KWAYA YA VIJANA KKKT KEKO - KVK - AMEFANYAJE..? (COVER) (Official Video)
Вставка
- Опубліковано 7 лют 2025
- Sitaki kujua ilikuwaje, Sitaki kujua ilikuw vipi..! ninachojua nilikuwa kipofu sasa naona, nilikuwa kiwete sasa ninatembea......AMEFANYAJE..?
Karibu kubarikiwa na ujumbe huu na Mungu akubariki.
Kazi nzuri ya marehemu Samson Kibaso
Hii nyimbo nimeiona tiktok jamaa kapost harusi nafikir mmoja wenu alikua kafunga ndoa . Nimeipenda ghafla kaz nzuri mbarikiwe kwakweli
Ameen! ubarikiwe sana
Ameen
Mmeimba kama SDA kwaya kumbe kkkt jamn mmenibariki sana Mungu atukuzwe
Hongereni sana kwa kumtumikia MUNGU
Nilijua n Sda kwaya..nilipousikia upendo fm..daa kumbe ni vijn wetu kkkt ase mmeimbaa hd milima inaitika.. saut nzrii manen mazuriiii.. utulivu wa ki Mungu kbsa. Utukufu kwa Mungu.
I like the way you sing like Adventist and this Song by Kurasini SDA Choir you did justice am happy great impressed dini zisiwe msingi bali tuungane na zote tufike mbinguni be blessed...
Ameen Ameen! To God be the Glory forever and ever!
Will glad to even be posting your songs in our SDA group with a large following as promoting also your great work...
@@pwoka5208 Thanks for your support!
Please share with them as you can.
Can see doing good... when you post others will be with you... be blessed...
Yes very perfect
Am a living testimony of this great song......i was blind in all spheres : financiallyless, jobless, businessless, childrenless, faithless, homeless, carless, farmproduceless, thankfulless...........Belief me ...sijui amefanyaje.....ninalojua sasa ni kwamba.......am full in ALL the above spheres.....Amen!!!
Praise the Lord
Amen and may Almighty God continue lifting higher and highest , Amen🙏🙏
Ni kweli Yesu ni mwema anatenda Makuu hongereni sana kwa wimbo mzuri.
Glory to God
Glory to God always
Mnaimba bwana
nimebarikiwa sana na kwaya yenu mmehudumu Yombo vitukaaa mbarikiwee mnaimbaaaa upako juu ya upako
Ameen Ameen asante sana, usiache kutuombea.
Mmeimba vizuri sana, mungu awabariki,kupitia wimbo huu wengi waokolewe wamjue yesu.
Mimi kama mwaadventsta msabato nawapongeza sana kwakuimba nyimbo nzuri yakumtukuza Mungu nyimbo nzuri Mungu awafikishe mbali sana mbalikiwe sana, 😘😘😘😘
Ameen Ameen shukrani sana mtu wa Mungu
Watumishi wa bwana msonge mbele kwa uimbaji
💓
❤0
Hii nyimbo ni kkkt lakin wana vocal kama wasabato , i like the way wana imba aisee❤
@@jaquelinemunish3183wametoa cover Ila wamiliki wa huu wimbo ni Kurasini SDA church but Vijana wakeko wametendea haki hii cover
Huu ndo uimbaji wa kkkt naomba mnaohalibu uimbaji wa kkkt mkajifunze kupitia wimbo huu,hongera Sana Kwa uwinjilishaji mzuri.
Im brought here by McgaraB...much love from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Thanks for coming. Be blessed!
You almost outdid The master good job
I am SDA and na kubaliana na wewe
🙌🏾🙏🏿😱🙏🏿
Ujumbe mzuri sana binafsi mimi napenda sana mziki mmefanya niwe shabiki wenu hongeleni sana
Mpo vizuri wadogo zangu nawapenda, mnaimba vizuri pacha wa sda kurasini
Hongereni sana vijana, mmeimba vizuri mnooo. Mungu awakumbuke kwa utumishi wenu.
Daaah Mimi nilidhani wasabato et,mmeimba vizuri kwa utulivu mbarikiwe
Wimbo mzr,, sale zenu nzr,,sauti nzur dah hiyo ndo kaz ya Mungu kila kitu nichema
Amefanyaje, sijui... hongera sana kwa utumishi huu. hakika ni Mungu tu
It's October 2024 and am still listening to this master piece ❤
BWANA Awazidishie hekima na upole na unyenyekevu zaidi sana mfike mbali hadi mbinguni kwa Neema ya Yesu!! Nawapenda nyiee
Ameen tunapokea kwa unyenyekevu mkubwa!
Ujumbe mzuri sana kwetu wanadamu
Mmeimba. Kwa utulivu kama wasabato.. Hakika. Mwalimu amefanya kazi kubwa saaana ...Mbalikiwe zaidi waimbaji woote na uongozi wa kwaya kwa ujumla
The song is for kurasini sda
@@gospelsongslyrics7113 to
Kazi Nzuri usisahau kutambulisha wenye wimbo. *KURASINI SDA CHOIR*
KKKT hao japo copy ya kurasini SDA na mwalimu wao alikua mmoja Marehemu Kibaso
Nami sinilishangaa
Mi nikajua wasabato unaona sasa huu ndo uimbaji siyo kurukaruka kama mmeshikwa na degedege hapa safi. Huu ndiyo uimbaji wa kikristo mbarikiwe sana.
Yesu atanitendea na Mimi, Barikiwa sana🙏
Nimependa huu wimbo hongera sana kwenu
Mmeimba vizuri na mmebuni sare nzuri sana
Ameen utukufu kwa Mungu. Asante sana!
Sijui ni kwanini KKKT kama kanisa kongwe halina melody ya kutambulisha nyimbo zake kama ilivyo kwa Wakatholiki na Wasabato. Hata hivyo wimbo huu ni mzuri na una ujumbe murua. Hongera kwaya Vijana wa KKKT. Kazi nzuri sana, mbarikiwe
Hakika mmeutendea haki wimbo,barikiweni sanaa
Amazing song ,people of God be blessed
Nmeipenda
Mwalimu huu wimbo uwe ufunguo wa nyimbo nzuri, natumai umeelewa watu wanapenda tone ipi, inshort watu wengi saaaana walijua huu wimbo ni wa wasabato, so hii inaonyesha nyimbo za sabato ni bora so na sisi tusimamie hapohapo, huu wimbo ni mzuri sana mwanzo mpk kituo hakuna mapungufu, watu wametabasamu vyema, Bwana Yesu lazima alitabasamu kwa sauti hizi zilipaa mpk akasikia
Kweli hata mm Natamani watu wote tungeimba Hivi tukaachana na zile beat za ajabu na kurukaruka ,
Wimbo ni wa wasabato ndio na originali unaimbwa na kwaya ya kurasini SDA , but all in all sote tunamuimbia Mungu na tunakwenda Mbingu moja.
Uimbaji huu kwaya za KKKT wanaimbaga pia sio wasabato peke yake nadhani wa KKKT wenzangu wanaelewa hilo ndio maana kufanya cover Hii ikabamba sababu sio wageni wa hizi sauti
Hongera sana kwa wimbo mzuri wenye mafundisho na mifano ambayo kwayo twajifunza ukuu wajina la Yesu. Mungu awabariki kwa kazi hii nzuri
Huu ni utunzi wa marehemu Kibaso kabisa kama sikosei
Sichoki kutaza👀 na kusikiliza👂 wimbo unanibariki sana, na Sisi Leo tukimwita Yesu atatutendea, mbarikiwe nyote🙌
Nilizani wasabato hongera mmeimba vizuri sanaaa
Waoooooo
Hongereni Sana kwakuimba vizur sana
Mungu naomba uendelee kunitumzia muujiza wangu nakataaa magonjwa kwa jina lako
Yaani kwa MUNGU bwana hakuna baya, kuna wazuri tu, vizuri na mambo mazuri raha tupu.Yesu tutendee watu wako.
Ni kweli kabisa ndugu yangu
Heko kwenu enyi vijana kwa kazi nzuri katika shamba la Bwana Mungu
From Kenya this is wonderful acha mwenyezi atukuzwe
Wimbo mzuri sana huu aseh ..
Kwa playlist ni wa kwanza huu😊
Sisi kama SDAs we are happy twin choir we love you guys na tuliletwa huku na Crazy Kenner
Ameen to God be the Glory
Mnaimba vizuri sana kwaya kvk. Sifa apewe Bwana kwa sauti yenu nzuri ya uimbaji
Mc Gara kanileta hapa👌🤲👏👏
Hata mimi😂
Safi Sana mumeimba vizur nimewapenda
Hongeren sana vijana katka Bwana wetu Yesu krst mm ni muadventist msabato mmeimba vzr sana mungu awabariki huo uimbaji uliotulia ndio unaotakiwa watu wa mungu ndio tunapaswa kumuimbia krst kwa stahili iyo hongeren sana mungu awabark
Ameen Ameen Ubarikiwe sana
Hongeren san mmeimba vizur xan
Mungu azidi kuwainua vipawa vyenu
ujumbe muhimu sana , mbarikiwe sana Wana keko youth Lutheran 🙏💪
Mwenyenzi Mungu awazidishie vipaji vya uimbaji maradufu
Tuliotoka kwa gara B na mc luvanda tulike hapa🥰🥰nimewapenda
2😊æl
Hongereni Sana Kvk....Nawakubali Sana. Mungu azidi kuwabariki ❤️
Ameen Ameen ubarikiwe sana
Amaizing fantastic ,,MUNGU azidi kuwainia
Kazi njema San naikubl kazi yenu . Toka iringa huk
Barikiwa sana
Amefanyaje yesu ametenda kweli. Lutheran church so lovely ladies hair style wow team vikanyage white rubbers
Wimbo mzuri sanaaa
I am a Lutheran and I like the way SDA choirs sing. I love the fact that you focus more on the message and not the dance style and beats. This is kkkt singing like SDA . Good work
Hao ni kkkt
Exactly!!
@@pulikisia7963 f0
Amefanyaje, ilikuaje MIMI SIJUI. Nilaloijua nilikuwa Africa na Sasa niko US, Yesu alifanya. Glory to God.
Hongera sana keko mungu awabariki bado rusha kombora
Ameen! Barikiwa sana! Kombora iko njiani
Hapo mwalimu ni msabato pyua kabisa Mungu abubariki kwa kazi zur
TUJUANI TULIOKUWA TUNASUBIRI KWA HAMU HUU WIMBO KAZI YENU NI NJEMA MUNGU AWABARIKI SANA💃💃💃💃💃💃💞💞💞
Ameen Ameen ubarikiwe sana!
@@elct-kekolutheranyouthchoi9828 Ameni
Nilikuwa nasubiria huu wimbo finally hongereni Sana Mungu azidi kuwainua
Mungu awabariki sanaaa
Aiseee niliusubiri mnooooo
Nzuriiiii sanaaaa MUNGU sikia toka moyoni mwetu kusifu na kuabudu kwetu,Amen
Mnaimba vizuri kama wasabato jamani tena hamchezi ovyo kama wapumbavu yaani mmeutendea haki wimbo mbarikiwe sana kwa ujumbe nzuri
Kucheza sio upumbavu, labda kama una mapepo ndio utaona ni upumbavu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ati kama wapumbavu 😂😂😂 Niokotwe Kenya 🇰🇪
Hii song ni cover meaning si yao ni ya kurasini sda
Upumbavu unaingiaje hapo, daud alicheza mpaka akadondosha nguo je alicheza kwanmna gani inahisi?
😂😂😂😂😂 dah nmecheka sana
Hata mimi sijui haya alionitendea I'm kuwajengea ninungana nanyi mbarikiwe, nimeupenda ❤❤❤ sana wimbo
mko vizuri vijana Mungu awabariki mno
Amen asante sana
Mbarikiwe na mungu wote mliye imba huu wimbo mungu awazidishie
Hongeren wimbo mzur sn umenibarik saut zmetulia like wasabato
Hongereni walutheri wenzangu
our congratulations I like it
kazi yenye baraka...inabariki
Hongereni sana kwa kazi nzuri mno!
Wengi tumebarikiwa sana na wimbo huu, regardless of our denominations.
I like the song so powerful and uplifting indeed
Hii ni wimbo wa Kurasini ya Kibaso ama vipi
Huitaji hata kuuliza ❤️❤️🇹🇿😂🙏🏿
Naupenda huu wimbo unanibariki sana kila siku nausikiliza zaidi ya mara 5 from UK 🇬🇧
Wow! Ubarikiwe sana mtu wa Mungu na asante kwa support.
🎸🎤🎤🙏🙏🙏
Kwa hakika mmenibariki nilijua ni wasabato yani mpka mnamatch, Mungu awabariki sana
Ameen Ameen
Imagine heaven, all nations, tribe, religion, race singing in God's presence. I want to be there. God help me.
Id love to hear your rendition of #jiwe by @Beroya
Wimbo mzuri kweli Mungu awabariki
Nyimbo nzuri ya marehemu kibaso Mungu atukuzwe, mbarikiwe pia.
WAUUUUUH Mbarikiwe na Bwana YESU Viana had Mshangae.
Sasa ngoja niwaambie enyi vijana wa Keko KKKT,
wimbo nimemsikiliza kwa siku Tatu nikiwa naukagua, kwa hakika Sina comments, Kwanza mwalimu ametunga wimbo wenye ujumbe mzuri, lkn pia amefanya harmony nzuri Sana. Mimi ni mwalimu, video shooter lkn pia ni mwimbaji wa sauti ya nne, bass congratulations bwana.
Lkn pia shooting na uchanganyaji wa picha uko vizuri Sana, Hongera Sana producer mwenzangu.
Nije kwa waimbaji Sasa, daaa waimbaji mko mbuya Sanaa, utafikiri mlichagiliwa kufanya shooting bwana?,
Kwanza waimbaji wote Wazurii attractive, wameuchangamkia wimbo kama wameutunga wao, yani wameendana na hisia za mtunzi. Imekaa vizuri Sana, halafu Hilo matching yani kama najiona ndani ya kanisa langu SDA hahaha.
Daaa mpo vizuri sanaaa pokeeni pongezi zangu za dhati tena kutoka moyoni.
Siyo mwepesi wa kukubali vitu hivi hivi hasa ninavuovijua lkn ktk hii aaaah nikibeza nitakuwa mchawi. Hongereni mnooo.
Barikiweni na Bwana
Ameen Ameen Utukufu tunamrudishia Mungu aliyetuwezesha! Pia asante sana kwa kukagua kwa makini kila hatua kwenye wimbo huu. Bado tunahitaji sana watu kama wewe kwaajili ya kutushauri ili tuendelee kufanya kazi nzuri na zenye viwango.
@@elct-kekolutheranyouthchoi9828 hlw
Ooh hallelujah utukufu Kwa Mungu, nabarikiwa sana naona uwepo wa Mungu kupitia hii nyimbo mbarikiwe sana
adventist system is always awesome, being an adventist you welcome your christian brothers from the Martin Luther roots
Wachatu ni comment maana wimbo ni mzuri na mmeutendea haki alafu mmependeza sana kama mnaiona comment yangu naomba like zenu
Asante sana!
Very good 🙏👍🇮🇳
Waaawuuuu l dont understand the language but l enjoy God bless you sisters and brothers and your are so smart
Mungu Baba asante Yesu Kristo ametenda amenitendea ninalojua nilikuwa mpangaji sasa nina nyumba Haleluya Amina. ❤❤❤.
Mmmmmh! Mwalim inawezekana kuwa ni msabato. Maana co Kwa utulivu huo.
Yes mwalimu wakisabato
Nyimbo zenye utulivu ndizo tunazozitaka ,huezi kwenda mbele za Mungu bila utulivu
Endeleeni hivo hivo nasi tutazidi kupuromot kaz hiyi ya mungu kwa community
Barikiwa sana na Mungu awapiganie ndugu zetu hapo Kenya kwa kuwaepusha mbali na janga la corona.
Well composed, super super super harmony, clear message. Lovely one!!!!! Nahisi Mpendwa Marehemu Mwalimu Kibaso ana mkono wake hapa. Hongereni wana wa Mungu
yeah kibaso ndio mtunziiii
Amen
Wapendwa neno la Mungu liko palepale Halina mwisho Amen mbarikiwe sana.
Yes yes
Mamip
Waaah wimbo mtamu sana l like this Mbarikiwe sana wapendwa wa Mungu
Haijalishi ni uimbaji wa kiadiventisa au Baptist yote kwa yote MUNGU NI WETU SOTE 💪
Ameen Ameen ubarikiwe sana Ruth.
Hallelujah
@@juliethdomel4243 Najjijhyy
H
Yh
Wdsydhad yadQeqd se hq
I’m an Adventist. I agree💯🤗🙏😍
And this the Lutheran singing style I know. Now days people are coping music styles which are satanic
Hongereni sana wapendwa katika Kristo
jamni manibarik sana san Mungu awainue kwa viwango vingine
Amen
Mungu awabariki mkawe na albam bora Wimbo mzuri sana
Wooow!!! Mmenibariki sana kwa wimbo wenu na mko makini kweli,sifa kwa Yesu
Kibaso aliwafundisha kkkt uimbaji wa kisabato
Melody ya Wasabato 100% Ila yote yote mmemtukuza MUNGU wa Mbinguni,Mbarikiwe Vijana K.K.K.T Mbarikiwe Sana mmeimba vizuri sana
Wimbo huu ni mzuri sana na mmeuimba kwa hisia. Mungu awabariki sana Vijana wa Keko.
Ameen Ameen ubarikiwe sana!
Amen
Barikiweni ninamini akunajabi lilsilo wezekaka kwa mungu
Uimbaji wa Kisabato unabariki sana🙏
Sanaaa....naisikia radha ya mwalim Kibaso
Wabarikiwe. Uimbaji huu unafiki ndani ya moyo ambapo ndilo hekalu na shetani hawezi kujificha tena hekaluni tukiwa na kumsifu Mungu kwa staili hii