+++ Yesu anajuwa kulea. maana wakati wengine walijuwa niko pekeyangu. sasa jamani njooni mwone uzuli wa Yesu anavyo juwa kulea . MUNGU. akupe ulinzi maana unanibali sana na nyimbo zako🇹🇿
Wimbo unavutia xana .Tunashukuru MUNGU kwa zawadi aliyo kupa ya wimbaji mzuri .una okoa watu na ku waleta katika shamba lake ambalo nishamba lenye uzaa matunda mema jamanii .Yesu anajua kulea kweli Ni mzazi mwema xana. Yesu akulinde na uzuri wake katika maisha yako akuinue zaidi na zaidi.
kanaingia mpaka kwenye mishipa yote😁😁
Changu ni changu na chake ni chake....ohyes
Wambie ukweli wajue no love like Jesus love
Mlizi mwema ni Yesu tu hakuna kaa Yesu akisema ndio ni ndio hakuna wa kupinga
Rwanda 🇷🇼
Sawa
Annont kaka mm nakuelewa sanaaa hujawah kutuangusaha mungu akufikishe mbali zaid ya apo unajua sanaaaa
Barikiwa Mtumishi
ndio dady love you kweli mapenzi ya yesu si kama ya mama by ester machea.
+++ Yesu anajuwa kulea. maana wakati wengine walijuwa niko pekeyangu. sasa jamani njooni mwone uzuli wa Yesu anavyo juwa kulea . MUNGU. akupe ulinzi maana unanibali sana na nyimbo zako🇹🇿
Wimbo huu unanibariki sana huwa siwezi lala bila kuusikiya kabisa. Niko DR CONGO.
Ubarikiwe kabisa
Nimebalikiwa
Hahaaa uwiii upo sawaaaaa mwaaaa
Tamu,sana
Barikiwa Sanaa Nyimbo Tamu snaaa
wimbo mzuri Kaka mungu akubariki....
Maou
Amina Mungu azidi kipaji
Since nianze kuskiza mziki wako ..icAn now let Angela chimbalonza to rest in peace...mziki wa injili uko mikononi mwema
😭😭😭😭😭😭Umenigusa sana hakika Mungu ampumzishe salama Shuja wetu Angela Chibalonza,
endelea kuniombea Mungu anipe mwisho mzuri wenye ushuhuda😭😭.
Hahika bro Kenya we love you...very much simu yangu nimejaza nyimbo zako they real uplift my soul
Ni ukweli yesu analea
Congratulation 👏😀 nice song
Safi sana
Nice songs only God
Wimbo unavutia xana .Tunashukuru MUNGU kwa zawadi aliyo kupa ya wimbaji mzuri .una okoa watu na ku waleta katika shamba lake ambalo nishamba lenye uzaa matunda mema jamanii .Yesu anajua kulea kweli Ni mzazi mwema xana. Yesu akulinde na uzuri wake katika maisha yako akuinue zaidi na zaidi.
Hii do nguvu ya kipawa Sasa,,,mziki hatari sana anoint Simba apa ✅✅✅✅✅✅✅💎💎💎💎💪💪💪💪💪💪💪🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪💪💪💪💪💪💪💪✅✅✅💎💎💎💎💎💎💎💎💎
Anton Amani umenenepa Sasa hivi hakika Yesu anarea Asante kwa wimbo wenye ujumbe mzuli
Mungu wetu sio kama binadamu , akisema ndio hakuna wa kupinga akikuinua hakuna wa kushusha🥰🥰🥰🥰
Kweli Yesu mlezi mwema
#AMINA mungu abariki kila mja atendalo kulingana na mapenzi yako#BARIKIWA mhundumu wa KAZI#MUNGU..
ninambarikiwa sana na nyimbo zako
Ameen
Nyimbo zako unibariki
mungu akumbariki sana annot kweli humehiitwa na mungu
Woooow nice one 👍👌👏
Waombe wafunuliwe wawache kushangaa wajue mungu akiamua kutumia mwanaye woote ubaki kwa mshangao😊Acheni watoto wote waende kwa yesu,,Yesu analea🙏🙏
Mapenzi mazuri ya baba sikupata kabisaa
Lakini Yesu amenipa Mapenzi kuliko ya mama💃🏼💃🏼💃🏼💃🏼💃🏼yesu analea
Wow
🤣🤣🤣 Yesu analea kweliii kabisa yaaaani mweleleee 🤣🤣🤣 Acha Mungu ajitwalie utukufu
Wonderful manofGod
Ubarikiwe saana mtumishi anoint.
Napenda saana kusikiliza nyimbo zako.
Ubarikiwe saana.
That is a great song!
Barikiwa Annoint Amani,,,nyimbo zako zanibariki sana tena zaidi!!!
Annoti Mungu akumbariki sana nyimbo zako zakoa walevi tu wakisikia hiyo sauti tu uuuuuuh ni wimbo mtamu sanaaa
Wawawa mambo yote hapo !!!! Yesu ni mlezi mwema kweli. Video Supa supa !!! Glory to God….
What a powerful message
❤❤❤❤❤❤❤
Amen nyimbo nzuri hakika inatia moyo
Tunashukuru kwa wimbo mzur
Nakwambia huu wimbo una ujumbe mzito sana....kwa hakika amenilea.tulipoachwa na baba tukiwa wadogo sai tu wazima hakika ametulea
Iyoooo! Aksante mungu eeeee
Congratulations bro
Naguuzwa na huu wimbo Sana mimi ni yatima
HALLELUJAH!
God bless you
Hogera sana na mungu akuinue zaidi
Woaw, wimbo mzuri zaidi
Wimbo wa kuvutia sana
Enyewe Rose Muhando alijizaa
🙏🙏🙏🙏🙏🏻🙏🏻🙋💯
🔥🔥🔥
Mungu akubariki Annoint kwa wimbo nzuri...... Mungu abariki wote watoto wake.......
Kweli kabisa amen 🙏 yesu nikila kitu mwajie yote akupepee anapenda kila mtu
Hallelujah
Congratulations 🎉 bro watching you in Kenya
kwakweli MUNGU AKUBARIKI MTUMISHI ANOINT.
Wonderful,utukufu kwa Mungu and more grace kaka.
woooow this guy s talented
can't wait to see you in Zimbabwe 🇿🇼🇿🇼🇿🇼
Amen 🙌🙌🙌🙌🙏🙏 hallellua hallellua Amen 🙏
,you have God knows our hidden secrets,move we are their for you spiritually,love more,God bless you
Naskia vizuri baadaya KAZI ni Raha 2 barikiwa sana
ilove your song
Mahaba ya mungu ndo kabisa💃💃
💕💕💕
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Karibu kanisani kwetu huku Mombasa Kenya
Amazing song 😍😍❤🥀🥀💪💪💪💪💯🦋🙏
Napenda tu wimbo zako Amani God bless 🙌 you 🙏
Congratulations 👍 amani good work God bless 🙏 you
Yesu analeaa.barikwa mtumishi wa mungu
Mmmmm 🇰🇪
Amen
Huu wimbo inabarikingi sana mpaka machozi inanituka😂
The best song ever brother. Much 💕 from Kenya 🇰🇪. keep going.
ENDELEA KUSHTUA MATAIFA, NAYEYE MUNGU ATAKUSHANGAZA
Kazi nzuri 🙏🙏🙏
Wonderful song penzi la kweli ni YESU
Wow..yesu anajua kulea namuabudu ❤😊
God bless for the good job
With God every thing is possible continue 🙏🙏🙏
Najuwa atanilea nami mwenye sina mlezi
Napenda saana the way you composed your songs be blessed bro naomba nifanye Collab na wewe bro
Good song 👏👏👏👏👏👏
Great song indeed 🇰🇪❤️❤️❤️❤️
I love your song bro
Barikiwa mtumishi wamn🥰🤣🙏🏻🙌👌gu mngu akulinde san kinjana wa yesu
Haleluya Haleluya Halelu🥰🙌🙏🏻🤲ya Haleluya yesu usifiwe
The chosen one
Wowooo 🙏🙏🙏.
Wimbo mzuri Sana mwimbaji.
Go!go 💯💯💯🙏
Aamen
Congratulations 🎉👏👏👏👏👏👏
Hongera Wimbo mzuri sana
Wimbo huu unanibariki sana
Jelasi chini nyimbo zako zinafundisha
Mungu akubariki nakukuinua sana sana napenda sana nyimbo zako