HIKI NDICHO KISIWA ALICHOPITA NABII SULEIMAN PEMBA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 73

  • @zeanamohamed4072
    @zeanamohamed4072 5 років тому +1

    Mashallwa. Mungu .utuzidishiye. Imani katika pembamba mzima

  • @user-ts8im2us1s
    @user-ts8im2us1s 6 років тому +1

    Mashaallah kuzuri, Shukran Alfatah itabidi tukatembee uko

  • @ahmeidyoung2410
    @ahmeidyoung2410 6 років тому +2

    Maa shaa allah

  • @fatmasaid5864
    @fatmasaid5864 6 років тому +1

    Shukran Al Fatah tv kwa kutuonesha kisiwa cha misali pemba kuzuri

  • @seifrashid9332
    @seifrashid9332 6 років тому +3

    mashallah

  • @salehkhamiss3545
    @salehkhamiss3545 6 років тому +3

    mungu awape nguvu

  • @hamidjuma4621
    @hamidjuma4621 6 років тому +10

    AL FATTAH TV ONLN kama ckosei ni taasis inayojihusisha hasa na mambo ya kiislam ila inakuele kwenye vipindi vyenu lazima back voice iwe music wakat nasheed zipo zilokua hazina ala za music...?? Ebu liangalien hili mcijibebeshe jukum maana music na uislam ni vitu tofaut mcjaribu kuvinasibisha

  • @fahdmohd3027
    @fahdmohd3027 6 років тому +2

    Masha alalh

  • @salehmussasaid1136
    @salehmussasaid1136 6 років тому +6

    Nitaarifa nzuri sana lkn kama mnaushahidi wa kuwa Nabii Sleman alipita hapo muuweke.
    Km hmn cvyema kuchanganya mambo yakiimani ktk Business zenu,mtaonekn wazushi,namtakosa value.

  • @nureyna629
    @nureyna629 5 років тому +11

    Nimesubiria kusikia neno nabii suleiman alipita hapa, ila mpaka video Inaisha sijaskia 🤔

    • @masoudmasoud8138
      @masoudmasoud8138 4 роки тому

      Ahhh !!! Wallai hata mi nilikuwa nasubiria icho kitu sasa inakuwaje mambo haya ??

    • @najashdawood9680
      @najashdawood9680 Рік тому

      Mpumbavuuu kabisa ..hajui kazi yake

  • @عايشهسعيد-ض5ذ
    @عايشهسعيد-ض5ذ 6 років тому +1

    Maasha Allah

  • @hadiyamussa5824
    @hadiyamussa5824 5 років тому

    Mashaallah ni kweli kabisa aso amini m/mungu atamuamini shetan maluun

  • @fatmajumaa1069
    @fatmajumaa1069 6 років тому +1

    Barakllah pemba

  • @allyhemed2276
    @allyhemed2276 6 років тому

    Allahu Akbar.Mashaallah.

  • @yassirrashid7802
    @yassirrashid7802 6 років тому

    Nice Pemba

  • @jesusnetworkministry
    @jesusnetworkministry 6 місяців тому

    nimependa beats ya back iyo

  • @salehkhamiss3545
    @salehkhamiss3545 6 років тому +1

    naomba kipindi cha leo 9/9/2018 ktk kijiji cha shikazako kisiwan pemba

  • @maalimrashad3594
    @maalimrashad3594 6 років тому

    Mashalah

  • @abuanmarabubakar
    @abuanmarabubakar 4 роки тому +1

    Historia ya kuja nabii sleiman zanzibar sio za kweli

  • @ludacrissrangiyabank3737
    @ludacrissrangiyabank3737 5 років тому

    Nabii muhammad alikuja kuwasadikisha mitume wote walopita nyuma wenzetu wanaona choyo ss waislamu kuwataja mitume walopita nyuma kabla ya muhammad ata tukio la hijja wanakasirika tukilinasibisha na nabii ibrahim wakristo tunakwambieni mitume wote walikuja na neno moja na wametumwa na mungu mmoja wametofautiana ktk sheria tu kila mmoja kapewa sheria kutokana na wakati wake

  • @aliudiy4921
    @aliudiy4921 6 років тому +8

    tupeni ushahidi Kama nabiisleiman alipita hapo

    • @salehkhamis-ob8ln
      @salehkhamis-ob8ln 11 місяців тому

      Njoo methali huku zipo kumbu kumbu nyingi ushahidi utaupata

  • @clovetv_pba
    @clovetv_pba 6 років тому +2

    Allahu Akbar

    • @alihamad6046
      @alihamad6046 6 років тому +1

      mashallah

    • @pascalmoussa5111
      @pascalmoussa5111 6 років тому

      fuck you,nmefka hapo hakuna jipya

    • @clovetv_pba
      @clovetv_pba 6 років тому

      @@pascalmoussa5111 km umefika sw, sasa hio fuck you inakuaje?

  • @hamnakituumupumbatupumohd8505
    @hamnakituumupumbatupumohd8505 5 років тому +1

    unawazimu we hadith za paukwa na pakawa pelekeni hakufika Othman maalimu na maulaamaa wengne kina ameir Tajo atafika nabii sleiman

  • @mohdali7612
    @mohdali7612 5 років тому

    ASALAM ALAYKU JAMANI MUCWE NA WACWAC NIKWELI HII ISTORYA IMO MM NIMEISOMA KATIKA KITABU KILICHOANDIKWA NA HUSEN BASHIR KINAITWA DOLA KONGWE YA ZANZIBA KUTOKA OMAN HADI KONGO HICTORIYA NI YAKWELI JAMANI

  • @mwanahamisjuma3361
    @mwanahamisjuma3361 6 років тому +5

    Mbona kichwa cha habari hakiendani na habari yenyewe

  • @TheChidonline
    @TheChidonline 6 років тому

    nimekuja hapa kwa kichwa cha habari ila cjaona kuzungumziwa nabii Suleiman(A.S)

  • @kheirmbarouk8373
    @kheirmbarouk8373 6 років тому

    kweli kupata kunataka ujanja mpka hawa nao kichwa cha habari feki...wapiga dili ...shkamooo njaa.

  • @abuanmarabubakar
    @abuanmarabubakar 4 роки тому +1

    Wacheni kukipaisha kisiwa cha pemba mpk watu wakakiona bora kuliko makkah

  • @khalidkhalid-ks6wd
    @khalidkhalid-ks6wd 6 років тому +1

    Kwetu nkuzuri ati najivunia kua mpemba.ILOVE MY HOME.karibu pemba aliekua si kwao aje na aondoke.

  • @abdullahsaid6540
    @abdullahsaid6540 6 років тому

    Kufika kwa nabii suleiman ktk icho kiswa mim pia napata mashaka juu ya hilo.......labda km mtu alete uthibitisho

  • @thekingman7715
    @thekingman7715 6 років тому

    nabii suleiman kufika ni uzushi na uongo mkubwa ...kuweni makini na taarifa zenu musipotoshe ummah

  • @lidoahmed6696
    @lidoahmed6696 4 роки тому

    Wanafki hao alfatah tv munawazushia manabii wetu unafik

  • @user-kw1zu2dy1h
    @user-kw1zu2dy1h 4 роки тому

    جزيرة الخضراء

  • @dullahaboud311
    @dullahaboud311 6 років тому

    sheikh nassor bachu

  • @amouramour7143
    @amouramour7143 5 років тому

    Nakumbuka babu yanagu aliniambia zamani kulikua na kuku wengi wakienyeji weupe sana na walikua hawana mwenyewe na wlikuwa watu wanaruhusiwa kuchinja na kula apo hurusiwi kuondoka nao sijui kwa SSA kama bado wapo aliye isulia yeye aliwakuta na hadi Leo yupo hai

  • @ramamabinda5063
    @ramamabinda5063 6 років тому +1

    Alikua akitokea wapi na alienda wap

  • @faizasaid8262
    @faizasaid8262 6 років тому +1

    Nimefrah nyumbni kabisa

  • @dullahkesi9547
    @dullahkesi9547 5 років тому

    kapita pemba

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 6 років тому

    Kichwa Cha habar SF but story tofaut Kwa nn

  • @otponline1277
    @otponline1277 4 роки тому

    Msifanye biashara zenu zikawa na uongo mbona sijasikiya neno nabii wacheni uzushi tupeni dalili

  • @bakarimakumbato1740
    @bakarimakumbato1740 6 років тому

    Watazamaji wenu wana akili timam. Kipindi chenu kizuri ila kichwa cha habari haiendani.

  • @amejuma8194
    @amejuma8194 5 років тому

    Alafu wapemba wote walo coment wanapenda kujifagilia.. Zanzbr yote ni nzr sio pemba2

  • @dullahkesi9547
    @dullahkesi9547 5 років тому

    nabii sleiman alipta pemba yeye nawafanya kaz wake walkuwa majini alpo ondoka aliwachaa baazi inasemekana lakn

  • @mohdali7612
    @mohdali7612 5 років тому

    ALIKUJA KUTAFUTA DHAHABU NABII SULEIMANI NA MAJINI NIKWLI GANDO

  • @najashdawood9680
    @najashdawood9680 Рік тому

    Yaan kama mpuuzi wewe...mpuuzi hujui kuitendea tasinia yako haki ...katafute boti ukavue samaki..pumbavu kabisa

  • @thekingman7715
    @thekingman7715 6 років тому

    nabii suleiman kufika ni uzushi na uongo mkubwa ...kuweni makini na taarifa zenu musipotoshe ummah