Huu ni ujumbe ambao sisi wakristo wengi hatutaki kuskia ,hususan waimbaji wa injili na wahubiri .....maana injili ya kweli ni upanga na moto ulao. Pascal Mungu azidi kukuinua ,akupe maarifa zaidi na neema inayotosha.
Ubarikiwee mtumishi watu wanaamin mafuta kuliko kum wamini mungu wa kweli lazma ukweli usemwe watu wapone Mana mungu alisema tupendane uonapo mwenzio anangamia lazma umsaidie
Kwani anachofanya kina ubaya gani kazi ya mtumishi wa MUNGU ni kumtangaza Mungu kuwarejesha watu kwa Muumba wao na kuwaonya/kuonya pale inapobidi so hiyo nayo ni kazi ya Mungu.
Hiyo pia ni njia mojawapo ya kumtangaza Yesu,, mahubiri sio lazima usimame majukwaani na kupaza sauti hata uimbaji ni Mahubiri tena yanafikisha ujumbe kwa haraka zaidi.
Kazi ya Mungu Iko na vita..... Mungu akuzidishie neema, I have listened to your gospel for now 7 yrs, but people take you for granted, say as it is, one day God will redeem your message.. Congratulations and much Love from Kenya 🎉🎉🎉🎉
Njaa tu haliyonanyo anatafuta umaalufu kwa nguvu, huyo Mwamposa unae mjaji yupo kimya pole sana ndugu yangu wewe ungekuwq umekamilika ungemuacha mkeo na kumuimbia nyimbo nikweli wewe una hofu ya Mungu wewe
Ukimpa nafasi ya mwamposa ataifurahia sema hatuwezi kufanana aache ujinga sahv maisha magumu watu hawawazi ujinga wanawazia familia zao na Mungu wa kweli yuko wapi kama yeye alimuambia bc tunasubiri atuambie na sisi kama yeye la sivyo tunasubiri Mungu aje na kwetu ndio tuache kwenda kuna msemo unasema njaa humtoa mtu ufahamu😊😢😢
MUNGU anatumia binadamu kufikisha ujumbe wake,, muimbaji haja hukumu ila amefikisha ujumbe,, najua mpaka kufikia kuimba hivyo amefanya research through maandiko matakatifu so ana uhakika na anachoimba.
Anao waimbaga wako kimya tu wanaendelea na kazi. Lazima tukubali tu Mungu anaweza akafanya vitu kwa ukubwa na kushangaza. Ila wengi tunaingia kwenye mtego wa kufikiri ni shetani. Mungu atusaidie sana
Alicho kiimba na kukisema nikwel, tena ile kweli iliyo kweli ujumbe huoo sio nguvu yake kuuweka wazi bali kwa nguvu ya mungu ilioko ndani yake imemfanya aseme kweli na ukweli unaumaaaa🎉🎉🎉❤❤❤
Ooh yaliyonenwaa Yaliyoosemwa na manabii yanatimia Yaliyonenwaa hayoo yanatimia. Watu wangu Waangamiaa! Kwa kukosa maarifa Kwa kukosa maarifa! Wamezigeukiaaa njia zao mbaya, Kwa kutaka mafanikio ya haraka. Adui shetanii amewatekaa Aduii shetanii ameteka fahamu zaoo 😢😢 Naishia hapo.
Pascal naomba usome ujumbe wangu ivi kwann nyimbo zako zote una ponda watumishi wa mungu ila wewe umesahau kama ulikua frimasoni nahatujui kama kweli umetoka huko
Namim nashindwa kuelewa nyimbo zake zote nikuponda watumishi tu akiona mtu kamfanyia jambo zuri anamwimbia kumsifia sasa nashindwa kuelewa katumwa na Mungu au na freemason
Unamtaka BONIFACE MWAMPOSA mfatilie upone usipotaka acha nenda Makanisa ni mengi sana Iman yako ndio itakayo kuponya.... Acha kusema watumishi wa mungu we mtumikie mungu wako unaemuamin kupitia mchungaj yoyote hapa duniani I LOVE YOU MWAMPOSA
Waachie wana wa Mungu, siku zimefika Yesu anarudi. Manabii wote wa uongo waachie watu waabudu Mungu kwa roho na kweli sio mwilini. Wanahubiri injili ya mwilini, matendo ya mwilini na watu nao bado wanaoona na kusikia lkn macho yao yamepofushwa na kupenda vya ulimwengu huu. Ubarikiwe sana mtumishi 🙏🙏
Huyo Mungu wa kweli yuko wapi? Hao watumishi wa kweli wako wapi mbona hamuwataji? Ukimwambia mtu aondoke lakini humuonyeshi kwa kwenda hiyo iko sawa? Wapo waliokuwa wavuta bangi je warudi kuvuta?
@@abelmbata37 Ai jameni wewe mbona wakaa msumbufu kiasi hii! Wauliza Mungu wa kweli yuko wapi? Aliyefanya uamke leo ni Yeye na pumzi unayotumia ni Yeye... Mungu yupo aliyetuokoa katika nguvu za giza, akatuhamisha na kutuingiza katika ufalme wa Mwana wa pendo lake; pia watumishi wapo.... wanaohubiri kweli ya kristo na sio kuuza mafuta. Kristo hakufa kwa ajili ya mahitaji tu kila siku... mahali unahubiriwa kuacha dhambi na toba fuata hiyo madhabau.
@@abelmbata37 Kuna Mungu mmoja tu wa kweli, jina lake Yehova. Zaburi 83: 18. Yeye ni Roho; hatuwezi kumuona. Anatupenda, naye anataka tumpende. Anataka tuwapende watu wengine pia. Yeye aliye juu zaidi, muumba wa vitu vyote
Mwisho wa hizi kazi ni mbaya kaka hebu acha kupambana na watumishi na tambua kupitia wao watu wamefunguliwa na kumpokea kristo na sasa ni watumishi wazuri... hebu nawe hubiri injili uijuayo ili watu wamjue Mungu.
Iv wewe ni nabii mzee au acha mdomo wewe ni mungu mungu ndo anajua haki Kama umekosa nyimbo za kuimba nyamaza ata mpumbavu akinyamaza huhesabiwa hekima
Mtumishi wa Mungu. Jitafakari na ujitathmini. Siku ukiamka huko ulipo utakuwa umechelewa na utajuta. If you won't change; Your days are numbered man of God. The almighty God will erase you permanently Himself!
CASIAN anatafuta kiki kwa hao watumishi wa Mungu ...nafikir walio karibu nae wanampotosha hajui atendalo...Huduma ya mafuta na maji ipo Ki Biblia ,.Manabii waliwapaka mafuta wagonjwa nao wakapona...yesu alipomwambia yule kipofu kanawe KTK mto mara 7 nawe utapona ..wazee walipaka mafuta wagonjwa nao wakapona .CASINN ACHA KUPOTOSHA JAMII
Mimi ninaushuhuda wa kijana mmoja nilimwombea alikuwa anapitia mateso akafunguka likuwa kwenye chama flani cha kuzimu na akatoa ushuhuda wa mwamposa na mafuta yk na huyo kijana sasa ameokoka anasali kanisani kwetu
Hivi Kuna nyimbo gani ya paschal iliyo mbaya nyimbo zote Zina uvuvio wa Roho mtakatifu wasemaje we kuwa nyimbo mbaya nyimbo nyimbo zake Zina uwamsho sema ninyi mmefungwa na shetani ndio maana hamuelewi
Hata Yesu aliambiwa anatumia mapepo kuponya,na yule kipofu alipoambiwa wewe aliekuponya atumia mapepo,kipofu akawajibu anaponya kwa Mungu au kwa mapepo mimi sijui nachojua nilikua sioni sasa ninaona😅😅😅
Barikiwa sana mtumishi, Unachosema ni kweli kabisa Hakuna nabii kwa hiki kizazi nabii wa mwisho ni yohana mbatizaji tangu hapo tunaishi katika ukamilifu wa nyakati gal 4;4 Mafuta kwa sasa ni Holy spirit, uliona wapi Roho anakanyangwa,Roho Mtakatifu yupo ndani ya mtu si nje, Mungu atusaidie kuyaelewa maandiko kwa kweli
Mungu akubariki mtumishi kwa kusema kweli wapinge wakubali ila kweli utaishi milele, nimekubalikuwa bwana anainua watu ambao wanamukilisha katka roho nakwel kwa ajili ya kanisa lake
hatumjui mtumishi wa kweli anaye tuhubiria neno la Mungu wanakondoo wenzangu wengi wao ni waganganyifu 2 soln ni kuwana na imani yako mwenyew kwa kufanya mema uliyo amuliwa na bwana @Mungu wetu
Paschal Cassian, kasema mara nyingi na karudia kusema kama anavyoimba, tafadhari wahusika tujitafakari. Ikiwa ni kweli tuache na kutubu kama ni uongo basi tuelewe kwamba kasema. Tafadhari Tusimdharau maana kasema na amerudia kusema,
Jamniiii hata wewe hauelewi kama ni nabii wa kweli maana hapo upo tu kama kutafuta kiki bac kama na wewe kweli ni mtumishi wa MUNGU ujewafata private ukawaambia sasa kukaa mnatuchanganya huku mtandaoni hatuelewi nan ndio wa kweli na mtumishi wa MUNGU huwajioshi kwa kutumia watu bali yeye mungu humtambulisha kwamba ndio kwamba huyu ni wake sasa wewe mwenyewe hueleweki
Asante San kwa ujumbe wako huu mtumishi wapo watu watakao ukataa huu ujumbe lakn wameusikia mwenye sikio na asikie, nayeyote anae beza huu ujumbe naye nimoja Kati ya hao manabii hongera San bro
Mnatuchanganya hatujui nani kweli , hivi mnakwama wapi kuwafata live wafateni waambieni ukweli , Tanzania ni huru , sisi wasikilizaji mnatuvuruga na mtafanya tuwaone wote ni waongo , au mnaogopana, Mungu nifunge kinywa Ugali unatumbua sana wa Tz waliotuletea hawa Mungu na Miungu wao wamerelax huko Mabarani kwao huku ndiyo tunazozana Uwii
Na injiri ya kwer iubiliwe
Nimependa san ujumbe huu
Mungu akujalie vipawa zaid❤❤❤
Mungu atusaidie tumjue yeye a
Aliye mungu wa kweli, barikiwa mtumishi
Huu ni ujumbe ambao sisi wakristo wengi hatutaki kuskia ,hususan waimbaji wa injili na wahubiri .....maana injili ya kweli ni upanga na moto ulao. Pascal Mungu azidi kukuinua ,akupe maarifa zaidi na neema inayotosha.
😂😂😂😂😂sawa mtumishi
Ameen MUNGU amtunze
Mungu akupe maisha marefu mtumish wa mungu
Uko sawa ila kwakuwa saiz macho Yao yametiwa Giza hawatakuelewa ila watakuja kuelewa muda muda utakuwa umewaishia ubarikiwe sana mtumishi pascal
Amina
Amen Amen ..Amen...nimebarikiwa sana ....Endelea kusema kweli Na Mungu wa mbinguni akulinde mtumishi...namkubali Yesu aliye ndani yako.
Ameni hawataki kusoma neno nabado watakanyaga vingi tu, Watu wangu wanapotea kwakukosa maarifa,
Ubarikiwee mtumishi watu wanaamin mafuta kuliko kum wamini mungu wa kweli lazma ukweli usemwe watu wapone Mana mungu alisema tupendane uonapo mwenzio anangamia lazma umsaidie
Amen iyo ndio injiri ya Yesu kristo aloyotuagiza. Kusema kwel
Waachieni watu wamwabudu Mungu wa kweli💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿
I'm muslim pure, but pascal cassian I'm listening his song every day,the fact artist to me
Kulikuw na haja ya kusem I'm Muslim
im muslim too but this guy is just so good
Baba mungu akubariki Sana na mimi sikumoja Natamani niwekama wewe munguakubariki sanasana❤❤
Ungu akubariki sana ulichokiimba ni kweri na Amina kabisa Mungu akulinde kassian
Safi sana be blessed tumechoka kuona watu wanafugwa ufahamu kwajili ya kutafuta miujiza
Sema kwer ya MUNGU
Barikiwe sanaaa
Mnaombishia mtumishi passical cassian mtajua siku ua mwisho Yesu akirud
NICE SONG UKWELIIIIIII
Hakuna binadamu aliyekamilika ila Mungu anawajua waliowake tangu kuumbwa kwa msingi wa dunia
Hawe wa kweli au wa uongo tunachojua injili Ina hubiriwa Mungu ndo atakaye muhukumu
isome vizur bibilia itakusaidia na utajua kweli
Pole Sana hujui unachokiimba nakuonea huruma.
Huo nguvu unaotumia kupambana na wanadamu waliochagua njia zao ni vzr ukatumia kumtangaza Yesu na kusema ukweli.
Kama ivi au
Kabisaaa manake anatumiaa nguvu kubwa kuchambua watu badala atuonyeshe huyo Mungu wake wa kweli
Acha afikishe ujumbe uwezi kumpangia pia kwa vile na wew umeamuwa kuja ku comment hapa nibora ukaenda kwengine
Kwani anachofanya kina ubaya gani kazi ya mtumishi wa MUNGU ni kumtangaza Mungu kuwarejesha watu kwa Muumba wao na kuwaonya/kuonya pale inapobidi so hiyo nayo ni kazi ya Mungu.
Hiyo pia ni njia mojawapo ya kumtangaza Yesu,, mahubiri sio lazima usimame majukwaani na kupaza sauti hata uimbaji ni Mahubiri tena yanafikisha ujumbe kwa haraka zaidi.
Mtumishi Paschal Cassian umekosea pakubwa sana kujiwekelea kwenye msalaba hakika tubia hiyo dhambi n
bro God bless you yaani kile unafanya ni kikubwa sana kwa Jina la YESU watu wapokee
Kazi ya Mungu Iko na vita.....
Mungu akuzidishie neema, I have listened to your gospel for now 7 yrs, but people take you for granted, say as it is, one day God will redeem your message..
Congratulations and much Love from Kenya 🎉🎉🎉🎉
Njaa tu haliyonanyo anatafuta umaalufu kwa nguvu, huyo Mwamposa unae mjaji yupo kimya pole sana ndugu yangu wewe ungekuwq umekamilika ungemuacha mkeo na kumuimbia nyimbo nikweli wewe una hofu ya Mungu wewe
upo sahii
Ukimpa nafasi ya mwamposa ataifurahia sema hatuwezi kufanana aache ujinga sahv maisha magumu watu hawawazi ujinga wanawazia familia zao na Mungu wa kweli yuko wapi kama yeye alimuambia bc tunasubiri atuambie na sisi kama yeye la sivyo tunasubiri Mungu aje na kwetu ndio tuache kwenda kuna msemo unasema njaa humtoa mtu ufahamu😊😢😢
Mungu akubarika kaka kasian achana na awo wanaoponda maana wamefumbwa macho.
Amina Sana Kwa huu wimbo Kuna watu wamepona,maan watu wengi wamepotea sana
Siku hizi Hadi kwaya Zina kiki duu noma sana.😅😅😅
Ndugu yangu tumwachie mungu afanye kazi sake ss sio mahakimu Hakuna mkamilifu chini ya jua kila mtu anamapungufu yake hata ww poa hujakamilika
MUNGU anatumia binadamu kufikisha ujumbe wake,, muimbaji haja hukumu ila amefikisha ujumbe,, najua mpaka kufikia kuimba hivyo amefanya research through maandiko matakatifu so ana uhakika na anachoimba.
Anao waimbaga wako kimya tu wanaendelea na kazi.
Lazima tukubali tu Mungu anaweza akafanya vitu kwa ukubwa na kushangaza. Ila wengi tunaingia kwenye mtego wa kufikiri ni shetani.
Mungu atusaidie sana
Mtwanga maji kwenye kinu.. shetani uliyetumwa na mungu kuja kuwajaribu Imani ya wakristu
😢Barikwa sana mtumishi kwa nyimbo zako.
Nipo nimekaa nasoma comment nani wingine anasoma comment 😂😂😂 maana naona mechi Kali sana mwaposa FC Vs Nabii
Mimi
mimi
Cha msingi ni kuhubiri Neno la Mungu, kila mtu na achague njia ya kuiendea
Safi
hii nyimbo imenibariki sana baba kemea zambi kwa nguvu usichoke hata watakuchukia watakupiga vita usichoke mungu atakulipa
Alicho kiimba na kukisema nikwel, tena ile kweli iliyo kweli ujumbe huoo sio nguvu yake kuuweka wazi bali kwa nguvu ya mungu ilioko ndani yake imemfanya aseme kweli na ukweli unaumaaaa🎉🎉🎉❤❤❤
Usiukumu ukaja ukumiwa
Iyo nikiki nyibo sanauza
Kama una mungu wakweli homba uduma ya uongo ivunjike
Sijaelewa kikubwa imani sister tukiwa na imani tunaponywa
Ooh yaliyonenwaa
Yaliyoosemwa na manabii yanatimia
Yaliyonenwaa hayoo yanatimia.
Watu wangu Waangamiaa!
Kwa kukosa maarifa
Kwa kukosa maarifa!
Wamezigeukiaaa njia zao mbaya,
Kwa kutaka mafanikio ya haraka.
Adui shetanii amewatekaa
Aduii shetanii ameteka fahamu zaoo 😢😢
Naishia hapo.
Aisee barikiwa mwana wa MUNGU ujumbe huu unachoma sana maana umeimba ukiwa rohoni sana umevuviwa na nguvu ya MUNGU barikiwa sana
Kweri kabisa upo sahihi
Mungu akubariki kwa kulijua hilo na kuliweka wazi. ukwe lazima usemwe. Nabii ni mmoja tu tulie nae. Na sio vinginevyo
Pascal naomba usome ujumbe wangu ivi kwann nyimbo zako zote una ponda watumishi wa mungu ila wewe umesahau kama ulikua frimasoni nahatujui kama kweli umetoka huko
Sijui ndio mahubiri yenyewe au lah??!!!!😂
Namim nashindwa kuelewa nyimbo zake zote nikuponda watumishi tu akiona mtu kamfanyia jambo zuri anamwimbia kumsifia sasa nashindwa kuelewa katumwa na Mungu au na freemason
Nyie wapumbavu wa miujiza feki mwacheni paschal aimbe ukweli saw iyo ndo injili tunayoijua
Elewa neno tubu
Wewe hubiri injili ya kweli watu watakapofunguka watakuja.
Huku ni kukosa hekima katika mwili Wa Kristo
Kwani hapo anahubiri matako yako au Mungu
Kwani hapo anahubiri matako yako au Mungu
❤❤❤ penda sana pascal
Yan wewe kila mtu ana dhambi kwahiyo wewe ndo mtakatifu peke yako bas hongera
Amelaaniwa mtu yule angikwaye msalabani Yesu Kristo anatosha wewe unafanyaje sasa
Nakupenda sana mtumishi msema kweli ata kwenye biblia miujiza ilikua inafanyika kwa namna tofauti haikua ya njia moja
Unamtaka BONIFACE MWAMPOSA mfatilie upone usipotaka acha nenda Makanisa ni mengi sana Iman yako ndio itakayo kuponya.... Acha kusema watumishi wa mungu we mtumikie mungu wako unaemuamin kupitia mchungaj yoyote hapa duniani
I LOVE YOU MWAMPOSA
turudi kwenye biblia kuponya maisha yetu ndio ujumbe hapo ,mafuta na chumvi ni ushirikina ,Yesu anajitosheleza ,
Wewe kasian unawivu sana maisha Yana kuchapa mtu akifanikiwa kidogo maneno Yana anza punguza mdomo
Hasira za njaa😢
Mungu akutoe gizan
Mtumishi kweli jumbe zako.zinafunuo wa RoHo MTAkATiFU
Waachie wana wa Mungu, siku zimefika Yesu anarudi. Manabii wote wa uongo waachie watu waabudu Mungu kwa roho na kweli sio mwilini. Wanahubiri injili ya mwilini, matendo ya mwilini na watu nao bado wanaoona na kusikia lkn macho yao yamepofushwa na kupenda vya ulimwengu huu.
Ubarikiwe sana mtumishi 🙏🙏
Nyimbo za pascal Cassian zinaujumbe mzito .nami zimenifundisha neno la Mungu kabisa.🙏🙏🙏
@@leonidasbzzojoyhatung3118 sana yaani
Huyo Mungu wa kweli yuko wapi?
Hao watumishi wa kweli wako wapi mbona hamuwataji? Ukimwambia mtu aondoke lakini humuonyeshi kwa kwenda hiyo iko sawa? Wapo waliokuwa wavuta bangi je warudi kuvuta?
@@abelmbata37 Ai jameni wewe mbona wakaa msumbufu kiasi hii! Wauliza Mungu wa kweli yuko wapi? Aliyefanya uamke leo ni Yeye na pumzi unayotumia ni Yeye... Mungu yupo aliyetuokoa katika nguvu za giza, akatuhamisha na kutuingiza katika ufalme wa Mwana wa pendo lake; pia watumishi wapo.... wanaohubiri kweli ya kristo na sio kuuza mafuta. Kristo hakufa kwa ajili ya mahitaji tu kila siku... mahali unahubiriwa kuacha dhambi na toba fuata hiyo madhabau.
@@abelmbata37 Kuna Mungu mmoja tu wa kweli, jina lake Yehova. Zaburi 83: 18. Yeye ni Roho; hatuwezi kumuona. Anatupenda, naye anataka tumpende. Anataka tuwapende watu wengine pia. Yeye aliye juu zaidi, muumba wa vitu vyote
Mwisho wa hizi kazi ni mbaya kaka hebu acha kupambana na watumishi na tambua kupitia wao watu wamefunguliwa na kumpokea kristo na sasa ni watumishi wazuri... hebu nawe hubiri injili uijuayo ili watu wamjue Mungu.
Ogopa sana mtumishi yoyote anaehubiri kuhusu mtumishi mwingine
Yule c mtumishi ni nabii
akikwambua kwamb yeye nabi
Amn ukwel wowote,kwann uwataje watumishi wa Mungu
God bless you pascal,, kwenye waimbajii hapo ni hatar hasa kwa waimbajii wanawake kuwaacha waume zao imekuw to much
Eeeh mungu Linda mtumishi wako aendelee kufungua macho wote ili tujue ukweli ambao hatujaskia kwa makanisa 🙏🙏🙏
God bless u, wakuabudiwa ni Mungu pekeee
Heeeeeeei watumishi mmefikia huko kutungiana nyimbo uwiiiiii yesu rudiiii
Iv wewe ni nabii mzee au acha mdomo wewe ni mungu mungu ndo anajua haki Kama umekosa nyimbo za kuimba nyamaza ata mpumbavu akinyamaza huhesabiwa hekima
Ulicho nyimwa ww Mungu kawapa wengne mwenyew usijichukulie mamlaka mikonon acha kukashifu manabi wa Mungu.
Mtumishi wa Mungu. Jitafakari na ujitathmini. Siku ukiamka huko ulipo utakuwa umechelewa na utajuta. If you won't change; Your days are numbered man of God. The almighty God will erase you permanently Himself!
Hapo unamaanishaa kuwa dhetani ananguvu kuliko Mungu.
CASIAN anatafuta kiki kwa hao watumishi wa Mungu ...nafikir walio karibu nae wanampotosha hajui atendalo...Huduma ya mafuta na maji ipo Ki Biblia ,.Manabii waliwapaka mafuta wagonjwa nao wakapona...yesu alipomwambia yule kipofu kanawe KTK mto mara 7 nawe utapona ..wazee walipaka mafuta wagonjwa nao wakapona .CASINN ACHA KUPOTOSHA JAMII
Lakn ilikua ni bure sio hela
Kweli kabisa @@AngelNelson-y4t
Mimi ninaushuhuda wa kijana mmoja nilimwombea alikuwa anapitia mateso akafunguka likuwa kwenye chama flani cha kuzimu na akatoa ushuhuda wa mwamposa na mafuta yk na huyo kijana sasa ameokoka anasali kanisani kwetu
Hakika MUNGU azidi kukuinua uwakomboe Mimi nashuhudia nilaanza kuwa mfuas lkn saiz nimerudi kwa MUNGU wangu wa kweli
Mungu aendelee kukutunza mtu wa mungu uendelee kutufunulia
Sasa we ndio uwaubilie watu injili ya kweli sio kudili na ao watu,acha wivu fanya yako mungu na wewe atakuinua,nyimbo yenyewee mbaya
Huo ndio ukweli aache kudili na watu,yeye akazane atuonyeshe Mungu wa kweli ili watu wafate
Hivi Kuna nyimbo gani ya paschal iliyo mbaya nyimbo zote Zina uvuvio wa Roho mtakatifu wasemaje we kuwa nyimbo mbaya nyimbo nyimbo zake Zina uwamsho sema ninyi mmefungwa na shetani ndio maana hamuelewi
Acha ushabiki wa kijinga ww,
Kiki zimefika kwenye Nyimbo za Injili
Tuhubirieni neno, hao manabii na mitume twaache na Mungu wao
Uko sahihi kaka casiani nimekuelewa inabidi tusali wenyewe tusiombewe
Axnt kwa ujumbe
Mungu hakusaidie kumjua zaidi ya hapo lipo fikia akufunguwe zaidi mtumishi
Haisaidii kitu kwendaaaa
Safi ujumbe mzuri
WAAMBIEEE UKWELIIIIIIII
Acha waambiwe ukweli,,hao manabii waongo
Unakosea sana kijna usiwataje Manabii wawatu mungu pekee ndo qnajua ukweli wote kikubwa tunapokea uponyaji hatujali hilo
Hata Yesu aliambiwa anatumia mapepo kuponya,na yule kipofu alipoambiwa wewe aliekuponya atumia mapepo,kipofu akawajibu anaponya kwa Mungu au kwa mapepo mimi sijui nachojua nilikua sioni sasa ninaona😅😅😅
Mungu naomba tusaidie kupata kufunuliwa Mach ya rohoni maana ilitabiria watakuja manabii wa uongo saa umefika na wakati umefika Mungu tusaidiee
Yesu azidi kukutetea mtumishi
Ndicho kinachokutesa wivu hilo kundi la kweli kwendaaa
Ukweli mujungaji mungu akubariki hii wembo naisikiyanga kila siku ukweli kabiza from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪and i love you song🎉🎉🎉🎉🎉
Mungu akulinde mtumishi wa Bwana
Enyi watu watu wa Mungu fungukeni,hao manabii wengi wapo kwaajil ya utapeli...somen neno la Mungu fungukeni.....mtakanyagishwa mafuta mpka mkome
Ufunuo ni wa Siku moja.Nashangaa sanaa..Sijamsikia Mwaposa anataja damu ya Yesu.Nabii mkuu ni Yesi tu.sema watu wapone
Hakika haswaa
Amen mungu akubariki mtumishi
Yaan skujua vizur kumbe unawaimba. Watumishi pole sanaaaaa
Barikiwa sana mtumishi,
Unachosema ni kweli kabisa
Hakuna nabii kwa hiki kizazi nabii wa mwisho ni yohana mbatizaji tangu hapo tunaishi katika ukamilifu wa nyakati gal 4;4
Mafuta kwa sasa ni Holy spirit, uliona wapi Roho anakanyangwa,Roho Mtakatifu yupo ndani ya mtu si nje,
Mungu atusaidie kuyaelewa maandiko kwa kweli
Apo kwenye kuwaachia watu wa Mungu nimepapenda sana hakika watu wametekwa sanaa
Mungu akubariki mtumishi kwa kusema kweli wapinge wakubali ila kweli utaishi milele, nimekubalikuwa bwana anainua watu ambao wanamukilisha katka roho nakwel kwa ajili ya kanisa lake
Barikiwa mtushi wewe umeongea ukwer mtupu
hatumjui mtumishi wa kweli anaye tuhubiria neno la Mungu wanakondoo wenzangu wengi wao ni waganganyifu 2 soln ni kuwana na imani yako mwenyew kwa kufanya mema uliyo amuliwa na bwana @Mungu wetu
Paschal Cassian, kasema mara nyingi na karudia kusema kama anavyoimba, tafadhari wahusika tujitafakari. Ikiwa ni kweli tuache na kutubu kama ni uongo basi tuelewe kwamba kasema. Tafadhari Tusimdharau maana kasema na amerudia kusema,
Acha ngebe,wahubirie watu habar njema za yesu ,acha kuponda watumishi wa Mungu,anzisha kanisa lako na ww km ni rahisi
Jamniiii hata wewe hauelewi kama ni nabii wa kweli maana hapo upo tu kama kutafuta kiki bac kama na wewe kweli ni mtumishi wa MUNGU ujewafata private ukawaambia sasa kukaa mnatuchanganya huku mtandaoni hatuelewi nan ndio wa kweli na mtumishi wa MUNGU huwajioshi kwa kutumia watu bali yeye mungu humtambulisha kwamba ndio kwamba huyu ni wake sasa wewe mwenyewe hueleweki
Vita ya uchumi ngumu sana😂😂😂
Mungu akubariki Sanaa🙏,,,Mungu azidi kukupa ujasiri na Maisha marefu,,,wote tunajua ukwel
😂😂😂 We mashabiki wa mwamposa hameni huko
Mungu akulinde ktk vita uliyo nayo
Huu ni ujumbee kwa wale wakeisto anbao hawana msimamo katika Imani zao kiufupi ni wale watangajitangaji
Asante San kwa ujumbe wako huu mtumishi wapo watu watakao ukataa huu ujumbe lakn wameusikia mwenye sikio na asikie, nayeyote anae beza huu ujumbe naye nimoja Kati ya hao manabii hongera San bro
Hoooo mtumishi siri zilizofichwa machoni pa mwanadamu anae weza kuzifichua mungu kwahiyo yote saw ila bwana wa majeshi anjua ameeeeen
😭😭😭nyimbo mpk imeniliza watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa mungu akubariki kaka damu ya yesu ikukinge na vita vyote na nira mbaya kwako
Mnatuchanganya hatujui nani kweli , hivi mnakwama wapi kuwafata live wafateni waambieni ukweli , Tanzania ni huru , sisi wasikilizaji mnatuvuruga na mtafanya tuwaone wote ni waongo , au mnaogopana, Mungu nifunge kinywa Ugali unatumbua sana wa Tz waliotuletea hawa Mungu na Miungu wao wamerelax huko Mabarani kwao huku ndiyo tunazozana Uwii
Upatapo nafasi ongeza juhud kusoma biblia utajua ukweli
Injili ya kweli Huwa haiendi na WAKATI...neno litasimama ila mambo yote yatapita