Tumwimbie Mungu kwa Roho na Kweli. Mungu huishi latika Sifa. Nyimbo zetu zisiwe kelele Masikioni mwa Mungu. Tuimbe vizuri masikioni mwa watu na Mungu apokee nyimbo na Sala zetu.
Kwanza nawapongeza kwa Nyimbo nzuri,Pili nawashauri msiweke sauti mlizorekodi live maana zinakuwa na mchanganyiko wa watu wengi wasio waimbaj na kusababisha wimbo kukosa ubora,tumieni picha za live Ila mtumie sauti mlizorekodi studio muziki unakuwa super!.
Mungu awabariki wote
Kwaya mnaimba vizuri mungu awalinde na kuwabariki
Hongereni Sana kwa uimbaji mzuri
Tumwimbie Mungu kwa Roho na Kweli. Mungu huishi latika Sifa. Nyimbo zetu zisiwe kelele Masikioni mwa Mungu. Tuimbe vizuri masikioni mwa watu na Mungu apokee nyimbo na Sala zetu.
Nawapenda bureeee umoja
❤❤❤❤
❤️
Nikirudi tz naomba kujiunga jmn
🙏🙏🙏🙏
Aminaiii 🇰🇪🇹🇿🌲🌏🇹🇿
Kwanza nawapongeza kwa Nyimbo nzuri,Pili nawashauri msiweke sauti mlizorekodi live maana zinakuwa na mchanganyiko wa watu wengi wasio waimbaj na kusababisha wimbo kukosa ubora,tumieni picha za live Ila mtumie sauti mlizorekodi studio muziki unakuwa super!.
Sio recod, wapo wanaoimba na microphone na hii ipo sehemu nyingi na huwa inatokana na sauti ya nne haipai ndo maana maranyingi wanatumia mic
EXCALLENT