I wish everyone in world of God almighty will have the liking of each other. The world would have been a perfect place. This song makes me feel good. God bless.
Mungu aliyehai akuponye Kwa jina LA Yesu Christo ,nakuombea uponyanji wa haraka mtumishi wa Mungu ,kweli hatakuacha kamwe katika hali hiyo nilazima ajitwalie utukufu maana tunapokuwa wadhaifu yeye hututia nguvu ,pokea chemichemi ya uzima Kwa jina la Yesu mkombozi wetu nitaugua pamoja nawe mpendwa utapona Mungu wetu ni mwenye nguvu Alifana na Omega ..
Amen Amen Amen 🙏 na Mungu azidi kukuinua kabisaa Mtumishi kwa kweli nyimbo zako zaniguza sana na zina mafunzo mazito ubarikiwe sana na uzidi kuinuliwa ki uduma kwa Jina la Yesu christo 🙏🙏
hakika mungu atusaidie kwa kuwa mambo yamebadilika sana mpedwa na mpendwa tunachukiana ni ajabu sana barikiwa sana kwa ujumbe mzur sana uongezewe kipawa kwa jina LA yesu
Chuki ya Nini kama umeitazama hii nyimbo mwaka huu 2024 tujuane Kwa like.
Niko hapa 🙌🏻
Mzuri saana
Wenye bado wanawatch hii song 2024 wapi likes zenu❤
kama na ww bado unauangalia huu wimbo mpaka ss 2019 gonga like hapa mungu akubariki sana mtumishi
Napenda nyimbo zako mpaka sijielewi
@@nadiafrank3332 kumbe ww huwa unazikiliza kwa umakin sana yaani atamimi huwa nashindwa kujijuwa kabsa nazipenda baraha
hongera kwau wimbo
Wenye Bado wanawatch 2020 gonga like twende....chuki ya nini ndugu zangu
Safi mkubwa umeimba ya ukweli
Niukweli kabisa waambie wasikie
Tuko pamoja
Km unaangalia huu wimbo 2018 like hapa. Blessed Pascal.
JESCA NGWAYA i like that
JESCA NGWAYA another ona wanamwabudu nic song
I wish everyone in world of God almighty will have the liking of each other. The world would have been a perfect place. This song makes me feel good. God bless.
JESCA NGWAYA ayubu
Mungu akubariki sana uendelee kuubiria wengi kupitia hizi Gospel za mafundisho bora, nimebarikiwa sana nakupenda kutoka Kenya, Amina.
Jamani nimependa huu wimbo sana ndo nimeuskia leo fb nikauweka kwa story yangu🥰🥰may God continue using you
I loved more
Moja kati ya watu wanao jua kupangilia mashaili ya Injili ukimutoa Rose Muhando namba moja ni wewe kaka! Big up sana🙏🙏
Wanao barikiwa na hii nyimbo 2023 gonga like
Pokea uponyaji kwa jina la yesu kirsto,upone na urejee katika huduma,
Mungu aliyehai akuponye Kwa jina LA Yesu Christo ,nakuombea uponyanji wa haraka mtumishi wa Mungu ,kweli hatakuacha kamwe katika hali hiyo nilazima ajitwalie utukufu maana tunapokuwa wadhaifu yeye hututia nguvu ,pokea chemichemi ya uzima Kwa jina la Yesu mkombozi wetu nitaugua pamoja nawe mpendwa utapona Mungu wetu ni mwenye nguvu Alifana na Omega ..
Kwani yu hali gani
Mungu atakuponya kaka yangu pole kwa maumivu makali ulio nayo mungu atakusimamiya tunakuombeya
amina
Very powerful 🙏mwenye sikio na asikie...Amen
nimebarikiwa sana ujumbe mzuri Mungu atusaidie tusiwe na chuki
Nyimbo imenifariji Sana barikiwa na kazi yako nzuri nyimbo inamafundisho
Chuki ya nini best song God bless you brother Pascal 🙏🙏🙏🙏🙏
Ni kweli sote tu wa BABA mmoja
This is very very great message of today's church.
MUNGU akujalie uponyaji kwa jina la YESU ameni
Mungu akubariki sana upone
Mungu akubariki mtumishi kwaujumbe mzuri nazani mwenye sikio kasikia na mwenye macho kaona ubarikiwe sana
Yesu Akuponye Kaka
Amen. Nice song brother. Chuki haifai ndani ya kazi mungu.... Barikiweni
Eee bana nilijua huu wimbo uliimbwa na Boni mwaitege, kumbe ni Paschal ni Cassian!! , Gob bless you.
Wanaosikiliza huu wimbo 2024 mwezi wa 6 like zenu Ngoma ya moto hii
Sio Eti sababu kabila lako ndo linaongoza nchi uanze kuchukia wengine na vitisho ndogo ndogo. Zote Tu wa Mungu AMEN
Yes
Sauti kucheza yote inafanana na bonny Mwaitege hadi mavazi mwafanana thus is very wonderfully be blessed
Mungu Akuponye kaka jamani eti reo hii uko kitandani kweli ujafa ujaumbika rkn mungu yupo utapona utasimama tena pole sna🙏🙏🙏👏👏
🇧🇷🏆🎖️🙏👍🙏🎖️🥇🥉🏆🤗
🏅
Ujumbe mzur sana kk nyimbo sichok kuisikiliza🙏
Ooooh kumbe huu wimbo wa paschal nikajua bony mwaiteg🙈🙈 kijana anaweza san
Mwanafunzi wake
@@JM-rs8gf oooh kumbe ivi yuko wap kwaasas hasikiki
heri yako ulielijua hili. ubarikiwe na Amani iwe kwako
Your the best in your voice and message in the song big up pascal
Oh my God..... Mungu nipe hii neema namimi nikuimbie natamani sana kufikia hapa bro unanibariki sana
A very nice song,chuki ya nini na sisi sote ni wa Mungu mmoja,listening 09/01/2022..i praise God🙏
i like this man of God thank you so much Keep it up God bless you
Nice song brother
Polee kwa ajal mbaya kaka pachal,,,mungu akutie nguvu kwa iman twakuombea na kuamin katik jina la yesu utapona....
Jan.huu wimbo naupendaga sana jaman...naomba utoe ufae kidowlod jaman 🙏
Huu wimbo umefikisha mbingu ya pili ubarikiwe sana ndugu
Such a wonderful voice and great message,,be blessed pascal.....
Ni nyimbo tamu sana ina ujumbe mzuri na malody iko juu 2025
Nikitizama huu wimbo baraka zamiminika tu ,,barikiwa ndugu yangu
Hehe 2023 ndo first time kuskiza hii baraka
They have non power ,we the one who have all the power, ALPHA AND OMEGA 🙏🏻 🙏🏻 🙏🏻
Amen Amen Amen 🙏 na Mungu azidi kukuinua kabisaa Mtumishi kwa kweli nyimbo zako zaniguza sana na zina mafunzo mazito ubarikiwe sana na uzidi kuinuliwa ki uduma kwa Jina la Yesu christo 🙏🙏
Tutawatch hadi kieleweke. Yesu Kristo asifiwe milele. Amen
I love this song..naweza sikiza siku nzima
Nakupenda sana pastor Mungu akuinue 🎉❤❤❤❤❤❤❤❤
Oh God, I love your voice. May God bless you
Mungu akubariki kwa ujumbe mzuri
mungu akuponye pascal upone haraka jamani
@@deboraelias1862 Amina mungu akubaliki kaka ang
ujumbe mzuri sana kaka.
Very nice song ubarikiwe na tupendane cku zote chuki ya nini sis sote Safar yetu Moja
2020...twende sawa. naombeni like zenu wimbo unaujube mzuri🤗
Kama bado unauangalia wimbo huu 2021 gonga like yako.
Love the song.... Bonnie mwaitegi beatino
Ameeen Mtumishi nimebarikiwa sana
nabarikiwa sana kaka kaz nzri mungu akuinue viwango vya juu kuliko maelezo
Very nice song nimeiskia leo 27/10/203 amazing saw it on tik tok❤❤
Mungu akuponye tunakuombea sana 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kirasiku natowa macozi kwasababu yako. Nakuombea upone. Damu ya Yesu christo iwe juu yako
Ibarikiwe Sana mungu a kuongeza
Mwenyezi Mungu akuponye kwa Jina la Yesu Kristo Wa nazareti✋
Chuki ya Nini kwa nini uninunie kwa nini usinipende kitu kizito kweli -kweli
Chuki ya nn ndugu zangu,2019
Ameen hiyo ni ya chuki Nini ni Nini unachafua moyon wetu nawakati wanatufanya Mambo mabaya ni dhambi huo
barikiwa sana mtumishi mungu akuinue uzid kutangaza injili
Maria Rashid mungu akubarki napenda sana huu wimbo
Mung akutunzeee sn mtumishi WA munguuu
Hiyo wimbo inanibariki sana
Mungu hakubariki wimbo narudia Mara mia
❤amni wimb mzur San Mungu akubarik san
Ubarikiwe🙏😇🌎 mungu Wetu ni mmja.
Nemembarikiwa sana
Am very much blessed,,, may God bless you from kenya
Sisi ni wa mungu moja
Ubarikiwe.sana.mtumishi.wa.Bwana.yesu
Jamani wimbo huu unaujumbe nzuri sana
Am blessed this morning
kazi nzuri sana kaka, tunashindwa kuelewa sisi wa afrika chuki mpaka kwenye makanisa. Mungu akuinue zaidi kaka yangu
Ameni
hakika mungu atusaidie kwa kuwa mambo yamebadilika sana mpedwa na mpendwa tunachukiana ni ajabu sana barikiwa sana kwa ujumbe mzur sana uongezewe kipawa kwa jina LA yesu
Congratulations 🎊 👏 💐 🥳 brother.
Blessed one beats n voice like Bonny mwaitege
Iam blessed with your song
True
Ubarikiwe sana mtumishi wamung
Barikiwa kamanda wa yesu
God will fight for you Pascal
Up to 2023, nipo naskiliza,
I love this song waah! chuki ya nini kweli
Mbona unichukie sisi wote ni WA Mungu mmoja?
Haki tupendane tu na mungu atusamehe🙏🙏
Nice keep it up bro
Ngoma oko Tamu Sana hit hot 🔥 miakka yooote iko juu 🔥🔥❤️☝️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Chuki ya nini kanisani jamani am blessed
Mungu mwenye rehema aturehemu atufikishe Kwenye uzima wa milele chuki haina nafasi mbele za Mungu amina
duuuh kumbe huu wimbo umeimba wewe jaman ni mzuri sana mungu atakuponya ucmuache endelea kumuomba
Usimchukie mwezako maana aliyekuumba wewe, ndiye aliyemuumba yeye, sisi ni mfano wake baba mungu,tumutukuxe na tumuinue kwa pamoja Amina
Aki Pascal mungu akuongezee nguvu na neema pia uko na nyimbo nzuri sana sauti moja na mwaitege
When I listen to your songs tears comes out...
ubalikiwe sana mtumish mungu akujaze nguvu uzidi kuyitangaza injili
Chuki humdhuru zaidi yule anaechukia kuliko anaechukiwa
Malkia Bint mfalme umeona eee!kwan we unakuwa hujui anachowaza moyoni
Hizi nyimbo zako ni mafundisho kwa watu, barikiwa sana ndungu Mungu akusidishie
Asant blaz chuki yanini kweli mi mwisilaam ila nataka niwe mkristo jaman❤❤
ubarikiwe mtumishi
Huu wimbo umeniguza mimi katika makanisa unapata mtu anakuchukia bure fitina chuki na huli kwao uwaombi kitu jamani mungu atusamehe
Gonga like kama umesikia bit ya Freemason mwimbo wake wa zaman
Baba yetu wa mbinguni mponye mtumishi wako
Baba tunaomba umponye mtumishi wako
Aliugua nn pasco
Am blessed,,,be blessed too
I needed this msg..ooh God come through