WADADA 6 Vs 1 MAN

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 124

  • @makatamauwa1996
    @makatamauwa1996 3 місяці тому +2

    Wadada tunapenda kujicholesha mweeeeeee😂😂😂😂😂 nendeni kansan kuna wakaka wazur sana..

  • @AkxaEdwin
    @AkxaEdwin Місяць тому

    Hivi kweli hao wapo serious kutafuta bwana au ni challenge tu 😂😂

  • @mathnaasaa2166
    @mathnaasaa2166 3 місяці тому

    Mr uky bora idea hiii iko poa kuliko ile ya kufumania watu ukapigwa bureeee big up bro❤

  • @EstherEsamaMagero
    @EstherEsamaMagero Місяць тому

    Music is therapy ❤😊

  • @EstherMulindwa-fp3ml
    @EstherMulindwa-fp3ml 3 місяці тому +2

    Kujimaliza kote wamekataliwa daaaa 😂😂😂😂😂

  • @rejinafosta8002
    @rejinafosta8002 3 місяці тому +2

    Huyo dada wa pili 😢😢 au macho yangu jamaniiii siyo aliechukua bwana wa rafiki yake😅😅

  • @PeninaMlay
    @PeninaMlay 3 місяці тому +6

    Makubwa hii n hello Mr Right au afu huyo mdada wa pili alovaa nyeusi kabana nywele c ndo alimvhukulia shoga ake mume na akasema mwenzie anamapungufu asa yy leo kawaje single hahahahhaaa

  • @DINAIBRAHIMU
    @DINAIBRAHIMU 3 місяці тому +5

    Mbn huyo wa pili yupo Tena apo au ameachika na kuiba kote mume wa rafik yake😂😂😂

    • @naomysamuel6799
      @naomysamuel6799 3 місяці тому +1

      wanatuigizia 😅

    • @PeninaMlay
      @PeninaMlay 3 місяці тому

      Kumbe tunamjua wengi e

    • @Judy-dy4zt
      @Judy-dy4zt 3 місяці тому

      Wapo kikazi zaidi wahongo

    • @KhadijaJacob
      @KhadijaJacob 3 місяці тому

      😂😂😂watu mnakumbukumbu

    • @Missah
      @Missah 3 місяці тому

      Waliachwa wote😂😂

  • @upendoshoo2635
    @upendoshoo2635 3 місяці тому +1

    Mr right ya kujitegemea

  • @KhalidNa-bn4gp
    @KhalidNa-bn4gp 3 місяці тому

    Kipind nmekielewa 🎉🎉🎉🎉 lakn iwenikweli c cha act😂

  • @AngelSkawa6469
    @AngelSkawa6469 2 місяці тому

    Mbona kam wote nawajua had sania yp 😊😊

  • @ICEELECTRICCOMPANY
    @ICEELECTRICCOMPANY 3 місяці тому +2

    Hatuji tena😂😂😂😂😅

  • @yajuxFinaliste
    @yajuxFinaliste 3 місяці тому +1

    Wa bili leo . Congo 🇨🇩

    • @EstherMulindwa-fp3ml
      @EstherMulindwa-fp3ml 3 місяці тому

      Hum Congo 🇨🇩🇨🇩 awata tobowa Congo 😂😂😂

  • @MonicaCyprian
    @MonicaCyprian 2 місяці тому

    Sania sania sania ludi kwenye housegerl

  • @EstherMulindwa-fp3ml
    @EstherMulindwa-fp3ml 3 місяці тому +1

    Awa wa dada wanataka kudangaywa n'a muonekano mzuri 😂😂😂😂😂

  • @Juliethbryson
    @Juliethbryson 3 місяці тому +3

    Jmn mbn kama namuona rafiki Ake kendi wa house girl

    • @Lovekidoti32
      @Lovekidoti32 3 місяці тому

      Ni yeye Sania

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 Місяць тому

      😂😂😂😂yan nilidhan nimemfananisha

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 Місяць тому

      na wifi yake zuu namuona

  • @estherlisahelifuraha9312
    @estherlisahelifuraha9312 3 місяці тому

    😅😅😅me naona wamemuelewa vibaya wivu ni sawa lakin kuna ule wakukera 😂😂

  • @Virgo-l1s
    @Virgo-l1s 3 місяці тому +1

    Mr uk unadanganya sana mbona wao wa dada ndio wale walikuwa kwenye kugombania wanaume

  • @Lovekidoti32
    @Lovekidoti32 3 місяці тому

    Jamani humu nakuona Sania wa tamthiliya ya house girl 😊

  • @MelisaKabombo
    @MelisaKabombo 3 місяці тому +1

    Hawa wadada wawili wamecheza movie ya house girl

  • @angelsaid7869
    @angelsaid7869 3 місяці тому

    Uyo dada mwenye wigi ye mwenyew mfupi alafu kakataa mfupi😂😂

  • @CHLOERICH-gi2wq
    @CHLOERICH-gi2wq 2 місяці тому

    Wanawake wenyeww😂😂😂😂

  • @HidayaTwitunge
    @HidayaTwitunge 3 місяці тому

    Ww mr uky ndio umemuinfluence apasue yote 🤣🤣

  • @beatricesway5782
    @beatricesway5782 3 місяці тому

    Mmeona muige challenge za wenzenu sasa uko nje 😂😂😂😂😂

  • @DavidDavid-wf5ug
    @DavidDavid-wf5ug 3 місяці тому

    Mr Uky hao dadaz wanatafuta wenza au ni comedy tu

  • @mapishiyetumazuri2312
    @mapishiyetumazuri2312 3 місяці тому

    Munanawazalisha wanawake sana

  • @NuruZebedayombise-ie5zb
    @NuruZebedayombise-ie5zb 3 місяці тому +1

    Bora kiredio huyu ni muhongo

  • @TheSmart-w3f
    @TheSmart-w3f 2 місяці тому

    Saf sana ❤

  • @sophykivuyo
    @sophykivuyo 3 місяці тому +1

    Unachokosea mr uk ni kwamba unatengeneza vitu vyako afu unawarudia wadd 😂😂😂😂😂 hutatoboa mdogo mdogo utapoteza mashabiki. Yani umeboa kinyama tafuta ata wadd wengine @mruky

    • @nasrinassor9178
      @nasrinassor9178 3 місяці тому

      Yaan ulivyoongea kwa hisia kama vile ww ndie best contect creator kumbe mshamba mmja tu wabongo kwann hatupendi maendeleo ya watu 😂😂😂😂😂

  • @ساميهحسن-ش8ص
    @ساميهحسن-ش8ص 3 місяці тому

    Kama hayupo nipo hapa me😅😅😅😅😅😅

  • @ZionLaizer
    @ZionLaizer 3 місяці тому

    Add some sound effects kamuziki iv....mtu akichambwa weka hii misemo ya kibongo..like bado hujasema😂😂 as background noise......show imepooza but ukiongeza creativity itakua poa wabongo tunapenda mashamsham...ila show kuanzia inaanza imepooza....

  • @aliceshija3123
    @aliceshija3123 3 місяці тому

    Wakaka wanaovaaa vitambaa vichwan wakina kev maraya atar😂

  • @EvaJoseph-m1y
    @EvaJoseph-m1y 3 місяці тому +3

    Hawa wadada mbona Kama NI walewale

    • @Judy-dy4zt
      @Judy-dy4zt 3 місяці тому

      Ni wareware kuna Sula nimemkumbuka nakwambia bongo wamekua na mbinu nyingi za utafutaji

  • @BeatricePaul-z4b
    @BeatricePaul-z4b 3 місяці тому

    Huyo mwenye nyeusi tapeli tu

  • @IrenewillyMwenda
    @IrenewillyMwenda 3 місяці тому

    Jmn jmn n jmn huy kaka nimuongo hiv vitu vyake ni maigozo anatuchosh

  • @yussufyusesa4611
    @yussufyusesa4611 3 місяці тому

    😂😂😂😂😂 mwmba yuko vzr

  • @JacklineMdolwa
    @JacklineMdolwa 3 місяці тому

    Mbona kams ni mr right ya kienyej hii😂😂😂😂😂

  • @PaulinePaul-t4l
    @PaulinePaul-t4l 3 місяці тому

    Shania na mwenzie

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 3 місяці тому +1

    Mmeumbuka punguzen kujiuza kwenye camera

  • @Awaasha-cn6bx
    @Awaasha-cn6bx 3 місяці тому

    Nipenda ulivyojibu

  • @FaridaKizenga
    @FaridaKizenga 3 місяці тому

    Dah! Ndio tumefikia hapo sasahv tunakosa soko sasa tuna jinadisha namna hii😢😢😢😢😢 aibu naona mimi

  • @RehemaMajimbo-t7p
    @RehemaMajimbo-t7p 3 місяці тому

    Huyu dada wa pli namkumbuka ali chkuwa jamaa wa rafki yake

  • @mohamedkisenga6654
    @mohamedkisenga6654 3 місяці тому

    Mbn sasa kma umalya unakosea Mzee baba yamekua haya keeli

  • @HappyJoshua-if2gz
    @HappyJoshua-if2gz 3 місяці тому

    🔥🔥🙌🌟

  • @FrankSamson-r6s
    @FrankSamson-r6s 3 місяці тому

    Hii kali ss kuliko zile za kugombanisha😂😂😂

  • @ZaiSele
    @ZaiSele 2 місяці тому

    Kuabishana uko

  • @isabellamichael1025
    @isabellamichael1025 3 місяці тому

    Mmh

  • @Evodia-nk9jr
    @Evodia-nk9jr 3 місяці тому +1

    Hebu tuelezee vzr mbn hao wadada baadhi tushawaon kwenye video zako Zach nyuma walikuwa wanagombania mwanaume?sasa imekuaje upo nao ten au ndo unawatafutia mume😂

    • @SalamaNauthar
      @SalamaNauthar 3 місяці тому

      Zile video sio kweli ni za kutengeneza tu

    • @AyubuTozzo
      @AyubuTozzo 3 місяці тому

      Mwanangu tunakupenda tunaenjoy lakini umezinguaaa kinomaa aniiii

  • @Hajer-be2kh
    @Hajer-be2kh 3 місяці тому +12

    Mbona hao mademu wote hapo si ndo wale walikua wanafanyiwa interview za kugombania wapenzi🙄🙄 kumbe zile video zote za kutengeneza 😢😢 ok now I know

    • @Dls24-l6v
      @Dls24-l6v 3 місяці тому +3

      Uyu jamaa anazngua bn 😡 kumbe zile zote zlikua zakutengemeza😏🚮🚮

    • @Eddyx21
      @Eddyx21 3 місяці тому +3

      Umeonaaeeh hainogi tena,

    • @bhokesaid3264
      @bhokesaid3264 3 місяці тому +2

      Poleni km mlikuwa hamjui

    • @Dls24-l6v
      @Dls24-l6v 3 місяці тому

      @@bhokesaid3264 tumepoa ila hatuji kuangalia Tena😆na tunaanza kum unsubscribe sisi🤒

    • @benjaminRaphel0024
      @benjaminRaphel0024 3 місяці тому

      Kapoteza ubora uyo kumbe challenge zote ni maigizo

  • @YustoMlay-cv4zb
    @YustoMlay-cv4zb 3 місяці тому

    Umalaya style nyingne hii

  • @jeskaoscar9423
    @jeskaoscar9423 3 місяці тому

    Yaani J2 angechagua ningemchamba kwakweli ujanja mwingi achukue ao awaaapi wabaya wote jamni

  • @MisanaMasatu
    @MisanaMasatu 2 місяці тому

    Miaka 23 hyo jamaa 😂😂😂😂

    • @amaninelson3800
      @amaninelson3800 2 місяці тому

      inaweza ikawa nisawa 23 kwasasa huo nimwili2

  • @LucyPius-gk1di
    @LucyPius-gk1di 3 місяці тому

    Tumeshakuwa wanawake kama nyanya tunachakuliwa tuu

  • @NasraHalfan
    @NasraHalfan 3 місяці тому

    Ni wale wale jmn

  • @PeterBatroba
    @PeterBatroba 3 місяці тому +1

    Wa Kwanza Leo

  • @AngelSkawa6469
    @AngelSkawa6469 2 місяці тому

    Sania sania rudi busati

  • @FrankUlomi
    @FrankUlomi 3 місяці тому

    Sawaa wadauu😊🎉🎉

  • @GraceRoman-xw7xm
    @GraceRoman-xw7xm 3 місяці тому

    Bora ya kiredio huyu mfyuuu

  • @FailaKisubi-h3l
    @FailaKisubi-h3l 3 місяці тому

    Mbona miaka mindogo kuliko muhonekano wake jamani.

  • @JaffarIliasy
    @JaffarIliasy 3 місяці тому

    Kujishusha thamani m sitaki😢😂

  • @elisantemtaita
    @elisantemtaita 3 місяці тому

    Hawa wadada wote umefanya nao challenge na walikuwa na wapenzi wao so hapa wanatafuta nini?
    Punguza basi

  • @IssaAthuman-ur7zp
    @IssaAthuman-ur7zp 3 місяці тому +2

    Huyu jamaa nimuongo bola kiredioa ase kuliko mr uk

  • @AnitherSalum-ly6fd
    @AnitherSalum-ly6fd 3 місяці тому

    Ko mnatengenezaga video man hawa wote video zao tushaziona

  • @NahyaHassan-m3k
    @NahyaHassan-m3k 3 місяці тому

    😅😅😅😅😅

  • @AnethKukosi
    @AnethKukosi 3 місяці тому

    Ushanikosa

  • @sofiajumaa4538
    @sofiajumaa4538 3 місяці тому

    Uzee wote miaka 23 😂

  • @evelnjuma1834
    @evelnjuma1834 3 місяці тому

    Duuh

  • @SamiraseifAlfan-ph4ke
    @SamiraseifAlfan-ph4ke 3 місяці тому

    Saniaaa😂

  • @YohanaPetro-xv9tp
    @YohanaPetro-xv9tp 5 днів тому

    Et Anamiaka 23

  • @titojb4703
    @titojb4703 3 місяці тому

    Nilijua tu kuwa unafanya michongo tu hizi video kuongea na wadada, kama kweli vile.
    Sijapenda napenda iwe unafanya kiuhalisia kabisa.

  • @shabanigandi9681
    @shabanigandi9681 3 місяці тому

    Miaka 23 😂😂😂

  • @Araphrqra
    @Araphrqra 3 місяці тому

    😅😅😅miaka 23

  • @ZwainhOman
    @ZwainhOman 3 місяці тому

    😳😳🙆‍♀️

  • @Merrymerry-l4n
    @Merrymerry-l4n 3 місяці тому

    😂😂😂

  • @AyishaOman-cw4xs
    @AyishaOman-cw4xs 3 місяці тому

    😅😅😅😅😢😢😢😢🎉🎉🎉

  • @ElizabethHeche
    @ElizabethHeche 3 місяці тому

    Miaka 23?????
    Au nimesikia vibaya😢

  • @pillyramadhani3726
    @pillyramadhani3726 3 місяці тому

    Miaka 23 ?? Au mi ndio sijasikia

    • @esterpaul5856
      @esterpaul5856 3 місяці тому +1

      Hahaha yan mm mwenyew sijamuelewa ..miaka 23?? Au 33? Hivi mpk wanaume waongo wamiaka??? Halion hata aibu zee zima

    • @VanesaJoseph-yr3ve
      @VanesaJoseph-yr3ve 3 місяці тому

      Daah miaka 23 mbona mzee

    • @SofiaMasawe
      @SofiaMasawe 3 місяці тому

      😂😂😂😂😂

    • @UsuiliMilangitoni-gm.c
      @UsuiliMilangitoni-gm.c 3 місяці тому

      😂😂😂​@@esterpaul5856

  • @ZionLaizer
    @ZionLaizer 3 місяці тому

    Kuiga content tu😂😂🙌🙌 iz boring ongeza creative sio kuchukua kitu kama kilivo....kaangalieni hunt game show ya wanaijeria hosted by nons miraji ndo utajua watu wanafanya.....ila hongera ndo umeanza ongeza creativity

  • @mathnaasaa2166
    @mathnaasaa2166 3 місяці тому

    Mr uky bora idea hiii iko poa kuliko ile ya kufumania watu ukapigwa bureeee big up bro❤

  • @AngelSkawa6469
    @AngelSkawa6469 2 місяці тому

    Sania sania rudi busati