@@user-hh2vo6xk7r my tribe is Kenya my home is Kenya my country is Kenya what is your problem I don't subscribe to silly tribal shenanigans they're the reason most Kenyan youths are jobless ...hapa tuko kufariji ndugu zetu kutoka TZ mengine jiwekee nonsense
I’m a Nigerian 🇳🇬 and I just came across this song. The melody is sooo beautiful, Swahili is such a lovely language.The melody just got me thinking and reflecting about life.🥹🕊️
Wakenya wenye tunaandamana na Hawa marafiki zetu TikTok, Facebook and here UA-cam let's gather here na wenye wame watch mara zaidi ya moja weka like✌️👋
On behalf of Ugandans, we are sorry and saddened by the death of such a young soul who was devoted to God's service 🙏. Our sure hope is the resurrection, when the Saints go marching in!
Pokeeni pole kutoka Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪mungu awape faraja wakati huu mgumu, poleni sana wanakwaya wote, familia pamoja na nchi ya Tanzania,, hili jambo limeguza Kila mtu,, mungu tayari kamweka mahala pa wema wake na tunaamini ipo siku tutaonana tena,, kipaji Chake kitabaki kumbukumbu kwetu, mungu awape neema Wana wake waendeleze kipaji hicho.. nanyi waimbaji mungu awape nguvu hili muendelee kumtumikia zaidi ,, it is well.
From my beloved country 🇰🇪🇰🇪 and At my low point of life i just had to bump on this song 😭😭😭😭 My good Lord touch our souls and heal the pain we're going thru.. Keep on resting in peace 🙏 Marco coz because of you this song was sang to heal the broken hearts 😭😭😭😭
Am dedicating this song to myself after losing my mom who was my best friend, Kwa kweli Mungu angeniuliza singekubali umchukue mamangu, ila mapenzi Yako na yatimie... Poleni our brothers and sisters,more prayers from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Marco ameitwa na Bwana na ametii, ameitika.. Siku zetu za kuishi. duniani ni chache na zinahesabika.... Amekufa akiwa Mtumishi wake Kristo, na waliokufa katika Bwana hawafi, bali wanaishi ... Mnajihisi wapweke ila yu Pamoja nanyi🙏.... Mungu wetu Muaminifu azidi kuikumbatia Familia yote! Sifa na utukufu tunamrejeshea Bwana🙏 Bwana ndie aliyemleta kwetu, na yeye ndie kamchukua na hatuna budi kushukuru.. Amen 🙏😊
Nyimbo ni mzuri Sana Zabron Singers 🔥🔥🔥🔥NATAZAMA KUTOKA NCHI JIRANI YA KENYA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪WAKENYA MPOOOOOO‼️‼️‼️‼️MBONYEZE LIKE💓💓💓💓
Hapa ndio nimejua wakenya wanapenda Zabron singers Mungu awabariki sana majirani zetu tuendelee kupeana moyo tutakutana na Marco katika asubuhi njema Yesu atakaporudi haya machozi tunayolia hatutalia tena❤❤❤
Hili nineniumiza Nili imeniuliza sana Awamu hii nimeumiaia sana mungu nisaidie mbona umeniacha sana katika hili nimetumia sana eee mungu nisaidie Rip Marco wale bado tunatiririka na machozi weka like ilinieze kurudi na kuutazama huu wimbo Tena
Katika hili hakika limeumiza watu wengi sana nkiwa mmoja wao hakika Mungu wa rehema na neema awafariji wateule na aendelee kuwatia nguvu kuieneza injili
Poleni sana Dada Victoria, Ndugu Japheth na wanazabroni wote kwa kumpoteza Mwenyekiti, mwalimu mpendwa wenu Ndugu Marco Joseph, Mtu wa watu na mpatinishi. Mungu awafariji na awatie nguvu wakati huu mgumu sana. Mungu awalinde. Wapi Likes za Zabron kutoka Kenya na TZ Jameni!
Kenya tumehuzunishwa sana pia. Tunaomba Mungu awape nguvu wana Zabron Singers kwa wakati huu mgumu. Nina jirani yangu dada wa Kiislamu yuaimba nyimbo zenyu zote na alilia sana alipokua anafuatilia matanga yake Marco. Yesu anaguza kila mtu kupitia kwa sauti na nyimbo zenyu. Naomba aendelee kuwapa nguvu.
Marco umeniliza nilikupenda kaka kweli ulikua unanibariki Sana ulikua na kitu Cha kipekee nilitamani ungekuwepo kwenye kusolo huu wimbo 😢 ona Sasa sikuoni tena daaaah, pumzika kwa amani
Oooh😢😢 mwenyezi mungu hakika hili limetuumiza na kutuliza watu wote sio kwa TANZANIA 🇹🇿 Na KENYA 🇰🇪 Tu Bali afrika mashariki yote mwenyezi MUNGU Aendelee kukupunguzia adhabu ya kaburi huko uliko😢😢😢
Wimbo hii niya huzuni sana, kwa kweli Dunia nzima inaomboleza Marco mtu wa watu, mpataninishi, mpendwa wetu sote. Mungu awatie moyo Marco Sasa ni Malaika wa Gospel kwa ufalme wa Mungu ❤
Mimi ni m-Kenya🇰🇪....ni kweli....mmeumia sana....hili ni janga katika kikundi chenu....kama mimi nalia hivi....nyinyi je?....😭😭😭...ninasikiza nyimbo zenu zote nikilia tu....😭😭😭....nawaombea Mungu awape nguvu na azipe hili pengo....kwangu mlikuwa No. 1...ringtone ya simu yangu ni Mkono wa Bwana...😭😭😭
Mungu awatie nguvu msonge mbele msihisi kupungukiwa, lkn bad sijajua khus mwimbaji was kipind wimb wa mkono wa bwana aliyekua Sol list na vctr yuk wap?
This hits deeper kama you've lost someone so close to you.. grief is permanent but God's grace is sufficient.. Mungu atusaidie tusimteteshe,atupe moyo wa kukubali na nguvu
Huu wakati una nikumbusha ile wakati ile kundi la waimbaji wa Rwanda walipo achwa nawapendwa wao 😭😭😭! Ila kwa Sasa wameisha si mama tena ! Na nyinyi nazani muta kuwa Mtazidi kuwa hodari kuzidi hata mwanzo! Mungu ni mwema tu kwetu siku Zote ❤❤❤
Much thanks for this song...from DRC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩..mboté na bino nyonso batu ya kenya...nzembo oyo ezo pesa biso pasi😢😢😢 je dedie c chant..a la population de l'est du congo ...all congolese support me..!!!
I declare there shall be no another premature death to Zabrons choir, and as the mountains surrounds Jerusalem so shall it be for zabrons now and forever. No more bad news. Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
And the song compsed in a solemn tone very touching indeed. It will be used in funerals alot. Good job wana ZABRON and my condolences still go to his wife who was really hit by this demise. May God grant her peace and strength to take care of the little ones. Always in our prayers GOD BLESS MAMA
Wapi likes za wakenya tunaopenda zabron singers😢
God Bless everyone for supporting this amazing choir... And for 3.2k + likes Thanks
Tupitiane
This wasn't fair 😭
We are here kenyans
Wakenya tuko na nyinyi kwa kipindi hiking kingumu
We are here, this was so painful,my God strengthens you guys 😢😢
Tribe KENYA weka button pole ndugu zetu kutoka Tanzania 😢
Wewe hujielewi, is Kenya a tribe or country???
So touching
Ni wewe hujielewi.
He has used the best term, meaning one Kenya and yes am tribe kenya@@user-hh2vo6xk7r
@@user-hh2vo6xk7r my tribe is Kenya my home is Kenya my country is Kenya what is your problem I don't subscribe to silly tribal shenanigans they're the reason most Kenyan youths are jobless ...hapa tuko kufariji ndugu zetu kutoka TZ mengine jiwekee nonsense
Anajielewa. Kenya is a country not a tribe, that's right, but understand his comment according to the context. Thank you. @@user-hh2vo6xk7r
Kama unapenda nyimbo za zabron singers let's gather here as Kenyans
Hebshss😅
I’m a Nigerian 🇳🇬 and I just came across this song. The melody is sooo beautiful, Swahili is such a lovely language.The melody just got me thinking and reflecting about life.🥹🕊️
Welcome Tz
😢😢they are singing with bitterness for losing one of their choir members
They sang in pain after loosing one of them some months back
Thanks and be blessed Win
Wakenya mko wap maana Marco alikua anatupenda San sisi wakenya ju ata mwisho wake alikua apa Kenya😭😭😭😭😭nipe like zako tukiomboleza🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
😭😭😭😭 Mungu awape nguvu
Ata sisi tunashindwa kuzoea😭😭
Bado inauma 😢😢😢😢
May God give them peace that surpasses human understanding.
This is very deep😭😭😭
Am among Kenyans🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 who are sending word of condolences... poleni Sana
Kama umeguswa na huu wimbo ganga like kwangu
Nimeguswa ,nimepoteza mtoto wa dada yangu ..its so painful for me n my family.
@@duduville pole sana
@@duduville pole sana mimi nimepoteza sister yangu 😢😢😢
Poleni sana
Polen sana
kama unapenda nyimbo za zabrons singers lets gather here KENYA
Wakenya wenye tunaandamana na Hawa marafiki zetu TikTok, Facebook and here UA-cam let's gather here na wenye wame watch mara zaidi ya moja weka like✌️👋
On behalf of Ugandans, we are sorry and saddened by the death of such a young soul who was devoted to God's service 🙏.
Our sure hope is the resurrection, when the Saints go marching in!
🎉🎉 tupoo
Tuko hapa mkuu
Wakenya wanaopenda Zabron singers mko wapi. Naomba likes
Niko hapa 👋
Tuko
Tuko wengi
Surely imetuuma pia sisi lakini twatulia kwako Mungu
Sijui kama Niko pekeangu ila najikuta nalia tuu💔 kifo hakina huruma😓😥
Leaving this comment so whenever someone from Kenya likes, I come back to watch this piece
😢😢😢
Come and watch please
Come back please
ua-cam.com/video/IBoj_7T6SNQ/v-deo.htmlsi=AKcqPGhYzF-4i8ih
Not only Kenya.. The song is so super and emotional.. Everyone feels it.. One love from Kampala, Uganda
I've come here after losing my lovely Mom 🤱❤ 15/10/2024 was bad day ever to me😭...R.I.P MY MOM❤
Hugs
My condolences to you and your family. Take heart 🫂
Ipo siku utapata amani teeena,kufiwa na mama daaaaaa haielezeki
Continue taking heart dear...God still on the throne
Nawaombeeni muwe imara hata baada ya pigo hili kali ...kweli kifo hakizoeleki....Amani ya Kristo iwatawale daima.Shabiki yenu toka KENYA
Mungu wape nguvu wana zabron singers from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪ukumbuke familia ya Marco kwa maana wewe ndio Mme wa wajane na baba wa yatima.
Wa kwanza kufika uku kutoka kenya 😭😭😭
Tumefika😢😢😢😢
@@estherhadassah4906aki nikiona hii wimbo mahali popote naanza kulia aki
😢😢
So so sad😢, may the peace of God be with you all, from KENYA
😢😢😢
Sauti zinanibariki,lakini Sijui kwa nini sauti ya huyu dada anayeanza 1:32 ILA NAELEWA MUNGUU ...inapenya kwa utulivu sanaaa❤❤
Aliye urudia wimbo huu zaidi ya mara moja gonga like tukiwafariji zabron singer
I watch everyday. Hata tulipopoteza watoto kwa mkasa wa moto Kenya huu wimbo ulitangulia kwenye mkutano wa X.🙏
Kenya 🇰🇪 Wanaupendo wa kweli na jirani zao Mungu awatunze Wakenya🙏
Amina.
AMEN
Amen 🙏
Amen
Amina dada yetu
Tumeumia sana hapa Kenya ,juu nyinyi watanzania Huwa mnatubariki na nyimbo nzuri za injili...Mungu atawapa njia nyingine na nguvu....
Hakika inauma sana tena saaana. 😭😭😭😭😭😭Bwana YESU AWAFARIJI NDUGU ZANGU KATIKA KRISTO.
Pokeeni pole kutoka Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪mungu awape faraja wakati huu mgumu, poleni sana wanakwaya wote, familia pamoja na nchi ya Tanzania,, hili jambo limeguza Kila mtu,, mungu tayari kamweka mahala pa wema wake na tunaamini ipo siku tutaonana tena,, kipaji Chake kitabaki kumbukumbu kwetu, mungu awape neema Wana wake waendeleze kipaji hicho.. nanyi waimbaji mungu awape nguvu hili muendelee kumtumikia zaidi ,, it is well.
Pokea pole zetu kutoka Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪,,farijikeni katika bwana
Hello
Poleni sana zabrons.
@@ImaniMadiba-yu7wnp6
@@Marion729 inaumiza Saaana 😭💔😢
Poleni
Mungu watie nguvu kwenye kipindi hiki kigumu pia muendeleze kipaji cha mtoto wa macro Ili uwepo wake kwenye sanaa uendelee kuishi ameen
Death ain't easy they've United in Christ and will never depart in spirit will praise together our hope are united in Christ
From my beloved country 🇰🇪🇰🇪 and At my low point of life i just had to bump on this song 😭😭😭😭 My good Lord touch our souls and heal the pain we're going thru.. Keep on resting in peace 🙏 Marco coz because of you this song was sang to heal the broken hearts 😭😭😭😭
Much love from kenya❤❤❤ msife moyo...😢😢😢😢pita na like
Kutoka Kenya tunaendelea kusema poleni Sana
Worship song
Kama fan wa zabron singers from kenya , niliumia sana bt kwa yote mungu ako na sababu, thou kuna sauti inamiss 😢 ,
😢
Marco alikuwa na vocals poa sana MUNGU awape Amani moyoni mwenyu ❤❤.
🥲
😢
co mungu ni Mungu
Hongera Sana Mtumishi Wa Mungu Kwa Wimbo nzuri Sana.Barikiwa sana
Sisi tumeumia sana😭😭😭Tunakiri tunakuhitaji sana. Mola awatie nguvu🙏🙏Condolences from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
As a Kenyan poleni sana ❤️❤️❤️❤️ nliumia pia sana 😢😢😢enda salama.poleni saluti ya Marco ina miss apo.kenya pita na like
Mungu awaidie san msonge mbele
Your Kenyan 🇰🇪 brothers are deeply sympathizing with you,poleni sana Kaka Zetu Watanzania 🇹🇿.
Mungu azidi kuwainua Zabron wimbo mzuri Yesu ajitokeze tena katika maisha yangu.
Am dedicating this song to myself after losing my mom who was my best friend, Kwa kweli Mungu angeniuliza singekubali umchukue mamangu, ila mapenzi Yako na yatimie... Poleni our brothers and sisters,more prayers from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
May her dear soul rest in peace sister
Pole sana sister
Sorry for the lost
From Kenya🇰🇪 our Condolences 🙏🙏
Tufundishe kuzihesabu siku zetu vizuri, ili tujipatie moyo wa hekima. ZAB 90:12
Marco ameitwa na Bwana na ametii, ameitika.. Siku zetu za kuishi. duniani ni chache na zinahesabika.... Amekufa akiwa Mtumishi wake Kristo, na waliokufa katika Bwana hawafi, bali wanaishi ... Mnajihisi wapweke ila yu Pamoja nanyi🙏.... Mungu wetu Muaminifu azidi kuikumbatia Familia yote! Sifa na utukufu tunamrejeshea Bwana🙏 Bwana ndie aliyemleta kwetu, na yeye ndie kamchukua na hatuna budi kushukuru.. Amen 🙏😊
😭😭🙏
Aki zabron singers family si mnichukue niimbe nanyi tafadhali
Nyimbo ni mzuri Sana Zabron Singers 🔥🔥🔥🔥NATAZAMA KUTOKA NCHI JIRANI YA KENYA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪WAKENYA MPOOOOOO‼️‼️‼️‼️MBONYEZE LIKE💓💓💓💓
ua-cam.com/video/IBoj_7T6SNQ/v-deo.htmlsi=AKcqPGhYzF-4i8ih
Hapa ndio nimejua wakenya wanapenda Zabron singers Mungu awabariki sana majirani zetu tuendelee kupeana moyo tutakutana na Marco katika asubuhi njema Yesu atakaporudi haya machozi tunayolia hatutalia tena❤❤❤
Umejua tangu lini, msiba usikufanye ujue hata wewe penda wakenya
@@macheraonyango6758 na wapenda sana nimewahi kuishi kenya wakipenda hawana unafiki ❤️❤️
Tunawapenda sana sana.
Hili nineniumiza
Nili imeniuliza sana
Awamu hii nimeumiaia sana mungu nisaidie mbona umeniacha sana katika hili nimetumia sana eee mungu nisaidie Rip Marco wale bado tunatiririka na machozi weka like ilinieze kurudi na kuutazama huu wimbo Tena
Hatujui siku Wala saa lakini kazi ya mungu Haina kosà acha apumzike Kwa amani 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wakenya mko wapi tuomboleze na ndugu zetu wa zabron..gonga like tuonyeshe upendo😭😭😭 🎉🎉🎉🎉
Bs
Yur
Bxu
Zvt
ua-cam.com/video/IBoj_7T6SNQ/v-deo.htmlsi=AKcqPGhYzF-4i8ih
Wapi likes zabron ,,, from KENYA ❤
.mwana kam'gwa
Views m 1 tumefika lakin ata like 2 TU kwa ajili ya kuwafariji zabrongs singers
Much love from Kenya 😢msife moyo zabron singers mungu yupo nanyi kila wakati
Katika hili hakika limeumiza watu wengi sana nkiwa mmoja wao hakika Mungu wa rehema na neema awafariji wateule na aendelee kuwatia nguvu kuieneza injili
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 from Kenya Roho yake iko binguni pateni nguvu juu ameeda akijua Mungu
ua-cam.com/video/IBoj_7T6SNQ/v-deo.htmlsi=AKcqPGhYzF-4i8ih
Kama wewe ni Mkenya🇰🇪 let's show love by giving them likes na mnipitie tukisonga
Who is here November,,,,,, sometimes it's not easy but lord is on our side😭just give me a like
I'm here 😢God is faithful 🙏
Me too
😢😢
Me too
Poleni sana Dada Victoria, Ndugu Japheth na wanazabroni wote kwa kumpoteza Mwenyekiti, mwalimu mpendwa wenu Ndugu Marco Joseph, Mtu wa watu na mpatinishi. Mungu awafariji na awatie nguvu wakati huu mgumu sana. Mungu awalinde. Wapi Likes za Zabron kutoka Kenya na TZ Jameni!
Wakenya🇰🇪🇰🇪😢 tulikupenda
sana but mungu ni nani akaamua urudi kwake jina lake litukuzwe😢
Kenyans🇰🇪 let's make this song to trend number 1 kumorn marco 😢
Poleni sana ndugu zangu, kifo cha mpendwa wetu marko kimetugusa wote. Hakika kifo ni fumbo, mungu ailaze pema roho ya marehemu. poleni wapendwa wote
From Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tumeumia pia sana ila mungu awatie nguvu wakati huu mungum Rip Marco we already miss you 😭😭😭😭💔💔💔💔
😢😢😢😢
kwanyimbo hii munazidi kuniliza😢ewe mwokozi wetu Yesu kristo tunaomba faraja toka kwako 🙏🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Can't get tired of listening to the song ata kama tumempoteza ndugu yetu😢😢😢😢🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Every single day.
❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kabisa
Pole sana ndugu zangu,nasi tulikuwa tukimupenda Marco kupitiya nyimbo,sote tumevunjika moyo Na tutamukumbuka daima
Kenya tumehuzunishwa sana pia. Tunaomba Mungu awape nguvu wana Zabron Singers kwa wakati huu mgumu. Nina jirani yangu dada wa Kiislamu yuaimba nyimbo zenyu zote na alilia sana alipokua anafuatilia matanga yake Marco. Yesu anaguza kila mtu kupitia kwa sauti na nyimbo zenyu. Naomba aendelee kuwapa nguvu.
Imetuuma wakenya sana 😭😭, wakenya mko wapi tulie na wenzetu 😢😢.
Marco umeniliza nilikupenda kaka kweli ulikua unanibariki Sana ulikua na kitu Cha kipekee nilitamani ungekuwepo kwenye kusolo huu wimbo 😢 ona Sasa sikuoni tena daaaah, pumzika kwa amani
Naomba na Mimi mtu anishike mkono ,nateseka sana huku saudia na watoto wangu nyumbani..Mungu naomba msaada pia😢😢
I wish you well from here in Houston TX.
What's going on kwan
@@atuyade1❤
Pole San mungu pekee ndyo umtegemee
Poleni sana Wana zabron, tupone sote Kenya tunawajali 🇰🇪 Amani
Oooh😢😢 mwenyezi mungu hakika hili limetuumiza na kutuliza watu wote sio kwa TANZANIA 🇹🇿 Na KENYA 🇰🇪 Tu Bali afrika mashariki yote mwenyezi MUNGU Aendelee kukupunguzia adhabu ya kaburi huko uliko😢😢😢
🇰🇪🇺🇲 Nitie nguvu Baba nimechoka, moyo unauma nimechoka😢😢😢😢 nisaidie Baba nimechoka, peke yangu Baba siwezi😢😢😢😢.
Mungu akutie nguvu atajibu kwa wakati Sawa Sawa na mapenzi take.
mimi pia imenigusa sana ila Mungu hakosei🙏poleni sana Mungu wa faraja ako na nyinyi hatawaacha
May God keep comforting zabron singers from Kenya poleni sana🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Aise wakenya mnaipenda zabron kuliko hata watanzania
Poleni sana Wana ZABRON na familia kiujumla
Kabisaa twaipenda sana let Marco rest in peace and eternal life 😢😢
Sauti ya Marco haipo katika huu wimbo 😢😢 ni upweke sana Mungu awatie nguvu ndugu zetu mlibebe hili poleni sana
Wimbo hii niya huzuni sana, kwa kweli Dunia nzima inaomboleza Marco mtu wa watu, mpataninishi, mpendwa wetu sote. Mungu awatie moyo Marco Sasa ni Malaika wa Gospel kwa ufalme wa Mungu ❤
Poleni sana rafiki zangu🙏🙏, RIP MARCO😢🕊️💔
Msiba unauma sana kiukweli unatia hasira sana unavunja moyo sana watu wazuri ndo wanaondoka inauma jaman
Tanzania like hapa tulio guswa na huu msiba🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
ua-cam.com/video/IepNe-BSaJM/v-deo.htmlsi=6AxrfDnQN6dahzZO
Poleni Shujaa wa Kristu, Mungu awatie Nguvu, endeleeni kumpenda Marco na Familia Yake, huko mkimtumikia Mungu.
Jamani mm mnaumia sana nimaludishia mala mbili kama yupo mwezangu mnayopitia maumivu kama yangu like
dah!! sijui Mungu aliwaza nn, jaman maumivu ni makali jaman lakin hatuna namna mpendwa wetu kaondoka hiv hiv 😰😰😰😰😰😰
Ni maumivu kwa kweli nimeangalia nyimbo kariba mara 20
Inaumiza sana
Mungu wangu mtie mke wake nguvu awezr kuwalea hao watoto.
Am here from Kenya,,it has really heart me,,rip Marcos zabron singers take heart
Mimi ni m-Kenya🇰🇪....ni kweli....mmeumia sana....hili ni janga katika kikundi chenu....kama mimi nalia hivi....nyinyi je?....😭😭😭...ninasikiza nyimbo zenu zote nikilia tu....😭😭😭....nawaombea Mungu awape nguvu na azipe hili pengo....kwangu mlikuwa No. 1...ringtone ya simu yangu ni Mkono wa Bwana...😭😭😭
Aki n8 uchungu Mungu awatie nguvu
Mungu awatie nguvu msonge mbele msihisi kupungukiwa, lkn bad sijajua khus mwimbaji was kipind wimb wa mkono wa bwana aliyekua Sol list na vctr yuk wap?
Tears are dropping down on my cheeks this is Soo painful😢😢😢
This hits deeper kama you've lost someone so close to you.. grief is permanent but God's grace is sufficient..
Mungu atusaidie tusimteteshe,atupe moyo wa kukubali na nguvu
Huu wakati una nikumbusha ile wakati ile kundi la waimbaji wa Rwanda walipo achwa nawapendwa wao 😭😭😭! Ila kwa Sasa wameisha si mama tena ! Na nyinyi nazani muta kuwa Mtazidi kuwa hodari kuzidi hata mwanzo! Mungu ni mwema tu kwetu siku Zote ❤❤❤
Amina 🙏🙏
Amen 🙏
Duu! Roho inauma lakini mungu kapanga, kazi yake haina makosa, kikubwa tumuombee mpendwa wetu tukiamini yupo kifuani pa Ibrahim,❤❤❤
Wakenya sipekeenu mlioumia nisi pia watanzania😭😭😭 kama mnawapenda zabron singers gonga like hapa😭😭
Surely may his soul rest in peace
😢😢😢😢😢
😢😢😢 this song Marcos your spirit speaks much to us. Enyewe Mungu hii was tough. God rest all our loved ones in peace
Mimi mkenya na wapenda sana na naumia sana,Mungu atupe uvumilivu na kwendelea na safari
Mungu awafariji watu wa Mungu...inaumiza sana
Nipe like ya mkenya
Hakika Mimi pia kama fans wenu nimeumia sana kumpoteza mwezunu Marco Joseph
Much thanks for this song...from DRC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩..mboté na bino nyonso batu ya kenya...nzembo oyo ezo pesa biso pasi😢😢😢 je dedie c chant..a la population de l'est du congo ...all congolese support me..!!!
ua-cam.com/video/IBoj_7T6SNQ/v-deo.htmlsi=AKcqPGhYzF-4i8ih
I declare there shall be no another premature death to Zabrons choir, and as the mountains surrounds Jerusalem so shall it be for zabrons now and forever. No more bad news. Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Daaaah hii inaumaga sana mtu wa karibu akikutoka
"Mungu awape pumziko jema wote waliotangulia mbele za haki"😭😭🙏🙏
Kama unawakumbuka ndugu zako kupitia wimbo huu,like hapa
What an inspiring song.Bwana sema neno tu na shida zangu zitakoma.2025 anza kutamka neno kwa ajili yetu wote Bwana.#team kenya
These guys are madly talented. Imagine creating this masterpiece at a time when they had lost one of them, just to honour him.
And the song compsed in a solemn tone very touching indeed. It will be used in funerals alot. Good job wana ZABRON and my condolences still go to his wife who was really hit by this demise. May God grant her peace and strength to take care of the little ones. Always in our prayers GOD BLESS MAMA
Truly blessed🙏
Much love from 🇰🇪🇰🇪❤❤❤ MUNGU aendelee kuwa tia nguvu ndungu zanguni.
Zabron mnastahili mhamie huku Kenya, we love you soo much ❤❤❤❤❤❤
Kuzaliwa ni mara moja na kufa ni mara moja... Mungu tujalie mwisho mwema 🙏🙏🙏
Kama Unapenda zabron singer eka likes hapo tukiomboleza pamoja
Road to 1M subscribers let's support them 🙏🙏
Mungu watie nguvu ndugu zangu 😭😭😭😭😭😭 from Kenya 🇰🇪🇰🇪 Tumeumia sana hapa Mungu awe Mufarigi wa sisi sote🇰🇪🇹🇿🇰🇪🇹🇿🇰🇪
Huu msiba umegusa mioyo ya watu wengi hakika Marko alikuwa ni mtu wa watu ,hakika mungu ampumzishe mahali pema Amina 🙏
For sure Uinuliwe Mungu mkuu! What a nice vocal
balance!! Keep it up daughter
Waah bado siamiamini😔 1:13 😔😔Ila kazi ya Mungu haina makosa..Poleni sana kutoka Kenya😔😔😔😔😔🙏
Kutoka Kenya.Nimebubujikwa na machozi.Ni huzuni sana kumpoteza mtumishi wa Mungu kama wakati tunamhitaji sana.poleni !Mungu awape nguvu kustahimili.
Inauma Sana ila ni mapenzi ya mungu.mungu awafariji zabron singers,napenda song zenyu ktoka Kenya😭😭😭😭😭.
From Kenya huu wimbo bado ni hit Zabron Zabron mwendelee pamoja