MAMA MZAZI WA MWIJAKU AKATA UTEPE KWENYE KASRI LA MTOTO WAKE KIGAMBONI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 січ 2024

КОМЕНТАРІ • 45

  • @FelixKapange
    @FelixKapange 6 місяців тому +4

    Hangera Sana watu tunapenda vitu vya kipuuzi hiyo ni Mari isiyo hamishika risepeckity my broo simoni p kapange🎉🎉🎉❤

  • @Rehmathathman23
    @Rehmathathman23 6 місяців тому +4

    😂😃😄Nawapendraah jomon Team Leo Tenaa❤❤Mwijaku bana et Geah ana kiherehere, hapa sio kwako😁😀

  • @bajagihaji8923
    @bajagihaji8923 6 місяців тому +4

    Hongera family yote maisha ni ujanja na kujituma

  • @user-lm6wc8gw3z
    @user-lm6wc8gw3z 6 місяців тому +7

    Mwijaku hongera sana

  • @mrsdeborahurio
    @mrsdeborahurio 6 місяців тому +2

    Hongera Sana Dada yangu Mama Mwemba na pia Kijana wetu Mwijaku❤

  • @zomasamweli
    @zomasamweli 6 місяців тому +3

    Hongera sana mwijaku

  • @tamahmaalalawi6536
    @tamahmaalalawi6536 6 місяців тому +1

    Mamaake mwijaku ana mkiya Maa shaa Allah

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 6 місяців тому +3

    Hongera sana Mwijaku

  • @jenipherkavusha1661
    @jenipherkavusha1661 6 місяців тому

    Hongera sana Kaka DC

  • @ZaynabMsury
    @ZaynabMsury 6 місяців тому +3

    Mwijaku mashaalahu

  • @EdnaLugano
    @EdnaLugano 6 місяців тому +1

    Hongera Sana Kaka wewe ni mfano WA kuigwa na wengi .Unafanana Sana na mama kasoro rangi tu .

  • @annamwakibinga527
    @annamwakibinga527 6 місяців тому +1

    Hongera Mwijaku

  • @aishatest4451
    @aishatest4451 6 місяців тому +2

    mashaallh ❤❤❤❤

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 6 місяців тому +9

    Mashallah mama mzuri sana mashallah ❤❤❤❤❤

  • @vincej9275
    @vincej9275 6 місяців тому

    Congratulations chawa.

  • @marthajohn6532
    @marthajohn6532 6 місяців тому

    Mama mwemba nakuona mwenyekit wetu wa mtaa mstaafu

  • @Pajamwamovie
    @Pajamwamovie 6 місяців тому

    Hongeta chawa

  • @user-vx4xh3bl2s
    @user-vx4xh3bl2s 6 місяців тому +3

    Nimecheka Kwa nguvu mwijaku anamwambia gear Habibi hapa sio kwako

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 6 місяців тому

    Mungu atusaidie basi

  • @user-lx2yc8tj5h
    @user-lx2yc8tj5h 6 місяців тому

    Mwanyika❤❤❤

  • @teddygabriel5662
    @teddygabriel5662 6 місяців тому

    😂 mwijaku bwana hongera

  • @salamasaid9525
    @salamasaid9525 6 місяців тому

    Mwinjaku umeniangusha kitu kimoja hukuwa na trea ya kuweka mkasi ,mama akafungua ,akachukua mkasi na kukata ,local local sana.

  • @bimumaulid1171
    @bimumaulid1171 6 місяців тому +3

    Mama mstaarabu sana mwijaku domo kalitoa wapi

  • @emmanuelmatogolo5869
    @emmanuelmatogolo5869 6 місяців тому

    Mwijaku kama mwijaku 😂

  • @pendokissatu937
    @pendokissatu937 6 місяців тому

    Mwijaku kawezaa

  • @hatibumohamedi3471
    @hatibumohamedi3471 6 місяців тому +1

    Ati mama anakata 😂😂

  • @OnesmoEmmanuel-xr2rf
    @OnesmoEmmanuel-xr2rf 6 місяців тому +1

    Sasa ivi wasanii nawwza sema mmekua zamani ilikua mnaoneshana magari yakifahari hata nyumba hamna sasaivi mmekua mmatuonyesha mijengo teona ya wopa sasaivi mwijaku nawengine tutazuona tu

  • @wemaMichael-fr4th
    @wemaMichael-fr4th 6 місяців тому

    huyu dada sijui kwa nini hapendezagi

  • @edsonnelson4464
    @edsonnelson4464 6 місяців тому

    Mbona baba hayupo hata kama alishatangulia hakuna mwakilishi upande wa baba, vijana wa leo mnawatenga sana baba zenu, wazazi no wawili bila ya huyo baba usingekuwepo na bila ya mama haungekuwepo a

    • @IdarousPossy
      @IdarousPossy 6 місяців тому +2

      Mbona mnapenda kuchukulia vitu serious nyie,mbona mnapenda sana kuingilia maisha ya watu,kwann mnapenda kuongelea familia za watu,yaaaan nyie kila kitu nikujdg akili zenu uwaga zina akili fupi sana kweny kufikiri,unasema bila ya baba mwijaku asingekuepo,haya na huyo mama angeamua kuutoa ujauzito?je mwijaku anegkuepo emu acheni huo ujinga wa mawazo yenu,fatilia maisha yako na ya kwenu

    • @IdarousPossy
      @IdarousPossy 6 місяців тому +1

      Je nivipi kama baba anaumwa?ni vipi kama baba kasafiri?nivipi kama baba ameruhsu aende mama?umefkria hivo au akili imekutuma kubwata tu

    • @flavy_kipps4025
      @flavy_kipps4025 6 місяців тому

      muwakilishi😅😅

    • @lydiamsheri4095
      @lydiamsheri4095 6 місяців тому +1

      Hawatimizi majukumu yao ya ubaba labda kutengwa tengwa huku kitawabadilisha