ALIYETAKA KUMPINDUA NYERERE AJULIKANA:MIPANGO YA "URUSI"/VITA VYA UGANDA/UJASUSI NI SIRI NZITO.PART2

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 сер 2024
  • --
    Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
    JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
    ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
    ⚫️ Website: www.dar24.com
    ⚫️ Instagram: @Dar24news
    ⚫️ Facebook: @dar24
    ⚫️ Twitter: @Dar24News
    #urusi #ukraine #putin

КОМЕНТАРІ • 51

  • @raymondonyona.2736
    @raymondonyona.2736 4 місяці тому

    Hapana, Korea ya kusini halikuwa Taifa la kijamaa enzi za Mwalimu Nyerere bali Korea ya Kaskazini.

  • @anytime5685
    @anytime5685 Рік тому +2

    Mwamba yupo vizuri kitabu tunakipataje sasa

  • @Michael12372
    @Michael12372 Рік тому +2

    Hawa ndo wanakula Bando kihalali

  • @mzungu2012
    @mzungu2012 Рік тому +1

    Aliemwambia Nyerere kuhusu TAA akiwa wakati Nyerere anaanzisha chama ni mzee Mwangosi, sio Mwapachu

  • @othmanmapunda2310
    @othmanmapunda2310 Рік тому +1

    Weeeee unasema uongo hujui chochote kuhusu vita ya Uganda mwongo sana

  • @theroggyplus255
    @theroggyplus255 Рік тому +1

    mtoe sehemu ya tatu fasteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer
    hata na ya 4 na 5 mpaka seasons... Jamaa yupo good

  • @eliufoom6195
    @eliufoom6195 Рік тому +1

    Hili jamii lina madini sana

  • @msangodiesel3132
    @msangodiesel3132 Рік тому +1

    Sehemu tamu Sana

  • @almasi25
    @almasi25 Рік тому +2

    Rusophobia is anything against Russia . Any negative propaganda against Russia . USSR ndo nchi zilizo kuwa ktk jumuiya ya kisovieti. Nadhani unaongelea hilo na sio Rusophobia.

    • @alexanderankiza3185
      @alexanderankiza3185 Рік тому +2

      Thank you, vile vile sijamuelewa anaposema nchi 67, while NATO ni nchi 30 kwa ujumla wake.Vile vile sikumuelewa aliposema aliwajua Presidents wa nchi zaidi ya 300, Kuna nchi 195 tu dumiani.Anatiririka sanaa,inamtoa kwenye mstari sometimes.

    • @almasi25
      @almasi25 Рік тому +1

      @@alexanderankiza3185 kama mwandishi facts zake hazipo Sawa ,sasa hicho kitabu kitakuwa Vipi ? Vitu vingi hana facts zake .

  • @jkifutu7936
    @jkifutu7936 Рік тому

    Ujasusi ni umbea unapokuwa na wambea wengi utajua mambo mengi sana

  • @elinisafibabarita
    @elinisafibabarita 7 місяців тому

    Kuhusu ujerumani ni kweli, unfortunately cant say a lot

  • @sulyshaaban9392
    @sulyshaaban9392 Рік тому +1

    Sio tu muongo ana virusi vya utApeli!!

  • @suleimansadalla5606
    @suleimansadalla5606 Рік тому

    wajerumani walishindwa vita kuivamia urusi sababu ya baridi na seluji gari zao ziligoma askari walikufa kwa baridi

  • @charleslukumai7875
    @charleslukumai7875 Рік тому +9

    Wewe muongo. Nyerere hakulipiwa nauli na kanisa Katoliki kwenda UNO. Nauli ililipwa na wanachama wazalendo, akina Abdul Sykes, Rupia, Mbowe, na wazee wengine maarufu Tanganyika. Pia alilazimishwa kuacha ualimu St. Marys kwa 7bu ya kujihusisha na siasa za TANU.

    • @mastaplan
      @mastaplan Рік тому +3

      Naweza kutoa pesa kwa watu ili kufikie wewe na kamii ikajua hao watu ndio waliotoa
      Lakini ukija kwenye UJASUSI unapata jibu kuna sehemu ndio imetoka hiyo pesa....
      Unapotaka kujibu swali tulia kwanza kisha ndio ujibu acha mhemko

    • @damymzuri9989
      @damymzuri9989 Рік тому

      Mkuu wa shirika la jesuit atakufafanulia zaidi yupo na ni padri wa kikatoliki , sema hatutaki kujikweza , watatukweza wanaofahamu

    • @livinuskamugisha5296
      @livinuskamugisha5296 Рік тому +3

      Njoo wewe usimuliee

    • @christiannyamamba9089
      @christiannyamamba9089 Рік тому

      Ukijua mambo ya kijasusi utaelewa watu hutumiwa tu kwa macho ya wengi ila ndani yake mipango yote inatoka chini huko so we kijana waleo uwezi jua kitu kuhusu hivi vitu kila unachokiona kinaenda ujue kuna wenye mambo walishapanga hawa unaowaona wewe wapiga kelele ni vibalaka tu

    • @haidarykufakunoga5973
      @haidarykufakunoga5973 Рік тому

      Kaka Charles Lukumai uko SAHIHI. WAISLAMU wa Enzi hizo NDIO walikuwa chachu ya KUPIGANIA UHURU. UKOO wa AKINA SYKES ndio miamba. ABDULWAHID SYKES ndie aliyepaswa kuwa Kiongozi wa TANU na alimzidi MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE kwa kura Moja. Lakini kwa BUSARA yake ABDULWAHID alikataa. Wengi hamjui Jinsi gani WAISLAMU wale walivyomjenga HAYATI BABA WA TAIFA akafikia alipofikia. Nani Anamjua SHEIKH TAKADDIR? WAKRISTO HAWAKUWAHI KUCHANGIA LOLOTE KATIKA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA. Kwanza wote walishakuwa wasomi Wana Ajira hivyo wasingeweza kuhatarisha hatima yao KIMAISHA. Kama kuna SHUJAA katika maisha yangu katika kupigania UHURU wa TANGANYIKA SHUJAA WANGU Ni ABDULWAHID SYKES.

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 Рік тому

    Pugu..sio St Mary's... ni St Francis... punguza uwongo ndugu

  • @othmanmapunda2310
    @othmanmapunda2310 Рік тому

    Jamaaa mwongo mukundu weee una lolote unataka sofa tu huna jipya

  • @frankmakwabu8119
    @frankmakwabu8119 Рік тому +1

    Tuchambulie na kitabu kabisa

  • @georgelupembe8672
    @georgelupembe8672 Рік тому +1

    .....sio South ni North Korea !

  • @eduardomala150
    @eduardomala150 Рік тому

    Je, hicho kitabu chako kimechapishwa kwa lugha ya kiswahili au kiengereza tu? Ni bei gani?

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu Рік тому

    Kanisa watawekaje historia hiyo na wakati hiyo ni kazi ya nyuma ya pazia unadhani Kwa mtu mwelewa ukimwambia habari kama hizo atalichukuliaje kanisa kuwa ni dini au ni mambo ya watu???

  • @damianmstambi848
    @damianmstambi848 Рік тому +1

    Natapaje kitabu

  • @msangodiesel3132
    @msangodiesel3132 Рік тому

    Leo upo na baba anakupa nondo zake

  • @jkifutu7936
    @jkifutu7936 Рік тому

    Bullaza na taka kukunua vitabu vyako please

  • @selemansombe4177
    @selemansombe4177 Рік тому

    North Korea

  • @kindysuleiman5935
    @kindysuleiman5935 Рік тому +4

    Nyie jamaa wacheni kulonga musolijua

  • @gainjulius1164
    @gainjulius1164 Рік тому

    Bola angempindua sijuhi alifail wapi

  • @jumanesaidi7635
    @jumanesaidi7635 Рік тому

    Mbona unanong’ona ?Siri ya nini, nawe umeamua kuweka mambo hadharani ?

  • @Bob-ev2fi
    @Bob-ev2fi Рік тому

    Don't entirely .buy your story.there is no bridge at Masaka. The bridge was Kagera. Tune down your history

  • @conradmwingira684
    @conradmwingira684 Рік тому

    Ni kweli vita vya Uganda tulitumia silaha za Kirusi lkn Urusi iligoma kutuuzia silaha wakati wa vita bali tulisaidiwa na Msumbiji na Angola

  • @mustafakingwande9459
    @mustafakingwande9459 Рік тому

    Huyo jmaa anaitwa nan

  • @reubenbushiri1753
    @reubenbushiri1753 Рік тому +1

    Jasusi wa Mbutu block E

  • @ramadhanmwandambotuntufye5972

    Kwa hiyo unaposema Kuna kundi linadai lilipigania Uhuru kwani uongo? Unataka kuaminisha watu kuwa nyerere ndiye alipigania Uhuru ? Acha kudanganya umma. Waislam ndio wamepigania nchi hii. Nyerere aliwapora chama Chao kutokana na ujinga wao.