Kwanini hamfikirii kujenga kitu mojakwamoja kama barabara tanueni ziwe pana acheni kuzibana fanyeni njia 4 kwenda 4 kurudi sio kila 2 kwenda 2 kurudi maisha kila yanenda kasi mwakaani kila atakua na gari barabara hakuna watapita wapi mnakiwanda cha kua assembly magari barabara hakuna yatapita wapi viongozi wetu kila siku mnaenda nchi zawa2 inama hamuoni wenzenu wanavyo jenga barabara zao acheni maneno fanyeni kazi jangwani kilasiku mafuriko kwani hamjengi yote 9 kumi tanueni barabara acheni kujenga vichochoro
Barabara za South Africa ni njia 5 kwenda 5 kurudi na bado kila siku wanatengeneza barabara, nyie Tanroad ni jipu kubwa la kutumbuliwa vibarabara ni vyembamba mno ndomana aziishi ajari aziishi foleni na hata barabara za mitaani zinapaswa kuwekwa rami sio eti mpaka awe anaishi kiongozi flani ndo muweke rami hii nchi ni ya kwetu sote acheni upuuzi.
Hajabu ni kuwa mnajua kuwa magari yanazidisha uzito. Lakini hamna moango wa kuzuia overloading mijini. Hizo gari za Kichina zenye kubeba CBM 19 na zaidi zinabeba hadi ton 52 wakati zimeruhusiwa kubeba ton 26, njoo muone zilivyoharibu barabara za mitaani hapa Dar es Salaam… Aibu kwenu: Inakuwaje tunaruhusu magari yenye body kubwa hivyo kufanya kazi mijini, hizo ni gari za kukaa migodini huko
bado barabara zetu viwango vidogo na pia nyembamba sana na amzingatii usawa wa matumizi ya barabara kwa vyombo au watu wote, aiwezekani barabara akuna njia za wapita kwa miguu au waendesha baiskel ama wakimbiiaji kwa ajiri ya mazoez ya kujenga afya zao, wakuta barabara ni mpya lakini aina ivyo vitu na pembezoni mwake ni vumbu ama kokoto tu. Ebu linganisheni barabara za Rwanda Kenya au south Africa tofauti na za Tanroad tazama barabara za kaliakoo ni shida tupu biashara ndo zimemwagwa chini akuna matimizi sahihi ya barabara raia wanapata tabu kaliakoo sio waendesha magari wala wapita kwa miguu No shida tupu kwa Tanroad.
Kwanini hamfikirii kujenga kitu mojakwamoja kama barabara tanueni ziwe pana acheni kuzibana fanyeni njia 4 kwenda 4 kurudi sio kila 2 kwenda 2 kurudi maisha kila yanenda kasi mwakaani kila atakua na gari barabara hakuna watapita wapi mnakiwanda cha kua assembly magari barabara hakuna yatapita wapi viongozi wetu kila siku mnaenda nchi zawa2 inama hamuoni wenzenu wanavyo jenga barabara zao acheni maneno fanyeni kazi jangwani kilasiku mafuriko kwani hamjengi yote 9 kumi tanueni barabara acheni kujenga vichochoro
Hasa, katika Afrika Kusini barabara ni za kiwango cha kimataifa na njia nne katika kila mwelekeo au hata tano.
Ring road mnyamaze tu maan vyote vya Magufuli
Pole
Af barabara ya gongolamboto NYEMBAMBA SANA KWA NINI NA ENEO LIPO KUBWA TU..YAN ROLI MBILI AZIPISHANI
HONGERA SANA METENDANJI MKUU KWA TAARIFA NZURI ASANTE
Apo kwenye daraja ungenyamaza tu
Barabara za South Africa ni njia 5 kwenda 5 kurudi na bado kila siku wanatengeneza barabara, nyie Tanroad ni jipu kubwa la kutumbuliwa vibarabara ni vyembamba mno ndomana aziishi ajari aziishi foleni na hata barabara za mitaani zinapaswa kuwekwa rami sio eti mpaka awe anaishi kiongozi flani ndo muweke rami hii nchi ni ya kwetu sote acheni upuuzi.
Kwenye bwawa la umeme mnyamaze tu
Kwenye uwanja wa ndege mnyamaze ty
Hajabu ni kuwa mnajua kuwa magari yanazidisha uzito. Lakini hamna moango wa kuzuia overloading mijini.
Hizo gari za Kichina zenye kubeba CBM 19 na zaidi zinabeba hadi ton 52 wakati zimeruhusiwa kubeba ton 26, njoo muone zilivyoharibu barabara za mitaani hapa Dar es Salaam…
Aibu kwenu:
Inakuwaje tunaruhusu magari yenye body kubwa hivyo kufanya kazi mijini, hizo ni gari za kukaa migodini huko
bado barabara zetu viwango vidogo na pia nyembamba sana na amzingatii usawa wa matumizi ya barabara kwa vyombo au watu wote, aiwezekani barabara akuna njia za wapita kwa miguu au waendesha baiskel ama wakimbiiaji kwa ajiri ya mazoez ya kujenga afya zao, wakuta barabara ni mpya lakini aina ivyo vitu na pembezoni mwake ni vumbu ama kokoto tu. Ebu linganisheni barabara za Rwanda Kenya au south Africa tofauti na za Tanroad tazama barabara za kaliakoo ni shida tupu biashara ndo zimemwagwa chini akuna matimizi sahihi ya barabara raia wanapata tabu kaliakoo sio waendesha magari wala wapita kwa miguu No shida tupu kwa Tanroad.
weken flyover mji upendeze
Mheshimiwa jangwani mbona mnachelewa na daraja liwe world class