Wimbo ni mzuri sanaa ila ule uimbaji wako wazamani kama VILE UNANGUVU YESUU UKISEMA VINA KAMILIKAAA, ule uimbaji umetulia sana Angel, mimi nashauri ukae tu kwenye zile nyimbo usitoke, huku kwenye dance dance sikuoni sana.... Mimi napenda mnoo nyimbo zako ni m pentecost haswaa ila napenda uimbaji wa kisabato hauna mambo mengi umetuliaa sana ukiimba wimbo unapenya hadi ndani zaidi, ushauri wangu tulia kwenye zile nyimbo za taratibu maana unazifanya vzr mnooo yan ukiimba wimbo unapenya hadi kwenye DAMU,,,, mm nakupenda ndiomana nakwambia hivi.... Usitoke kwenye line waachie hao wengine uimbaji wao,,,,, wewe imba vilevile wasikutoe kwenye reli, unafahamu kila mtu anakituchake amepepewa na Mungu so kitumie chakwako usiende cha wengine.... Km nimekosea kukushauri nisamehe ila nia yangu ni njema, cna no yako ninge ku inbox.....
Ukisoma coment zawengi wanabarikiwa saaana hata kwahiki anachofanya kwasasa bado yupo kwenye line yakiibada hebu mwacheni ahudumie watu wote...Angel nakushauri simama kote ilimradi tu humkosei Mungu....
First time i saw your performance at the crusade with apostle John Chi from Cameroon, i must say your performance was excellent, glory to our Lord Jesus Christ.
Oui notre DIEU est Super Grand , Super bon , le Maître des temps et des circonstances Il est DIEU et dans sa Souveraineté Il donne à qui Il veut et quand Il veut . Craignons Le puisque quand Il se lève rien ne peut Le résister. Il est Dieu. Merci beaucoup Angel et toute l'équipe, que Dieu vous soutienne
dada angel mwimbo upo vzr sana mungu ametenda kwa wakati kabisa wakati wa mungu ukifika anatenda unatakiwa uwe mvumilivu usikate tamaa ukiwa mvumilivu utamuona mungu katika maisha yako kama alivyo kutendea sasa hivi tunacomments kwenye account wako sasa mungu akuinuwe katika viwango vya juu sana
Nisamehe angel maana nmechelewa kukujua,. Nadiriki kusema hivi wewe ndie mwimbaji wa kike mweny sauti nzuri na yeny3 nguvu kuliko yeyote niliyewahi kumsikia..
I randomly came across this song and immediately followed you on Instagram. Even without knowing a word of the language, I somehow felt drawn to it. I'm in my period of waiting, waiting on the Lord to remember me, but in the mean time even with tears coming down my face I will sing for what the Lord has done, is doing and WILL DO! You're blessed, thank you for this
I thank God i came across this song today, anytime i can start labour, by faith, we will conquer. Im so encouraged by this praise song, this is and will still be my testimony 🙏🙏🙏😂
Powerful song, mimi pia namsifu mungu kwamana amenitendea, Baada ya Miaka kumi, I have received my Promotion with a more Senior position that I could ever imagine, amwaminiaye mungu, hakika anamtendea🎉🎉❤
Huu wimbo kwa kweli n maneno yangu nnayomwambia Mungu Moyoni! Kwa mambo Mungu amenitendea mwaka huu, sina cha kumuambia zaidi ya "MOYO WANGU UNAKUPENDA SANA BWANA NA KUKUADHIMISHA, MM SIKISTAHILI N NEEMA YAKO TU BWANA WANGU" GOD bless u angel for this amazing Song!
Namshukur Mungu kwaajir ya wimbo huu ukitoka ijumaa na mm jumamosi 29/4/2023 ilikuwa engement yangu niliweza kutumia wimbo huu..Namtukuza yeye amenitendea kwa wakati sahihi
Ametenda kwa wakati🙌🏾🙌🏾 what a song twinie, you are something else mamaa 🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Thank you so much Twinie 🙌🙌🙌😍😍😍
@@angelmagoti are yu sister??😂😂koz the voices
I actually thought it's Rehema .....bless you dear for such a song 🙏
She sounds like you, nice song
You both sound the same and the songs are almost the same. Had to look again. Beautiful. Love from Kenya for both of you. Such a timely song
My wedding song finally mniombee mchumba apatatikane sasa ❤❤❤
Wapi likes Kwa hii comment
Amen 🙏 Mungu atakutendea kwa wakati sahihi
Atapatikana
Amen mungu akutendee kwa wakati ili haja ya moyo wako itimiee
Kenyans where are likes for this master piece
Right here, it blesses my heart. She actually does every time with her songs, thank you for this master piece.
The song is for the whole Universe, what a nice song, Love from Zimbabwe
Heeeeeeee ametenda Kwa wakati babaa amenikumbukaaa
Wimbo ni mzuri sanaa ila ule uimbaji wako wazamani kama VILE UNANGUVU YESUU UKISEMA VINA KAMILIKAAA, ule uimbaji umetulia sana Angel, mimi nashauri ukae tu kwenye zile nyimbo usitoke, huku kwenye dance dance sikuoni sana.... Mimi napenda mnoo nyimbo zako ni m pentecost haswaa ila napenda uimbaji wa kisabato hauna mambo mengi umetuliaa sana ukiimba wimbo unapenya hadi ndani zaidi,
ushauri wangu tulia kwenye zile nyimbo za taratibu maana unazifanya vzr mnooo yan ukiimba wimbo unapenya hadi kwenye DAMU,,,, mm nakupenda ndiomana nakwambia hivi....
Usitoke kwenye line waachie hao wengine uimbaji wao,,,,, wewe imba vilevile wasikutoe kwenye reli, unafahamu kila mtu anakituchake amepepewa na Mungu so kitumie chakwako usiende cha wengine.... Km nimekosea kukushauri nisamehe ila nia yangu ni njema, cna no yako ninge ku inbox.....
Nilikuwa natamani kuona comment kama hii
Umenena mkuu,umemaliza mjumbe wa MUNGU kazi yako.Nilichotaka kusema umesema barikiwa!
Ukisoma coment zawengi wanabarikiwa saaana hata kwahiki anachofanya kwasasa bado yupo kwenye line yakiibada hebu mwacheni ahudumie watu wote...Angel nakushauri simama kote ilimradi tu humkosei Mungu....
Pima ulivyojifunza shetani nae anaweza kukutoa kwenye mstari kutumia hio talanta ukajikuta unatafuta pesa kuliko kumtumikia mungu
Huu wimbo nitauimba kwenye harusi yangu🙌🙌🙌
First time i saw your performance at the crusade with apostle John Chi from Cameroon, i must say your performance was excellent, glory to our Lord Jesus Christ.
Baba ametenda kwangu tena kwa wakati ulio sahihi wala hakunisahauu❤ utukufu ni kwako Bwana utendaye makuu
Amen 🙏
Oui notre DIEU est Super Grand , Super bon , le Maître des temps et des circonstances Il est DIEU et dans sa Souveraineté Il donne à qui Il veut et quand Il veut . Craignons Le puisque quand Il se lève rien ne peut Le résister. Il est Dieu. Merci beaucoup Angel et toute l'équipe, que Dieu vous soutienne
Kila ninapousikiliza huu wimbo unanipa kutafakari mengi saaaana hakika amenitendeaaaaa
Nakupenda sana. Mungu hutenda kwa wakati
Mungu akubariki sana kwa kazi nzuri na muda mnaotoa kuifanya idara kuwa hai siku hadi siku ❤❤❤❤❤😮😮😮😮😮🎉🎉🎉🎉😊😊😊😊
Waooooo amenikumbuka halellujya
Ooh God give me my own husband so we can do our wedding and this be our entrance song
Amen to that @Hilda. There's nothing as beautiful as God's perfect time. Wait on Him
@@lynnanyango8119 Ameeen siz let me wait on God,
May it be so in Jesus name according to your faith @Hilda Lunyagi
@@kenronlemagah3863 Ameen Ameen 🙏
Had not seen this, 👌🙏song of the season I'm in right now 👌💪
dada angel mwimbo upo vzr sana mungu ametenda kwa wakati kabisa wakati wa mungu ukifika anatenda unatakiwa uwe mvumilivu usikate tamaa ukiwa mvumilivu utamuona mungu katika maisha yako kama alivyo kutendea sasa hivi tunacomments kwenye account wako sasa mungu akuinuwe katika viwango vya juu sana
Hakika wakati wa Mungu ni wakati sahihi.
Angel, i always tell you ,You are the best👏👏👏
Amen 🙏
Woooh!! Ametenda kwa wakati bwana,,na atende kwangu, hongera Dada enjoy Mungu akuinue.
My wedding song. Date 17/6/2023❤️❤️❤️
Amen 🙏 AMETENDA kwa wakati
Congratulations 🎉.. may mine come soon too
Congratulations 🎉🎉
congratulations🎉
cant wait kuimba huu wimbo Baba akitenga kwangu katika uzao 😍
Nisamehe angel maana nmechelewa kukujua,. Nadiriki kusema hivi wewe ndie mwimbaji wa kike mweny sauti nzuri na yeny3 nguvu kuliko yeyote niliyewahi kumsikia..
Sofa na utukufu ni kwa Mungu aliye juu sana
🎸 🥁🥁🥁🥁 keep up the good work 🙏 Hosana 🎙️
Mungu naomba hii Neema na kibali ya ndoa 🙏nitendee kwa wakati na mimi
Amen 🙏 atatenda kwa Wakati sahihi
Na Wakati wake ndio Wakati sahihi
Na mimi Mungu anikumbuke
Yesu ni mzuri sana. Hutenda kwa wakati ulio sahihi❤ Barikiwa sana Dada Angel A woman of God
Huyu ni Utugi wa Magegani ❤❤❤ This Grace on another level Mtumishi.
I randomly came across this song and immediately followed you on Instagram. Even without knowing a word of the language, I somehow felt drawn to it. I'm in my period of waiting, waiting on the Lord to remember me, but in the mean time even with tears coming down my face I will sing for what the Lord has done, is doing and WILL DO! You're blessed, thank you for this
Amen God is always faithful He has his ways off doing things
We should always pray and believe he will do it on Time
I thank God i came across this song today, anytime i can start labour, by faith, we will conquer. Im so encouraged by this praise song, this is and will still be my testimony 🙏🙏🙏😂
Nyie,nyie nyie Tanzania 🇹🇿 kuna vipaji aisee wapi hapa nije kutoa sadaka yangu nisali hapa maana nimeguswa sana hasa vyombo vinavyopigwa
Wimbo mzuri sana
Powerful song, mimi pia namsifu mungu kwamana amenitendea,
Baada ya Miaka kumi, I have received my Promotion with a more Senior position that I could ever imagine, amwaminiaye mungu, hakika anamtendea🎉🎉❤
Amen 🙏 Baba Ametenda kwa wakati
You have done well ❤❤❤❤🎉🎉🎉😮😮😮😢😊😊😊😊😊
Glory to Jesus my dada barikiwa zaidi Yesu ni mwema saaana saaana
Hakika bwana ametenda
Powerful Tunamtukuza Mungu kwa neema na karama zake kwa Mtumishi wake
Amen 🙏
ua-cam.com/video/5xHGNKfvfFE/v-deo.html💥💥🙏🏼🙏🏼🙏🏼🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏🙏🙏🙏🇧🇮🇧🇮
Amina na Amina sana, ni nzuri na kubwa kuliko, hakika ametenda na Ubarikiwe sana
Amen 🙏
Ametenda kwa wakati ,Baba Mungu hawahi na wala hachelewi🎉
Usiiniite masikini oh hallelujah Mingu amenibariki
At first it's Rehema Simfukwe❤❤❤What a great song
This song came at a good time, going through a lot but You've reminded he is and will always be with me 🙌, #Amenikumbuka❤️
Wimbo mzuriii mnooo MUNGU akubaliki Dada angel
Mungu.huyu.nimzuri.sana
Ametenda 🔥🔥🔥🔥🙏🙌
🙏🙏🙏
Kazi nzuri
Amina ubalikiwe dada rehema
Mungu akubariki sana 😮❤
Nice vocals, jamaa wa vyombo ni mmekubali ni mafundi
May this be my testimony song soonest 🙏
Ametenda kwa wakati Wake, Baba Amenikumbuka!! Ametenda Ametenda Ametenda Amenikuuumbuka😍😍💥Glory to God in the highest. I stand in awe of His doings 💥
Amen 🙏
Baba ametenda Ubarikiwe Angel
Ni hakika ametenda kwa wakati. Mungu ni mkuu sana
Amen 🙏
Kwa uwaminifu sana 🎉Ametenda kwa wakati
Nilikuwa sifai leo nimeonekana nafaa ametenda tenda
Amina
Ubarkiwe🎉❤
the instrumentalists were really enjoying this.....the bassist knows what he was doing
great work
Ametenda bwana
Amina anatenda kwa wakati
❤🎉🎉Amenikumbuka wuuh
Sichoki kuusikiliza huu wimbo, hakika Bwana anatenda kwa wakati
na hatakama hajatenda kwako amini tu kwamba kwa wakate wake atatenda.
Amen 🙏
Huu wimbo kwa kweli n maneno yangu nnayomwambia Mungu Moyoni! Kwa mambo Mungu amenitendea mwaka huu, sina cha kumuambia zaidi ya "MOYO WANGU UNAKUPENDA SANA BWANA NA KUKUADHIMISHA, MM SIKISTAHILI N NEEMA YAKO TU BWANA WANGU"
GOD bless u angel for this amazing Song!
Amen 🙏
Hongereni kwa zawadi ya mtoto kutoka kwa Mungu barikiwa pia kwa huduma zuri
Goodbless you Dada❤️❤️❤️
This is real
Ametenda Bwana kwa wakati
#Godspeed
My all time best world singer. Mungu azidi kukubariki
Amen ad very. Powerful, mama you are blessed of the Lord
Hakika Yesu Ametenda kwa wakati ametukumbuka 🔥🔥🔥
Amen 🙏 my Sister
Ameen ubarikiwe mtumishi nime barikiwaa saana Mungu akupe neema nyingii amen.
Amenitendea kwa wakati bwana 😇
Ametenda kwa wakati
Ubarikiwe Dada yangu 🙌 nice song ❤️🇨🇩
kazi yako njema mteule wa Mungu
ametenda kwa wakati Yesu🙏🙏🙏🙏
The intro wuuu
EEEh Baba ametenda ametebda amenikuumbukaaaaaa
Amen 🙏
Mungu amenibariki hallelujah Amenikumbuka
Wow nitakupigi Mtumishi, nnimejifunza mengi sana na nimebarikiwa
Hongera Sana dada Anger❣️
I fill proud of you when a see my friend Anna 😁😁
Lop u more🥰
Baba ametenda na anaendelea kutenda
Aisee nyimbo kali sana ubarikiwe dada yangu 👌👌👏👏👏
Wakati wangu..... Baba amenikumbuka
kweli baba hutenda kwa wakati
Barikiwa Angel
Amen Amen ubarikiwe kwa kazi hii nzuri ya baraka tele... mtumishi wa Mungu...na Mungu azidi kukutumia.🙏
Mungi azidi kukuinua dada Angel aisee
That pianist, great work
Amen..ametenda Kwa wakati baba, amenikubuka
Ametenda 🔥🔥🔥
🙏🙏🔥🔥🔥
This Ending 🤔🤔🤔🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Ametenda kwa wakati... Hajachelewa. Indeed, He's never late.
woyoooooooooooooooooooooooooooooo
Hakika ametenda,,, be blessed 🙏🙏
This shall surely be my testimony song . I give thanks to God for what He will surely do .
That's the spirit mom
Powerful song more grace
Namshukur Mungu kwaajir ya wimbo huu ukitoka ijumaa na mm jumamosi 29/4/2023 ilikuwa engement yangu niliweza kutumia wimbo huu..Namtukuza yeye amenitendea kwa wakati sahihi
Barikiwa sana jamani naomba nitumie video zako kupitia 0714531444 WhatsApp
Thank you for the English translation. Enjoyed the song
Tears of joy while listening to this song. I will never thank God enough for everything He has done in my life
🔥🔥🔥
Great song. Its a blessing. Hakika Ametenda
Amen 🙏
What a wonderful song. Kazi mzuri 🎉🎉
Powerful song Baba ametenda
Soo much power! God bless you..! Thank you for the English translation 😂 my new favourite with my 3 years old daughter
Amen 🙏
Amenikumbuka, Testimony,this song has done it for me