Hay sawa tumeelewa alaf mtu unajenga kabanda ka kuku room tatu na sebule na kutembelea i.s.t unajiona we ndo mwambaaaaa acheni zarau Dunia ya mungu hiii
Mashalah mashalah mashalah..mungu akubaliki na akujalie kila la heri apa dunian na kesho inshallah..akupe mwisho mwema..nakikubwa usikufuru na usiwe na kibri
Millard bana hii story ndo umeijua siku hz.hachana na hyu kuna hyo mwingine yuko Santasa ni mara 2 ya hyo na Elon musk. Hatq Elon musk alishawai kumtaja. Ni shida sana . 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 Hata alishawai kusema anataka 🌎 cup ya 2030 hata host yeye na viwanja vya uko santasa atajenga yeye na serikali hisiingilie. Watu wana ela jamani. 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Alhamdulillah Allah kunijaalia kuwa masikini anipe siha njema nizidishe kumuabudu yeye mola mlezi wa viumbe vyote. Allah turuzuku sisi waja wako utajiri usio kwisha katika akhera yetu.
Mm nina wasiwasi na ww kuwa Allah humjuwi wala humsomi ili umjuwe ndio shida inaanza hapo. Na utajiri huo wakwake Allah asinijaalie kattuh katika Dunia.
Haya maneno ya kukata tamaa, pambana Bado umasikini utaondoka mbele yako,fanya kazi kwa bidii na juhudi huku akili ukiweka mbele na muombe sana mungu hakika utaondokana na umasikini na dhiki mbalimbali.
@@GeorgeAkasha-zx2rj hahaha kaka haya sio maneno ya kukata tamaa, Bali dini yangu ya uisilamu inatukataza kuomba utajiri na sio kupambana ili ukawa tajiri. Na ukiomba huo utajiri, ufuatanishe na kumuomba Allah akujaliye utajiri wenye kheri na ww.
@@jumaothman9449 Ni kweli mkuu ila hapa duniani maisha tunayoishi angalau jitahid kipato kiwepo aisee muombe sana mungu akupe angalau kipato maana daah
@@GeorgeAkasha-zx2rj tunapambana tujisijekufikia level ya kuwa fukara. Maisha ni tafu sana ila tunapambana nayo ili tumalizie Dunia yetu vizuri na kupata kula ya halali na sio ya kuzulumu
hii inamaanisha dunia ni jinsi gani ni tajiri, umaskini haupo duniani, ila unaletwa na baadhi ya watu kulimbikiza utajiri wa mungu kwao tu. dunia isingekuwa na ykatili, ulimbikizaji wa mali hivyo kama huu na mfano wake, na kusingekuwepo na vita vya kielimu, basi dunia yote ingekuwa salama bila umasikini, tungeishi kama bani Israel kwa utajiri mbubwa alioutoa mungu kwa viumbe wake hapa duniani
I'm proud to be Muslim, izo mali zote ni anasa ya dunia na ni dhambi maana hautazikwa nazo, fuata mafundisho ya dini uitafute pepo uishi maisha mazuri yampendezayo Allah izi mali utaziacha
Hizo zote ni Mbwembwe za Duniani, Mwakyoma umesahau kutujulisha ni Makanisa mangapi amejenga na Misikiti, au amewekeza km yule tajiri wa siku ile hadi Godouni zote zilijaa na akatamani kujenga zingine na akamsahau Mungu, na akamtangazia ubabe kuwa ww ni mjinga nataka Roho yako, tutafakarini sana haya maisha.
Sasa unauliza misikiti Brunei 🇧🇳 kweli?😂😂asilimia kubwa ya wanancho ni waislam misikiti ipo yakutosha icho kisiwa kwa akili ndogo tu mfalme hassan yeye ni mwislam hawezi kuwa hajajenga misikiti nchini kwake
Masikini watajisikia vibaya na kusahau ya kuwa maisha ni fursa tu na kama huko kwao mambo ni bambam kwa nini asitumie wakati siku ya kufa tunaondoka duniani watupu tu hata ingekuwa ni wewe bwana, hebu tuache basi wivu..
Utawala wa demokrasia ndio unatufanya tusiendelee. Tungeendeleaga na utawala wetu wa jadi. Wazee wanachagua mtawala. Tawala hizi ukiziangalia zina maendeleo. Maana kuna familia za utawala. Na mungu aliwapa kipaji hicho.
Ataviacha lakin anaenjoy huko kwingine tunako enda hatupajui kukoje... Tupambanie maisha mazur hata Mungu hapendezwi na umaskini, asiyefanya kaz bac na asile
Mashallah mashallah akika MUNGU kakupa vya duniani mfalme hassan inshallah navya akhera akupe kwakujali wananchi wako.
Nemependa tu hapo kwenye kodi na huduma za afya bure kwa wote kajitahidi atilist kutojijali mwenyewe na familia yake🤩😍😍
Yuko vizuri sana na nchi yake wanafurahia maisha.
He was born to have that's good alhamdulilah may Allah protect u from evil eye who don't want to see others happy.
Hay sawa tumeelewa alaf mtu unajenga kabanda ka kuku room tatu na sebule na kutembelea i.s.t unajiona we ndo mwambaaaaa acheni zarau Dunia ya mungu hiii
Umejuaj😅😅😅😅
Mtu chake
Ila Husna umejua kunichekesha Wallahi 😂😂😂😂
Mbona unataka kumsema DC mwijaku
Acha makasiriko
Hongereni Nasikia hata raia wake wanaishi poa sana
Mashalah mashalah mashalah..mungu akubaliki na akujalie kila la heri apa dunian na kesho inshallah..akupe mwisho mwema..nakikubwa usikufuru na usiwe na kibri
Daah! htr Saana huyo Jamaa ana Fedha nyingi balaaa,,, Billionaire wa htr sn 🔥🔥🔥🔥🔥
Yaani nilisoma huko hadi raha...Nchi raia wanaenjoy balaaaa....Na nikisiwa kidogo tu
Ungebaki huko huko uinjoi maisha
Usingerudi
Uzuri wake anafanya watu wake wasilipe kodi hospital bure mhuuuu ❤
Mmmmmmhhh halo ni noma kweli kweli ni hatari na nusu
Hongera Sultan Kwa Ubilioner .Ni Jambo la Kheri sana. Saidia Masikini watu wasiojiweza.
Vyema a Kwa Misaada angalia nje ya Nchi Yako Amiina.
Mwambie bas anipee nami japo hata kaa 50 million nijenge kwa kulala 😢😢 wengine wako na maisha dunian
Mwenyezi Mungu amembariki, nibaomba anisaidie ili nitende Mapenzi ya Mungu
Kumbe kuna watu wanafurahia maisha hapa duniani, ila magufuri angeweza pengine
Hongera bhana
Mwisho wa siku hazikwi navyo kweli munguu ni mkubwa
Tafuta hela hayo ni mawazo ya maskini
Tafuta hela ndugu😂
Saka pesa mzee. Acha asira za kimasikini
Tafuta fedha
Huzikwi navyo ila hakikisha vinapita kwako, hata Mfalme Sulaiman alikuwa Tajiri sanaa Tafuta hela Umaskini haupendezi
Mpeni salamu Diamond platnam, anataka kuwa tajiri namba I duniani. Ohh diamond ana hela.
Dah aya
Millard bana hii story ndo umeijua siku hz.hachana na hyu kuna hyo mwingine yuko Santasa ni mara 2 ya hyo na Elon musk. Hatq Elon musk alishawai kumtaja. Ni shida sana . 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 Hata alishawai kusema anataka 🌎 cup ya 2030 hata host yeye na viwanja vya uko santasa atajenga yeye na serikali hisiingilie. Watu wana ela jamani. 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Duh!!! nihatar san🎉
Mfalme Suleman Alisema Yote NI ubatil Maana tutaacha
Ila Hapo kwenye Matibabu Bure Kwa kila mwananchu wake .. Mungu na amzidishie
NDIO MAANA AKAITWA MFALME lazima Awe Bilionear 👑💪
Kusaidia wananchi huduma za jamii Bure, hili ni jambo kubwa saaaana, acha tu Mungu amzidishie Mali kadri atakavyojaaliwa.
Atupe nasie tusokua nazo mashaalla Alla kamjalia hlf anathamin raia ndomana kapewa zawadi kwa wingi wacha mchezo 😂Alla kampenda 🙏
Alhamdulillah Allah kunijaalia kuwa masikini anipe siha njema nizidishe kumuabudu yeye mola mlezi wa viumbe vyote. Allah turuzuku sisi waja wako utajiri usio kwisha katika akhera yetu.
Mm nina wasiwasi na ww kuwa Allah humjuwi wala humsomi ili umjuwe ndio shida inaanza hapo. Na utajiri huo wakwake Allah asinijaalie kattuh katika Dunia.
Haya maneno ya kukata tamaa, pambana Bado umasikini utaondoka mbele yako,fanya kazi kwa bidii na juhudi huku akili ukiweka mbele na muombe sana mungu hakika utaondokana na umasikini na dhiki mbalimbali.
@@GeorgeAkasha-zx2rj hahaha kaka haya sio maneno ya kukata tamaa, Bali dini yangu ya uisilamu inatukataza kuomba utajiri na sio kupambana ili ukawa tajiri. Na ukiomba huo utajiri, ufuatanishe na kumuomba Allah akujaliye utajiri wenye kheri na ww.
@@jumaothman9449 Ni kweli mkuu ila hapa duniani maisha tunayoishi angalau jitahid kipato kiwepo aisee muombe sana mungu akupe angalau kipato maana daah
@@GeorgeAkasha-zx2rj tunapambana tujisijekufikia level ya kuwa fukara.
Maisha ni tafu sana ila tunapambana nayo ili tumalizie Dunia yetu vizuri na kupata kula ya halali na sio ya kuzulumu
hii inamaanisha dunia ni jinsi gani ni tajiri, umaskini haupo duniani, ila unaletwa na baadhi ya watu kulimbikiza utajiri wa mungu kwao tu. dunia isingekuwa na ykatili, ulimbikizaji wa mali hivyo kama huu na mfano wake, na kusingekuwepo na vita vya kielimu, basi dunia yote ingekuwa salama bila umasikini, tungeishi kama bani Israel kwa utajiri mbubwa alioutoa mungu kwa viumbe wake hapa duniani
Ban Israel bado wapo
Afu kuna sis mifano kwa ulimwengu ..,dunian hatuelewek mbinguni atudhani
Aisee Kuna WATU Wanajua Kuwekeza Aisee 😂😂😂🙌🙌
Jina lenyewe lina jaa ukurasa, safi sana babu na mimi tajiri pia
😂😂😂😂😂
Ayo majinaa Sasa ni noma
I'm proud to be Muslim, izo mali zote ni anasa ya dunia na ni dhambi maana hautazikwa nazo, fuata mafundisho ya dini uitafute pepo uishi maisha mazuri yampendezayo Allah izi mali utaziacha
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mmmh hatari
Hizo zote ni Mbwembwe za Duniani, Mwakyoma umesahau kutujulisha ni Makanisa mangapi amejenga na Misikiti, au amewekeza km yule tajiri wa siku ile hadi Godouni zote zilijaa na akatamani kujenga zingine na akamsahau Mungu, na akamtangazia ubabe kuwa ww ni mjinga nataka Roho yako, tutafakarini sana haya maisha.
Kuwekeza kwa kuwajali wananchi wake inatosha...
Tafuta pesa
Sasa unauliza misikiti Brunei 🇧🇳 kweli?😂😂asilimia kubwa ya wanancho ni waislam misikiti ipo yakutosha icho kisiwa kwa akili ndogo tu mfalme hassan yeye ni mwislam hawezi kuwa hajajenga misikiti nchini kwake
Hapo penyewe unawaza namna ya kuishi vizuri halafu unamsanifu aliyefanikiwa, kweli we punga
Kuna 102 Misikiti, 5 Surau and 11 balai ibadat ("worship halls").
Jina kurisikira tu lihishe ni GB 4 apo maerezo bado na utajiri bado yaani yeye kira kitu kirefu ❤❤
😂😂😂😂
😂😂😂
Amazing
Jamaa akipanda gari si ni moja tu kwa wakati
Maa sha Allah, maisha kabla ya kifo❤
Mwamba anakila kitu😅😊
Hilo Jina Duuuh 😂😂😂😂😂😂😂
Mimi kwa sekunde naingiza tilion1.4
Itakuwa Hela ya Zimbabwe!!
Maa shaa Allah
Nme mpa pongez kubwa xan kwa kodi na afya hapo ametisha
ONG
Ngoja nikamdange tu😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nimempenda sii mbinafisi afya bure,elimu na hakuna kulipa Kodi
Masikini watajisikia vibaya na kusahau ya kuwa maisha ni fursa tu na kama huko kwao mambo ni bambam kwa nini asitumie wakati siku ya kufa tunaondoka duniani watupu tu hata ingekuwa ni wewe bwana, hebu tuache basi wivu..
Ahhh yaan apo mondi anamiliki rolly royce moja anatamba mjini mwenzake anamiliki rolly royce 600 ahhh kunawatu wanaelea
Anayo ndo maana umemtaja angekuwa hana ungemtaja Nani mavi ww?
Awezi kumfikia mama Samia mama kizimkazi wa Tanzania 🇹🇿
Afya BURE alafu wanapigwa kmk mwamba anamiliki utajiri wakutosha kizazi chake mara 10000000
Bas Elon ana pesa Aiseeeh
Amakweri nitajiri
Na mm naomba
Utawala wa demokrasia ndio unatufanya tusiendelee. Tungeendeleaga na utawala wetu wa jadi. Wazee wanachagua mtawala.
Tawala hizi ukiziangalia zina maendeleo.
Maana kuna familia za utawala. Na mungu aliwapa kipaji hicho.
This big boss in world
Duuu jamaa kaweza nimesomanae aisee
Na utajiri wote huo,mke akibana miguu chumbani lazma jamaa asahau kua ni mfalme!Wanawake mungu ana waona😮
Huyo si bilioni WA dunia
Matumizi mabovu ya pesa
Ana wake 550,,watoto 790,,na wajukuu 358,,vitukuu 122
Kweli?
Ad hvyo vyumba uvimalize cnisawa umetembea ubungo ad kibaha
Mnamtafutia shida kwa upande uleee
Ebu nipeni namba ya huyo tajiri kuna jambo nataka kuzungumza nae huendaa akaninunulia ata harrier jaman
Mbona kwenye list ya matajiri 10 wa dunia hayupo sasa
Jamaa anaishi bhana
🔥🔥🔥
Jina hujui kulisoma mjomba...Hujui kiarabu mpuuzi😂😂😂
Mhh hizi habari nyengine bwanaa 😂
Mmmm yani jina Kama essay😂😂😂mmeshaona siri ya utajiri la kwanza jina liwe refu ka nusu page ivi yani ka unaandika barua ya kiofisi😅😅😅😅😅
😅😅😅😅😅
Kwahiyo na Yeye yupo kwenye Orodha ya Fobes au?
Afadhali huu ana jirimbikizia mali na hawasahau wananchi wake
Hakika wanaishi Bure
Yes
Sasa mbona namba moja ni elon musk haekwi sultan
Duniani kila kitu kitabaki kaburini utaenda mwenyewe zaidi upate uzima wa milele
Mshkaji wangu Sana huyu
😅
Mbavu sina😅
darsalam uk dar salam
Sawa kwenye nichi yake akuna masikini sindio
Nitajri mpaka wa majinaa😅😅😅
Bado sana hana jipya kila kitu atakiwacha hapa hapa
Sasa we kwa akili yako ivo vitu kaburini vinaingiaje 🤣🤣🤣🤣tafuta hela acha maneno ya kimaskini
IST zipo ngapi😅
Me mjomba wangu kabisa huyu🤣
Msiisahau crown media
Hata na sisi mama atatutolea kodi soon
Nizaidi ya mfalme Suleiman kwa magari sijui ana wake wangapi mana siyo vizuri utajiri wote huo kuula na kamke kamoja tuu na watoto pengine wawili
Magufuri angetufikisha nusu ya safari lkn hatuwez kumpangia Mungu
Asante Mtangazaji, yote yanapita.
Hii zuri
Maalim seif alikuw rafik yake
Nimefurai nchi yake matibabu bule
Duh anavyeo vyote muhm
Nimemkubali
Atakuwa ukoo mmoja na suleiman wa zaman
Utajiri wote huo bado hajamfikiaaaaa burnaboy, davido na diamond platinum
Mimi naamini Jp angekuwepo atasisi kwa miaka mingine ijayo tusingelipa Kodi maana tunakila kitu
Vyote ataviacha juu ya ardhi... atakua chakula ya funza labda afe shahid
Utajiri anatoa Mungu.
Acha kelele....tafuta helaa😂
Tafuta ela uachane na chuki za kimasikin
acha kelele tafuta ela
Ataviacha lakin anaenjoy huko kwingine tunako enda hatupajui kukoje... Tupambanie maisha mazur hata Mungu hapendezwi na umaskini, asiyefanya kaz bac na asile
Mpaka kichwa kinauma
Nyongeza kodi ya majengo kwenye Luku
Kuna watu tunawaza tupajete hela 😢 then kuna mwingine anawaza apeleke wapi hela maana haina kazi 😢😢
Ana mzidi elon ?
Brunei iyo adi Prof jay aliimba
Samia si uende huko ijue ufanyaje na umualike