EXCLUSIVE NA ASKARI NYUMBU ANAYETREND KWA KURAP HIPHOP SHINYANGA "NIMETAFUTWA NA WATU WAKUBWA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 77

  • @shaybmjange972
    @shaybmjange972 7 місяців тому +3

    All the Best Nyumbu Wa Kitaa Unaiwakilisha Vyema Shytown pia Unaelimisha Jamii ndani na Nje ya Kitengo ulichonacho cha POLISI Jamii

    • @nyumbumjanja
      @nyumbumjanja 7 місяців тому +1

      Bless up Ahsante doctor Malongo # humo kwa interview nimekurusha baba ,,, 😂😂😂 🙌🙌🙌 wewe ni mmoja wapo ya watu walichangia kukua kwa Jina la nyumbu mjanja

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 7 місяців тому +2

    Ngoma kali sana afandeeeee Nyumbu

  • @deniwisdomsanga6561
    @deniwisdomsanga6561 7 місяців тому +12

    HII FLOW YAKE NI KAMA RAPPER BORA ROHO SABA

  • @HamuViatu
    @HamuViatu 7 місяців тому +2

    Hongera sana afande nimependa sana ujumbe kwa jamii karibu tunduma by Hamu

    • @nyumbumjanja
      @nyumbumjanja 5 місяців тому +1

      Asante sana nitakuja Siku ndugu

  • @Chemba67
    @Chemba67 7 місяців тому +9

    Kwanza hongera afande, binafsi nimekoshwa sana na flowing yake , ni rapa mzuri na ni vyema angeendeleza kipaji hiki, lakini kwa upande wa pili naliangalia jeshi letu la polisi baada ya miaka kumi ijayo litakua na watu waelevu zaidi na wenye kuielewa jamii na wao wenyewe pia kujielewa. Ndani ya miaka hiyo kumi hiki kizazi cha polisi virungu, polisi pingu, polisi kukwidana suruali kwa nyuma, polisi kumpiga mtu kibao bila sababu, polisi kumsingizia mtu kesi , polisi kuondoa uhai wa mtu kabla ya muda wake choote kitatokelea mbali na kutupatia jeshi jema lisilo na lawama na lenye kupendwa na kupata msaada mkubwa kwa jamii, ninaamini ndani ya miaka hiyo kumi jeshi la polisi litakua limesheheni wasomi weeengi na kuleta heshima ya jeshi . Kwa sasa tunashuhudia mapinduzi makubwa jeshi la polisi na yatadhihirika baada ya miaka hiyo kumi. Mungu ibariki Tanzania.

    • @nyumbumjanja
      @nyumbumjanja 7 місяців тому

      ua-cam.com/video/vDx5AndlFyg/v-deo.htmlfeature=shared

    • @nyumbumjanja
      @nyumbumjanja 6 місяців тому

      ASAnte sn ua-cam.com/video/jTDVVXp4OKM/v-deo.htmlsi=wZugN23kLOb6lPQS

    • @nyumbumjanja
      @nyumbumjanja 5 місяців тому +1

      Asante sana

  • @linussaid9612
    @linussaid9612 7 місяців тому +4

    Safi sana dogo wataelewa tuu awiiii.

  • @lishamedia
    @lishamedia 7 місяців тому +5

    big up bro,nilikua siipendi kaz ya uaskari ila km unanitia dimu vile nimegundua kumbe askari wote hawajielewi maana hawajui hata misingi ya kaz zao yani wanatumia nguvu akili ziro,unakuta wanaenda kumkamata mtumiwa hawajui km kweli kafanya ualifu wao ni kipigotu,hawajui ata km mahakama ndo itakaebaini ukweli zidi ya mtuhumiwa km kwel au sio, ila ww umetumia sana yako kuelimisha bila kutumia nguvu nataman askar wote wangekua km ww haki ingepatikana kuanzia chini,nimekuelewa sana bro kaz nzur

  • @johnnzumbe
    @johnnzumbe 3 місяці тому

    Aiseeeeh umetema madini mengi sana Afande aka Nyumbu Mjanja🎉🎉🎉🎉

  • @user-bq8ny7tt5z
    @user-bq8ny7tt5z 7 місяців тому +2

    Dahhhh mwamba yuko vizuli kwa kucana 👌 nimependa anavyo toa elimu kwa jamii, from Belgium 🇧🇪

  • @verynicemonyo8671
    @verynicemonyo8671 7 місяців тому +1

    Safi sana Mungu akufikishe mbali

  • @PeterMjika
    @PeterMjika 7 місяців тому +2

    Uko vizuri sana afade

  • @frankbujiku9496
    @frankbujiku9496 7 місяців тому +5

    Nyumbu wew bhana😂😂😂😂😂😂😂

  • @user-wx5qn3wq4i
    @user-wx5qn3wq4i 7 місяців тому +1

    Daaa ! Mzee gab a.k.a nyumbu nakukubali sana mzee endelea kutuelimisha usichoke !

  • @user-td4kg7sw7l
    @user-td4kg7sw7l 7 місяців тому +3

    Umejitahidi sana kiukweli unahitaji pongez kwakutumia ulichonacho kwakuelimisha jamii

  • @jonnygabriel9648
    @jonnygabriel9648 7 місяців тому +2

    Huyu yupo kazini

  • @chesterbrand6723
    @chesterbrand6723 7 місяців тому +1

    Hii r chugga DNA yake imeharibu Askari......
    Huraaaa hip hop huraaa hip hop

  • @GeraldSwai-ty1hr
    @GeraldSwai-ty1hr 7 місяців тому +2

    Kazi Nzuri

  • @jojigeorige1056
    @jojigeorige1056 6 місяців тому

    Safi sana nyumbu mjanja...

  • @paullala9338
    @paullala9338 7 місяців тому +4

    Safi sana tumejifunza sana kupitia wewe

  • @user-tz6ps7fb9k
    @user-tz6ps7fb9k 7 місяців тому +1

    Aseiy hongera brother

  • @DanielJoseph-cy8se
    @DanielJoseph-cy8se 7 місяців тому +1

    ❤mapigo na mwendo

  • @simontamba1285
    @simontamba1285 7 місяців тому +1

    Amshirikishe Roma na Chid bila kumsahau Mwaisa Nay

  • @emmanuelpius6387
    @emmanuelpius6387 11 днів тому

    Hata Katiba ingekuwa kwenye mfumo wa sanaa watu wengi wangeijua

  • @mparentomshana4002
    @mparentomshana4002 7 місяців тому +1

    Kila hatua dua

  • @stuntkizzy
    @stuntkizzy 7 місяців тому +4

    Jamaa kajibu kisomii😂😂

  • @user-zt6eb7re4u
    @user-zt6eb7re4u 7 місяців тому +1

    ❤uko saw broo

  • @yusuphnyasuka3860
    @yusuphnyasuka3860 7 місяців тому +2

    nyumbuuuuuu on millard ayo

  • @michaelmrema5233
    @michaelmrema5233 7 місяців тому +1

    Safi sana.
    Kwamfano ikitokea kazi ya u mc hii unafanya?

  • @scardee.7630
    @scardee.7630 7 місяців тому +1

    Brother its good 4 everyone good job

  • @geraldlyimo2859
    @geraldlyimo2859 7 місяців тому +2

    Na kweli unajenga na kuijengea jamii itaipenda police tunaomba trh 24.1.24 uingie ktk maandamano ili jamii iandamane vyema na ifike slm iendako

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 7 місяців тому +3

    Kipaji hicho

  • @big4l999
    @big4l999 7 місяців тому +2

    Big up

  • @athuman.yomary6583
    @athuman.yomary6583 7 місяців тому +4

  • @GablielWangazi
    @GablielWangazi 7 місяців тому +1

    Afande Saf kwa kuchana 🙏🙏

    • @nyumbumjanja
      @nyumbumjanja 5 місяців тому +1

      Asante sana wajina the same naitwa Gabriel

  • @felistajilala3630
    @felistajilala3630 7 місяців тому +2

    Waooooh my home

    • @nyumbumjanja
      @nyumbumjanja 4 місяці тому

      ua-cam.com/video/SSnUxziv5kU/v-deo.htmlsi=9kt-MOo0DU4Pj-dk

  • @user-eu1wq8bn9y
    @user-eu1wq8bn9y 7 місяців тому +1

    Kweli 🎉🎉

    • @nyumbumjanja
      @nyumbumjanja 4 місяці тому

      ua-cam.com/video/SSnUxziv5kU/v-deo.htmlsi=9kt-MOo0DU4Pj-dk

  • @eaglecrown1101
    @eaglecrown1101 7 місяців тому +1

    Amina🙏🏾🤔

  • @user-ng6ep3hi4c
    @user-ng6ep3hi4c 7 місяців тому +4

    Naona sasa polisi wanaelekea kuanzisha band ya bongo fleva kingilio bure 😂😂😂

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 7 місяців тому +1

    Pengine wataelewa kwa rap.. wanakimbiza magari ovyo sana

    • @nyumbumjanja
      @nyumbumjanja 4 місяці тому

      ua-cam.com/video/SSnUxziv5kU/v-deo.htmlsi=9kt-MOo0DU4Pj-dk

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 7 місяців тому +1

    Tumezoea miziki ya NGONO tu

    • @nyumbumjanja
      @nyumbumjanja 6 місяців тому +1

      PATA Muzik WA Ujumbe huo

    • @nyumbumjanja
      @nyumbumjanja 4 місяці тому

      ua-cam.com/video/SSnUxziv5kU/v-deo.htmlsi=9kt-MOo0DU4Pj-dk

  • @soccoability
    @soccoability 7 місяців тому +1

    🔥🔥🔥🔥

  • @haidarihondo4475
    @haidarihondo4475 7 місяців тому +1

    mradikooooo

  • @janetchinga695
    @janetchinga695 7 місяців тому +1

    ❤❤❤❤

    • @nyumbumjanja
      @nyumbumjanja 4 місяці тому

      ua-cam.com/video/SSnUxziv5kU/v-deo.htmlsi=9kt-MOo0DU4Pj-dk

  • @fridahmalingila8175
    @fridahmalingila8175 7 місяців тому +1

    💯

  • @idanysedrc1200
    @idanysedrc1200 7 місяців тому +1

    Nyumba mjanjanja

  • @user-nz5me8bk7g
    @user-nz5me8bk7g 7 місяців тому +2

    So askari wa mchongo uyo

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 7 місяців тому +1

    👍✌️👊。

    • @nyumbumjanja
      @nyumbumjanja 4 місяці тому

      ua-cam.com/video/SSnUxziv5kU/v-deo.htmlsi=9kt-MOo0DU4Pj-dk

  • @pauloropian2367
    @pauloropian2367 7 місяців тому +2

    Kweli nyumbu mnatumika Sana hovyo na CCM.

    • @lishamedia
      @lishamedia 7 місяців тому +5

      mtateseka sana na siasa, mwezio anatumia kipaji chake na kazi yake kufika ujumbe katika jamii we unakalia siasa ameimbea kura ccm mpaka ule mambo ya siasa, ubinasi na chuki ndo unaosumbua jambo jema kwenu ni baya tu mbwa kabisa😂😂

    • @nyumbumjanja
      @nyumbumjanja 7 місяців тому

      ua-cam.com/video/vDx5AndlFyg/v-deo.htmlfeature=shared

  • @pauloropian2367
    @pauloropian2367 7 місяців тому +3

    Na aoni haya kujiita nyumbu Bora afukuswe uwasikari unawasalikisha wengine

    • @mwalimuissa5964
      @mwalimuissa5964 7 місяців тому +3

      Askari yupo sahihi acha chuki

    • @vincentcharles4385
      @vincentcharles4385 7 місяців тому +2

      Jifunze kuandika kwanza then uje na comment yako.

    • @lishamedia
      @lishamedia 7 місяців тому +1

      hujui kitu ww panya, mwenzio anatoa ujumbe kwa madereva kupitia kipaji mugu alichompa unatokea mweu moja unapinga ilo ndo jina la kipaji chake haiusian na uasikari wake,chuki tu utakufa ivyo ivyo na machuki yako.

    • @peterpaschal4522
      @peterpaschal4522 7 місяців тому +1

      Wewe huna akili😅

    • @asmoretune
      @asmoretune 7 місяців тому

      hana akili kwanza uuyo😅

  • @issackmganga4600
    @issackmganga4600 7 місяців тому +2

    Uko.poa.