KIPINDI MAALUM CHA GPSA KATIKA MAONESHO YA 48 YA KIMATAIFA YA BIASHARA YA SABASABA 2024

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 лип 2024
  • Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA) Prof. Geraldine A. Rasheli akitoa maelezo kuhusu GPSA kwa wananchi namna ilivyojipanga kutoa huduma ya nishati ya gesi wakati wa maonesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba katika viwanja vya Mwalimu Julius K. Nyerere, Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
    GPSA inashiriki maonesho haya na ipo katika banda la jengo la Wizara ya Fedha.
    Karibu tukuhudumie na upate maelezo zaidi kuhusu huduma zetu zote kutoka kwa wataalamu wetu.
    GPSA;Ununuzi unaozingatia thamani halisi ya Fedha.
    #GPSATanzania #GPSABohariKuuYaSerikali #GPSAHudumaYaGesi #Sabasaba2024 #TukutaneSabasaba2024 #TanzaniaMahaliSahihiPaBiasharaNaUwekezaji

КОМЕНТАРІ •