Hallelujah,wooow Nimefurah kukuona hapa kaka angu kipenzi, shujaa wangu, Ulie chonga barabara ya Annoint kuonekana hivi leo,hakika Mungu akupe neema kubwa ya kuishi maisha mrefu yasio na maumivu dunian mpka Mbinguni💪
This world really need God we are living as if he don't exist😒and nobody wants to hear the truth God help us ,juzi tu imekuwa good Friday in remembrance of that Jesus died for us still no change 🙆
Unajua baba day yan unanigusa na nyimbo zako god bless you
Inaliza jamani
Mataifa tubadilike jamani na wimbo uhuu wa Baba yangu annoint essau amani
Tumuogope Mungu wetu
Wokovu ni neema hatuna chakuongeza kwa kazi Yesu aliyo ifanya kwa kukombowa ulimwengu.
Asante Yesu ooh sijui mikushukuru vipi Mwokozi wangu.
Hakika mji umechafuka,lakini Mungu ako pande ya Wakristo.Amen.
Strong message indeed am watching from kenya,,kenyans where are you🙏
Hellow I hope you fine I'm come from Tanzania
@@ENOSOUND yaa fine i thank God
Tuko hapa tunachungulia
@@carendeborah5687 hehe love you👍👍😁😁😁
@@ENOSOUND am good i thank God
#MUNGU tusamehe,jibu maombi yetu,sisi wanao tunasitahili baraka zako#amina..
UJUMBE WAKO UMETOA WAKATI MWAFAKA TUJISAHIHISHE 👍👍
Kenya kumeja Matapeli wanajiita walokole na ni wanasiasa.
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu nyimbo zako zinanibariki sana
Huu wimbo ukona mafundisho mazuri sana, mungu hakubariki sana, felix artist kutoka kenya
Barikiwa mtumishi wa Mungu
Amani , Mfalme wa Amani Yesu Asifiwe. Ubarikiwe na uzidi kumtumikia paka mwisho.
Waaa the msg is strong, kila mtu anataka ukubwa kanisani
Hongera sana mtumishi.Nakukubali sana
Ahsante Kaka sifa na utukufu Kwa Mungu
Asanti papa Kwa nyimbo žako zinaniyonyesa kwenye niko katika kiroho. Kaza mwendo mungu akufanyikishe Kwa wingi
Nyimbo hili imefanya Nika jitambua nilitoka Kwa njia za kiroho nikaingia za madini😭😭😭😭
Amazing song and powerful message keep it up congratulations be blessed 🙏🙏🙏
So touching song 😭😭😭👏👏👏👏👏👏👏✅✅✅✅✅✅
Waambie wasikie tumechoka kweli makanisa nazo zimetulia zinaficha ukweli neno la mungu hawana...
Mji umechafuka powerful message be blessed 😭😭
Uko vzr Bwana mdogo Mungu akulinde
Kwli umechafuka kw virakasi, wimbo mzuri huo barikiwa zaidi kiwango Kingine
na mimi ni muimbaji natamani tujiunge tu pamoja ili tumutumikiye mungu wetu wa mbinguni
Mji umechafuka kweli , may God remember mercy upon us.
Wimbo wafungua macho ya kiroho kabisa..we have to be still always.
Oooh hallelujah asanti kwa huo wimbo umenibariki sana mungu ukuinue hadi kiwango cha juu sanaa
Lord Jesus Christ remember us dunia ngumu aki
Tutazamie mahali tuliko angukia tujiokote na tumrudie mungu .
Mungu akubariki kwa ujumbe juu Mungu aturehemu
Nikiwa Dubai always a blessing to me❤️❤️♥️🙏
May God bless you anointing the man of God I always love your music hear watching from kenya 🇰🇪🇰🇪
Lord Jesus have mercy 🙏
Ubarikiw mtumishii hakika ujumbe mzur san nimebarikiwa nao san
Mungu akubarik sana Mtumish wa Mungu kwa ujembe mzur🙏🤝
Uwimbo mzuri sanamdogo wangu. Mungu atusaidie
Hallelujah,wooow Nimefurah kukuona hapa kaka angu kipenzi, shujaa wangu,
Ulie chonga barabara ya Annoint kuonekana hivi leo,hakika Mungu akupe neema kubwa ya kuishi maisha mrefu yasio na maumivu dunian mpka Mbinguni💪
God bless you mtumishi wa MUNGU,your songs bless much
Aki kweli huu wimbo ....mungu tu atuhurumie coz ni kma hatujierewi kbsa
Ubarikiwe ujumbe mzuri🙏🙏🤲
Amen amen God don't show us your back 🙏🙏🙏🙏
Blessing song keep it up annoint amani God bless you
Bwana yesu asifiwe watoto wamugu
Ubalikiwesana
Very strong message thanks very much am Muslim but ikeep watching and listtening to your gospels I from Uganda thanks very much 🇺🇬🇺🇬🇺🇬
AMEN AMEN
Jlll up kkkoo9ooo
Barikiwa San annoint
Ni kweli kabisa kaka Annoit mji umechafuka Tumwombe mungu aturehemu jaman
God your son is back again
Bless him lord 👑
Be blessed so much, you really blesse me
Hiyi kali kuliko zote, unabariki sana
Kwa mafumbo... makubwa sana...neema ya tosha
Bwana Yesu atukuze kaka niwelikabesa muji imechafuka Mungu abariki na mahubiri ya kupitia Wimbo asate sana
Hallelujah thank you brother nice song God bless you 🙏🙏🙏am from Uganda 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🙌🙌🙌
God 🙏 bless you keep it up
be blesed napenda nyimbo zako sana🥰
barikiwa sana kwa wimbo mzuri sana Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️
Mji umechafuka kweli, wanadamu tutu na Mungu Atatubariki
Ubarikiwa Sana kwa ujumbe mzuri Mr annoit
Unarikiwe kaka yangu Yani Mungu yepeke
I love the variation of voice.blesdings brother
May God heal the nations 😭😭😭
Mungu niokoe ndoa yangu imechafuka😭😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏
Pray omba kwa uzito all will be well
Ui mchafuko wa ndowa imetawala nchi nzima ndugu yangu Akina Karisa
Waoooh wimbo mzuri sana ujumbe mzuri wa kuponya Roho zetu eeh Mungu tusaidie
Maovu yetu yanaziba baraka zetu .Annoit mfano mwema kwetu kama vijana...
God have mercy on this weaked generation, powerful masage for us,
Be blessed brother
I came across this song on tiktok and I'm just crying😢
God bless you man of God
Wimbo huo umenibariki saaana, na Mungu awabariki sana ili mzidi kusonga mbele na kufunga sana pia.
We who love Jesus we must wake up and pray and know that the time has come it's a wake-up call God bless u we are behind u Man of God
Thanks God bless you and all in all prays the Lord
May Elohim have mercy on us.
Wow congrats Mr🥰🥰🥰may God blesss u for me ...umenifunza mengi
This world really need God we are living as if he don't exist😒and nobody wants to hear the truth God help us ,juzi tu imekuwa good Friday in remembrance of that Jesus died for us still no change 🙆
Be blessed my brother, mafundisho makuu sana
Nice song my brother neno lakweli Mungu ashuke
Woow nice wonderful 🙏🙏🙏
With your mother ,you always bless me,be blessed
adi nimejisikia kutubu
Woow nice song indeed Bro
N kwel kabisa me umechafuka MUNGU aturehemu maana vijana,wakubwa,wazee na watoto wote et wanakwenda na utandawazi hawapend kuonywa
Amen Amen 🙏 ubalikiwe sana
Tuzidi kumeomba mungu Dunia ikomwishoni
True waovu wengi wanajificha kwa makanisa aki it's true bro God bless you
My heart is at peace after listening to this ,God forgive us
Ahsante mungu Kwa hii msg uendelee kumtia nguvu
Nakupenda sana kaka unavyo imba unanikosha aswaa roho mtakatifu awe nawe kila time and for every day
Amen amen God bless the nation 🙏
Be blessed son of God ,much lessons from your song
God bless you man of God
Wow...Eeee mungu tusaidie
Nimeangaika kutafuta hii wimbo jameni. Nimeipata aki Nafurai Sana 😀mungu akubariki bro 🙌🙌
MUNGU HATEMBEI NA MTU KWA MANENO BALI KWA MATUNDA YAKE. ACHA KUNYOA VIDUKU BROTHER NA UBADILIKE KABISA. OKOKA VYOTE. AMEN.
Mungu adusamehekweli
😢😢Mungu tusamehe kwa kweli mji na dunia imechafuka
Favor upon you dad wimbo mtamu
Ubarikiwe Sana, ujembe mzuri sana, pia mziki mzuri abarikiee producer
Ubarikiwe sana
Mungu akupariki sana ndugu tuna kupenda
This is a anoited man of God....nehema ikubebe kabisa
Mungu akubariki sana
Powerful message bro
Amen and Amen be blessed
Barikiwa sana MTU wa Mung
Wif
Good song I like it
Mungu akubalikisanakwahuo ujumbe.naguswasana
Amina mtumishi wa bwana
Mji imechafuka
Napenda sana huduma yako
Blessings song
Nabarikiwa Sana na hizi nyimbo