FAIQ BOLKIAH MWANASOKA TAJIRI ZAIDI YA RONALDO NA MESI,NI BWANA MDOGO WA MIAKA 25 TU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 50

  • @MamuMizozi
    @MamuMizozi 7 місяців тому +3

    Hapo ndug utajiri wa Messi na Ronaldo ni utajiri wa kupambana wao binafisi katika soka maana hata historia zao na familia zao hawakuwa matajiri,ila huyo jamaa utajiri alionao ni wa familia tu maan umesema hata mshahara wake wa soka ulikuwa mdogo sna kwahiyo Bado Ronaldo na Messi watabaki kuwa matajiri tu katika maisha ya soka

  • @satwanthoogan6429
    @satwanthoogan6429 Рік тому +1

    Ndo kwanza leo,nimjue huyo dogo!😱👍🏻😊

  • @coolbz133
    @coolbz133 Рік тому +11

    Huyo utajiri wake ni wa familiar sio wa mpira muelewe hilo ashawahi kushinda tuzo gani player bora wa ulimwengu

    • @enockjoel2429
      @enockjoel2429 Рік тому +5

      Kwan wameongelea mchezaj mweny hela nyng ztokanazo na mpira?? Ama mchezaj tajiri zaid kwan ameongelea tuzo?? Halafu mbona kuelewa ni kitu chepes tuafanye mamb kua magum

    • @coolbz133
      @coolbz133 Рік тому

      Messi na Ronaldo hawakuzaliwa kwa utajiri pesa yao ni jasho lao nikweli huyo dogo ni mchezaji ila hategemei pesa ya football tayari kwao hela ipo kwahivo huwezi kumueka na wenye kupigania hela huyo ball acheza ni kama hobby yake.

    • @enockjoel2429
      @enockjoel2429 Рік тому +2

      Ni kweli sijakataa me nilikua tu nakuweka sawa uelewe kinachoongelewa maana ni kama ulimbeza msimuliaji wakat yeye hakuongelea kiwango cha mchezaji wala chanzo cha mapato ila tu mtu anayecheza mpira na ana pesa mingi kuliko tunaowajua

    • @richardmagasa4900
      @richardmagasa4900 Рік тому

      Unafeli hapo,,,ishu ni utajiri sio zilitafutwa na nani,Mfano Mo anaesifiwa kwa utajiri Tz amezikuta zipo na akaendeleza tu

    • @princegerard4704
      @princegerard4704 Рік тому

      ​@@enockjoel2429 Ni sawa Umshindanishe Mo Dewji & Bhakhresa ni mambo mawili tofauti 😂😂😂

  • @OMARJUMAOMAR-i2v
    @OMARJUMAOMAR-i2v 9 місяців тому

    Yeah huyo ndie mchezaji tajiri duniani kuliko wote

  • @Aysha_ally
    @Aysha_ally Рік тому +8

    😂😂😂😂wamwanzoooooo leo like zinihusuuuu😂😂😂😂

  • @AugustineBundala
    @AugustineBundala Рік тому +5

    Sasa hata kama hela karisi lakini ni zake au za kwenu na hapo jastin shed hajataja tuzo kataja mafanikio ya pesa tyu mbona wabongo mna wivu hadi kwa watu msio wajuwa

  • @OMARJUMAOMAR-i2v
    @OMARJUMAOMAR-i2v 9 місяців тому

    Mfalme tajiri duniani sie huyo mfalme wa Saudi ndie Mfalme tajiri duniani na ndie anaelipwa mshahara mkubwa duniani

  • @samwelingasa1638
    @samwelingasa1638 Рік тому +1

    Ningependa uweke makala William granham

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 Рік тому +3

    EPL mbona sijawh muon au mbovu wa macho au huy pesa yeye anachot huwez linganish na Messi vs Ronaldo

    • @liberatusjackson5045
      @liberatusjackson5045 Рік тому +1

      Mwenye hera ndoo mwenyekula ki2 ata anaweza kknyanganya hata mkeo

  • @kajalamaganga1913
    @kajalamaganga1913 Рік тому +2

    Sasa mnalinganishaje mtu kazaliwa kwenye hela nawatu wanaojitafutia😞

  • @babudingi-gd7pz
    @babudingi-gd7pz Рік тому

    Pesa za urisi izo bwana mesi ronado uwanjani mzee

  • @zaraally2295
    @zaraally2295 Рік тому +4

    Naomba namba zake huyo mtoto wa 15 nataka tuongee jambo😊🤣🤣🤣🤣

  • @suleimanbadru819
    @suleimanbadru819 Рік тому +7

    Sasa unatuambia anatumia magari ya kifahari lkn pia unasema anaishi maisha ya kawaida sasa tushike lipi

    • @jacksonhaggai6771
      @jacksonhaggai6771 Рік тому +1

      😂😂😂 aiseee

    • @feisalfarsy6562
      @feisalfarsy6562 Рік тому

      Shika unalona linakipaumbele ktk akili yako

    • @JELSONMAUKI
      @JELSONMAUKI 3 місяці тому

      Hahahahaha hacha tu ww waandishi wetu umiza kichwa 😅😅😅😅😅😅

  • @KasminaCreation
    @KasminaCreation Рік тому +1

    Ubarikiwe sana😎

  • @genius-3
    @genius-3 Рік тому +1

    Safi🎉

  • @eliuskamwelwe1018
    @eliuskamwelwe1018 Рік тому +4

    Huyo karisi Mali Ronaldo na Messi wamesotea pesa zao wao wenyewe

  • @othumanomari1589
    @othumanomari1589 Рік тому +1

    Sasamtu katokea blue nay unashangaa nini

  • @MariamuJanga-b3j
    @MariamuJanga-b3j Рік тому

    Tumekuelewa ila utajiri wake ni WA kulithi

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 Рік тому +1

    Alaf ilo Leicester umekosea kulitamka kk😂

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  Рік тому

      Lugha za watu ndugu yangu.Nitakua makini next time.

  • @nawafbawazir8065
    @nawafbawazir8065 Рік тому +1

    First

  • @arafatyhussein
    @arafatyhussein Рік тому +1

  • @vailetheanyambilile9749
    @vailetheanyambilile9749 Рік тому +2

    😂😂😂😂Zakwake kalisi wengine wame pambana wenyewe

  • @hassanbakari4525
    @hassanbakari4525 Рік тому +1

    MSICHANGANYE HAPO,,,KUNA ZAKO,,KUNA ZA BABA,,ZILE ZAKO NDO ZIKUPAMBANISHE NA WATU.

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  Рік тому

      Hizo ni zake sio za baba, licha ya kuwa karithi izo ni zake. Kila mtu ana njia yake ya kupata utajiri, wengine wanarithi na maisha yanaenda.

  • @nasibuahmedy2438
    @nasibuahmedy2438 Рік тому

    SASA TWENDE KAZIIIIII

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Рік тому +1

    👊👍✌️.

  • @thomazmedia7342
    @thomazmedia7342 Рік тому

    Huyo ata hajatafuta pesa Mali ya fimilia🤣🤣🤣😂😂💔

  • @nakali79
    @nakali79 Рік тому +1

    Sasa si utajiri wa kurithi, Acha mboyoyo

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  Рік тому +1

      Hiyo inabadili kwamba yeye ni tajiri?

  • @KavellaMalla-rz6sd
    @KavellaMalla-rz6sd 8 місяців тому

    Mh

  • @sixytntongambele3038
    @sixytntongambele3038 Рік тому

    Anatunzo gani saxa

  • @AugustineBundala
    @AugustineBundala Рік тому +1

    😂😂

  • @DejoiceChiko
    @DejoiceChiko Рік тому

    Huyu hela kazichota

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 Рік тому

    Muongo mkubwa wewe

  • @AugustineBundala
    @AugustineBundala Рік тому +1

    😂😂