Mbona hamuoneshi vipimo mfano mafuta vijiko vingapi, Nazi pakiti ngapi???kwa faida ya sisi watazamaji inapendeza mkiweka vipimo ili na sisi tujifunze 😢😢😢😢
Asante kwa kuwa mfuatiliaji wa maudhui yetu, karibu sana kwenye familia ya KAJEM TV. Kwa mujibu wa mapishi ya mpishi wetu yeye hakupendelea kuweka. Kumbuka maandazi Yana namna mbalimbali ya mapishi
Asante kwa kuendendelea KUTUAMINI na KUTUFUATILIA. Tui unaweza ukaliweka la vuguvugu kidogo ili kuharakisha hamila Yako kuumuka kwa haraka. Lakini pia kama hamira Yako unaimini iko vizuri unaweza ukatumia pia tui la kawaida bila kulipasha. ENDELEA KUFUATILIA KAJEM TV NA BLOG YETU YA KAJEMEDIA NA MITANDAO YETU YA KIJAMII. Maoni Yako ni msingi sana kwetu. KAJEM TV Ni #SisiNaWewe
Saw Dada upo vizuri
Asante sana
Zifuate chapoo
Sawa mkwe wangu minasubiri kujakuyala siku nikija kwako unipikie na supu
Mashaallaah ❤❤
Jamani nilikuwa najiuliza andazi linakatajwe
pozi lako tu mpenzi
Mbona hamuoneshi vipimo mfano mafuta vijiko vingapi, Nazi pakiti ngapi???kwa faida ya sisi watazamaji inapendeza mkiweka vipimo ili na sisi tujifunze 😢😢😢😢
Haywekw bankin powder
Asante kwa kuwa mfuatiliaji wa maudhui yetu, karibu sana kwenye familia ya KAJEM TV. Kwa mujibu wa mapishi ya mpishi wetu yeye hakupendelea kuweka. Kumbuka maandazi Yana namna mbalimbali ya mapishi
Ilo tui la nazi la vuguvugu au
Asante kwa kuendendelea KUTUAMINI na KUTUFUATILIA.
Tui unaweza ukaliweka la vuguvugu kidogo ili kuharakisha hamila Yako kuumuka kwa haraka. Lakini pia kama hamira Yako unaimini iko vizuri unaweza ukatumia pia tui la kawaida bila kulipasha. ENDELEA KUFUATILIA KAJEM TV NA BLOG YETU YA KAJEMEDIA NA MITANDAO YETU YA KIJAMII. Maoni Yako ni msingi sana kwetu. KAJEM TV Ni #SisiNaWewe
@@kajemtv❤