- 1 227
- 564 038
KKKT - DMP USHARIKA WA WAZO HILL
Tanzania
Приєднався 11 тра 2021
KKKT - DMP USHARIKA WA WAZO HILL ni chaneli ya USHARIKA WA KKKT WAZO HILL, mojawapo ya SHARIKA za KANISA LA KIINJILI LA KILUTHERI TANZANIA, DAYOSISI YA MASHARIKI NA PWANI, JIMBO LA KASKAZINI.
Hii ni njia mojawapo tunayotumia katika kuwafikia washarika na watu wengine, ndani na Nje ya Nchi kwa kufuatilia na Kushiriki Ibada zetu wakiwa mbali.
RATIBA ZETU ZA IBADA
Kila Jumapili :
• Ibada ya kwanza ni kuanzia saa 1 kamili asubuhi (7:00 AM),
• Ibada ya pili ni kuanzia saa 4 kamili asubuhi (10:00 AM).
Katikati ya wiki tuna KIpindi:
- Ibada ya jioni ni kuanzia saa 12 kamili jioni mpaka saa 2 usiku (12:00PM - 08:00PM).
Ibada na vipindi vyote vinarushwa mubashara kupitia channel hii.
[VISION]:
• Kutangaza Injili ya Bwana wetu Yesu Kristo kwa watu wote. Mathayo 28:19-20.
[MISSION]:
• Kuwa na Ibada zenye nguvu na uwepo wa Mungu, Kufundisha, kushauri, maombi na maombezi.
BARIKIWA SANA, NA KARIBU TUSHIRIKI PAMOJA. 🙏🏽

🎵 UIMBAJI WA REFORMATION - KWAYA KUU MBWENI
🎵 UIMBAJI WA REFORMATION - KWAYA KUU MBWENI
Переглядів: 165
Відео
🎵 UIMBAJI WA REFORMATION - KWAYA KUU KIHARAKA
Переглядів 211Місяць тому
🎵 UIMBAJI WA REFORMATION - KWAYA KUU KIHARAKA
🎵 UIMBAJI WA REFORMATION - KWAYA KUU MABWEPANDE
Переглядів 171Місяць тому
🎵 UIMBAJI WA REFORMATION - KWAYA KUU MABWEPANDE
🎵 UIMBAJI WA REFORMATION - KWAYA KUU KULANGWA
Переглядів 2362 місяці тому
🎵 UIMBAJI WA REFORMATION - KWAYA KUU KULANGWA
🎵 UIMBAJI WA REFORMATION - KWAYA KUU SALASALA
Переглядів 2732 місяці тому
🎵 UIMBAJI WA REFORMATION - KWAYA KUU SALASALA
🎵 UIMBAJI WA REFORMATION - KWAYA KUU MBEZI JUU
Переглядів 922 місяці тому
🎵 UIMBAJI WA REFORMATION - KWAYA KUU MBEZI JUU
🎵 UIMBAJI WA REFORMATION - KWAYA KUU BUNJU A
Переглядів 2763 місяці тому
🎵 UIMBAJI WA REFORMATION - KWAYA KUU BUNJU A
🎵 UIMBAJI WA REFORMATION - KWAYA KUU KUNDUCHI BEACH
Переглядів 3303 місяці тому
🎵 UIMBAJI WA REFORMATION - KWAYA KUU KUNDUCHI BEACH
🎵 UIMBAJI WA REFORMATION - KWAYA KUU BOKO
Переглядів 4203 місяці тому
🎵 UIMBAJI WA REFORMATION - KWAYA KUU BOKO
🎵 UIMBAJI WA REFORMATION - KWAYA KUU GOBA
Переглядів 1,2 тис.4 місяці тому
🎵 UIMBAJI WA REFORMATION - KWAYA KUU GOBA
🎵 UIMBAJI WA REFORMATION - KWAYA KUU WAZO HILL
Переглядів 8154 місяці тому
🎵 UIMBAJI WA REFORMATION - KWAYA KUU WAZO HILL
🎵 UIMBAJI WA REFORMATION - KWAYA KUU MAGOMENI
Переглядів 2 тис.4 місяці тому
🎵 UIMBAJI WA REFORMATION - KWAYA KUU MAGOMENI
Unafikiria nini - Kwaya ya Vijana Wazo Hill
Переглядів 7175 місяців тому
Unafikiria nini - Kwaya ya Vijana Wazo Hill
🔴 RECORDED: NINI MAANA YA MADHABAHU?
Переглядів 2608 місяців тому
🔴 RECORDED: NINI MAANA YA MADHABAHU?
IBADA YA MAOMBI NA USAFI (UMOJA WA WANAWAKE) - 04 NOV 2023
Переглядів 88Рік тому
IBADA YA MAOMBI NA USAFI (UMOJA WA WANAWAKE) - 04 NOV 2023
KWAYA YA VIJANA - ATI TUONANE MTONI (MWIMBIENI BWANA 316)
Переглядів 1,4 тис.Рік тому
KWAYA YA VIJANA - ATI TUONANE MTONI (MWIMBIENI BWANA 316)
#LIVE: UKATILI NI UOVU, IBADA YA JUMAPILI - 05th MAR 2023 (JUMAPILI)
Переглядів 124Рік тому
#LIVE: UKATILI NI UOVU, IBADA YA JUMAPILI - 05th MAR 2023 (JUMAPILI)
PRAISE TEAM YA WANAWAKE - KKKT WAZO HILL
Переглядів 634Рік тому
PRAISE TEAM YA WANAWAKE - KKKT WAZO HILL
KWAYA YA UMOJA - TUTAMUONA BWANA WETU YESU (KKKT WAZO HILL)
Переглядів 2,7 тис.Рік тому
KWAYA YA UMOJA - TUTAMUONA BWANA WETU YESU (KKKT WAZO HILL)
KWAYA YA UMOJA - HAYA EE MOYO WANGU [TUMWABUDU MUNGU WETU (257)] (KKKT WAZO HILL)
Переглядів 32 тис.Рік тому
KWAYA YA UMOJA - HAYA EE MOYO WANGU [TUMWABUDU MUNGU WETU (257)] (KKKT WAZO HILL)
KWAYA YA UMOJA - NINATAKA KUINGIA [TUMWABUDU MUNGU WETU (154)] (KKKT WAZO HILL)
Переглядів 214 тис.Рік тому
KWAYA YA UMOJA - NINATAKA KUINGIA [TUMWABUDU MUNGU WETU (154)] (KKKT WAZO HILL)
KUSUDIO LA MUNGU NDANI YETU ..... USISAHAU KUSUBSCRIBE😊
Переглядів 992 роки тому
KUSUDIO LA MUNGU NDANI YETU ..... USISAHAU KUSUBSCRIBE😊
MUNGU ATHIBITISHE MAONO AU NDOTO ZAKO ..... USISAHAU KUSUBSCRIBE😊
Переглядів 1172 роки тому
MUNGU ATHIBITISHE MAONO AU NDOTO ZAKO ..... USISAHAU KUSUBSCRIBE😊
UNAPANDA MADHABAUNI KWA MUNGU NA KITU GANI?
Переглядів 1172 роки тому
UNAPANDA MADHABAUNI KWA MUNGU NA KITU GANI?
JE, UNATUMIA HEKIMA KWENYE MAISHA YAKO? ..... USISAHAU KUSUBSCRIBE😊
Переглядів 992 роки тому
JE, UNATUMIA HEKIMA KWENYE MAISHA YAKO? ..... USISAHAU KUSUBSCRIBE😊
LITURGIA, NENO & MATANGAZO - SIKUKUU YA VIJANA (27.11.2022)
Переглядів 2 тис.2 роки тому
LITURGIA, NENO & MATANGAZO - SIKUKUU YA VIJANA (27.11.2022)
Amen nami naomba Toba rehema
Mbarikiwe Mtumishi mwema umenibariki
Naupataje huu Wimbo
Nataman mtu anitumie huu Wimbo nashindwa kupata mane maneno yote
This choir master is of the best one all over the world.
Bwana Apewe Sifa. Sauti haipatikani vizuri.
Bwana yesu asifiwe nafatilia ibada ya mkesha lakini sauti sipati
Tehama team tunawaomba mtuwashie TV za nje tafadhar.
Heri ya mwaka mpya 2025
Nimebarikiwa sana.
Neeema inatufanya tunasahau nafasi zett
Neeema inatufanya tunasahau nafasi zett
Mmeimba vizurii mbarikiwe sana 🙏🙏
Hongera sana mwalimu Erick
Mbarikiwe watumishi
Amina
Itimotheo 2:12
Mmeimba vizuri mnoo,bass voice ur Amazing❤❤❤
❤
Mungu awabariki wote
Ameeen
Utukufu kwa Mungu kwa uponyaji wa wapendwa wetu waliopata ajali. Mungu awaponye
Mmenikumbusha mbali sana. Hongeraa sana
Amen Mtumishi wa Mungu Mch Kimaro. Hongereni viongozi wote Wazo Hill
Ameeeniii
Ameen
Amen
Waaaaaaaaaooooooo
Mungu akisema ndio hakuna wa kuzuiya baraka zetu hofu ya kibinadam inapunguza Imani yetu nitaamini haijalishi ninakutana beria kubwa kiasi gani Mungu ni mwaminifu
Mungu wetu ni mwema hakika bwana pokea sifa AMEN 🙏 NAWAFUTILIA NIKIWA MAREKANI HARRISBULG JIMBO LA PENNYSLVANIA
Mungu wetu ni mwema hakika bwana pokea sifa AMEN 🙏 NAWAFUTILIA NIKIWA MAREKANI HARRISBULG JIMBO LA PENNYSLVANIA
Mungu akubariki mtumishi kwa neno la kutuvusha tulipokwama na kukata tamaa
KWA DAMU YA YESU NAPOKEA
Mungu ututumie jinsi upendavyo
Utabaki kuwa MUNGU ULIYE HAI MAISHANI MWANGU
Amen
Mimi naomba ungerudiwa
Tunaomba kupata ibada kama hii Tena
Amen
What a Bass...aisee jamaa anajua sana
Nini na ni nani unafungulia mlango kwenye maisha yako???
Muongozaji uko vizuri
umenibaliki sana🙏🙏
Ahsante Mungu kwa ajili ya watumishi hawa. Nimejifunza sana kwa watumishi hawa. Kuimba na kucheza kwa ajili ya Muumba wetu ni sawa kabisa. Nyimbo zimekuwa tulivu kuruhusu kutafakari tunachokiimba. Kucheza kumekuwa na maadili mazuri tofauti na steps za ulimwengu. Mungu awatunze na kuwalinda, amen.
Ameen
Amen
Amen 🙏🙏
Poleni sana wapendwa katika magumu yaliyowapata Mungu awatie nguvu kwa upya katika kazi hii njema.
I see hongereeni sana watumishi huu wimbo usinitupewakati wa uzee ni mtamu mnooo. Viwango vyote vimezingatiwa
Wapendwa mawasiliano yamekatika