SAIKOLOJIA YA MWANAMKE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024
  • Ndoa nyingi zinaingia katika migogoro na hatimae kuvunjika kwa sababu ya wanaume wengi hawawafahamu wake zao.

КОМЕНТАРІ • 47

  • @SalmaSukwa
    @SalmaSukwa 25 днів тому

    Asalaam aleykum Shekhe Allah akujaalie kila la kheri Ustadhi nimekusiikilza sana Wallah wabillah. Mimi ni mhanga kwa hayo unayozungumza. Yamenigusa sana mpaka dakikka hii nimeacha niko kwenye Eda kwa kifupi niliolewa mim mwaka 1981 mikaishi naye mika 29 nimezaa naye wayoto wanna. Akowa mke wa pili. Akapote miaka miwili matumizi haleti kweebda kulalamika kazini kwake kanitwaga talaka nimeish hapo miaka miwili niko hapo. Nikishindwa nikaondoka miaja 12 niko mwenyewe huto mwanamke katapeli wa. Watoto wakanobeleza nikaru kaniowa tena . Nineishi naye miska miwili. Matokeo yake abatembea na House Girl kulalami nimetwaga talaka ustadh huu ni msiba . Namshukuru Mungu wa kila jambo. Kilichobakia kujiandaa tu na. Safari ya mwisho ndicho kilichobakia nimeacha mara mbili. Hii safari ya pili Baadhi ya bit vyangu amenidhulumu nikikumbuka tu chozi hili hapa.

  • @anathshabani2952
    @anathshabani2952 8 місяців тому +2

    Umeongea vizuri sana Sheikh, asante sana, Allah akubariki na akuongezee busara na maarifa

  • @ZulfahMuhammad
    @ZulfahMuhammad 10 місяців тому +8

    MashaAllaah tabaraAllaah yaani Sheikh wetu naona umetosoma vizuri kabisa na Allaah akujaze khery na baraka zake uzidi kuelimisha jaami

  • @KhadijaKipua-dw7yz
    @KhadijaKipua-dw7yz 8 місяців тому +2

    Sheikh wangu umenifurahisha sana yaani Allah akuzidishie kheri sheikh wangu wafundishe vema wanaume

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 9 місяців тому +2

    Kipindi hichi nikizuri sana viendelee vipindi kama hivi..na uyu shehe mashalah anajua Sana kufundisha mungu amjalie Kila her

  • @salamabakari8384
    @salamabakari8384 22 дні тому

    Mashallah shekhe umetupa ukweli tutajifunza

  • @LatifaDhahabu
    @LatifaDhahabu Місяць тому

    Asante shekh
    Allah akupe afiya njema inshallah

  • @karimirambona1766
    @karimirambona1766 9 місяців тому +15

    Sasa ulikuwa wapi myaka yote hii, kwanini nilikuwa sijakufaham? Mbona mafunzo mazuri hivi ? Nimefatilia kipengele kile cha saikolojia ya mwanaume na hiki cha mwanamke alhamdulillah nimefaidika zaidi. Allah akulipe kila la kheri sheikh wetu ❤

    • @hamidudongo1879
      @hamidudongo1879 9 місяців тому

      Tena hii maada ingekuwa ndefu sana. Ndio maana baadhi ya nchi za kiislam kama Uturuki, wameanza kuwafundisha Waalimu wa madrasa elimu ya saikolojia kiislam. Kwa sababu hii elimu ilianzishwa na sisi Waislam and ili zungumzwa kwa kirefu sana miaka hiyo ya mwanzo wa ustaarabu.
      I hope ataendelea kutoa series ili kuwaelimisha waislam kwa kutumia hadithi na Quran.

    • @Aidhjuma
      @Aidhjuma 9 місяців тому

      Allahmaamini

    • @Aidhjuma
      @Aidhjuma 9 місяців тому

      Iyo ya wanaume naioataje nimeitafuta sijaipata

    • @ZasamNamwago
      @ZasamNamwago 8 місяців тому

      Inaitwa Ivo ivo ingia hapo kweny akaunt yake utaona IPO juu ya hii ya mwanamke​@@Aidhjuma

  • @mahmoudmfaume8042
    @mahmoudmfaume8042 10 місяців тому +15

    Summary kuhusu Saikolojia ya Mwanamke:
    Vitu vya msingi (basic) alivyonavyo mwanamke;
     Anatumia hisia (hisia zake ziko karibu) zaidi kuliko logic (kufikiri kwa mpangilio).
     Anaweza kufanya mambo matatu, manne au zaidi kwa wakati mmoja tofauti na mwanaume.
    Matarajii ya ndoa kwa wanawake:
    1. Utulivu.
    2. Mapenzi (kwa maana pana) na huruma.
    3. Kuthaminiwa na kushukuriwa.
    4. Kujenga familia bora.
    Mambo 4 ni katika furaha ya ndoa:
    1. Mke mwema.
    2. Makazi mapana (Nyumba ya kujitosheleza).
    3. Jirani mwema.
    4. Kipando (Usafiri).

  • @MwanaidiTwaha-my6mz
    @MwanaidiTwaha-my6mz 20 днів тому

    Wallah umezungumza vitu vidogo kwetu sisi wanawake lkn kiuhalisia umegusa ukwel ndan ya mioyo yetu na ni vitu vikubwa sn sn wanaume wakivizingatia sidhan km kuna mwanamke ataacha kumpenda na kumuheshimu mume daima Allah atuongoze wote wanaume na wanawake ktk ndoa zetu ziwe zenye furaha daima !!! Allah akupe kiti cha pekee ktk pepo ya juu kwa darasa zako nzuri sn

    • @Elmitv68
      @Elmitv68  20 днів тому

      @@MwanaidiTwaha-my6mz Aamin.

  • @sadasaid7212
    @sadasaid7212 10 місяців тому +5

    Maa shaa Allahu.. shekh wetu Asante sana. Jazakallahu khayran kwa elimu hii

  • @abcmnbb2610
    @abcmnbb2610 8 місяців тому +3

    Mashaallah tabarakaah
    Shukran Sheikh wetu mawaiza mazuri
    😂😂😂mungu akupe afya njema Naumri mrefu inshaallah

  • @khalifakilungo
    @khalifakilungo 2 місяці тому +1

    Hakika huyu shehe anamaidha mazuri sana

  • @mariamjuma3684
    @mariamjuma3684 8 місяців тому +1

    Tabarakallah

  • @hihf3592
    @hihf3592 10 місяців тому +2

    Yani shekhe utasema umeigiy ndan kwetu ukaona mapenz tunayakosa kwawamezetu Allah ukuzidishiy kila lakherii insha allah

  • @OthumanIddy-s4r
    @OthumanIddy-s4r 2 місяці тому

    mashaallah

  • @assiahassan2671
    @assiahassan2671 10 місяців тому +2

    Jazaka'Allah Kher

  • @ggohf7004
    @ggohf7004 9 місяців тому

    Mashallah..Allah ibaric

  • @AaWe-ze9ho
    @AaWe-ze9ho 9 місяців тому +1

    Ruqaia suluta :mashaallah allah akulipe kher

  • @nazraseiban1082
    @nazraseiban1082 10 місяців тому +2

    MashaAllah Tabarakallah❤

  • @ramadhanngowa2888
    @ramadhanngowa2888 9 місяців тому +1

    Asalam alaikum Sheikh nimeshukuru Kwa mawaidha mazuri lkn utie mkazo kwenye mawasiliano na waume wawe na mda na wake zao In Shaa Allah

  • @thedon8467
    @thedon8467 10 місяців тому

    Ni jambo zuri hili mashaallah tabarakallah

  • @rehemaomarsaid
    @rehemaomarsaid 10 місяців тому

    Mashallah Allah akuzidishie,

  • @AliymgenSalmin
    @AliymgenSalmin 5 місяців тому

    Mashalla

  • @aishaz1
    @aishaz1 3 місяці тому

    Asante sana

  • @zawadihagabimana1712
    @zawadihagabimana1712 10 місяців тому

    Mafunzo mazuli kabisa jazakallah haira

  • @salmaalbarwani5649
    @salmaalbarwani5649 10 місяців тому

    Jazakaa Allahu kheri

  • @AishaSaoud-m4i
    @AishaSaoud-m4i 8 місяців тому

    Hakika swadakta 💯

  • @AishaSaoud-m4i
    @AishaSaoud-m4i 8 місяців тому

    Shekh namba yako ya simu huweki kwa darsa kuku pataje?

  • @fanni-ck6do
    @fanni-ck6do 10 місяців тому +2

    Kweli kabisaa

  • @MugishaAssumani
    @MugishaAssumani 10 місяців тому +1

    ukweli kabisa

  • @abbaspaziaog2188
    @abbaspaziaog2188 9 місяців тому +2

    Shekh shamsi Acha kudanganya watu hakuna bidaah nzury na bidaah mbaya bidaah ni bidaah tu😢

    • @nazraseiban1082
      @nazraseiban1082 9 місяців тому

      Heshima ni kitu cha bure...

    • @ahz6907
      @ahz6907 9 місяців тому

      Ushafeli ktk maisha yako punguza makasiriko basi 😂

    • @shamsahaji6202
      @shamsahaji6202 9 місяців тому

      Khusnulkhuq inaonekana ktk mazungumzo ...kuwa na heshima kidogo😢

    • @kundeigang3879
      @kundeigang3879 9 місяців тому

      Mzee WA bidaa hhhhhh