DOTTO MAGARI ATOKWA MACHOZI WAKATI AKISIMULIA CHANZO CHA UGOMVI WAKE NA ISSA TAMBUU / ROHO MBAYA
Вставка
- Опубліковано 26 вер 2024
- MJASILIAMALI DOTTO MAGARI ASIMULIA MWANZO MWISHO CHANZO CHA UGOMVI WAKE NA BOSS WAKE ISSA TAMBUU ANAYEMILIKI YARD YA MAGARI ANAYOFANYIA KAZI DOTTO TAZAMA FULL INTERVIEW HAPA
#diamondplatnumz #dottomagari #wasafimedia #millardayo #mwijaku
Daaah bro redio balaaaa hongera nacho kipaji aisee
ua-cam.com/video/lc4NPbR7x34/v-deo.htmlfeature=shared
Kakaangu wa kino kindakindaki nakupenda sana dotto utafukq mbali sana nakuina yuleeee ushavuka kakaa Mungu ni mwema sanaa barikiwa tuuu
ua-cam.com/video/lc4NPbR7x34/v-deo.htmlfeature=shared
Ndo shida ya nchi hii uchawaaa n mbaya sanaa
Huyo jamaa wa mwisho dah kaongea vizuri, kajikaza kujicontrol baada ya doto kumtolea nje
Safi Sana dotto unajiamini Sana nafasi yako unailinda na ukweli
Mmmmxiiiiiiiiuuuuuuuu minyoko tena Ovyoooooooo!!!!!!!! 😏😏😏
Kiburi 😢
Aisee dah Mungu amuongoze kwenye mema
Ila kama issa amefanya hivyo amekosea maana Dotto amepambana watu wengi tumemjua issa kupitia Dotto pamoja broo
ILOVE you 💓 💗 😘 💛 💖 doto magari penda cn weee
Safi dotto
Kweli broo
Nakubali kaka salute
Nampenda saana doto
Tatizo nyota issa tambuu itamsumbua sanaaaa
😂😂😂 ila dotto akli yako unaijua mwenyewe
Safi cn doto magari
Hongera kwa kutafuta rizik alali
Duh! Eti mama ndie alokuumba .. SUBHANA LLAH. Wee mwehu kwelia punguwani mropokaji.
ISSA MTU POA SANA SIPENDI ANAVYO SEMWA VIBAYA
Dotto mshamba sanaa
Doto magari huo ndio uzaramo huna shukrani issa kakutoa mbali na issa tambuu anaroho Nzuri ira shida yako mdomo wako uupimi mwisho
Hawa wanajuana
Wenzenu wanatafuta kiki nyie mnafikiri wanagombana shauri yenu
Big chawa et mama
Dotto ana akili sana
Bangi mbaya sasa mitano tena kila saa imeingije hapa ni dalili za woga na ujinga mwingi
Kama hunanpenda dotto magari gonga like ❤
Huyu jamaa kwambali kama dully sax
Mama au issa
Kaza bro
Eee hili ni dishi lingine
Hapo kwenye LIPA NAMBA sasa...
Binaadam hawana fadhila wana mwanzo tu akipata kidogo utajua tabia yake.
Crown
Waliosikia neno BAGENDI gonga like
Kengeee wewe iyo die mitano tena inahusiana na nn
Some time unaongea point dotoo...khs maisha
Dotto mjinaga sn
Eeeeeeh......dotto noma sanaa
Nyoa new model ila dotto
Nakuelewa kaka yangu.
❤❤❤❤❤❤❤❤
Allwa tena
Alwa jifunze din wew mjing
Kwakweli alwa duuuh 😮
Dotto upo sawa kabisa.Na Mungu atakufungulia mafanikio zaidi.Ni kweli watu wengi huwa wanachuki pale wanapowaona walio chini kufanikiwa kwenda juu
Mtangazaji katangaza tangazo la mtu mwengine bila malipo 😂😂😂😂😂 katangaza biashara kwenye interview
lipi Hilo
Doto usijitingishe.binafsi napenda kukuona na Issa kwani mmetoka mbali achana na mbwata
Dotooooooo
Acheni kulamba matako watu mtakuja kufanywa mbaya,, sijampenda huyu jamaa wa mwisho
Atapata shavu soon Kwa mama samiah, maana anampa sana promo
😀😀😀 ila dotto dhaaaa 😅😅😅
Chizi kwel doto
Wazaramo wanajua kiswahili sanaa😅
uyu jamaa ana ongeyaa
Achaaa mapepee dotooo pigaaa kaziii naaa isaaa tambuuu atakufikishaa mbariii
Iyo interview inahusu Nini kwani!!!?
Wa tatu ...halooo watu mnaongea
Sema me nakubali doto paletu anaongea Sanaa then anaweka mtaani kama anapaniki flan then anashuka😊
Ukijifanya chizi huyu dotto ndio pimbi hafai 😂
Hapo kwa mama ukebugi wewe fala kwani huwezi ongelea life yako bira kuweka samia acha ufała
Kuna ubaya gani
Samia ni Mama kutajwa na watoto ni Jambo la kawaida wewe Kama unaumia Tulia waache watu watoe Maoni yao
Chixi kalongwa tena 😂
Hapo ndio utajua uswahili ni nani Leo kabadilika anaanza vimba kichwa utadhani akiweka pesa za biashara duuh kweli akili ni nywele😂😂
Doto tupe namba yako
Taratibu tunaanz kukuchoka hiyo mitano mpe na familia yk
Hatimaye wameanza kuigiza
Kumhoji dotto inahitaji nguvu za uvumilivu
Huyu jamaa anajisahau biashara hairndi kishkaji mtu anawekeza pesa ili apate faida tena we unakuja kwakuwa mpo karbu ndio mgawane hesabu aaaahh
KICHOGO MWENYEWE MJINGA MKUBWA JAPO NAKUPENDA SANA ILA UMENIUDHI KUSEMA MAMA NDIO ALIOUMBA KUA MAKINI
Ila wazaramo wanaongea uwiiiiiii 😅😅
Hatariiiii
Wewe dotto umejulikana kupitia kwa tambuu magari,,,mheshimu boss wako acha mambo ya ajabu,,,,
Mpige cutting!!😅😅😅
Kwa Alwa kwa Alwa na msalaba kifuani 😢
Usimwamshe aliyelala
Bagendi ndio nini??? 😂😂
Anavaa misalaba anajifanya muislam, tunajua misalaba unapewa kwaajili ya uchawi
Skunk😂
MEKU KAAMBIWA KOFIA KAMA DEREVA WA MWEÑDOKASI
Ashakula sk huyo
Dah mi kichogo😂
Kabsa usimdharau muokota makopo wala kuwatoa akili watafutaji kumbuka nyuma Kuna watu wanawategemea
Watu fudenge😂
Allwa 😂😂
Mjinga kweli,kama kuna mambo unayafanya mambo mabovu alafu unajifanya kumtaja taja mama ili ufiche ujinga wako
Doto umetutukana shabik zako kichogo wanafk kweli😂😂😂hatununui mazembe shaur yako mpigie issa magoti boss anuniwi😂😂😂
Kata kwanza hizo nywele uislam hauitaji huo monekano wako
Mi nakuangalia nitumie kwny cm Doto😅
Uyu jamaa kichwa kinatatizo!
😂😂😂
Mimi humfuatilia sana Dotto,na ni muwazi na husema ukweli bila kumung'unya maneno.
Mm nimemjua issa kwakupitia dotto
Sasa huna hata gari unashindwaje kumjua kupitia Doto?
Ongea unatuheshimisha wakala.
Wazala
bargaindi🤣🤣
Mjinga sana huyu, ila ipo siku atakuja kujuta
Amesahauuuuuuz
We unayesemadotto ana akili sawa kabisa...ila mungu ndo anaumba kupitia mama kuzaa....sio mama kuumba.
Fact anaongea sn mpaka hajui anachoongea
Siku ingine aza jina la Mungu kwa herufi kubwa
Wajuaji wakikutana 😠😠
@@ChikuRashid-yg3jp 😄kwakuwa apa ni shule 😄😄..wew mi najitambua
punguzeni vichaa mungu hatukuzwi kwa m ya mwanzo...,,na kweli mnaluzi😅...mnataka nilembe coment😅😃
Akuna boss mwenye roh nzuriii😅😅😅😅
Sio kweli.
Japo si wote
Doto comedy Sana 😂😂😂😂
Issa tajiri wako tu
Dooh ,siku zinahesabika
Ntakuja mimi kuchukua iyo pesa jmn doto tajiri penda cn wewe kaka
Mama wa Nini tena 😂😂 hapo
Dotto tahira
Wa nini huyo mfuga nguruwe
Tumbo kama kayungu yeye