KISA CHA KOMANDO WA "CUBA" ALIYEJIFICHA TANZANIA/USO KWA USO NA NYERERE, S01EP25.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 сер 2024
  • Mwanamapinduzi wa Cuba, na raia wa nchi ya Argentina ERNESTO "CHE" GUEVARA, anatajwa kuwa mpiganaji aliyeacha alama kubwa duniani...alifika Tanzania 1965 kwa ajili ya kukamilisha mpango maalum........KARIBU
    UTAZAME KIPINDI CHA MAELEZO
    JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
    ⚫️ Email: dar24news@gmail.com
    ⚫️ Website: www.dar24.com
    ⚫️ Instagram: @Dar24Tz
    ⚫️ Facebook: @dar24news
    ⚫️ Twitter: @Dar24News
    #Nyerere #Africanmovement #Cheguevara

КОМЕНТАРІ • 66

  • @rappermonster361
    @rappermonster361 Рік тому +5

    One day i believe my country Tanzania will become among the greatest nation in the world

  • @user-un4qp3zb6y
    @user-un4qp3zb6y 5 місяців тому +1

    Huyu mwamba huwa namkubali sana na alikuwa mwanamapinduzi na mjamaa wa kweli,

  • @micamathew2595
    @micamathew2595 2 роки тому +8

    Kizuri katika dunia hii huwa hakidumu. Hata mimi najua sitadumu katika dunia hii. Wote tu wasafiri. Kazi yangu itakapoisha hapa duniani bac nitaondoka.

  • @kessyantoy6223
    @kessyantoy6223 2 роки тому +2

    Asante Kiongozi, Elimu Nzuri Sana, R.I.P Ernesto, Salute

  • @geofreymwaijonga4044
    @geofreymwaijonga4044 2 роки тому +1

    Hujawahi kukosea Dupa. Keep going Dar24Media.

  • @fredrickfilbert3922
    @fredrickfilbert3922 2 роки тому +1

    Haya ni madini ya maana sana, Erenesto Che Guevara De La Cena, Mwamba wa Miamba. Nasikia kuumia saan. R.I.P Che

  • @nowelaraymond4894
    @nowelaraymond4894 2 роки тому +1

    Viva Cheguavara!

  • @hisanmwakijungu10
    @hisanmwakijungu10 2 роки тому +3

    Hii kazi unaiwezea Sana mjomba,, ningeomba serikali ikuone

  • @bonifacecredo3287
    @bonifacecredo3287 6 місяців тому

    kabla ya kuleta simulizi kwenye media washirikishe watu wengine ili kuweka mambo sawa. Che guevara alikuwa mpambanaji aliyeamini kushinda kwa ujamaa popote ni ushindi kwake na kushindwa kwa ujamaa popote ni kushindwa kwake. Ni mtu aliyekuwa anaonekana ni hatari zaidi kwa nchi za kipebari, alikuwa akitafutwa na mambepari hasa marekani kwa udi na uvumba. lakini siyo kweli kwamba alienda kongo kuungana na akina Kabila kupindua Serikali ya Mobutu seseseko bali miaka hiyo ya 1960's alienda kuungana na wapigania uhuru dhidi ya utawala wa kikoloni wa kibelgiji.

  • @peaceisrael8158
    @peaceisrael8158 2 роки тому +1

    This is incredible👍🇩🇪

  • @themoredwamichano8636
    @themoredwamichano8636 2 роки тому +2

    Vizuri sana

  • @chimbokiswaga8662
    @chimbokiswaga8662 2 роки тому

    Safi Sana nimekusikiliza bila kuchoka mungu akujalie uwezo wa kujieleza zaidi ya hapo asnte Sana🙏💓

  • @paskalmaganga9225
    @paskalmaganga9225 2 роки тому +1

    Mwenyezi Mungu Amlipe kila lililo Jema apimzike Kwa Amani 🙏

  • @user-hx2if3ep2m
    @user-hx2if3ep2m 6 місяців тому

    R.I.P MWAMBA, ALUTA CONTINUA

  • @bonifacecredo3287
    @bonifacecredo3287 6 місяців тому

    we nimsimulizi mzuri lakini siyo kweli kwamba che guevara alikuja kumsaidia kabila kumpindua mobutu seseseko alikuja kuungana na akina Patrice Lumumba kupigania uhuru dhidi ya utawala wa kibelgiji

  • @Steve.influencer
    @Steve.influencer 2 роки тому +4

    I literally come to UA-cam everyday to check the notification “someone liked your comment’’ and “you have a new subscriber’’ it’s always Make my day🎭

  • @BigBoyTechToys
    @BigBoyTechToys 2 роки тому +2

    Thank u

  • @aloycekayanja1756
    @aloycekayanja1756 6 місяців тому

    Sio kweli bwana congo hatukuisadis chochote kwani yenyewe ilitutamgulia kupata uhuru!

  • @MrKhatibu
    @MrKhatibu 2 роки тому +1

    Niesoma kitabu chake cha Africa Dream. Umepenyeza mengi ambayo hayana ukweli

  • @dominicfrancis4073
    @dominicfrancis4073 2 роки тому +2

    Respect

  • @catherinelusungu1666
    @catherinelusungu1666 5 місяців тому

    viva che guavara

  • @petermuganda7322
    @petermuganda7322 Рік тому

    Uko vizuri kaka story tamu masikioni na hisia kali

  • @johnsonmshana4695
    @johnsonmshana4695 2 роки тому +3

    RIP Comrede Che'

  • @suleimanjokoro
    @suleimanjokoro Рік тому

    Nos lider🤝🔥🔥

  • @danideuli5313
    @danideuli5313 2 роки тому

    Uko vizuri sana ktk kusimulia

  • @emmanuelngalamika3796
    @emmanuelngalamika3796 2 роки тому +2

    nakubalii

  • @malandichangarawe4568
    @malandichangarawe4568 Рік тому

    Bravo

  • @isayacharles2850
    @isayacharles2850 6 місяців тому

    Mdupange Ahsate sana, kwakunipa history ya mtu ni mpendae yaani Ernesto cheguevara

  • @tumainijonas1765
    @tumainijonas1765 2 роки тому +2

    🔥

  • @davidkawesa3594
    @davidkawesa3594 Місяць тому

    Mashujaa babu zetu tunaomba

  • @rogerslwitiko3915
    @rogerslwitiko3915 Рік тому

    Eduardo Mondlane alifariki mwaka 1969 kwa bomu lilotegwa kwny barua aliyotumiwa na Mabeberu wa Kireno

  • @sulleyally5040
    @sulleyally5040 2 роки тому +1

    Nakukukubali sana tulee nyingi tu km hizo

  • @simontamba1285
    @simontamba1285 2 роки тому

    MTU anajitoa Muhanga kwa ajili ya Watu Maskinii dah Uzalendo ganii huuu
    Kufa kwa Ajili ya watu Maskinii
    Ni zawadi Kubwaa
    Rip Sankara
    Rip CHE

  • @idontknowwhoami3066
    @idontknowwhoami3066 2 роки тому +2

    Cheguevara

    • @jeremiaobadi7579
      @jeremiaobadi7579 2 роки тому +2

      Ahsante sana rafiki yetu kuyupa shule na ufahamu wa kujua historia ya Dunia"

  • @bennymochiwa4800
    @bennymochiwa4800 Рік тому

    Wa marekani mbwa sana

  • @abuusufian6506
    @abuusufian6506 2 роки тому

    ❤️✔️

  • @suleimansheibany7179
    @suleimansheibany7179 Рік тому

    Uhuru Zanzibar sio 64 Uhuru zanzibar 63 mwezi 12

  • @neymarafrican4825
    @neymarafrican4825 2 роки тому

    Mbona Matukio ya Picha za huyu Cheguevara ni ya Watu weupe tu! Je hakuna Picha alizokutana na Wabongo?

  • @tausiramadhani4259
    @tausiramadhani4259 2 роки тому

    Jina halitapotea ktk dunia hii comandate che guavara

  • @freddymtashi5020
    @freddymtashi5020 6 місяців тому

    Komandoo Tamim hakuacha watoto?

  • @rahmanali4616
    @rahmanali4616 2 роки тому

    Uwongo Mtupu

  • @simontamba1285
    @simontamba1285 2 роки тому

    Ivi bado watu Kama hawa Wapo Kwelii

  • @websuperspy
    @websuperspy 2 роки тому +1

    Nenda ujifunze historia ya ukweli. Uhuru wa Zanzibar ulipatikana 1963. Huu mwaka wa 1964 ulikuwa ni wa mapinduzi haramu ya kivamizi. Amka upate kupata heshima na wacha kutoa story feki.

    • @magorymara5515
      @magorymara5515 2 роки тому

      Halali ni upi ule wa kuuzana kama kuku

    • @MrKhatibu
      @MrKhatibu 2 роки тому

      Uhuru upi kwani Zanzibar si haikutawaliwa na Waingereza? NA ndio maana tukawa na Mfalme Kama kiongozi wa nchi.

    • @hasnuumakame9219
      @hasnuumakame9219 11 місяців тому

      ​@@MrKhatibuUhuru ulitolewa na Uingereza na Sultanate of Oman kwa kukubaliana Zanzibar ipate uhuru wake December 10 1963..
      Mwaka 1964 ni Mapinduzi ya Zanzibar ambapo ilipinduliwa Serikali huru ya Zanzibar ilioundwa kuanzia December 10 1963..
      Kwahiyo Mapinduzi hayakufanywa dhidi ya utawala wa Oman ila yalifanywa dhidi Serikali ya Wazanzibar iliokua inaongozwa na waziri mkuu wa kwanza wa Zanzibar, ndugu Mohammed Shamte..

    • @MrKhatibu
      @MrKhatibu 11 місяців тому

      @@hasnuumakame9219 kaka siku sema popote kama iliopinduliwa ni sultan,, ila nime uliza kwani Zanzibar ilipata kuwa koloni la British!
      Na kama iliopinduliwa serikali ilipewa "Uhuru" Serikali ya Jamuhuri ya Zanzibar, kwanini Sultan wa Zanzibar alibagwa usultan wake, kwasababu serikali ilikuwa huru.

  • @Kokafamil
    @Kokafamil 2 роки тому +2

    Punguza kuongea sana tupe stop wacha kurudia rudia maneno 😏😏

  • @matunzojr4862
    @matunzojr4862 Рік тому +1

    shoot me coward, you only gonna kill me but you cant kill my ideas
    better to die standing,, than to live on your kneels
    the true revolution is guided by the great feeling of love
    HIZI NI KAULI ZAKE 3 AMABZO SIWEZ ZISAHAU EVER

  • @davidmalogo7100
    @davidmalogo7100 2 роки тому

    Mtangazaji unavoongea hisiazangu nikamavile namuona jpm kwa ukweli aliokua anaongea ukweli

  • @twofivefive906
    @twofivefive906 2 роки тому

    Kweli kamu kubwa hakika nime fulai sana

  • @saimonlikalangu8924
    @saimonlikalangu8924 2 роки тому

    🔥🗣️

  • @alijuma8009
    @alijuma8009 Рік тому

    Historical biasness

  • @mbarukuchuwa8480
    @mbarukuchuwa8480 2 роки тому

    Usirudie rudie maneno.. Story.. Teleza mbele ...haitaboa

  • @simontamba1285
    @simontamba1285 2 роки тому

    MTU anajitoa Muhanga kwa ajili ya Watu Maskinii dah Uzalendo ganii huuu
    Kufa kwa Ajili ya watu Maskinii
    Ni zawadi Kubwaa
    Rip Sankara
    Rip CHE

  • @websuperspy
    @websuperspy 2 роки тому

    Nenda ujifunze historia ya ukweli. Uhuru wa Zanzibar ulipatikana 1963. Huu mwaka wa 1964 ulikuwa ni wa mapinduzi haramu ya kivamizi. Amka upate kupata heshima na wacha kutoa story feki.

    • @columbus2084
      @columbus2084 2 роки тому +1

      1963 uhuru ulikuwa haramu. Madaraka yalirudishwa kwa Sultani na serikali ya kiarabu. Ingekuwa ni upuuzi kuachia visiwa waarabu ilhali ardhi ni ya watu weusi. Ingekuwa ni kuendeleza utumwa kwa mtu mweusi. Kama wewe ni mwarabu basi vumilia tu ndio hivyo hakukuwa na namna.

    • @websuperspy
      @websuperspy 2 роки тому

      @@columbus2084 Hizi ni fikra na chuki za upotoshaji uliopandikizwa. Elimu ni njia pekee ya kujikomboa na fikra za kibaguzi zinazoenezwa na wasio Waislamu na kupigiwa madebe na waliotekwa kiakili. Rejea kwenye dini na tarekhe ya kweli.
      Nani kakwambia kama Afrika ni bara la watu weusi? Huhisi kama utawala wa Waarabu ungekuwa bora kuliko njaa ya kujitakia iliyoletwa na hao watawala waliopindua mpaka imefika hadi watu wapi hoi!
      Amka ndugu yangu. Muarabu si adui wa Muafrika. Waarabu walichanganya damu na Waafrika kwa ridhaa sio kinguvu na wakaleta vizazi kwa miaka mingi tu pasi na kuleta mauaji.