Angel Magoti - Una Nguvu (Live Music Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 жов 2024
  • Zaburi 46:1
    “Mungu Kwetu Sisi ni Kimbilio na Nguvu; msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso.”
    Inafurahisha kiasi gani kujua kwamba Yupo ambaye ana nguvu zaidi ya mtu yoyote katika Dunia na hata Mbinguni.
    Matendo yake Ni Nguvu.
    Maneno Yake Ni Nguvu.
    Kugusa kwake ni Nguvu.
    Hakuna nguvu zaidi ya hii.
    Umaarufu hauna nguvu zaidi yake, Cheo hakina Nguvu zaidi yake, Fedha na Mali hazina nguvu zaidi yake, hakipo chenye nguvu zaidi ya Yeye Mwenyewe.
    Chanzo cha Nguvu ni Mungu wetu alie Mwokozi wetu.
    Ukitaka nguvu utapata kwake, Wimbo huu ukupatie Nguvu zake maishani mwako. Ufahamu kua katika kukata tamaa kuna Nguvu Ya Mungu, katika kushindwa kuna Nguvu Ya Mungu, katika Magonjwa kuna Nguvu ya Mungu.
    Nakuombea Nguvu Za Yesu alie Mungu wetu maishani mwako.
    Written By Pr Baraka Laizer
    SONG COMPOSITION By Angel Magoti
    Video Director ~Syber pic
    Audio Capturing/Mixing ~ Mujwauki
    Sound ~ Haddypro
    Lights ~ Haddypro
    Backline ~ Haddypro
    Stage ~ Haddypro & Hugo Domingo
    Hard drives ~ Phaonies
    Decor & Screen ~ Simply Special Decor
    Branding ~Essau Mbwambo
    Mockup ~ David Mhana
    Visual Effects ~Jimmy Mafie
    Makeup ~ Nancyline
    BVGs makeup ~ Grace kidiga
    Men Dressed ~ Wekisha Design
    Women Dressed ~ Issa
    MUSICAL TEAM
    BVGs ~ Friday Worship Team
    Elisha Korg~Musical Director / Arranger
    Jonathan Shemsanga~ Ass MD strings
    Victor Keys ~ Organ
    Josh Kulwa ~ Pads
    Prosper Fundi~Bells
    Chiefbeyz1 ~Bass Guitar
    Baste Mtela ~Lead Guitar
    Emme Raphael ~Saxophone
    Mitchell Mike Jr ~Drummer
    #AngelMagoti #UnaNguvu #LiveMusicVideo.Channel Administered by Huru Digital
    Instagram: / hurudigital

КОМЕНТАРІ • 374

  • @rehemasimfukwe
    @rehemasimfukwe 2 роки тому +8

    My love my dear umebarikiwa sana Kipenzi changu Yesu amekupa kitu Kikubwa Sanaa🙌🏾🙌🏾🙌🏾

    • @angelmagoti
      @angelmagoti  2 роки тому +2

      Amen my love to God be the Glory
      Tumtumikie uyu Yesu tungali na pumzi hii aliyotupa na Karama zake alizoziweka ndani yetu

    • @theresiachacha5180
      @theresiachacha5180 Рік тому +1

      Harafu mbona mnafanana sana😘😘😍

  • @worshiplibrary7157
    @worshiplibrary7157 2 роки тому +41

    Being Christian isn't just a Bible verse in your bio,keeping a daily journal or wearing a cross necklace. It's saying no the world & yes to Jesus when everything around you fights against it.Christianity isn't always easy, but it's so worth it.

  • @lydialuhigo
    @lydialuhigo Рік тому +23

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
    Tanzania is worshiping in spirit and truth Lord hear the cries of your people from this nation ❤

  • @EmmanuelLagumaofficial
    @EmmanuelLagumaofficial 2 роки тому +59

    Wueh 🔥🔥🔥🔥 Tanzania is releasing a sound 💯💯💯 people are praying , fasting and seeking God and this shows it.. stumbled on this Love from Uganda 🇺🇬

    • @Mireillekesha
      @Mireillekesha Рік тому +1

      ua-cam.com/video/VFK7RQdgo_Y/v-deo.html
      Ni Salama Rohoni Video Barikiwa Sana

    • @gracembaye530
      @gracembaye530 Рік тому

      Here from Kenya too.

    • @wisdomtibs
      @wisdomtibs Рік тому +1

      Olimba... olimunakenya

  • @delphinkakudji
    @delphinkakudji 2 роки тому +38

    Her vocal ability is something else just wow 😮

  • @LennySilas-jo3oj
    @LennySilas-jo3oj 3 дні тому +1

    Yesu sema katika maisha yangu ❤

  • @juliawambui7459
    @juliawambui7459 2 роки тому +23

    Something that I have realized lately about most Tanzanian gospel artists is that they sing songs inspired by the Holy Spirit and not out of their own flesh...Much love from Kenya..

    • @angelmagoti
      @angelmagoti  2 роки тому +1

      Amen

    • @steverundu5483
      @steverundu5483 2 роки тому +2

      I agree with you Julia,
      Angel may God bless you and please plan to come to Kenya soon! I have played this song over and over since morning.

    • @anthonyngugi9565
      @anthonyngugi9565 Рік тому

      Am an upcoming minister... I would like you to be my teacher...u are such a blessing to my life

  • @JoseLittoh-
    @JoseLittoh- 2 роки тому +40

    🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 Blessed... Hakika Yesu una nguvu, Kwa neno lako Ukisema vinakamilika

    • @lifewithdeedee3392
      @lifewithdeedee3392 Рік тому

      Thank you Jesus for this person who wrote the words out for me I be singing this song with my whole heart. And even though I I mess up the words God knows what I'm trying to say. This made it easier lol

  • @naomiakira9933
    @naomiakira9933 Рік тому +7

    Praying for everyone here who's experiencing depression, anxiety, those who lost their jobs that God grant them healing and restoration of their faith. Amen

  • @graceshayo817
    @graceshayo817 2 роки тому +8

    Hongera sana Anjela, umebarikiwa sana kwenye uimbaji. Nimependa pia stage na arrangement yote, higher levels

  • @matimfuko641
    @matimfuko641 Рік тому +6

    This is absolutely the work of our almighty God I just can not believe this is actually coming from us Tanzanians God as surely given us a magnificent singers and we are forever grateful for that una nguvu yesu ukisema vinakamilika🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤️❤️👌

  • @janielmoraes9704
    @janielmoraes9704 10 місяців тому +2

    ❤❤❤ União Norte Brasileira - UNB Missão Nordeste Maranhense - MNeM Distrito Jardim Tropical. São Luís Maranhão 😍😍 perfeito louvor

  • @AminiMsisi
    @AminiMsisi 2 роки тому +2

    My shem is the best Grace KIDIGA
    TO THE WORLD

  • @sophiabukachi9917
    @sophiabukachi9917 2 роки тому +12

    Such a powerful song...we are releasing a sound in Jesus name

  • @wycliffmutisya2868
    @wycliffmutisya2868 2 роки тому +1

    hakika Yesu ana nguvu ndiye Bwana na mwokozi upande wetu wateule.
    Akisema yote yanakamilika,magonjwa yanyauka,femilia zinapona pia, he's God.

  • @Mwl_Wazamu
    @Mwl_Wazamu 2 роки тому +2

    Namshukuru kwaajiri YAKO sister magoti am proud of you Mungu akufikishe mbali nimekufahamu tangu nipo pathfinder nafurahi kukuona KILA siku ukipanda juu @Mwl.Mobe nyabihore secondary

  • @MoïseUwase
    @MoïseUwase Рік тому +1

    🇨🇩🇨🇩🇨🇩kwakweli mungu anazo nguvu wimbo unatufa riji mama ubarikiwe sana

  • @nuruihima3056
    @nuruihima3056 2 роки тому +1

    Amen, kweli Mungu wetu ana Nguvu nami nimemwona maishani mwangu, amenifanyia njia pale pasipokuwa na njia, barikiwa mdogo wa Mimi kwa wimbo wenye matumaini.

  • @LightneesAgustino-q8t
    @LightneesAgustino-q8t Місяць тому

    Hongera sana mtumishi 🙏 Mungu akuinue

  • @catherinendumia6048
    @catherinendumia6048 Рік тому +2

    Amen. I believe this word. Just heard this song elsewhere and I came searching. Powerful

  • @techwithdenzel
    @techwithdenzel Рік тому +1

    Yanigusa

  • @mal.4k
    @mal.4k 2 роки тому +2

    umebadilisha maisha yetu mengi

  • @jlove5238
    @jlove5238 2 роки тому +1

    My God😱😱😳😳. 🙌🏼🙌🏼Oooh God 🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼❤❤❤how can it be in heaven , if this is how it is on earth 😭😭😭😭 🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙏🏻🙏🏻🙏🏻Mungu tusaidie tufike Salama. God is powerful 🫶🏾🙏🏻🇹🇿🇹🇿🇹🇿 🇭🇺🇭🇺🇭🇺

  • @hollojoel3537
    @hollojoel3537 2 місяці тому

    Yesu una nguvu Amina❤

  • @mcesto61
    @mcesto61 Рік тому

    Huu Wimbo Unanibariki sana

  • @foodie2660
    @foodie2660 Рік тому +4

    Im struggling with something but I'm glad I know the one in me is greater than the one in the world. This song affirms that

    • @angelmagoti
      @angelmagoti  Рік тому +1

      Amen 🙏 He’s able and He will take you in through what your struggling with in Jesus name

    • @abrahamkago7620
      @abrahamkago7620 Рік тому +1

      Praying for u bro

  • @sixmondmdeka
    @sixmondmdeka 2 роки тому +5

    We praise,glorify and worship our good Lord and most magnificent God. I like the song and the volume is up....blessings from Tanzania 🇹🇿

    • @mal.4k
      @mal.4k 2 роки тому

      Awesome I say awwwwwwweeeessssssomeee

  • @erickaranja
    @erickaranja Рік тому +1

    amen

  • @prophetcrighton5194
    @prophetcrighton5194 Рік тому

    Akisema vinakamilika hakika

  • @jackywangui2506
    @jackywangui2506 Рік тому +1

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪 your powerful God. When u speak it come true🙏.

  • @trizafrances4304
    @trizafrances4304 Рік тому

    Yeye ni mwambaa wetu tujifiche kwake Anannguvu na uwezo na mamlaka yesu from mombasa kenya

  • @ezte9779
    @ezte9779 Рік тому +1

    Pia tuna Hamu ya kuzipokea nyimbo nyingine pia..

  • @ezte9779
    @ezte9779 Рік тому +1

    Jamani Mtamu huu wimbo..
    Dada Angel barikiwq sana

  • @alfonse6296
    @alfonse6296 Рік тому

    sauti 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥

  • @jacklineemanuel4755
    @jacklineemanuel4755 Рік тому

    Woooh Yesu ananguvu kweli barikiwa sana wimbo mzuri unaoleta mioyo ya unyenyekevu inyenyekee kiti cha enzii oooh umebarikiwa dada

  • @angelabernard4458
    @angelabernard4458 Рік тому +1

    Be blessed

  • @julianakitinde7913
    @julianakitinde7913 Рік тому

    Hakika na kweli, amina amina🙏🙏

  • @kamanapetermayenje6249
    @kamanapetermayenje6249 Рік тому +1

    Ukisema kinakamilika 💯

  • @janetatieno1476
    @janetatieno1476 Рік тому +2

    ANGELA be really blessed for such an awesome song. When listening to this song ,i get to heaven and commune with God himself. A real story, a miracle has happened to me having been keen to listen to this song, meditating and believed in the divine revelations of the words .I so pray to our father that he may reach to his people through you and you songs ,may he provide for you in all aspects at times of need. You are such a blessing, thanks..

  • @bilhaadhiambo6448
    @bilhaadhiambo6448 2 роки тому +7

    I just met this and am blessed by the sound of God's spirit through this woman

  • @lydiamukami3728
    @lydiamukami3728 5 місяців тому

    Nothing is impossible with this God .Kweli ana nguvu.Ni neno tu na linakamilika😇😇😇

  • @lupakisyopeter2009
    @lupakisyopeter2009 Рік тому

    Hongera sana Angel Magoti. Mungu wameweka karama ya uimbaji ndani yako, ninaamini kupitia karama hii watu wengi wanaponya roho hata mwili. Mungu azidi kukubariki.
    Mimi ninakufuatilia tangu TM Music.

  • @upendomiraclecentercag8004
    @upendomiraclecentercag8004 2 роки тому +6

    Glory to God my dear sister, it's great that you are serving theLORD .

  • @innocentpallangyo3462
    @innocentpallangyo3462 6 місяців тому

    Ohh Hallellujah Yesu unanguvu Mungu Jina Lako Litukuzwee.....🙏

  • @EstherNkwabi-ng6ut
    @EstherNkwabi-ng6ut 8 днів тому

    Amen mtumishi wa mungu

  • @redemptawangwe2608
    @redemptawangwe2608 Рік тому

    Amen 🙏🏿 🙏🏿🙏🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿

  • @ndungemartinofficial
    @ndungemartinofficial 2 роки тому +9

    Powerful worship 🔥🔥🔥 to The Most High God... hallelujah.

  • @deogratiusalex2088
    @deogratiusalex2088 Рік тому

    tuendelee kusapotiana

  • @mbarikiwamtwa
    @mbarikiwamtwa 2 роки тому +1

    Mungu anazo nguvu na nguvu nyingi hakika👏👏☺️🙇‍♂️🙇‍♂️ Barikiwa Sana Minister👏👏🙏

  • @mindiachieng8033
    @mindiachieng8033 Рік тому +2

    This makes me want to just bow and worship my King!!!the anointing here is too great 😭😭🔥🔥🙌may God be praised

  • @godschild1257
    @godschild1257 Рік тому +1

    On my Birthday, this song played thru the whole day and i knew this had to be my song of the year....what wonderful words....kweli Mungu UNANGUVU😇❤‍🔥🔥

  • @bonirapha796
    @bonirapha796 2 роки тому +1

    Kweli Mungu ana nguvu na akisema ni lazima atende

  • @Pascaline240
    @Pascaline240 Рік тому +2

    Thank you so much for this song may inspire you more and more,I pray this song everyday after having my baby and it’s keep playing in my heart when I’m sleeping,God you’re powerful and everything you say come to pass nothing is impossible to you🙏🏽🙏🏽

  • @angelashery9879
    @angelashery9879 Рік тому +3

    Glory to God with power in His name!Mungu akubariki mtumishi Angel🔥🔥much love from Tanzania

  • @racheljumbe5614
    @racheljumbe5614 2 роки тому +1

    Nimerudia Mara moja haitoshi... barikiwa sis angel...

  • @isayaeva736
    @isayaeva736 2 роки тому +1

    Yesu unanguvu

  • @atupelemsomba5451
    @atupelemsomba5451 2 роки тому +1

    Waooooo unanguvu Yesu huu wimbo🙏

  • @Mr_Okubasu
    @Mr_Okubasu 4 місяці тому

    This song is something else 🔥🔥🔥

  • @dr.peterofficial6390
    @dr.peterofficial6390 Рік тому

    Hakika Mungu ni Mungu anayebadilisha historia. Akisema Vinakamilika. Barikiwa sana dada Angel Mungu akuwezeshe na kukupa mafunuo zaidi na zaidi kulitumikia kusudi lake

  • @RithaKomba
    @RithaKomba 2 роки тому +1

    🔥🔥🔥🔥🔥🙇‍♀️🙇‍♀️🙇‍♀️Yesu una nguvu ukisema vina kamilika huu wimbo 🙌🙌🙌🙌

  • @salomembiku4256
    @salomembiku4256 Рік тому

    Wow🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽

  • @godifreyzabron
    @godifreyzabron Рік тому

    NATAMANI KUIMBA ZA JUU KAMA WEW MUNGU NAJUA NA MIMI ATA NIINUA ZAIDI NA ZAIDI 😭😭😭😭😭MUNGU AZIDI KUKU INUA ILI KUPITIA WEW NIPATE KUJUA MENGI 👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽

  • @quinterotieno274
    @quinterotieno274 Рік тому

    amen 🙏 baraka

  • @newbraiton1034
    @newbraiton1034 Рік тому

    Melody nzuri punch za kimataifa sound za kiMungu,Mungu akisema hakika yote yanakamilika ubarikiwe sana

  • @lucasnyiga9314
    @lucasnyiga9314 2 роки тому

    Natamani dunia Nzima watambue namna MUNGU alivyokubariki katika huduma hii!!!
    #Godyourpowefull

  • @David-q9r2r
    @David-q9r2r 8 місяців тому

    una nguvu yesu

  • @daviddominick5274
    @daviddominick5274 2 роки тому

    Angel were unaniispire mno,,,hunger him ni utukufu kwa utukufu Kwa Mungu

  • @charlesmbwambo9395
    @charlesmbwambo9395 2 роки тому +1

    Una Nguvu Bwana...ukisema vinakamilika 🙌

  • @consolatamedard6593
    @consolatamedard6593 2 роки тому

    Kabla sijaskiliza nianze kukupongeza kwanza mana najua tu Mungu ametukuzwa vizur

  • @salomerichard6650
    @salomerichard6650 Рік тому

    Ukisema vinakamilika Yesu🙌🙌wewe unanguvu

  • @agnesaidan4106
    @agnesaidan4106 10 місяців тому

    Lord I worship you🙌, your Mighty ooh yes you are Mighty, as you say Yes heavens open, mountain shifts .....
    Powerful worship son God bless you daughter of Zion.

  • @gracembaye530
    @gracembaye530 Рік тому

    Hakika una nguvu, Yesu una nguvu. Ukisema linakamalika.

  • @amaniiyaka8468
    @amaniiyaka8468 Рік тому

    W love youeso mutch in DRC

  • @peterpaultz9537
    @peterpaultz9537 2 роки тому

    Tumebarikiwa

  • @miriamkente2462
    @miriamkente2462 2 роки тому +2

    GLORY GLORY GLORY TO GOD🙌🏽💚

  • @addalazaro5579
    @addalazaro5579 2 роки тому

    Baba una nguvu mapito ninayopitia nimefika mwisho kwa nguvu zako naamini yatapita😭😭

  • @denischarleskalwenje856
    @denischarleskalwenje856 Рік тому +1

    Da angel sina chá kusema ila aminaaaa

  • @magdalenedeokimasi8868
    @magdalenedeokimasi8868 Рік тому +3

    Amazing and powerful name of Jesus

  • @julianamuga389
    @julianamuga389 Рік тому

    Go go gooooo 🥳🥳🥳🥳🤸🤸🤸tukutane nov 4🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️❤️

  • @mucherukinyanjui6163
    @mucherukinyanjui6163 Місяць тому +1

    🇰🇪

  • @johnnyagawa2154
    @johnnyagawa2154 2 роки тому

    💥💥💥💥💥

  • @simonnyakunga6030
    @simonnyakunga6030 Рік тому +2

    What a wonderful song. I feel the presence of God. Much Congratulations to you all.

  • @marionwanjiku4226
    @marionwanjiku4226 2 роки тому +1

    Wow thank you holy spirit beautiful song kenya 🇰🇪 with love

  • @ayanyobala2102
    @ayanyobala2102 Рік тому

    Powerful. ..'

  • @upendomoshi9722
    @upendomoshi9722 Рік тому

    Ukisema VINAKAMILIKA🧎🏾‍♀️🙌🏾🔥

  • @gwamakamwakalinga6705
    @gwamakamwakalinga6705 2 роки тому +1

    WaooWao Waooo

  • @favouredrose2917
    @favouredrose2917 2 роки тому

    Hakika anazo nguvu

  • @Maureen967
    @Maureen967 2 роки тому

    Hakika ukisema inakamilika yesu🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @k.musambi2029
    @k.musambi2029 Рік тому

    Waoh Mungu huyu Ana nguvu ya kubadilisha hadi historia

  • @julianaodoyo4175
    @julianaodoyo4175 6 місяців тому

    Waaaaaw.lovely guys.

  • @agneswawuda3207
    @agneswawuda3207 Рік тому

    Nguvu zako Yesu zapita fahamu zetu-heal my mum

  • @mildredwanjiru5344
    @mildredwanjiru5344 2 роки тому

    Bwana Yesu una Nguvu hakika ya Kubadili Historia ukisema vinakamilika

  • @trishmwendemwende6401
    @trishmwendemwende6401 Рік тому

    Powerful

  • @beatricekamamaa209
    @beatricekamamaa209 2 роки тому

    Amen barikiwa sana. Nikwelii neno lake ni Amina tena Lina nguvu.🙏

  • @TumainiENgasa
    @TumainiENgasa 2 роки тому

    My dada huyooo💥💥💥💯💪🙏🙏🙏🌹

  • @monicahjames7308
    @monicahjames7308 2 роки тому +2

    Powerful 🔥 ...
    Halleluja Yesu una nguvu

  • @tituselias3079
    @tituselias3079 2 роки тому

    Thou they challenge you , but trust me GOD is speaking through you, you're his instrument, dhehebu haliiwezi kukupeleka mbinguni Bali Ni kwa kumwamini yesu kristo na kubatizwa kukiambatana na matendo mema. Nice song 👍

    • @angelmagoti
      @angelmagoti  2 роки тому

      Amen Glory be to our almighty God in Heaven

  • @rachelkasub
    @rachelkasub Рік тому

    Namtukuza Mungu kwa ajili yako WOG 🔥🔥🤲
    I love you ♥️

  • @clarissenziza88
    @clarissenziza88 2 роки тому

    Hakika Mungu azidi kukubariki nakuinuwa karama Yako dada yangu

  • @SOLOMON_Aridy
    @SOLOMON_Aridy 2 роки тому

    kwa neno lake tunaishi...barikiwa mtumishi wake