I told you Angel Magoti star will one day shine bright beyond international borders , now look what you have fulfilled the word of God sitting with the Heads of States and our President Hugs. This is was emotional. The song "Asante" is just like my national Anthem Jesus know that I don't know you but your songs have been soul healing, the voice is sparrow, may God bless you. Greetings from Dar es salaam
Duuuuu! nimehemewa, Ni Mungu tu huinua watu viwango hivyo,siyo rahisi namna hiyo.But Angel is Angel, nimebarikiwa sana dada yangu @angelmagoti real touch the Continent leaders and their civilians.
Kwakweli miaka kama 15,iliyopita nilifahamu huyu mtumishi atafika mbali sana,nilimuona TM music 🎶 hajivuni,anajishusha sana,AMEN. TM MUSIC 🎶 MUNGU AWATUNZE KWA MALEZI YA HUYUMTUMISHI.AMEN.
🎉🎉great but please ❤ kwa mavazi jitahid sketi iwe ndefu your appearances ndo utu wako hupimwa my sister na ndio uweka watu katika uwepo na TUKIJUA KWAMBA UNAMTANGAZA KRISTO popote jitahidi
Oh. Congrats sister Angel for a such stronger and touching message carrying item. May the Lord continue blessing and lifting You with this vital talent you have!" See you at the top"🎉
English lyrics zimeimbwa zimeeleweka matamshi 🔥🔥, the vocals 🔥🔥🔥🔥🔥 tushapata mtu anaestahili kuimba mikutano ya wakuu wa nchi
Kabisa!!!
For sure
❤Yesu amefanya tena Angle Magoti🎉
Utaja shangaa Angel magoti
Mkuu wa mkoa, naibu wazir nk🎉🎉🎉
😂
I told you Angel Magoti star will one day shine bright beyond international borders , now look what you have fulfilled the word of God sitting with the Heads of States and our President Hugs. This is was emotional. The song "Asante" is just like my national Anthem Jesus know that I don't know you but your songs have been soul healing, the voice is sparrow, may God bless you. Greetings from Dar es salaam
She is very happy to huggy the president, GOD BLESS you ANGEL
She is very happy to huggy the president, GOD BLESS you ANGEL
Amen 🙏 to God be the Glory
@@angelmagoti AMEN,AMEN AMEN
Fantastic angel God bless u
Nimefurahi Angel,machozi ya furaha yamenitoka nilipoona Mama anakukumbatia! Mungu atukuzwe kwaajili yako Dia
Kukaa meza Moja na wakuu mungu hutimiza Neno lake barikiwa dada anger♥️♥️
Duuuuu! nimehemewa, Ni Mungu tu huinua watu viwango hivyo,siyo rahisi namna hiyo.But Angel is Angel, nimebarikiwa sana dada yangu @angelmagoti real touch the Continent leaders and their civilians.
Kweli YESU kristo ni no1 safi sana mtumish
Kwakweli miaka kama 15,iliyopita nilifahamu huyu mtumishi atafika mbali sana,nilimuona TM music 🎶 hajivuni,anajishusha sana,AMEN. TM MUSIC 🎶 MUNGU AWATUNZE KWA MALEZI YA HUYUMTUMISHI.AMEN.
Hapo kwenye kujivuna na kuringa nakubaliana nawe. She is humble sana
Hii hatua moja.Inazaa hatua ingine Angelmagoti.Miaka si mingi sana,utakuwa mbele ya mkutano mkubwa wa dunia.Wewe ni star by God grace
Amen 🙏
Hongera Sana,nimependa unavoimba noti za chini na matamshi..so bravo,Yesu atukuzwe .
Daaaaaah Angel bana unaweza sana msichana MUNGU akutunze
Atakutoa mavumbini na Kukuketisha na wakuu💪💪💪💪💪💪💪💪💪
Nilivyoskiaga tu juaaaaaaaaaaaa ni kaaaaaaaaaaaali nkajua huu ni motroooooooo keep moving sister ❤❤❤❤❤❤
What a performance.
WOW!
❤Outstanding talent ❤God will be able to open your Dreams. 🎉🎉🎉🎉
Wow. Watching from DRC, this is so emotional at the end ,the hug with mama. What a talented woman!
My Angel 🥰🥰
Umetisha mpaka président amekubali hongera❤❤
Dah sister Unajua sana hiyo song 3/4 huwa zinahamsha hisia zilizombali na Upeo wa hisia zetu za kawaida congraturation nimependa heshima nyingi
May favor keep defining and describing you in the name of Jesus ❤
Nimefurahi Kwa HESHIMA uliyoionyesha Kwa MAMA YETU RAIS WETU SAMIA SULUHU 👏👏👏👏👏👏
She is so simple and great.
🔥🔥🔥🔥 you made me speechless anjela
Wooh Amaizing❤🎉
Well! This is kind of music we need in Tanzania. Powerfull music with a good Voice, good melody, good arrangement, good massage.
Kazi nzuri sana hakika hiyo imeenda kabisa ,zaidi Mungu azidi kukubariki sana.
Hongera Kwa kibali my nasikiliza na mwili umesisimka, wewe ni nyotaa subiria kwenda nchi
The song is dope! Congrats sana...imenibamba😘
Uko vzr mdogo wangu Mungu akutumie
Fantabulous Angel with an angelic voice:)) Hongera!
Hapo sawa sio msanii anapelekwa hapo anaimba nyimbo za disko
Nimesisimka kwa kweli, it was so great.
Thank you mdogo wangu ulituheshimisha
Thank you so much Opportunity Mh. To God be the Glory
Upako+kibali 👏🏾👏🏾👏🏾 nimefurahi sana
Hongera sanaaaaa ,chukua maua yako🎉🎉umetisha
Hongera dadangu kipenzi umetuonyesha tunaweza mungu akulinde nakupenda sana mtumishi na wewe ni baraka kubwa
Waooooo dada unakipaji sana hongera
EAC Anthem ❤❤
Congrats 🎉may God lift you up more than here❤❤❤
Oooh my daughter Angel 👏
Wonderful Angel keep it up.
This was very big Madame am proud of you
You are simply blessed ❤ loved the performance. Excellent
Be blessed my Lovely Daughter!❤
Nice job,fact is everyone was very attentive and listen to your presentation .Ilikua kazi ngumu but u delivered
Hongera sana mwangu.
Nimejikuta machozi yanalengalenga.
Hongera sana.
🎉🎉great but please ❤ kwa mavazi jitahid sketi iwe ndefu your appearances ndo utu wako hupimwa my sister na ndio uweka watu katika uwepo na TUKIJUA KWAMBA UNAMTANGAZA KRISTO popote jitahidi
I think the tz should be like her,she is a greater singer.
What a pleasure always to see my fellow worshipper at the greater heights. God bless you angel.
Congratulations engle
Big up, Angel.
Glory to God
This lady is vocalists ❤❤
Sda member very precious
Oh. Congrats sister Angel for a such stronger and touching message carrying item. May the Lord continue blessing and lifting You with this vital talent you have!" See you at the top"🎉
May God lift you higher to dimensions and heights you never thought of,from glory to glory,be blessed abundantly ❤
Yees good luck aunt angle
Waooo ❤ this is beautiful
Hongera sana Angel
Wow!! Nzuri sana!
God sent
Yoooooo❤
Beautiful work.
This Is Beautiful ❤
Hongera angellah
Wooow Congratulations mama Mungu akuinue viwango vya juuu ❤❤❤❤
I love the curtsies on the Presidents ❤❤
Beautiful 😊
Congratulations Angel
Amazing....!!!! Waooh!.
Hongera sana Dada Uende mbali zaidi...!
What a voice, may God lift you more and more
I really can't stop watching this ...am really blessed with you miraculously voice ...I can't wait to see you dada Angel up there shining for our GOD
That was a hard audience 😂😂 Great job mama!!! May the Lord open more doors ❤❤
😂😂😂so so hard
For sure,that was a hard audience,i can see how she struggled to gain confidence,but she did it amazingly. Conguratulations Angle.
Yah sure 🙌 ameshusha pumzi kwanza😅
So hard in deed 😂😂😂
That was fantastic 😍
Angie, that was powerful my sister. Well represented
Wooow I love Angel Magoti I love Tanzania
Angel upo level zingine kabisa
Hongera sana na Mungu atukuzwe
Wow this is wonderful ....
Well done sister God bless you,ujumbe mzuri
🔥🔥🔥🔥
Go girl the sky is the limit 💪
Nakupendaaa dada Angel Mungu akutunzeee sannaaaaa ♥️
Beautiful amd annointed
Hongera sana sana dadaetu. 🎊 🎉
Keep it up Angel
You made it
That is a favour
Wooow❤❤❤
Amaizing 🔥🔥
I love this lady Kwa kweli 😍
I hear a voice of commandment 😊😊😊 God bless you my sister
This is Nice.👏🏼
It’s an honor.
Wooooooow amazing.Umeimba vizuri sana wimbo huo Angel.Keep it up
Go girl 💪 I love you 🥰
go go go go go go go go go @angelmagoti❤❤❤❤
Always inspiring me ...saiti bora❤❤❤❤❤
Hongera Mdogo wangu , MUNGU Azidi kukuinua viwangu vya juu
Woww❤
Keep it up, my dear
Kiukweli I have believed ule mstari wa Biblia unaosema kuwa Zawadi ya mtu humpatia nafasi; Humleta mbele ya watu wakuu Mithali 18;16 💥💥🔥🔥🔥
❤wao