BODYGURD wa DIAMOND (ONESMO) AANGUA KICHEKO MOTOWN AKIMPIGA SHABIKI ALIYEINGILIA INTERVIEW YAO
Вставка
- Опубліковано 8 вер 2024
- BODYGURD wa DIAMOND (ONESMO) AANGUA KICHEKO MOTOWN AKIMPIGA SHABIKI ALIYEINGILIA INTERVIEW YAO
www.youtube.co...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Onesmo the best humble cool and understanding bodyguard Simba has ever have mola akulinde bro you are doing great job
Onesmo yupo cool sana, hana kupanic kabisa wala kukasirika hovyo🎉🎉🎉🎉
Onesmo angekuwa mtu wa kukasirika munge fanikiwa, lakini yupo very friendly kwa hiyo yeye kashinda.
Onesmo he's really peace man
Onesmo mtu Sana, Hana presha yoyote ya maisha. Ila huyo dogo wa nguo black anaweza Sana kuigiza..
Onesmo ni mwamba anaweza.
Umeuwa sana Sanya umetisha sana ubunifu mwingi sana dah unaburudisha sana
Sema onesmo Ana huruma Sana na Ana moyo mzuri
Sema jamaa yupo very humble
The bodybuilder is just humble. That's why tume kosa manjonjo mfulani....😅
Jamaaaa hana presha kabisa 😂😂😂😂😂😂😂..yupo cool sana😂
Onesimo mpole sana
Daah mo up vrz bro
MOTOWN Hata sisi wakongomani tumependa sana kipindi chako bro keep up the great work 💪. Much love ❤ from D.R.CONGO
Sema wewe mkongomani, usiseme sisi wakongomani,kuna wakongomani wengi wala hata awamjui huyo motown. Ni ushauri tu bro
@@mzalendomtokambali6551 😂😂 kama mimi hapa nilikua simujui nahikyo kipindi nîlikua sikijui kabisa, lakini leo ndo maraangu yakwanza kuitazama, kupitia kile alichofanya na Ndaro kwenye ule mzee muuza Matunda na pastèque 🍉🍉🍉
Ila nimekipenda kutoka Congo🇨🇩
@@AbiTech96 ndio maana nilimjibu ndugu yangu hapo juu , sio bizuri kutumia uwingi
MO TOWN SANYA
KIPINDI CHAKO KIKO POA SANAAA❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Big up wazeeee 🎉🎉😂😂😂
onesmo katisha sana
Onesmo Mtu poa sana
Motown huyu dogo anajua sana uwe unamtumia zaidi tunahitaji kumuona ananivunja mbavu sana
Hii haikubamba sana bodyguard anaroho safi san tunataka mtu mwenye hasira
Bichwa lako😂😂😂😂
Onesmo mtu smart cana
Onesmo Salut unamaringounarohombaya kumbe nikaziyakutafuta maisha lknunachukinamtu
Jamaa hana noma respect kwake
😂😂😂😂😂😂ila ichi kipindi hua nacheka paka nalia😂😂😂😂nakipenda sanaaa
Ila huyo aliyeandika kwenye Profile, Mwananyamara..😂😂
Nampa maua yake
😂😂😂 onesmo "Eti wewe unataka nini chobi"?
Onesmo hajaingia kwenye 18 inaonyesha hanashida nawatu sio mkorofi
LEO MMESHINDWAAA.. mshindi ni ONESMO🤙🤙🤙
😂😊😊😊😊😊
Nimempeda Sana onesmo Yuko vizur
Good job brother
Huyo kaka pembeni nimechekaaaàaaaa anaita bro onesmo naomba na mm nipngeee😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Jamaa yuko peace sana
Onesmo umewakamata ao
Dogo anajua kuigiza kinoma dah clip ya pili namuona ana kipaji sana
Huyu kibonge tu sio bodybuilder
Hatare saana
❤
Mshkaji hajakamatika leo mmefeli Mo town
😂😂😂😂😂😂Onesmo kakamatika ila tu hataki kukubali ila amekamatika
Dah dulivan namasha love ndio waliruonyesha rialityyao
CD imetoka mbeya miez mitatu
Yani ukiwa na mwili mkubwa hivyo Inabidi uwe calm kama jamaaa. Hana jazba anacheka tuu😂😂😂
Onesmo kakamatika
CD imetoka mbeya 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Sema huyu jamaa hana hasira
Amekamatika uyo ila anajifanya mwerevu
Oyaaa wakija hao watu wanaozingua usiwaekee mice waje na mice zao. Kufanya ivo mimi naelewa kama still on record
Point🤙🤙:: 🧨🧨🧨🧨🧨🧨🧨FANYA IVYO MO TOWN SANYA
Sas naelew kwann simba anampenda Onesmo
Onesmo kakamatika😅😅😅
Hapo kwenye suti hapo
huyo jamaa anayeimba kanichekesha sana ata nyimbo zake hazijui
Onesmo hajakamatika
❤❤❤❤
Jamaa hajakamatika kweli mo town
Jamaa lamazoez haliogopi
Bodgud mwarabu aliendawapi
Kadakwa anazuga tu 😅😅😅😂😂
Mpeni simu yake huyo 😂😂😂😂😂
Yule bodyguard mwengine alienda wapi?
Onsimo mwanangu ila hapo amekaa
Yan we Mo kila ukiwa na uyo kaka mwenye tshet black Huwa unampga makof 😂😂😂😂😂
Onesmo nmekupenda una roho nzur ❤
Bodygurd au sio....daah😅
Mbona kama OG wa tanzania huyo bodyguard
Ila wabongo tunazingua 😅😅 people they are serious at all
Acheni ujinga wacheni kujifanya mumefika sn apa duniani mbna mwa dalilisha wanzenu mpeni cmu yke aende
Onesmo ana roho nzuri sanaaaaaa
Sana yaaan
Et simu kaweka password 😂😂😂😂😂😂
Dah SEMA onesmo amelilax tuu hakupanik
Onesmo umekamatila bro usitutishe
Big mbish kinoma ila kakamatika😀😀🤣😂
Sio hawa ni evaa 😅😅😅
dogo elisha ndio kazingua hana hat akapela hajui hamjamuweza kamanda ndio kawaweza
Hiki kipindi kizuri 😂😂 sema haya mambo duuh eti mkofii😂😂
Mbona ijayo hujatuonesha
Anapo lala bodyguard wa super star mbona kuna leta mkanganyiko kwa hadhira 😃😃🙆🏃🙌🙌
Upi sasa angelala wapi labda ikulu
Angalia anapolala Bakhresa na anapolala mfanyakazi wake wa kiwandani anaemlipa elfu nne kwa siku.
Ww umepaona? Mlinzi wa msanii mkubwa hivyo aonyeshe anapokaa thubutu
Hiyo location tu na sio anapokaa. Bodyguard hawezi kuonyesha dunia nzima anapoishi
😂😂😂😂
Kwann baunsa wa BIg anaishi Maisha Hayo??? 😢
Onesmo umeyakanyaga
Nyie mo umekamatika
ni CAREER au ni CARRIER?😲
Badilika tena ushaanza kupoteza acha maogizo watashtuka
Zinarekod kwa pamoja hiz zilisharekodiwa miez nane nyuma
Mzito amekamatika alikua anachekacheka tu akuwa anajua chochote
😅😅😅😅sema onesmo anamaswali magumu
Sema jamaa huyo anaujua usumbufu adi anakela
Mnamsumbua baunsa
Mimi huyu doqo animaliza kinqanqanizi kweli nikiwa Saudi naona raha kweli
😂😂
Nimecheka kisenge yaaaaan
Pensi wanavaaa watoto weweee
HIV Ni kwel Leo wamekamatika kwa kuw On hajapanick
Bodyguard wa msanii mkubwa sana ila Maisha bado yakawaida sana anapo ishi nilitegemea iwe sehemu classic sana
Si kila mtu na maisha yake kwani unadhani wafanyakazi wote wa wasanii wanaishi sehemu nzuri?
MO TOWN SANYA
KIPINDI CHAKO KIKO POA SANAAA❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Onesmo kakamatika
😂😂😂
MO TOWN SANYA
KIPINDI CHAKO KIKO POA SANAAA❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
MO TOWN SANYA
KIPINDI CHAKO KIKO POA SANAAA❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
MO TOWN SANYA
KIPINDI CHAKO KIKO POA SANAAA❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
MO TOWN SANYA
KIPINDI CHAKO KIKO POA SANAAA❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
MO TOWN SANYA
KIPINDI CHAKO KIKO POA SANAAA❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ndio comments mara mia
MO TOWN SANYA
KIPINDI CHAKO KIKO POA SANAAA❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Andika mara moja choko wewe
@@shedymmari7910 😂😂😂
MO TOWN SANYA
KIPINDI CHAKO KIKO POA SANAAA❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤