huyu jamaa alikujaga Hello Mr.Right akakosaga dem. anasifa za kijinga sana. hyo i gorry money anaipenda balaa.. wenye hela huwa hawajisifu hata kidogo.acha ushamba dogo.
Sasa huyo wa pili mbona yuko kwenye tangazo na video haionekani au ndo bongo N.B wengine tunaangalia tu bando liishe hayo ya ni tapeli atajuana na huyo aliyeenda nae 😂😂😂😂😂😂
kwa hiyo mnieleweshe mtu hapo aliyeridhika nae ndo anaondoka nae kikweli kweli ama? na kuna mr right nayo huwa ni kweli au mi naona maigizo napita zangu ni kweli haya mambo unakuja hapo kutafuta mwenza?kama ni kweli ni nini maan yake hii au imakaaje hii maana bado najiuliza
Uyo mdada mwenye zote nyeusi Nim babe alafu anaiba bwana zawatu uyooo😅😅😅
Yule ana vaa vazi nyeusi, namukumbuka alibeba mume wa Rafiki yake, badae wakakataliwa wote😢😢😢😢
Kweli
@@user-pk8bp7th9etrue kbsaa
Kabisa ni mwenyewe
Hawa wanatufanyiaga mchezo tu
Ndio ni yu
Wowwwwww m huw n mfuatiliaj sana wa hizi audition...... Perfect match nimefurah Kuona na tz mnaanzisha ntakuw nawafuaatilia kinoma...... Nimependa
Yani uyo dada nimempenda niwashida na raha ajali pesa ❤❤ana upendo kutoka moyoni
Tuliomwona sania tulike hapa😂😂😂
Sania Hilo wig Toka house girl inaanza na huku unalo😅😅😅duh
sema j2 muhandsomE°❤❤❤😊apate mwanamke watakao endana Inshall@h °
Huyu jamaa anasifa vibaya sana alienda mr light gali lake alitaja jina wakaseman tanzania ziko kama 3 tu walimfukuza 😂😂😂
Nanyieee mmeanzaaa mambo haya😂😂😅🤣🤔🤔🤔
Kuna wanawake wanahangaika,huyo WA kiblauze cheusi na kipensi chake,Si mwizi WA mume WA mtu huyo jmn,kheee hajakata tamaa😂😂😂 yumoo tu
Sania
Wap xania WA house girl 😂😂😂😂
Haha et kinjunga
Iki kipindi nikizuri shida kuna vigezo bado kuzingatia tu
Mm nimeona nimchezo kwel sasa kama yule dada mwenye nguo nyeus sialimwibia rafiki yake mwanaume amefikaje huko
Ao warembo sasa wanataka makubwa ikiwa awanaata chamana😂😂
Mmeiga hunt game show🙌🙌🙌
Hawa wadada c unaofanyanao challenge bac kumbe kwel challenge zako za kutengenezwa hakuna ukweli
Mr right imehamiq kwako au
Kikubwa ana gari😁😁
Mmhh wadada🙌
Duuh.. Mbona matoz na makauzu tuu😅
Sania😂
Umemuon shog Ako umefurah mwenyewe 😂😂
Mmmh kama kivurunge Sania jamani🥰😂
😂ndo yy wa house girly
😂😂😂😂😂😂 part 2 naisubiri kwa amu saaana😂😂😂😂
😂😂😂😂😂ndoyeye,,,,,niyeyeee
@@omarykibala9382 🤣🤣🤣🤣 anajiongeza
Me nimempenda😂
Kajamaa n kahun😂😂sana
Part two please ❤😊
I gal money😂😂😂😂😂
huyu jamaa alikujaga Hello Mr.Right akakosaga dem. anasifa za kijinga sana. hyo i gorry money anaipenda balaa.. wenye hela huwa hawajisifu hata kidogo.acha ushamba dogo.
Nipeni mm nikiludi anioe
Dharau mbayaa
Ngemu nzur kwel 😂😂😂😂
Huyu kama aliwahi kwenda hello mr right akakosa 😂😂😂😂
Hhh yule nyeuc anataftanni kuibaaaa bwanawamtu😅
Kuwa naweka ndefu tafazali 😢
Hii bado sana😂😂😂😂
Hiii iendeleee❤❤❤❤❤❤❤
🎉🎉🎉
Mr Uky na ww ushaanza pop the baloon or find love 😂😂😂😂 umeiga kila kitu kwa Arlette ungebuni utofauti hat kidog bhn ila nzur😂😂
Yully 🤣🤣🤣🤣 jmn et v8
Mbona km nimekiona kile kimalaya cha movie ya House girl 🤣🤣Aah kile bore sikitaki, kazi kudanga tu kuoga........🤣🤣
Wabong hatu wez hay mamb tuya achie wenyew
Umaraya tyuu kuoga Aaaaaah
Mmmh uyo wa pili hapana jmn😂
Nmemuona sania au
Nani kamuon sania😂😂
Wanaume wanaovaa vitambaa kichwn Malaya atar
Kwaiyo hawa wadada wote baada ya kuwahoji kwa clip zako saiv imekua ndo maigizo au na vile vilivyopita ni maigizo tu mxeeeeeeew
Ndio ilikuwa comedy 😅
Na Mie naomba bas hiyo nafasi ya KUPATA Baba chanja
J2 hata wewe jaman😊😊😅
Sasa huyo wa pili mbona yuko kwenye tangazo na video haionekani au ndo bongo N.B wengine tunaangalia tu bando liishe hayo ya ni tapeli atajuana na huyo aliyeenda nae 😂😂😂😂😂😂
Yani hapo unatakiwa uwapange kabla ya kipindi kuanza….. alafu uwe serious na kipindi
Mbna wote nisha wahi waona kwa mr.uk au mnawataftaga mnaowajua maana sura ni hizo hizo kila cku
😂😂😂😂💔
200 acres Reacts inspiration
Zuuu njoo mchukir Sania huku anamchet rafiki Ya kai
Hahahah😂😂😂😂😂kabisa,,jmn arudishe haraka
ongeza "perfect match tanzania" kwny title au description iwe rahisi kuwapata
Mc garaB part2 kwani wafupi hawastahili kupendwa?
sisi wafupi tupo
kwa hiyo mnieleweshe mtu hapo aliyeridhika nae ndo anaondoka nae kikweli kweli ama? na kuna mr right nayo huwa ni kweli au mi naona maigizo napita zangu ni kweli haya mambo unakuja hapo kutafuta mwenza?kama ni kweli ni nini maan yake hii au imakaaje hii maana bado najiuliza
Mr sasa ushakuwa unauza mabinti ngoja unsubscribe 😢 kwaheri jamen
Hii ni acting 😂😂 no true sahv ummr UK ni muongo muongo tu yan hii siyo kwel
𝚔𝚠𝚊𝚒𝚢𝚘 𝚖𝚖𝚎𝚜𝚑𝚒𝚗𝚍𝚠𝚊 𝚔𝚞𝚝𝚞𝚕𝚒𝚊 𝚠𝚊𝚓𝚎 𝚠𝚎𝚗𝚢𝚎𝚠 𝚖𝚖𝚎𝚊𝚗𝚣𝚊 𝚔𝚞𝚙𝚊𝚜𝚞𝚊 𝚖𝚊𝚙𝚞𝚝𝚘 𝚜𝚊𝚜𝚊 𝚝𝚞𝚝𝚊𝚙𝚊𝚜𝚞𝚊 𝚖𝚊𝚓𝚒𝚙𝚞 𝚝𝚞𝚗𝚊𝚙𝚘𝚎𝚗𝚍𝚊 𝚞𝚔𝚘😂😂🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Sania 😂