JINSI YA KUPIKA HALF KEKI MZURI SNAA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 35

  • @IdaRweyasiza
    @IdaRweyasiza 16 днів тому

    Ahsante sana nimejifunza mm nilikuwa naeka amila.

  • @KristabelaLoth
    @KristabelaLoth 4 місяці тому +1

    Mwalim salanga nashukuru sana unafundisha mtu anaelewaa kabisa nimejifunza vitumbuaa nimeweza na pia nimejifunzaa half keki nimeweza

    • @mwalimusalanga
      @mwalimusalanga  4 місяці тому

      ahsante snaa kwa mrejesho hongera sana Mungu akusimamie sana

  • @FrannieLeguna
    @FrannieLeguna 12 днів тому +1

    Maji ya kukandia yawe ya barid. Au yamoto?

  • @AeshiMlango
    @AeshiMlango Місяць тому +1

    Asante sana mwalimu unaupiga mwingi sana

  • @PurityKinya-by6lo
    @PurityKinya-by6lo Місяць тому

    Asante sana

  • @VailethPilla
    @VailethPilla 8 місяців тому +2

    Kwa nini unachekecha unga

  • @abdulkadirabdulkadirm.1306
    @abdulkadirabdulkadirm.1306 Місяць тому

    Mm nmepika mbna vimekuwa viandaz hazikupasuka😢

  • @SalamaRajabu-c6h
    @SalamaRajabu-c6h Місяць тому +1

    Mm nimepika lkn hazikupasuka kwann zimetoka km maandaz

    • @mwalimusalanga
      @mwalimusalanga  Місяць тому +1

      umekanda kwa muda mrefu
      umeweka maji mengi
      moto mkali

    • @SalamaRajabu-c6h
      @SalamaRajabu-c6h Місяць тому

      @mwalimusalanga Asante mwalim salanga ntajaribu tena

  • @merystelapaulomfuru6274
    @merystelapaulomfuru6274 5 місяців тому

    Asant sana

  • @OdiraTimothy
    @OdiraTimothy 6 місяців тому

    How can i get baking soda

  • @brendaotieno9061
    @brendaotieno9061 5 місяців тому +2

    Bàking soda ni nini

  • @evelinepius8150
    @evelinepius8150 4 місяці тому

    Je halfcake hawaweki hamila?

  • @victoriabenardi5440
    @victoriabenardi5440 Рік тому +3

    Mimi zangu hazipasuki kwa nini

  • @RehemaNgamila
    @RehemaNgamila 5 місяців тому

    Kaka nilipika lakin zikawa ngumu shida ni nini au nilizidish Nini?

  • @wangombegathondu120
    @wangombegathondu120 9 місяців тому

    Asante sana mwl

  • @JULIETHMWITA-p7j
    @JULIETHMWITA-p7j 7 місяців тому

    Je kwenye kilo moja unaweza kutoka maandaz mangapi ya mia Tano kwa uzoefu wako

  • @LuciaGabrieljoao
    @LuciaGabrieljoao 6 місяців тому

    Namimi nataka nijifuze

  • @PaulinaSamwel-w3v
    @PaulinaSamwel-w3v 6 місяців тому

    Hauweki amiraa

  • @veronicadidas2900
    @veronicadidas2900 6 місяців тому +1

    Ista gram unatumiaaje kujiunga ichokipindi chabure

    • @mwalimusalanga
      @mwalimusalanga  6 місяців тому

      ingia telegram andika ujasiriamali bure utaona darasa langu la Bure ukihitaji ya kulipia njoo Whatsapp 0682456819

  • @BeatriceJama
    @BeatriceJama 8 місяців тому

    Je amila auweki

  • @MarthaManoni
    @MarthaManoni 7 місяців тому

    Kg5 naweka simba na chapa mandashi kiasi gan?

    • @mwalimusalanga
      @mwalimusalanga  7 місяців тому

      unazidisha tu kwa kiasi unachohitaji

    • @MarthaManoni
      @MarthaManoni 7 місяців тому

      Nimeandaa kg5 nimezidisha baking powder 10 nimeogopa maana ndo naanza leo unatumiahii namba wahtsApp

    • @MarthaManoni
      @MarthaManoni 7 місяців тому

      Hizo baking powder natumia kijiko cha chakla?

    • @MarthaManoni
      @MarthaManoni 7 місяців тому

      Kaka nisaidie kwenye mafta kikombe kidogo au kikbwa