SIRI YAFICHUKA NABII GEORDAVIE NA MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI GOODLUCK GOZBET LAZIMA LISEMWE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 10

  • @giftgift-g4x
    @giftgift-g4x 20 годин тому

    Uko sawa mininabii wa Bwana watuawahamini injili ya kweli Wana taka miujiza na sio mtenda miujiza.wanashindwa kumtafuta YESU wanatafuta miujiza wanahamini mtumishi kuriko neno

  • @shekinahshimeni8320
    @shekinahshimeni8320 9 днів тому +1

    Mafuta yenye tunahitaji ni Roho mtakatifu 2wakorintho 1:21 “Basi Yeye atufanyaye imara pamoja nanyi katika Kristo, na kututia mafuta, ni Mungu, naye ndiye aliyetutia mhuri akatupa arabuni ya Roho mioyoni mwetu.”
    ‭‭2 Wakorintho‬ ‭1‬:‭21‬-‭22‬ ‭
    “Basi yeye atufanyaye imara pamoja nanyi katika Kristo, na kututia mafuta, ni Mungu, naye aliyetutia muhuri, akatupa arabuni ya Roho mioyoni mwetu.”

    • @shekinahshimeni8320
      @shekinahshimeni8320 9 днів тому +1

      Kwa hiyo hatuitaji mafuta ya muchupa wala ya olive oil tunahitaji Neno la Mungu kujaa ndani ya mioyo yetu na kujazwa na Roho mtakatifu ili tusitimize tamaa za mwili bali tutimize tamaa za Rohoni ❤❤❤

  • @StevJimmy
    @StevJimmy 9 днів тому

    Ila yesu alichukuwa udongo akawekeya yule kipofu . Sema tu ushetuani umezidi sana ila watumishi w mungu wapo

  • @DeboraNeno-s5o
    @DeboraNeno-s5o 9 днів тому

    AMINA

  • @DeboraNeno-s5o
    @DeboraNeno-s5o 9 днів тому

    Ubarikiweee

  • @DeboraNeno-s5o
    @DeboraNeno-s5o 9 днів тому

    Mmm lakini sasa biashara kanisani hapana tupewe bule kupitia sadaka kidogo tu kwa imani tutapona

  • @DeboraNeno-s5o
    @DeboraNeno-s5o 9 днів тому

    Ndio

  • @DeboraNeno-s5o
    @DeboraNeno-s5o 9 днів тому

    Mafuta kila siku