MAAJABU MJENGO WA MWIJAKU, SWIMMING POOL JUU, TAA MILIONI, KITASA CHA MLANGONI KINA CAMERA, AFUNGUKA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 569

  • @rosemuhandoofficial5676
    @rosemuhandoofficial5676 8 місяців тому +26

    Kaka hongeraaaaaaaa❤❤❤❤ yaani hiyo ndo Fungal kalomo

    • @asifiwefungo163
      @asifiwefungo163 8 місяців тому

      😂😂

    • @dorthea8423
      @dorthea8423 8 місяців тому

      @@asifiwefungo163 ua-cam.com/video/zTak_qJqJbg/v-deo.htmlsi=GADo6gJr5BsSbiMi

  • @femidayahaya4882
    @femidayahaya4882 8 місяців тому +29

    MashaAllah hongera sana Mwanamke mwenzangu kwa Kua mke bora kwa mumeo hadi mmefika malengo. Kila la kheti kwenye ndoa yenu.

  • @MaingwaAbdalah
    @MaingwaAbdalah 8 місяців тому +30

    Dah masikini wengi tumejaa makasiriko tumuombe mungu atupe ridhiki nzuri nasi tufikie ndoto zetu

  • @rajimuashirafa8265
    @rajimuashirafa8265 8 місяців тому +160

    Nilichogundua Mwijaku mkewake anampenda na anamsupport sanaaa ndio maana huyu mwamba atafika mbaliii

    • @laurentraphael5470
      @laurentraphael5470 8 місяців тому +7

      You are right.

    • @rehemamcharo8693
      @rehemamcharo8693 8 місяців тому +2

      Mwijiku ww ndyo mwanaume heshima yamwamaume kuonesha heshima jwajamii na kwenye famili

    • @JeannetteManirambona-o6m
      @JeannetteManirambona-o6m 8 місяців тому +1

      Uhakika nipo upande wako

    • @veronicamhanga2548
      @veronicamhanga2548 8 місяців тому +7

      Ni kweli kabisa wanaume wengi wanadhani kumshilikisha mke ni ujinga lahasha. Hata kama kipato chako ni kidogo shilikianeni, yatatokea matokeo chanya sana barikiwe. Hongera sana mwijaku

    • @JosephLukumaiLukumai
      @JosephLukumaiLukumai 8 місяців тому +4

      Alafu huyu mke anamuheshimu sana

  • @user-gc8jc1sh4z
    @user-gc8jc1sh4z 8 місяців тому +27

    ❤❤Hongera sana DC mwijaku kwa mjengo mkubwa mungu yupo pamoja na nyinyii❤❤❤❤

  • @TheBastarrrd
    @TheBastarrrd 8 місяців тому +21

    Hawa machawa tusiwachukulie poa🔥 hongera sana mwijaku

  • @edwinalexander1170
    @edwinalexander1170 8 місяців тому +48

    Huyu jamaa alivyo na utani na vichekesho hata akizungumza akiwa serious bado naona anafanya utani na vichekesho vile, ila Hongera sana kwa kujenga nyumba nzuri.

  • @menalikechildren8836
    @menalikechildren8836 8 місяців тому +14

    wanawake njoon uku muna mengi sana yakujifunza kwa mke wa mwijaku

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 8 місяців тому +40

    Hongera sana mwijaku, ukiambiwa uchawa wenye faida basi ndio huu saf kbs

  • @peterbaraza7887
    @peterbaraza7887 8 місяців тому +13

    Aiseee!
    So inspiring!
    Congratulations Mwijaku.
    Tunakuonaga kama chizi hivi kumbe akili imetimia..😊😊
    Hongera sana mdogo wangu!!

    • @dorthea8423
      @dorthea8423 8 місяців тому

      ua-cam.com/video/zTak_qJqJbg/v-deo.htmlsi=GADo6gJr5BsSbiMi

  • @patricknamangoa6468
    @patricknamangoa6468 8 місяців тому +15

    Congratulations Mwemba a.k.a Mwijaku. What's been done by you should completely be imitated by every smart Tanzanian youth! May God keep blessing you!

  • @pendolymo9354
    @pendolymo9354 8 місяців тому +14

    Uku juu weka uzio Kwa sababu y usalama zaid hasa watoto😊

  • @nuhumhagama2132
    @nuhumhagama2132 8 місяців тому +14

    Daaahhh hongera sana bro mwijaku Mungu awabariki sana

  • @MRPRESIDENT-w4l
    @MRPRESIDENT-w4l 8 місяців тому +63

    Nimejifunza KITU Kikubwa sanaaa.. NITAJENGA YA KWANGU YA BILLION 100 DOLLARS

  • @MengiMengi-o6r
    @MengiMengi-o6r 8 місяців тому +1

    Kaka hongera xan
    One. Day ntakuj kuish nyumb
    Kama hiyo🎉❤

  • @GoodluckLameck-nh9tq
    @GoodluckLameck-nh9tq 8 місяців тому +8

    Hongera mwijaku umepiga hatua God bless you

  • @fransiscongonyani-
    @fransiscongonyani- 8 місяців тому +6

    Hongera sanaaaa boss🎉🎉🎉🎉 piah shemej nawe ni kichwa Kwa kumshaur Mwamba kufanya makubwa🎉🎉🎉🌹🌹🌹

  • @sergebaleke695
    @sergebaleke695 8 місяців тому +13

    Hongera sana brother Mwijaku

  • @masungaiwvata1414
    @masungaiwvata1414 8 місяців тому

    Loooh astakafirullahi Mwijakuu.ile nyumba ile ya milango ya nje yote mil 25?

  • @dalalibangokigamboni3958
    @dalalibangokigamboni3958 8 місяців тому +1

    Mbona viwanja vya wazi vipo kibao hapo kisota msisite jamani viwanja Vitupu vipo, haina haja ya kubomoa labda yeye alipenda kununua kiwanja kilichojengwa

  • @ezekieljustine8241
    @ezekieljustine8241 8 місяців тому +7

    Kazi nidhamu na kujituma❤ respect mwijaku

  • @khadidjaabdi-hd8py
    @khadidjaabdi-hd8py 8 місяців тому +15

    Mwaka huu tutaona nyumbaa za wasanii wengii lazima wajengee kupanga watatuachia sisi 😂😂😂

    • @QueenMishy
      @QueenMishy 8 місяців тому

      Kabisaa c wajua mambo yao yakushndana tena😂😂😂

    • @JeannetteManirambona-o6m
      @JeannetteManirambona-o6m 8 місяців тому

      Ivi nimashindano ngoj tusubiri wengine

    • @khadidjaabdi-hd8py
      @khadidjaabdi-hd8py 8 місяців тому

      @@JeannetteManirambona-o6m wasanii wa kuigaaa mikop ya bank itahusika🤣🤣

    • @khadidjaabdi-hd8py
      @khadidjaabdi-hd8py 8 місяців тому

      @@QueenMishy achaaa ndug

    • @sarahwawuda5164
      @sarahwawuda5164 8 місяців тому

      Mimi kukodi mwaka huu nimegoma😂😂😂😂

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 8 місяців тому +21

    Hongera sana home boy 🎉

  • @MRPRESIDENT-w4l
    @MRPRESIDENT-w4l 8 місяців тому +7

    NIMEJIFUNZA Kitu KIKUBWA SANA HAPA

  • @mohamedlegacy255
    @mohamedlegacy255 8 місяців тому +2

    Kumbe mkewe ni CPA holder, nimegundua kuna umuhimu wa kumtafuta mwanamke kichwa🙌

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 8 місяців тому

    Mwajaku Kwa Wezio Kelele Kwanini Amjengi Nyinyi Kwako Ukutaka Kukulupuka Kulikoni

  • @janetnyanchera1252
    @janetnyanchera1252 8 місяців тому +9

    Congratulations Mwijaku's absolutely amazing guys God Is Faithful always 🙌🙏❤

  • @emmanuelmwaipopo3039
    @emmanuelmwaipopo3039 8 місяців тому +6

    Uchawa unalipa mwaka huu lazima na Mimi niwe chawa. Hongera sana mwijaku

  • @santinosabugo2114
    @santinosabugo2114 8 місяців тому +26

    mwijakua kumbe alikuwa anatafuta kitu akili nyingi sana big up

  • @davidmichael8748
    @davidmichael8748 8 місяців тому +4

    Mwijaku shikamoo skudharau tena nisamehee🙏🙏

  • @liberatusjackson5045
    @liberatusjackson5045 8 місяців тому +1

    Nipende kusema tuu hakuna muha fara tunaonekana wajinga tunajamboretu.like.from KG

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 8 місяців тому +12

    Hongera sana Mwijaku ndio faida ya kwenda shule hata ukiuza vitumbua ukiwa umesoma na umeelimika unatoboa , madogo wengine wanapata hela ila bado wako kwenye nyumba za kupanga sababu shule zao ndogo !

    • @AnnahMushi
      @AnnahMushi 8 місяців тому +4

      Tatzo sio shule nijins yakutumia hela unaweza umesoma lakin hunamatumiz yahela

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 8 місяців тому

      @@AnnahMushi elimu inasadia sana huyo ana masters degree na unaona ana mipango mizuri ni shule hiyo mfano baba Levo hamna shule pale tofauti Na Mwijaku

    • @thebmcblackmiccatcher3949
      @thebmcblackmiccatcher3949 8 місяців тому +1

      Aliyekufunza elimu ni hela na nyumba alisahau kukufunza sababu ya diamond kukuzidi hela pamoja na elimu yako

  • @sharifamahamudu182
    @sharifamahamudu182 8 місяців тому +18

    Mashaallah ❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @gladistaemanueliy6336
    @gladistaemanueliy6336 8 місяців тому +3

    Mwijaku na worlper funga kazi ya mwaka 2023 nawapenda sana

  • @bakarmsangi963
    @bakarmsangi963 8 місяців тому +5

    Mashaallah mungu atuongezee kwa wote amin

  • @ISMAILNASHON-zh3sg
    @ISMAILNASHON-zh3sg 8 місяців тому +1

    Waha ni wachakalikaji kwahiyo sishangaiiii mwijaku kutoboa

  • @Mafimbajunior
    @Mafimbajunior 8 місяців тому +2

    Kumbe ana akili ila anatuchora😂😂😂

  • @mtegemeemungusiomwanadamu6618
    @mtegemeemungusiomwanadamu6618 8 місяців тому +20

    Mwijaku umenishawishi, hii safari na mimi naianza by 2027 nitatandaza daluga la hatari😂😂😂

  • @kevinmary7129
    @kevinmary7129 8 місяців тому

    Vyumba 200M to 250M Tsh haifiki zaid 300M Tsh

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt 8 місяців тому +9

    Usimdharau usiye mjua,tukikuona mtandaoni na usemaji wako tunakuchukulia poa, big up Bro

  • @muhammedwakif6216
    @muhammedwakif6216 8 місяців тому

    Story yao ni ya uongo haingii akilini
    Mana unataka kusema Mwinyi Jaku katengeza bilion moja na zaidi kwa mwaka ??? 😅😅😅 danganya toto

  • @AllyRamadhani-q4d
    @AllyRamadhani-q4d 8 місяців тому +6

    Kazi anafanya wengi Wana mchukuria shoga lakini ana maisha we ndio utae teseka

  • @kulwastima3993
    @kulwastima3993 8 місяців тому

    yaani kjenga umeita watu clouds nzima mbona kna watu wamejenga kimya

  • @Asiamohammed1317
    @Asiamohammed1317 8 місяців тому +1

    Ushirikiano na mawasiliano yao mazuri ni matokeo mazuri sana hongereni wapendwa

  • @engineerismael2186
    @engineerismael2186 8 місяців тому +5

    Baba levo upo hapo 😅😅

    • @AngelRimoy
      @AngelRimoy 8 місяців тому

      Yuko anabeti😂 kwanza

  • @abednegokavisheaskfocus9453
    @abednegokavisheaskfocus9453 8 місяців тому

    Kwenye pool hapo weka vyuma mtu asiangukee au mtoto n.k

  • @mswakisaid2320
    @mswakisaid2320 8 місяців тому +20

    Hahahaaa Mwijakuu asante kaka kazi nzuri.
    Inawezekana Mwaka huu kuwa wa kwangu.

  • @afropanorama4730
    @afropanorama4730 8 місяців тому +6

    uchawa unalipa kumbe,hongera👏👏👏

  • @esterfrenk4198
    @esterfrenk4198 8 місяців тому +1

    Umeupga mwingi brother mwijaku

  • @shaddybmc8342
    @shaddybmc8342 8 місяців тому

    Kuna wana mijengo nyie acheni. Wasanii wa bongo shida kelele nyingi jaman😂

  • @irenemwewe3566
    @irenemwewe3566 8 місяців тому +5

    Pamoja na yote ,,kikubwa Ameweza jamaniii

  • @YussufSaid-ok4pu
    @YussufSaid-ok4pu 8 місяців тому +1

    Mashaallaah Tabarakallaah Allah awahifadhi na husda,Mwijaku mwambie mke wako ajistir nywele zake Allaah awadumishe kwenye ndoa yenu

  • @HabibuHoseni-sv8hd
    @HabibuHoseni-sv8hd 8 місяців тому

    Hivi kumbe ata ayo tv mnarushag habar za aina hii sjapata kujua kama na nyie mnafanyag iz press za vit ya desgn hii

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing 8 місяців тому +11

    I'm So Proud For This D.C Wa Insta Mungu Awabariki Kweli Kweli🎉🎉🎉

  • @theresiamtewele6165
    @theresiamtewele6165 7 місяців тому

    Ila nisiwe mnafiki nyumba ni yakawaida sana hata kama ni ghorofa

  • @RamaAlly-w6u
    @RamaAlly-w6u 8 місяців тому

    Hongel nataman ningepat mwaum anay nisikiliz Kam ww

  • @icecold_real_estate_agents4461
    @icecold_real_estate_agents4461 8 місяців тому +1

    Daahh ivyi ni ukweli mnatengeneza hela style Hii au mnataka tufanye kazi kama mapunda kwa kutamani 😂😂

  • @faizG254
    @faizG254 8 місяців тому +6

    Congratulations to Mwijaku.I respect you bro

  • @OmanOman-bx5du
    @OmanOman-bx5du 8 місяців тому +4

    Ukiwa na pesa kujenga nilahisi tu ongereni. Sana mke na mme.

  • @Jicho03
    @Jicho03 8 місяців тому

    Kwamba izo nchi unapelekaa unga au vp?

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 8 місяців тому +5

    Mjini ni hakili 🙏🙏🙏🙏mwanamke imala wanawake hawa sio wamitandao🙏🙏🙏

  • @OkeyDismas
    @OkeyDismas 7 місяців тому

    Ushamfunga mdomo babalevo

  • @michaelfidel5635
    @michaelfidel5635 8 місяців тому +3

    Bonge la nyumba

  • @Shakeoma3Oman
    @Shakeoma3Oman 8 місяців тому

    Ila usisahau kujenga akhera yako hapa twapita tu

  • @Iamnanapeak
    @Iamnanapeak 8 місяців тому +3

    Congratulations 🎉👏 mwinjaku from KENYA 🇰🇪🇰🇪🙏

  • @rerisamba
    @rerisamba 8 місяців тому +1

    Pale unakosea nikutaja taja wenzako

  • @husseinbakromar5865
    @husseinbakromar5865 8 місяців тому

    pesa ya mke ama pesa ya mkopo ama ushaingia chama

  • @MkayulaDavid
    @MkayulaDavid 8 місяців тому

    Unapoongea hapo juu kama unauoga fln mwijaku

  • @michaelmwimule1001
    @michaelmwimule1001 8 місяців тому +4

    Mwijaku baba kazi ipo. congratulations bro

  • @SeleFundi-ym1bv
    @SeleFundi-ym1bv 8 місяців тому

    Apo kwenye liba umesema kweli

  • @ISMAILNASHON-zh3sg
    @ISMAILNASHON-zh3sg 8 місяців тому

    Huu ni mwaka wa kuforce michongo

  • @felixomondi77
    @felixomondi77 7 місяців тому

    Nyumba ni ya 25mililon na pool ni 30milion😂

  • @singidaone5628
    @singidaone5628 8 місяців тому +3

    Tuliojenga tuheshimiwe bhana kujenga sio tako

  • @maswaladigitalplatform.7613
    @maswaladigitalplatform.7613 8 місяців тому

    Hii nyumba kajenga mwanamke bana,, mwijaku pwaaa,, mwajaku kalipia tu pesa ya ramani hapo,

  • @benedictinelusambo069
    @benedictinelusambo069 8 місяців тому

    Ndo maana wanasemaga ukikosea kuoa imekula kwako

  • @KassimAlly-w4y
    @KassimAlly-w4y 8 місяців тому

    Baba levo tuonyeshe wako

  • @dorahy1579
    @dorahy1579 8 місяців тому +1

    Maisha ya kupitia ha kiasi kana kwamba hutakufa. Kuna watoto wana njaa huko saidieni penye shida. hızı exaggerated lifestyles hazisaidii chochote. Binadamu ni yule yule tu. Na hizo nyumba end of the day ni nguvu zako kuishi a kwenye udonho, kwa jina nyumba. Ni kufurshisha tu roho kwa wakati mfupi.

  • @clouartmichael7296
    @clouartmichael7296 8 місяців тому

    Waongo waongo hawa yeye na mke wake..wanapend content

  • @إلىاللهمرجعناجميعا
    @إلىاللهمرجعناجميعا 8 місяців тому +4

    Mungu akusimamie Kaka hongera Sanaa

  • @lilymuro4993
    @lilymuro4993 8 місяців тому +4

    Hongera Kaka Yangu Mwijaku Karibu Japan 🇹🇿🇯🇵 👍

  • @shamsahasan2748
    @shamsahasan2748 8 місяців тому +3

    Ila leo mwijaku katulia

  • @kashuradiocles1068
    @kashuradiocles1068 8 місяців тому +7

    Ukishazoea kuwa muongo muongo ata siku ukisema ukweli watu tunachukulia ni drama. Siwez kuamin 💯

    • @Zuuh4286
      @Zuuh4286 8 місяців тому +2

      Nasubiri Dada wa taifa aseme ukweli maana huyu jamaaa hapana 😂😂😂😂😂😂

    • @aishafrancis7714
      @aishafrancis7714 8 місяців тому +2

      Kweli kbs unashangaa hapo anatangaza biashara😂😂😂😂😂

    • @SafiyaJ-yw2vt
      @SafiyaJ-yw2vt 8 місяців тому

      Hata mm siamini kama ni nyumba Ni yake kapata wapi bilion .3

    • @jescaprojest7262
      @jescaprojest7262 8 місяців тому

      Kaz ipo kwel kwel

  • @rashidishekhe8822
    @rashidishekhe8822 8 місяців тому

    Maashaallah alhamdulillah

  • @alexmathias6620
    @alexmathias6620 8 місяців тому

    Watu bana yaan unanadi nyumba ya baba ila wabongo bana kwa kiki ni hatar

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 8 місяців тому +2

    Hongera nakushauri kuzunguka pool weka vizuizi maana utelezi wa maji na mkao wa hilo pool ni hatari sana

    • @didamugya6039
      @didamugya6039 8 місяців тому +1

      Nilikuwa naitafuta hii comment

  • @roswitaexavery3378
    @roswitaexavery3378 8 місяців тому

    Jamani Hadi mpiga picha anaona wivu

  • @Shebby_Nammuruni
    @Shebby_Nammuruni 8 місяців тому

    Leo nimejifunza kitu,USIHUKUMU KITABU KWA KAVA LA NJE

  • @RAHELNJEYE
    @RAHELNJEYE 8 місяців тому +1

    Hongera Sana tunakitu kikubwa cha kujifunza sisi Vijana hongera Sana brooo

  • @captenndunga6745
    @captenndunga6745 8 місяців тому

    Hawa mastaa wa kibongo mi hata siwaaminigi.,.. DIAMOND tuliambiwa amenunua hoteli akawapeleka wafanyakazi wake CARANTIN kipindi cha korona kumbe sio yake sasa hapa nani wa kumfunga paka kengele

  • @adamizlewaiz9099
    @adamizlewaiz9099 8 місяців тому +27

    Love from Kenya u have mentor many including myself ❤❤

  • @JohnCars-p3r
    @JohnCars-p3r 8 місяців тому +1

    Daaah hili funzo kubwa ukiona Mwanaume amefanikiwa ujue Kuna mwanamke shujaa nyuma yake
    Congratulations bro mwijaku

  • @issahamis581
    @issahamis581 8 місяців тому

    watu wa Simba tunaakiri baba Revo ni utoporo nandiyo Mana akiri Kama matope

  • @Reema12-v5j
    @Reema12-v5j 6 місяців тому

    Masha Allah blessed

  • @Reema12-v5j
    @Reema12-v5j 6 місяців тому

    Masha Allah blessed

  • @Daniella249
    @Daniella249 8 місяців тому

    Leo umeongea mwijaku

  • @AbdallahOmari-z4n
    @AbdallahOmari-z4n 8 місяців тому +1

    Baba levo nae atuonyeshe wakwake nimekaa hapa nasubiria,

  • @gikadotv2148
    @gikadotv2148 8 місяців тому +1

    Mke kapata

  • @WilliamSomela-h9s
    @WilliamSomela-h9s 8 місяців тому +5

    Hongera mwijaku🎉🎉🎉❤

  • @Yolanda-n3x
    @Yolanda-n3x 8 місяців тому +9

    Nyumba mzuri sana ila ina vyumba 3 ongera sana chawa mkubwa wacha tupambane❤❤

    • @philemonmagesa5548
      @philemonmagesa5548 8 місяців тому

      Duh! Wameibania vyumba vitatu ni vichache

    • @Yolanda-n3x
      @Yolanda-n3x 8 місяців тому

      @@philemonmagesa5548 china hakuna chumba juu tu ndo chumba,ch mtoto mama na chawa mwijaku china cha ofisi namaana haongezi watoto angekuwa mwarabu hata chumba 10 zingekaa hapo

    • @babchudu
      @babchudu 8 місяців тому +1

      vichache? mjini apa ndugu yangu, vyumba vingi vya nini? unataka ukaribishe ndugu kwako?😂

    • @didamugya6039
      @didamugya6039 8 місяців тому

      Ukijumlisha na vya Wageni jumla ni vitano

    • @Yolanda-n3x
      @Yolanda-n3x 8 місяців тому

      @@didamugya6039 alitakiwa juu 4 au 3 chini 4 au 3 ingependeza sana wacha nikaze kamba nami nipate ya 3 tu

  • @ChiefChacha-b1f
    @ChiefChacha-b1f 8 місяців тому

    ongera sana kijana mwezangu 16:50