Mungu Awabariki Watumishi wote wanaojitabisha kwa ajili ya kazi ya Bwana Ya kuokoa Roho za Watu wake.Mungu Yu pamoja nanyi.Niko igombe Kwa Rev Roderick Shoo.
@@MercyMallyoSamahani pengine Mimi ndio sioni vizuri namba iliyo kwa scree ni ya ule mchungaji ulie mleta mwisho lakini ya enosi Mimi sijaiona kwenye screen Nime angallia mwanzo mpaka mwisho naomba rathi hiyo namba kwenye screen mwishoe ni ya mchungaji upi?
@@mercykariithi7919Kila Mchungaji tumemwekea namba yake anavyoongea namba yake unakuwa unaonekana hapo kwenye screen yako,na huyo wa mwisho nae anapoongea utaona namba zinajitokeza hapo anapoongea, labda Kama unaomba namba za Mchungaji ambae hatujamhoji hapo
Mchungaji Maja tumemwekea namba yake,anavyoongea na huyo wa mwisho nae anavyoongea namba yake ipo sinaonekana hapo akiwa anaongea labda Kama unaomba namba ya Mchungaji ambaye hatujamhoji hapo mtu wa Mungu
Mungu Awabariki Watumishi wote wanaojitabisha kwa ajili ya kazi ya Bwana Ya kuokoa Roho za Watu wake.Mungu Yu pamoja nanyi.Niko igombe Kwa Rev Roderick Shoo.
Jinsi anavyo jibu Mungu amtokee kwa viwango zaid
Hongera sana mungu akutie nguvu
Amen! Mchungaji, mungu wetu hajawah kumuacha mtumishi wake! Unapopitia hayo, jua bwana yesu amekuchagua! 😭 Wewe ni shujaaa, wewe ni shujaa.
Namjua mchungaji na Iman aliyonayo zaidi ya miaka 13 mungu aendelee kukutunza mtumish
Nisaidie na namba yake huyu mwanadada hakumpa nafasi ya kupeana namba yake kwa wasikilizaji (pastor majaliwa) asante na Mungu azidi kuwa nawe
Namba zao zipo hapo zote mwanzoni mwa maongezi kwenye screen hapo tumeweka namba zake
@@MercyMallyoSamahani pengine Mimi ndio sioni vizuri namba iliyo kwa scree ni ya ule mchungaji ulie mleta mwisho lakini ya enosi Mimi sijaiona kwenye screen Nime angallia mwanzo mpaka mwisho naomba rathi hiyo namba kwenye screen mwishoe ni ya mchungaji upi?
@@mercykariithi7919Kila Mchungaji tumemwekea namba yake anavyoongea namba yake unakuwa unaonekana hapo kwenye screen yako,na huyo wa mwisho nae anapoongea utaona namba zinajitokeza hapo anapoongea, labda Kama unaomba namba za Mchungaji ambae hatujamhoji hapo
Mungu akupigani ,Kama shdraki ,meshaki na abedrego,ameen,
Atukuzwe Mungu kwa mpango wake maalum kwa watumishi wake wote wanaomtegemea
Mchungaji mungu akuzidishie ujasil na mungu akibsriki!
Mbarikiwe sana kwa Imani hii,Mungu akawatendee xaidi na xaidi,mxee wa kanisa hongera na family yako.
Mungu akubariki akulinde mtumishi
Mtumishi mungu akutie nguvu ktk kazi ya mungu
Mungu ni muweza wayote maana kila kitukimo minon mwake
Hao wachawi wawaulize wachawi wenzao wa sumbawanga walishasalimu amri
Mungu huwa snatumia viumbe dhaifu na vilivyodharauliwa sana!!! ❤
Mungu akusaidie
Mungu akuzidishie imani akupe nguvu zaidi
Aisee yesu ni fundi sitadi, huyu mch namfahamu mda mrefu, sana tangu amepewa nyumba ya kukaa bure, viwanja vya mwadui, anachokisema ni sahii
Wala usiogope mchungaji wachawi wameshindwa vipindi vyote hawakuwezi watapigwa kipigo kikali
Tunaomba namba ya mchungaji enos tafathali Asante
Kwakweli Mungu hana mfano na hafananishwii
Kwakwel mungu hatupi mjawake kila atakae mfata mfati bule mungu
Jaman unasema na mt Kama unasema na mtoto wako acha ujinga yeye ni mwanadam anaweza sahau
2091? Bhebhe!!!
Mzee anaimani
Mtaje huyo Mchungaji aliyekupokea , huumtaji kwa sababu unajiona wewe ni mkubwa kuliko aliekupokea