Amesema muda umeisha,Bibi harusi amebakiza nafasi 1 tu|Maono ya Unyakuo kwa Mch.Daniel Fanuel wa Tz

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024
  • JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuwa mchangiaji jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
    PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO SIYO LAZIMA KUCHANGIA BALI NI YA KUPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
    1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
    2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
    Namba za mawasiliano na kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 jina ni Jacktan Msafiri
    #ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

КОМЕНТАРІ • 8

  • @maazuu-dm7zr
    @maazuu-dm7zr 7 днів тому +3

    EE BWANA WA MABWANA NAOMBA REHEMA NA NEEMA YAKO,FUNGUA FAHAMU ZANGU NA MACHO YA KIROHO KWANGU NA KWA WENGINE PIA TUFANYIE WEPESI KWA KILA HALI, BREADING THE BLOOD OF JESUS UPON MY SELF AND MY FAMILY🙌🙏. Much ❤ brethren

  • @christeternallifetv5959
    @christeternallifetv5959 7 днів тому +2

    Ahsante Yesu

  • @gracegasper6694
    @gracegasper6694 7 днів тому +2

    Amina asante mungu kwa baraka ya ujumbe huu,asante na kwa ajili ya mtumishi wako,Bwana utusaidie kanisa lako.

  • @florianruttahindurwa1189
    @florianruttahindurwa1189 7 днів тому +2

    Yesu uturehemu

  • @bwana_pilato
    @bwana_pilato 13 годин тому +1

    Jesus is the Lord 🔥

  • @magdalenapeter6106
    @magdalenapeter6106 6 днів тому +1

    BWANA YESU Naomba nisaidie mimi na nyumba yangu tutengeneze mambo ya nyumba zetu ili utakaporudi tuwe kama wanawali wenye hekima/akili

  • @sylviaswai5102
    @sylviaswai5102 7 днів тому +2

    Mmerudia? Maana sauti ilikua haisikiki sasa tunamsikia mtumishi wa Kristo

  • @jayjoe5160
    @jayjoe5160 7 днів тому

    mbona subscribers wamepungua