"BAGAMOYO TUTAJENGA, HAKUNA SIKUKUU WALA JUMAPILI, HAKUNA KULALA BANDARI YA DSM" MKURUGENZI TPA DSM

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 січ 2024

КОМЕНТАРІ • 19

  • @Stan-103
    @Stan-103 5 місяців тому +2

    Mnatukosea sana, meli ya mizigo yetu imefika port siku nyingi lkn tukipiga, simu kwa agent wa usafiri wanasema bandari kuna foleni kubwa, mnatuangusha sisi wafanyabiashara, muwe wazi kwa wananchi wenu

  • @user-kj2xh6bt5y
    @user-kj2xh6bt5y Місяць тому

    Ongera sanaa

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 5 місяців тому +1

    Ni vizuri kusikia hivyo. Kwakua maendeleo hayaletwi na usingizi. Matajiri na nchi tajiri hufanya mainchi yao yanaendelea

  • @josephmartin292
    @josephmartin292 5 місяців тому

    Safi sana nimependa Kazi saa 24 hakuna sikukuu wala kupoteza mda hayo ndio maendeleo ya nchi yetu…

  • @user-qn2jo2ow3d
    @user-qn2jo2ow3d 5 місяців тому +1

    Tutaona kama kaz zita endelea kweli

  • @user-qn2jo2ow3d
    @user-qn2jo2ow3d 5 місяців тому +1

    Waongo tu ao

  • @amosieliadi1504
    @amosieliadi1504 5 місяців тому

    Mmeona wanna tkkokodish

  • @kiliantereba6502
    @kiliantereba6502 5 місяців тому +1

    Ss kwa nini mnaiuza kwa waarabu?

    • @edsonnelson4464
      @edsonnelson4464 5 місяців тому

      Eti Ee ! Kwa nini wanakodisha? Kwa mini wasifanye wenyewe tukafaidi sisi kiliko kugawana na wawekezaji

  • @kiliantereba6502
    @kiliantereba6502 5 місяців тому

    2:46 2:54 2:55 2:56

    • @abdulpagali7476
      @abdulpagali7476 5 місяців тому

      Congratulations TPA for the job well done! Keep on working hard and efficiently to maximize the operational profitability of the ports.

  • @NgengeMkeni-uo5hq
    @NgengeMkeni-uo5hq 5 місяців тому

    Mmefanya yote haya baada ya Mange kuamsha dude😂

  • @MawaddaKhamis-zh3kc
    @MawaddaKhamis-zh3kc 5 місяців тому +1

    Sawa fanyeni kazi wakati mnalipwa 😊kazi nzuri tupambane ili kujenga nchi yetu

  • @allyabdallah4641
    @allyabdallah4641 5 місяців тому

    Sasa mlivotaka muwekezaji iliiweje

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 5 місяців тому

    Kazi inapogwa duniani kote cha msingi ni mipango mizuri na hii nafasi muitumie mwaka huu ni waneema mtavunja recodi na iaweka sifa kubwa ya nchi wekeni wafanyakazi wa kutosha

  • @Optionxll_Playz1
    @Optionxll_Playz1 5 місяців тому

    Hivi Bandari ya Tanga Kwa nini uwa haitumiki ?

    • @mayaally2512
      @mayaally2512 5 місяців тому

      Haitumiki labda hauna taarifa zake mjomba

    • @Optionxll_Playz1
      @Optionxll_Playz1 5 місяців тому

      WALA Sina talifa Hawa watalamu wetu wanatakiwa kuwafunga hawasaidii taifa kabisa.