Annoint Amani - Wanaulizana unaitwa Nani (Hauzoeleki Official music Video Skiza 9039323 to 811 )

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 кві 2021
  • #wanaulizana#unaitwanani#
    YEHOVA ni MUNGU wa peke ambae hafikiriki wala hafananishwi kamwe na kitu kingine,
    YEHOVA anapenda mtu
    mnyenyekevu na mtiifu,
    anapenda kupewa nafasi ya kila kitu kwa mtu ili ajipe heshima na Utukufu kupitia huyo mtu wake,
    UKIAMUA KUMTUMIKIA MUNGU YEHOVA NA KUIFWATA NJIA YAKE HAKIKA ATAKUFANYA MSHAMGAO DUNIA NZIMA ISHANGAE,
    MAANA ANAPENDA SIFA KULIKO KITU KINGINE NA WOTE WALIO MTUMAINI HAWAWEZ KUAIBIKA KAMWE, MAANA YEHOVA NI BABA ANAEJUA WAJIBU WAKE KWA MTOTO WAKE.
    (JEHOVAH is the only God who is unimaginable and incomparable,
    JEHOVAH loves a person
    humble and obedient,
    he loves to be given everything to a person in order to give himself honor and Glory through that person,
    IF YOU DECIDE TO SERVE HIM AND FOLLOW HIS WAY, HE WILL MAKE YOU SURPRISE THE WHOLE WORLD TO WONDER,
    BECAUSE HE LOVES PRAISE MORE THAN ANYTHING ELSE
    , ALL THOSE WHO HOPE CANNOT. DISAPPOINTMENT BECAUSE JEHOVAH IS A FATHER WHO KNOWS HIS RESPONSIBILITY TO HIS SON/DAUGHTER.)
    (HUU WIMBO UMEANDIKWA NA KUIMBWA KWA UWEZO WA MUNGU KUPITIA MTUMISHI WAKE ANNOINT AMANI)
    (THIS SONG WAS WRITTEN AND SINGED BY THE POWER OF GOD THROUGH HIS SERVANT ANNOINT AMANI)
    Artist Annoint Amani
    Song wanaulizana unaitwa Nani?
    Album,Mimi ndie Mungu pekee.
    Language Swahili)
    VIDEO VENDEKO FILM ( director by Vendeko +255755272069)
    AUDIO A.E.A TONES producr by meddy+255712621330)
    Instagram annoint amani
    +255767240181=+255755099942
    Dar es Salaam Tanzania )

КОМЕНТАРІ • 2,3 тис.

  • @HarrisonMusau-ce2lm
    @HarrisonMusau-ce2lm 2 місяці тому +40

    Kama kweli huu wimbo unakuguza kiroho pita na like ❤❤🙏🙏🤲🤲💯

  • @listerlujiso6009
    @listerlujiso6009 Рік тому +19

    Mimi Ni Nani Mungu,Barikiwa Mtumishi Wa Mungu,Watanzania Like Zenu Hapa Tujuane 2023

  • @dianaainya3602
    @dianaainya3602 2 роки тому +321

    I will just leave my comment here so that each time someone's likes it...reminds me of coming back to listen to such a inspiring song...continue blessing us with such

    • @monicah2911
      @monicah2911 Рік тому +1

      I like this song, congratulation annoint

    • @jemimawambalaba
      @jemimawambalaba Рік тому +1

      Truly the song inspires

    • @mosota1668
      @mosota1668 Рік тому +1

      Come back and listen 👂

    • @estherbitutu53
      @estherbitutu53 Рік тому +1

      Who together with me we're here again in 2023, inspiring song blesses me all the time I listen to 🙏🙏🙏pokea utukuvu baba yesu🙏🙏🙏

    • @OnyzimaRashid-ho2yl
      @OnyzimaRashid-ho2yl Рік тому

      Great

  • @judithondari5065
    @judithondari5065 3 місяці тому +7

    Mm naona kama nitalike zote na haziishi,, fenye napenda nyimbo zako ni mungu tu anajua,,,,, Mungu hazoeleki kamwe from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪God bless you annoint🙏🙏🙏

  • @peterkascratchofficial
    @peterkascratchofficial 3 роки тому +845

    wakenya tujuane kwa likes hapa..... congratulations Annoint

  • @robegodana7459
    @robegodana7459 2 роки тому +307

    Kenyans in the house 🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @jepchirchirbrenda1234
    @jepchirchirbrenda1234 2 роки тому +110

    I could play replay 100times but still can't get enough of this song😭😭😭❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️love you from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷US pia tunakupenda kaka🥰😘😘😘😘😘🙏🙏🙏🙏🙏

  • @victormairura
    @victormairura 2 роки тому +17

    I'm blessed brother like now my spirit is down umeniinua man of God keep the good work.i see the reason to work hard.barikiwa🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @washantiekerry4561
    @washantiekerry4561 3 роки тому +340

    Keep it up annoint Kenyans wapi likes sa kijana wetu

    • @afrikaone9609
      @afrikaone9609 3 роки тому +5

      Emeen hakika Mungu ni mkuu mnoo Namuogopa Mungu sana .

    • @catherinemuriuki9407
      @catherinemuriuki9407 3 роки тому +4

      He is Kenyan? Woow

    • @dhesisolange5708
      @dhesisolange5708 3 роки тому +3

      Vizuri Sanaa napendanga Sana nyimbo zako mungu akutangulie

    • @paulngei6868
      @paulngei6868 3 роки тому +2

      Keep it up Anoint.Good song inatubariki sana

    • @vanicnyaboke6761
      @vanicnyaboke6761 3 роки тому +1

      My brother in spiritual God bless you

  • @emmanuelmuhando1052
    @emmanuelmuhando1052 3 роки тому +36

    Mungu nimwema kwetu sote kama umebalikiwa kama Mimi like tuendeelee kubalikiwa na Mungu

  • @ernestsaitabau4794
    @ernestsaitabau4794 Рік тому +1

    Tanzania 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 like hapa tujuane

  • @user-eo4gd1cr4l
    @user-eo4gd1cr4l 11 місяців тому +2

    Ndungu yangu unaenda mbali, remain humble, guard it jealously.Unatumika God bless ❤❤❤❤❤❤ from Kenya

  • @erastuschirchir1179
    @erastuschirchir1179 3 роки тому +522

    Ahh!!!anaitwa Nani kweli,,,Mungu wetu anatisha,,,nice song guys,,,wapi likes za wakenya🙏🙏🇰🇪🇰🇪

  • @langatevanskitolindet8675
    @langatevanskitolindet8675 2 роки тому +13

    Ndugu... Pokea mapenzi ya dhati kutoka nchi yetu tukufu kenya🇰🇪

  • @estherbitutu53
    @estherbitutu53 2 роки тому +21

    Huu wimbo unafariji moyo wangu🙏🙏 thanks to almighty God 🙏🙏🙏 be blessed brother

  • @user-ws8rn2yo5e
    @user-ws8rn2yo5e 8 місяців тому +5

    Kongole sana ndugu katika kristo,,,I celebrate and glorify God for this song,,,endelea kuwakumbusha wanadamu yakwamba mungu hazoeleki kamwe,,,umeuguza moyo wangu kupitia huu wimbo,,,ubarikiwe sana.🎉

  • @elizabethluhutsa3054
    @elizabethluhutsa3054 2 роки тому +34

    Amen...mungu niondolee kiburi na majivuno...nielekeze kwa njia zako yesu...niongoze bwana...tuma roho wako mtakatifu akae ndani mwangu....roho wa mungu nifundishe ili nisije nikaruka mipaka...amina

  • @phellowmmbunitv6077
    @phellowmmbunitv6077 3 роки тому +89

    Jamani kawimbo katamu weeee umenitengenezea siku barikiwa sana 🇰🇪 🇰🇪 Kenya represented

    • @lucyhusein4043
      @lucyhusein4043 3 роки тому +1

      Upo juu mdogo wangu nyimbo zako zabibarik hatar

    • @djgsvsjruth
      @djgsvsjruth Рік тому

      Amen Amen such a good song it really makes me feel the presence of my God

    • @LearnToServeTVChannelcom
      @LearnToServeTVChannelcom Рік тому +1

      Good God's message is penetrating in our soul and our Hearts are getting healthy

  • @MariamSalum-cp3ju
    @MariamSalum-cp3ju Рік тому +4

    Yan huu wimbo haunichoshi kuusikiliza Mungu akusaidie usiludi nyumba usikate tamaa vikwazo ni vingi lkn ulinzi wa Mungu juuu yako pia uendelee kukua zaidii🙏🙏🙏

  • @edutheartist
    @edutheartist 2 роки тому +36

    2022 first time to listen to the song,it's so powerful and the vocals are just amazing.Glory be to God.

  • @eunicekarwirwa5433
    @eunicekarwirwa5433 2 роки тому +8

    Umenihubiria ndungu.., mungu wetu ni mkuu azoeleki kamwe, mungu akubariki na akuzidishie neema zake. 🇰🇪

  • @davidmwambah
    @davidmwambah 3 роки тому +285

    Singing the bible is rare nowadays, we thank God for you. Much love and admiration from Kenya.

  • @linahwekesa8354
    @linahwekesa8354 Місяць тому +1

    Jehovah you are above all, never give up in prayers, he will fulfill all your promises even if he delays he answers in 3 ways,
    1,on time
    2,wait,
    3,later 🙏🙏🙏

  • @julianakim1202
    @julianakim1202 Рік тому +1

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪karibu kenya kaka tumekukubali kabisa👌 huduma na collabo 🙏mungu akuzidishie neema

  • @safaragathimiti
    @safaragathimiti 2 роки тому +106

    I love this song so sweet this is the real gospel song.....am a street kid from Kenya ....and am a gospel Artist I love that song

  • @esthermutua1287
    @esthermutua1287 3 роки тому +113

    Amazing one be blessed imani never disappoint waaa much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @sifawaseka134
      @sifawaseka134 2 роки тому

      Asante mungu akujaze Mara dufu kiroho namwiri

  • @medsonmahondo9410
    @medsonmahondo9410 Рік тому +10

    TANZANIA Tunakushuru Mungu Kwa kutupatia waimbaji Wanaojali kazi Yako Kama hivi wewe Mungu hauzoeleki kamwe

  • @willardndhlovu4294
    @willardndhlovu4294 2 роки тому +56

    I'm in Zimbabwe I don't know this language spiritually I pick it power full may God bless you man of God

    • @robertkilaa
      @robertkilaa Рік тому

      It talks about the greatness of God and His mighty works..How He manifested His power to Pharaoh...His power can't be challenged@ willard Ndhlovu...much love from Kenya

    • @kelvinsudoi1600
      @kelvinsudoi1600 Рік тому

      That's is swahili bro he is singing the story of Herode in the bible

    • @dyanakinya3311
      @dyanakinya3311 Рік тому

      Sakaka

    • @dyanakinya3311
      @dyanakinya3311 Рік тому

      Kenya

    • @dyanakinya3311
      @dyanakinya3311 Рік тому

      Diana

  • @abedyfleva9284
    @abedyfleva9284 3 роки тому +7

    I really love your songs Mr.Annoint.... Nipe like zake hapa👇.

  • @masekete
    @masekete 3 роки тому +4

    Acha wabaki kushangaa sasa maasidi .......

    • @afrikaone9609
      @afrikaone9609 3 роки тому +2

      Kabisa tena watashangaaa sana maana huyu ni Mungu alie hai anataka watu wamwogope sana sana .

    • @masekete
      @masekete 3 роки тому +1

      @@afrikaone9609 Amina ....

  • @kariamnelly
    @kariamnelly 11 місяців тому +9

    Proud Kenyans in the house,,,the song is so emotional may God bless you annoint ,am so blessed

  • @Patricia0794
    @Patricia0794 Рік тому +1

    My little son must come someday and see my comment here when he comes of age❤❤❤❤❤he will definitely like it

  • @ashioyaesther5253
    @ashioyaesther5253 3 роки тому +12

    Wale WA gulf tubarikiwe sote🙏🙏anaitwa Jehovah hazoeleki kamwe yupo nasi

  • @bettyachieng8569
    @bettyachieng8569 3 роки тому +72

    I keep repeating it,it connects me to the most high,, good work here,may God continue blessing you Annoint,,much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @babrahkambi8597
      @babrahkambi8597 2 роки тому

      Nice song it's really blessing me.God bless you en lift you up each day in Jesus name 🙏🙏🙏🙏

  • @safari2976
    @safari2976 2 роки тому +5

    Amen🙏🏾🙏🏾Mungu hauzoeleki kamwe! Mungu wetu asifiwe Milele ! 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @sonjustus5258
    @sonjustus5258 2 роки тому +143

    I always get emotional when I listen to this song. It has become my daily prayer; every day I have to listen to this song. Such a blessing... our Lord is Almighty, mkuu wa majeshi, God of Abraham, God of Isaac, our good Lord who never fails us. Such a blessing brother. All the way from 🇰🇪

  • @boazdanken
    @boazdanken 2 роки тому +48

    Kwekweli nimebalikiwa Sana Sana Annoint Endelea Kumtukuza MUNGU

    • @annointamani3285
      @annointamani3285  2 роки тому +5

      Wooow nashukuru sana kaka angu kwa kunitia moyo,
      Hakika mimi siwezi kitu,
      Utukufu nikwa Bwana Yesu anaejua kuimba ndani yetu,
      Pia Hongera sana kaka kwa kazi ya Mungu unayo ifanya hakika Mungu ameweka kitu kikubwa sana ndani yako,umekuwa mwalim mzur na mfano mzuri sana kwa unyenyekevu wako kwatu sisi wadogo zako hasa Mimi kwakweli najivunia uwepo wako,Naomba Mungu ainue juu sana kusudi lake ndani yako,Ili wengi waokolewe kwa na kumtafuta Mungu kupitia Huduma uliyopewa,
      Nakuombea sana kaka tuko pamojaaa.

    • @boazdanken
      @boazdanken 2 роки тому +4

      Utukufu na Heshima Kwa YESU Sisi ni Vyombo Tu asante Sana Mtu wa MUNGU kwa Maombi

    • @annointamani3285
      @annointamani3285  2 роки тому +5

      @@boazdanken Emeen kaka angu wacha tumtumikie Alie tuita maana saa yake ikarbu mno,siku moja tuonane juu tukipewa taji ya kazi tunayo ifanya kwaajili ya mwili wa kristo,
      Tuko pamoja sana kaka angu.

    • @JeremyhadassahOfficial
      @JeremyhadassahOfficial 2 роки тому

      @@annointamani3285 Uishi milele

    • @maureenmuthoni2403
      @maureenmuthoni2403 2 роки тому +1

      @@annointamani3285 you really blessed me with you songs keep up the good job man of God

  • @linetmwania2069
    @linetmwania2069 Місяць тому

    Hakika Mungu wetu anatisha na kamwe azoeleki,,,good message man of God na ubarikiwe Sana from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tunakipenda

  • @kaizamulinda633
    @kaizamulinda633 Рік тому

    Nadhani mtoto anayeshindwa kumzoea baba yake anakuwa ndiye mwenye matatizo. Huyu Mungu anayeongelewa humu ni yuleeee wa mlima sinai. Mungu wa sasa wa agano jipya ni baba yetu na anazoeleka sana. The song blesses the spiritually malfed christians.

  • @nelsonkimutai1961
    @nelsonkimutai1961 2 роки тому +40

    God bless you for bringing pure biblical definition 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💯

  • @damas5665
    @damas5665 3 роки тому +5

    Hakika nimebarikiwa mtumishi ubarikiwe na mungu kwa huu wimbo nimeenda kwakweli kiwango kingine ....Amen 🙏🙏🙏

  • @catewambui7502
    @catewambui7502 Рік тому +1

    Hii nimeisikiliza mpka nikiingia kuomba najikuta naomba nayo aki amani mungu akuzidishie neema na asimame upande wako na upande wa huduma yako milele awe mtetezi wako am always blessed be blessed too amani

  • @user-ht5vt2nc2i
    @user-ht5vt2nc2i 6 днів тому

    Kama uko huku leo tujuane na likes
    Powerful song indeed

  • @ernestmwanalinze2612
    @ernestmwanalinze2612 3 роки тому +9

    Mungu akubariki kwa kazi zako Annoint Aman,nabarikiwa sana kwa nyimbo zako..nabarikiwa sana na kazi zako kuna wimbo unahusu wanawake naupenda sana.

  • @hamisilulu3325
    @hamisilulu3325 2 роки тому +5

    Wimbo umenibariki Sana 💪 Kaka yangu mungu azidi kukuinua kwq viwango vya juu sanaaaaaa✍️✍️✍️

  • @fearful254
    @fearful254 11 місяців тому +2

    Wimbo huu hunipa matumaini kwamba siku moja wataulizana naitwa nani

  • @user-bs6dg6bw8g
    @user-bs6dg6bw8g 9 місяців тому +1

    Eeh mungu tazama imebaki miezi mitatu ilikufika 2024 endelea kutulinda Tanzania nzima nannje ya nchi mungu tukochini yamiguu yako tusaidiee 🙏🙏🙏🙏

  • @nellychitera9065
    @nellychitera9065 3 роки тому +5

    Haleluuuuyaaaa wewe ni Mungu kweli tupe hekima kujuwa mapenzi yako, kunyenyekeya chini ya miguu yako Baba. Hauzoweleki kweli.
    Mungu akubariki kwa wimbo huu mtunishi

  • @tobiaswanjala4100
    @tobiaswanjala4100 2 роки тому +6

    Be blessed logged in from Kenya 🇰🇪

  • @TimenessStereo
    @TimenessStereo Рік тому +21

    I keep coming back to this song because I'm always reminded of how mysterious God is.

  • @gatuaisimongakinyo9985
    @gatuaisimongakinyo9985 Рік тому +8

    This is a great message of all time no matter what ✍🏼 May God continue making your throat a Source of Words about his Greatness doings in every corner of the world.....I speak Blessings to you 🙏.....Much love from this end of our great republic of 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @stevenemil2753
    @stevenemil2753 3 роки тому +22

    Glory to God, umenibariki mtumishi wa Bwana Yesu. Nakutakia huduma njema ukafanikiwe kwa jina la Yesu Kristo

  • @ondusojoyce5449
    @ondusojoyce5449 3 роки тому +69

    Every time I listen to your songs It gives me another hope for tomorrow,, together bro from🇰🇪🇰🇪🇰🇪 gud work

    • @ramachas5725
      @ramachas5725 2 роки тому +1

      mungu akubaliki

    • @josephinemutinda894
      @josephinemutinda894 Рік тому

      Very interesting to me and my family ever time I listen to the song amazing song to my life be blessed mungu mwaminifu hazoeleki kamwe very true

  • @JudithKimutai
    @JudithKimutai 9 днів тому

    Mungu apewe sifa kupitia huu wimbo and continue using your servant 🙏 nabarikiwa zaidi

  • @annamulungu2876
    @annamulungu2876 Рік тому +1

    This is great.
    Wa Tz mnaonaje?
    Naombeni like zenu hapa

  • @AdonisSifa
    @AdonisSifa 3 роки тому +20

    😭😭😭Mungu hauzoeleki kamwe🙏🙏🙏... Nimeupenda wimbo huu zaidi

    • @chachamarato9258
      @chachamarato9258 2 роки тому

      Nakubali huu wimbo sana ubalikiwe sana mtumishi wa mungu

    • @afrikaone9609
      @afrikaone9609 2 роки тому +1

      Una nguvu ya Mungu

    • @afrikaone9609
      @afrikaone9609 2 роки тому +1

      @@chachamarato9258 Hunishindi Mimi naupenda Sana sana wimbo huu.

  • @rebeccahkathoka9966
    @rebeccahkathoka9966 2 роки тому +37

    How I love this. Seeing a young man so much into God. Serving God with all in him. May God grant you more grace to minister to the world son Annoint. I pray that my Sons serve God with such zeal. God's blessings upon you Son. In Kenya we love you so much.

  • @user-ov2mg7xp8q
    @user-ov2mg7xp8q Місяць тому

    Huu wimbo unanigusa ak kila siku mpka niusikilize ak mtumishi Mungu azidi kupanua kipawa chako

  • @hellenfatu7490
    @hellenfatu7490 Рік тому +6

    This song is a blessing in my life my enemies have tried but who is God they continue to wonder about the God i serve he never fail hes faithful.

  • @vivianamani2310
    @vivianamani2310 3 роки тому +7

    Nani kama Mungu wetu? Hakika siku zote hazoeleki Mungu. God bless you Bro....

  • @jollyali4937
    @jollyali4937 3 роки тому +5

    Wimbo mtamu!!! Uinuliwe ndugu,,,

  • @christinewanjala5764
    @christinewanjala5764 2 роки тому +1

    Wow wimbo tamu xana bro mungu akupanue katika hii hutuma usiti kutubariki hata Mimi natamani nikuwe kama wewe bro ubarikiwe xana 🙏🙏

  • @anethmwangoka
    @anethmwangoka 12 годин тому

    Ujumbe mzito sana balikiwa mtumish naupeda sana uwanaurudia mara Kwa mara

  • @marysaisi6392
    @marysaisi6392 3 роки тому +32

    Jehova hauzoeleki kamwe,,,oh my God I can't stop listening to this song it's such a blessed song...annoint you're such a true man of God be blessed.

  • @paulomwalimu6731
    @paulomwalimu6731 3 роки тому +8

    Nimejifunza kitu kikubwa sna katika wimbo huu ubarikiwe Sana mungu akuinue zaidi na zaid

    • @saidinzohabona57
      @saidinzohabona57 2 роки тому

      Nani wakunipatiya nambazake nimemupenda nimetaka nimupe muaroko aje.ukuburundi mwezi 7 kwenye mukutano mukubwa

  • @MaggyMaggy-dk2kz
    @MaggyMaggy-dk2kz 2 місяці тому +1

    This song gives me the strength to stand before my enemies,may the singer be blessed.

  • @nusratbintabdullah5713
    @nusratbintabdullah5713 2 роки тому +9

    All Glory be to Almighty God much respect from Uganda God bless you Amani

  • @santanabii5374
    @santanabii5374 3 роки тому +13

    Watching from Nairobi (kenya) be blessed so much brother,,kazi nzuri nyimbo zako ziko nice!!e.g mama sukuma mtoto,shilembe tuko nyuma yako na zaidi ya yote sifa na utukufu zimrudie mungu 🙏🙏🙏🙏

  • @wawatuproduction8844
    @wawatuproduction8844 3 роки тому +4

    Hongera saana kijana Mungu azidi kukupigania

  • @nathanielsteven2186
    @nathanielsteven2186 Рік тому +4

    Blessing song,inspiring song.It enlight our eyes to God,what a mervalous song is this.Congratulation to my bloved brother,you may be continouly blessed my brother.Keep your eyes to God,he will never leave your mouth to get dry,your mouth may be blessed my brother,you are making,you will make great and God may protect you and have a straight way for you.
    I LOVE YOU BY THE LOVE OF JESUS CHRIST,Your beloved brother from 🇹🇿🇮🇱.

  • @sylviablessed1998
    @sylviablessed1998 2 роки тому +12

    I tell you i shade tears and pray every minutes i listen to this. You inspire me man of God. You are a blessing. More grace that this may reach out to many.

  • @Engineerwanjala
    @Engineerwanjala 3 роки тому +6

    Ujembe wako waingia moyoni na kukuza Imani papo hapo. Yeye Mungu mkuu

  • @phoebemuendo1426
    @phoebemuendo1426 3 роки тому +4

    Hakika binadamu ni mavumbi.Nani Kama Huyu Mungu wetu.Aliyekuwepo na atakayekuwepo milele.
    Kazi nzuri Kaka.Barikiwa

  • @mariampatrick3479
    @mariampatrick3479 2 роки тому +1

    Hakika nikwel MUNGU wetu hazoeleki nabarikiwa Sana na huu wimbo MUNGU azidi kukutumia ili ufikie watu wake barikiwa Sana mtumishi

  • @anethmwangoka
    @anethmwangoka 12 годин тому

    Barikiwa mtumish naupeda sana wimbo huu nasikilza mara Kwa mara kweli azoweleki

  • @drsmartdanial3735
    @drsmartdanial3735 3 роки тому +10

    Barikiwasanatenasana,mutumishi just watching this buetiful hit from, USA 🇺🇸

  • @ethelkuta8408
    @ethelkuta8408 3 роки тому +100

    The beauty of this song is that its entirely based on the word of God.The dancing style is very decent. The emotions very contagious. Amani Mungu akuinue zaidi.

    • @elizabethmkinga3191
      @elizabethmkinga3191 Рік тому

      God bless you kazi nzuri mungu akulinde na akupe maisha marefu I love you so much

    • @mtegajoycel997
      @mtegajoycel997 10 місяців тому

      Be blessed in advance

  • @NYAHURURU_ICON
    @NYAHURURU_ICON 9 місяців тому +2

    Annoite big up sana this song is amzing asubuhi nkisikia nashindanga poa mchana wote

  • @mercykamau4360
    @mercykamau4360 7 місяців тому +1

    I didn't know who sang this song until he landed in Kenya this morning.Welcome Amani to Kenya

  • @mumblessed001
    @mumblessed001 2 роки тому +11

    Wimbo mzuri umenibariki sana our brother be blessed and more Grace hallelujah

  • @antoinetedenis1944
    @antoinetedenis1944 2 роки тому +4

    Nice kaka yangu ubarikiwe from Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🙏🙏🙏😴😴

  • @user-qy9ot1nc3w
    @user-qy9ot1nc3w Рік тому +5

    I love the gospel songs of our great artist annoint, congratulations to you for producing amazing songs

  • @kkjoffffzqq3982
    @kkjoffffzqq3982 2 роки тому +7

    When ever am in depression then I listen to this song and I feel comfortable.

  • @charitymuingo2810
    @charitymuingo2810 Рік тому +21

    I can't get enough of this song. telling us how mysterious, wonderful our God is.

  • @carolcarol9614
    @carolcarol9614 Рік тому +6

    I was feeling like giving up on life, until now i landed to this song and it gave me hope be blessed Man of God

  • @rehemaburuna5654
    @rehemaburuna5654 2 роки тому +1

    Raha sana kumtumikia Mungu ukiwa kijana mwenye nguvu na afya tele, hakika BABA anajivunia vijana kama nyie, Akutie nguvu uzidi kumtukuza katika siku atakazokujalia kuishi duniani 🙏

  • @theopisterjovent3483
    @theopisterjovent3483 Рік тому

    Wanaulizana anaitwa nani🙏🙏 Jehovah hauzoeleki kamwe na hautozoeleka milele Wewe ni Alfa na Omega❤ nakupenda Yesu🙏🙏🙏 kaka barikiwa sana🔥🔥

  • @cate774
    @cate774 2 роки тому +8

    Annoint is such as a role model to our generation of young people, he has shown us young people can also preach the word of God.....

  • @kenditrizer7827
    @kenditrizer7827 Рік тому +15

    Actually am working in gulf, life is not easy working with non christians due to what I pass thru' sometimes I loose hope but when I listen to this blessed song I gain strength and have a reason to live again,be blessed man of God 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼

    • @olivenjeru5033
      @olivenjeru5033 Рік тому

      Same me sis. Niko gulf nayapitia but haya ni ya muda tu.. When i listen this song.. It keeps me stronger day by day.. I remember Joseph story...

    • @adoyobeatrice7019
      @adoyobeatrice7019 Рік тому

      @@olivenjeru5033 nmgmmgkf

    • @adoyobeatrice7019
      @adoyobeatrice7019 Рік тому

      @@olivenjeru5033 3e

  • @SuzyMatemu
    @SuzyMatemu Місяць тому

    Ukiimba huu wimbo kwa mawenge you can't understand anything but when you sing in deep and emotional you will hear a presence of God

  • @happykisigaye7875
    @happykisigaye7875 Рік тому +76

    How powerful is the WORD OF GOD in this Song🙌🏼 we are just getting God himself in this song, bless you Man of God.

  • @aronkipyego6668
    @aronkipyego6668 3 роки тому +10

    Mungu aitwe mungu kweli
    Such a nice gospel song i listen every day🙏

  • @Marpril0304
    @Marpril0304 3 роки тому +15

    This should be at 1million views.
    I love it

  • @fridahlisa4872
    @fridahlisa4872 Рік тому +2

    Only God knows how many times i have watched this song.
    . Hata majirani hunishangaa bwana

  • @samuelkamotho7462
    @samuelkamotho7462 Рік тому

    Musa ameweka mkono kichwani anatetemeka,,,,, Leo Sisi ndio Musa Jehovah auzoereki kamwe,,,, Barikiwa Sana Kaka🙏🙏

  • @bettynafulakawa7221
    @bettynafulakawa7221 3 роки тому +8

    yani nime barikiwa kweli mungu wa Aman na akubariki Sana brother 🇰🇪🇰🇪 watching from Dubai 🙏 Glory be to God

  • @tsongovirikundi4742
    @tsongovirikundi4742 2 роки тому +3

    Asante sana brother annoint kwa huo wimbo . Tumebarikiwa sana. 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @lawrenceagoko9165
    @lawrenceagoko9165 Рік тому

    Nimeisikiliza kwenye gari za uchukuzi nikaguswa sana na mahubiri kwa njia ya wimbo Mungu akutende mema

  • @merrym9
    @merrym9 Місяць тому +1

    Appreciating your good , inspiring and encouraging music from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪am blessed anytime I listen to your music

  • @dennisyegon9179
    @dennisyegon9179 2 роки тому +8

    what a sweet song of blessing.....God uplift your talent
    to greater heights