuuliza mtu na aka shangaa na aka kuuliza ndio wapi ????
Mi Moja wapo
Ni pesa ndogo Sana mngefanya milion mia
Shungi mbili 💪
Yeah pako vizuri mwenyew nili enjoyed
Hhhhh...nilitoka hapo jana maids walkua wanakuongelea kwa uzur yan😅
H-hhhhhhhh uwii
Jamaa haamini au hahhaa
@@godrichyera7853 🤣🤣🤣🤣🤣mtaniua ...
Yaan comment ndio zina nguvu kuliko hata video yenyewe🤣🤣🤣
Ahhh pesa ndo Ina nguvu Apo sio çømmênt 😀
Km mzungu anakuwa mwenye kisiwa ndani ya nchi yetu kuna nn tena apo bado kutununua sisi tu
yaani
Mwanzo kilikuwa Cha wavuvi wanapiga Kambi hpo
Mbona marehemu Mkappa anaeneo lake Africa ya kusini
Duuh! haki ya mungu
dah hii nikali zaidi mzee baba
Kwa wenye nazo wanaona ni kidogo sana
Hamna stress hapo hio hesabu ya watu 10 sio mtu mmoja.dola elf10 ukigawa kwa 10 kila mtu mmoja ni dola elf moja ambayo ni sawa na million 2 na laki 2,na hapo wanaweza kupunguza low season mnaweza kupata hata kwa dola 8000 kwahiyo milad ayo usitutishe😂😂😂😂😂
Shikamoo Pesa
Hahaha
Wakati watanzania wanatozwa makodi ya juu na faini kali wa Sweden wana tengeneza 20+ ml kwa siku. Uzalendo mwisho UCHU-ME daima.
mwezako analipa kodi ya mabilioni, wewe unalalama kodi zako zisofika milioni kumi kwa mwaka
Mbona bei hiyo ya zamani, sasa ni dollar 45,000 kwa siku! Tafadhari jamani msibuku kwa hiyo bei.
Haa haaa haaa naishi Scandinavia lakini siwezi kulipa hiyo pesa hata kama pesa ninazo..
Pata kwanza pesa. Ukiwa na pesa kinachoongea siyo wewe ni pesa.
millard tunaomba uje uende na serengeti sehemu moja iitwayo nata kuna hotel inaitwa gurumeti utuangalizie io ndo inaongoza
Maa shaa Allah
Alafu hizo kodi sjui zinaenda wapi?nawaza sana kwakweli
Ni kweliii wiki ilopita nilikua apoo🤫🤫🤫
🤣🤣🤣🤣
🙉🙉🙉😂😂
Hawa ni raia wa Tanzania? Mbona Sheria ya nchi hairuhusu raia WA kigeni kununua aridhi
Sio pekee angaliq piq mnemba Island utaona pia
Me nkajua palm village kumbe ni kuoga na papa 😂😂😂
Mi nilijua papa la gigy money
Watu ambao c watanzania wanawezaje kumiliki ardhi nchini mwetu
Shungi mbili,daaah pamekamilika kumbe
#Milard Ayo hapo mmetudanganya bwana mimi ni hotelier nafahamu hapo ni $25000 Kwa usiku mmoja na lazima ubuku kwa siku tano ambayo ni 125000 USD Fanyeni uchunguzi vizuri
Nimewahi kulala hapo ni kweli kbsaa anachosema
Its my dream to get a job to that gud environment and interacting with different people
Hapa duniani daaa
Noma😎
Tuliotoka mafia like kwangu mafia line/mafia raha
Kaka kuna sehemu nyingine iko Zanzibar bei yake ni zaidi ya hio inaitwa zuri hotel kendwa
Tatizo hapo kupata nafasi ni shida. Anyway nitajaribu tena angalau nipate siku tano tu.😁😁
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😀😀
Mh Mimi ata seheemu ya elfu 50000 sijawai kulala jmn aya maisha du
I lik this hotel
ok. nimebomoa mkopo NMB najiandaa kutimba hapo kesho kutwa.
Je wakua kua kuna watu wana pesa kiasi wanaona laki nikama buku 10
Nkajua anamiliki mtanzania nishangaee
Kwamba umesema tunaoga na papa 😃😃😃 kwani ni papa gani unamzungumzia
Papa potro anapatikana kisiwan mafya TU kwa tanzania
heeeeeee heeeeeeeeeeee kwer wenye ela zao
Mhuu
Kwani wenye hiyo Hotel wanasemaje
Nilishaendaga hapo 2010
Siwezi heri nisaidie yatima
Iyo bei na Ya Zaman sana Sasaiv ni $22000 Sawa na Tz shilling ml 40 na chenga Kaka watu wanaish
Pakawaida Sana mbona?
Tatitozo hapo kupata nafasi uwa ni issue sana , yaan niliangaika sana mwaka juz
🤣🤣🤣
Nikweli nimelala sana hapo
Yani kisiwa hicho nakumbuka 2000 ilikua tunafikia na maboti yetu ya uvuvi leo kimekuwa kisiwa cha harama cha utalii....
Sid
Sizoni za kihidi za kiswahili
Napajua uko
Dah aisee milioni 22 mh
NIKWELI NPO MAFIA SASA KILINDONI KALIBUN SANA
Inshaallah siku bado zipo wacha tupambane ntampeleka wife nikiuza nyumba ya urithi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🍾🥂
kuitizama mafia inautalii mkubwa kabisa ambao wa kujulikana duniani
mambieni diamond akalale si anahela yeyē
Kisiwa kipo Zanzibar ila kinamilikiwa na Wa Sweden..okhh ok
Hapa leo milard umenigusa mm ni mtu wa mafia ila naiomba serikali yetu ya Tanzania waifatilie hii hotel inasemekana haijulikani ki serikali Yani haina usajili mm ni mtu wa utende mafia
Nilihisi hivyo, nimejiuliza wamiliki sio Watanzania nani amewauzia Ardhi yetu? Na kama wamekodishiwa tuelezwe kodi wanalipa kiasi gani? Mamilioni hayo yangeendeleza shule na Hospitali zetu za Mafia
@@darajalakidatukilomgi2362 sahihi kabisa mafia ni kisiwa ambacho kinamapato mengi Sanaa kwa Sasa Kama serikali yetu ingewekeza kisawasawa kwenye utalii basi wangetengeneza pesa sanaa
@@eddy4998 ukiona hivyo pesa inaenda mifukoni mwa wachache
😂😂😂😂😂😂mh kama hainiingii akilini du
Nilifika hapo pazuri sana sio utani
Af wanapadharau
Tamka tanda hiyo h usiitamke
Vitu vya kufanya vipo vingi sana.tupambane kutafuta mkwanja.
Du😊
Nakosa hata cha kuandika hapaaa....haya tu hakuna shida wakat mimi nawaza kupata elf 10 wengine wanaenda kitoa mamilioni ili kulala tu