Tukiacha ushabiki kwa sababu tumezaliwa tukakuta wazazi na mababu zetu wanaabudu imani flani nasi tukabaki huko huko kuamini tu tutakuwa na tabia ya kubisha bisha tu siku ziende ILA ILA UISLAM DINI YA HAKI YA MUNGU NDO INAYOPASWA KUFWATWA NA WANADAMU WOTE namshukuru Mungu kunitoa kwenye ukristo na kuningiza kwenye dini yake ya khaki uislamu
Nazichukia dini ktokana na kfananishwa na kaburi 7b kila azaliwaye anamezwa nayo.! Kila mtenda dhambi anayo dini.. Aiteteaye dini yake na ksema ni ya haki ahakikshe kat yao wa dini hyo hakna hata m1 mtenda dhamb! Mungu ni wa wote wenye mwili lkn sis wenye mwili ha2mwabudu Mungu m1.!
Ikifika zamu ya wakristo wao wanajibu maswali kwa hoja nzito na kufuata maandiko, lakin ikifika zamu yenu waislamu hamjibu hoja mnaaza kuleta stori nyingi, mipashi na maelezo kibao. Kiufupi waislamu hawana point. Big up ndacha.
Asikudanganye mtu ndugu yangu hakuna dini ya kweli ila kwa waislamu wanafata mambo ya kidini ndio maana wao siku zote hawawezi kuafanya chochote bila utumia nguvu za majini
Allahu akbar,ma shaa Allah Allah awalipe ujira wenu kwa kazi yenu ya dawaah nawapenda sana Dr Sule na ustadh Mazinge na maustadh wetu woote baraakAllah feekum
Kweli kabisa wengi wanafuata dini kwa sababu wamekuta wazazi kwenye dini yenyewe ila tunapaswa kutafuta ukweli,,.Alhamdullillahi nmejuana dini ya ukweli na ya haki ambayo ya kiislam❤❤❤
Ukitaka kujua kamakweri koloan siokitabu chamungu nenda kwa waganga wakyenyej wote wanatumia koloan kuloga watu nasio bibilia ko bibilia ki koloan nivitab vyakiganga asante ndacha
Jamani hebu kuweni watu wazima kwanini msifanye kama Elia yapigwe maombi ijulikane Mungu wa kweli ni yupi Mungu hatetewi anajitetea sasa nyinyi mnabishana tu na kubishana kwenu hakuna faida kwa watu kwasababu kila mtu anaona upande wake ni upo sahihi
Kwanza namshukuru mwenyezi kwa kunipa uhai hadi leo napia namshukuru baba yangu kwa kunishauli na kuniambia amini kilichondani ya moyo wangu, na nitakachoamini ndio dini yangu. Siangalii jina langu nililopewa na mwanadamu bali naheshimu imani yangu, katika maisha yangu yote nitaishi katika uislamu na sio dini nyingine,
Haina maana kuuliza punda alirudi ama hajarudishwa. Fikirin juu ya maisha yenu na watoto wenu ...katika dunia machafuko yanaongezeka jifunzeni juu ya kuondokana na gadhabu ya Mungu inayokujaaa 😢😢😢
Mambo hayo mungu aliwaficha wenye hekima akawa funulia watoto wachanga....hizi ni dalili mbaya na hizo ndizo nyakati za mwisho kwa maana itatokea vita na fununu za vita ,ufalme utapigana na ufalme mwingine....angalieni msije mkufuru Mungu enyi viongozi wa din
Mungu akubariki sana Prof. Ndacha, hakika umeenda kuwatafuta waliopotea. Mungu akubariki sana Ndacha❤
Wa Christ Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen Love from Burundi
Alhamdhulillah,namshukuru Allah kw kunijaalia n kuzaliw ktka dini y uislam
Mwalimu Ndacha Mungu akubariki sana,kwa majibu na maswali yenye Unawapea
Ndacha Mungu akubariki sana
Bwana yesu asifiwe /Congo DRC
Motoni😅
Amen
Asifiwe kabisa
😂 ati bwana may Allah guide you people
Ndasha mungu akubalik kwa kazi hiyi uri gitoreya kufanya pongezi sana ndugu
Hakika mimi ni muislamu na naipenda dini yangu hakikah namtegemea allah kwa kila kitu alhamdudillah🤲🤲🤲
AllahuAkbar
Namshukuru MUNGU kwa kunipa neema hii yakunifanya Muislamu. MUNGU anipe mwisho mwema nikifa na shahada ya Laailaha illa ALLAH
Ameni Allahu Allamu wisilamu nem kweli Inshallah Allahu Akujaliyedungu nakafiri dacha Akuwe musilamu
Amin
Amiin thumma amiin
Sasa we unakufa naiyo shahada n'a allah mwenyewe anaingia motoni n'a Muhammad wake
@@SalimuMbonyumukiza yan ndacha akawe dini 1 n'a shetani hivi we zimo au majin yamepanda
Alhamdhulillah!🎉❤ Najvunia sana kw Allah akunijaalia ku kwnye neema y Uislam
From Lusaka Zambia ndacha mungu azidi kukupa neema nyingi🙏🙏🙏
Allah atujalie sote waislamu tufe katika dini ya kiislamu Dr sule mungu akupe maisha marefu uzidi kututetea
shekhe dini ya Mungu haitetewi,inajitosheleza yenyewe..msikilize ndacha,ila usiuache uislamu maana utauwawa.
Doctor sule mungu akupe maisha marefu unajuwa san mungu akijaaliye sana
Inshaallaa
Ameen Yaa Allah 🤲
Mwalimu ndacha mungu akutie nguvu kwani mungu atateta na anaeteta nawe. Mungu n mungu atabaki kuwa mungu tu.
Wow wow wow, ndacha the best. May God through Jesus enable you to call fire 🔥. Compete with fire
Merci pasta mwakaauu wataokoka
Shukran ALLAH Kutuletea kitabu kisiokuwa na shaka ndani yake.Allah muhifadhi Dr sule na timu yote Inshallah awape mahitaji yao
Takbeer
Aamin insha-allah
Aaamin inshaalah
Waisalamu wajinga sna
Mjinga wewe uliyepotea@@lizndunchez720
Mungu akubariki kiboko cha walimu
Maa shaa Allaah
Dr Suley Allaah akupe umri mrefu wenye heri
🎉
Insha’Allah mungu amzidishie nguvu azidi kufunza umma..🙏
Namkubali sana doctor Sule Mashallah Mwenyezi Mungu awabariki sana Mashekhe wetu❤Mungu azidishie ili Muwafunze ukweli wakristo🙏🙏☝️❤️
Tusilimu ilihali Mungu wetu anatenda kweli, Yesu amenitendea mengi nimeshuhudia tokea nikiwa mdgo nije nislimu kwajili ya kuwafurahisha watu😅
Pr. Ndacha na waamini wote wakristo mungu awe nanyi daima na milele
Unamuamin wakati kashindwa kujibu swali simple
We ndacha unaporojo tu unadini
Mazinge ana maswali zaifu sana
Mungu akubariki Ndacha.
MashaAllah Dr sule Asante Kwa kutetea kitabu cha mlmungu
Mkristo na muislam Mungu mmoja wapi na wapi Bwana Yesu asifiwe.
Itaelewa tu wakati ukifika
Tukiacha ushabiki kwa sababu tumezaliwa tukakuta wazazi na mababu zetu wanaabudu imani flani nasi tukabaki huko huko kuamini tu tutakuwa na tabia ya kubisha bisha tu siku ziende ILA ILA UISLAM DINI YA HAKI YA MUNGU NDO INAYOPASWA KUFWATWA NA WANADAMU WOTE namshukuru Mungu kunitoa kwenye ukristo na kuningiza kwenye dini yake ya khaki uislamu
Swadakta
wewe kama mimi tu iseeee acha tuendelee kuiamini hiiii din yt
Allah Akbar
Hahaaaa
Sahihi kabisa.ndiyo.dini.anayo.ikubari allah
Ndacha tuko nyuma yako tuba kuombeya Mungu akupe Nguvu unawafundisha hawasikiyi tu' basi usichoke hata yesu hakuchoka Katika injili
Hallelujah Hallelujah bwana yesu asifiwe
Dr. Sule na mazinge allah awape maisha marefu na muendelee kuutetea uislamu na kuwaelimisha wasioelewa
Mungu akulinde ndacha
Kwa kweri mwenyezi mungu ni mmoja, LA ILAHA ILALAH,
Nazichukia dini ktokana na kfananishwa na kaburi 7b kila azaliwaye anamezwa nayo.! Kila mtenda dhambi anayo dini.. Aiteteaye dini yake na ksema ni ya haki ahakikshe kat yao wa dini hyo hakna hata m1 mtenda dhamb! Mungu ni wa wote wenye mwili lkn sis wenye mwili ha2mwabudu Mungu m1.!
Jesus Christ ni mwema ❤❤
Dr shule ,mashinge, Allah awape nguvu kwa kazi yake,
Tusilimu ilihali Mungu wetu anatenda kweli, Yesu amenitendea mengi nimeshuhudia tokea nikiwa mdgo nije nislimu kwajili ya kuwafurahisha watu😅
Ikifika zamu ya wakristo wao wanajibu maswali kwa hoja nzito na kufuata maandiko, lakin ikifika zamu yenu waislamu hamjibu hoja mnaaza kuleta stori nyingi, mipashi na maelezo kibao. Kiufupi waislamu hawana point. Big up ndacha.
Kweli kabisa
Acha uongo au nyie ndo amueleweki zaidi ya kelele naomba uwe mkwwli lati ya Dr Sule na Ndacha nan anajibu kwa ufaha bila kelele
Kabisa 🙏😊
Kumbe kichaa wee acha ushabiki
@@user-rs8qg4ch8l wewe ndo chizi ambaye huelewi somo.
Mashallah, nimekuona ustath kuria bin kaguo
جزاكم الله خيرا و احسن الجزء❤❤❤
Huyu ndacha pia ni balaa❤
Bana
Pastor ndacha heshima kubwa kwako kuwaonyesha njia IPO kwenye bibilia ❤
Manshaalah mwenyezimungu awalinde na kuwapa nguvu inshallah
Alhamdulillah kwa kuzaliwa muislamu, allah anijaalie nifie iman yangu
Dk sule wew ni mwamba hasant mola alihamdulilah kwa kuniwezesha kuzaliwa katika dini ya hakhi uislam ndiyo dini ya khaki🎉
Asikudanganye mtu ndugu yangu hakuna dini ya kweli ila kwa waislamu wanafata mambo ya kidini ndio maana wao siku zote hawawezi kuafanya chochote bila utumia nguvu za majini
Tusilimu ilihali Mungu wetu anatenda kweli, Yesu amenitendea mengi nimeshuhudia tokea nikiwa mdgo nije nislimu kwajili ya kuwafurahisha watu😅
Ndacha mungu akubaliki zidi kuafundisha manejo ya yesu
MashaAllah had raha.. Shekh mazinge n doctor sule N wengineo Allah awazishie umr hil muwatoe wtu kwenye kiza.. Nawapenda kwa Ajili y Allah
Professor Mazinge uyo DD Allah akuhifadhi.
Allah awafanyie wepes wakristo wote wasilimu
Tusilimu ilihali Mungu wetu anatenda kweli, Yesu amenitendea mengi nimeshuhudia tokea nikiwa mdgo nije nislimu kwajili ya kuwafurahisha watu😅
Nisilimu nije macca ambayo inavamiwa na manzige waislamu hamshutuki
Very poor
Ndacha Mungu akupe maisha marefu yenye kheri nyingi hapa dunian
Amina MUNGU akubariki m naona mashehe wakubwa wote hawakosi majini je mt wa MUNGU anastahili kuish majini noo roho mtakatifu atosha
Nyinyi ni ushambiki mnatafuta, ila najua mnanjua nyinyi wote LA ILAHA ILALAH,
haya Lala salama😂💔
ujielewi
MashaAllah uislam wetu Allah awazindue waingie kweny uislam
Hakuna mwenye atafata hio uislam mubaki nao wenyewe
MWANZILISHI WA IMANI YA WAKRISTO NI YESU, YUKO HAI MPAKA LEOOOOO ELEWA APO WAISLAMU
Inshallah Dr sule mung akupe maisha maref kwakwel unajua
Mungu Akupe Shifa dr Sule kweli
Allahu akbar,ma shaa Allah
Allah awalipe ujira wenu kwa kazi yenu ya dawaah nawapenda sana Dr Sule na ustadh Mazinge na maustadh wetu woote baraakAllah feekum
Allah akuingeze elimu zaidi
Mashaallah mungu awahifadhi
Kweli kabisa wengi wanafuata dini kwa sababu wamekuta wazazi kwenye dini yenyewe ila tunapaswa kutafuta ukweli,,.Alhamdullillahi nmejuana dini ya ukweli na ya haki ambayo ya kiislam❤❤❤
Ukitaka kujua kamakweri koloan siokitabu chamungu nenda kwa waganga wakyenyej wote wanatumia koloan kuloga watu nasio bibilia ko bibilia ki koloan nivitab vyakiganga asante ndacha
😂😂😂koloan
Biblia haina dual stahiki coz ilishachakatwa Na ndo manager yesu hakuwai kuingia kanisani
@@user-zs6ze9hn6pNa waganga hutumia irizi Na mizizi mashehe hutumia kurani pia wakristo ni Freemason mfano papa wenu pia ukifa utaona kaburini
Pasta ndacha ubarikiwe
Jamani hebu kuweni watu wazima kwanini msifanye kama Elia yapigwe maombi ijulikane Mungu wa kweli ni yupi Mungu hatetewi anajitetea sasa nyinyi mnabishana tu na kubishana kwenu hakuna faida kwa watu kwasababu kila mtu anaona upande wake ni upo sahihi
Aminaa
Hapo umenena barikiwa sana
😂😂😂😂😂👍
Hauja muona muoga ambaye anachungwa na security kwakuofiya mayisha yake
Wengine wanajua ipi dini ya kweli wanajipumbaza tu
Nashukuru mungu Kwa kunijalia kuzaliwa muislam 🙏
Ndacha Mungu ni mkuu anakupenda. Tulio ona mdaharo wote sule alipigika
Msihukum , Nany
Msije Mkahukumiwa🙏
Allahu akbar
I'm proud of you Ndacha
Ndacha Mungu akubariki sana mwalimu wangu
Mashaallah mashaallah love Muslim ❤❤😊
Shukran Allah kwa kunipa Imani ya kua muislamu..Isha Allah Isha Allah Isha Allah ❤ uislamu
Umepotea
Nyie ndomnamuulizia punda😅😅😅kwani alikuwa punda wenu au
Nakukubali san doctor sule we mchungaji umechemsha hama din ww kuw mwisilim
Asante mazinge mungu akuweke🙏
ALLAH AKBAR
ALLAH AKBAR
alhamdulilah kwakuwa mimi nimuislam
Am proud to be a Muslim
Alhamdulillah Nashukuru Allah Kunijalia Uislamu
Nashukuru sana kusilimu ❤. Napenda dini ya yangu na nabii wangu Muhammad
Aliyempa unabii ni nani kaua watu wengi kisa wamfata yeye
Allah akudumishe kwenye uislam mpakasikuya mwisho. Nduguyangu katika iiman❤
Mungu awe nawe mtumishi wa Mungu,akufunuliye zaidi
Kweli kaka angu mungu atufishe tukiwa waslima
Masha masha, shukran jazeelan sheikh dr sule
Kuacha ushabiki Ndacha ana hoja nzito kwa waislamu hata vichwa vinawauma. Hata majibu ya waislamu inaonyesha kwamba hoja ni nzito
❤❤❤❤ hata mimi naguswa sana na huyo ndach anajua sana
Hawana hoja wanaongea ushabiki😂😂 wameulizwa thibitisha Quran kama ni kitabu sahihi Cha Mungu bila kutumia Quran wamechemka😂😂
LA ILAHA ILALAH,
Muhammad lasulilah❤Islam Allah atupe nguvu ya kuwaokoa wezetu naishaallah wawe kwenye kamba ilonyooka ❤muslim
MashAllah tabarakallah
Ndacha mungu akuifadhi uishi miaka mingi dunian awakuwez woteawo kazyao niuongo fitna majungu shirk
Umelewa lakin vizuri eti
Kwanza namshukuru mwenyezi kwa kunipa uhai hadi leo napia namshukuru baba yangu kwa kunishauli na kuniambia amini kilichondani ya moyo wangu, na nitakachoamini ndio dini yangu. Siangalii jina langu nililopewa na mwanadamu bali naheshimu imani yangu, katika maisha yangu yote nitaishi katika uislamu na sio dini nyingine,
Ndacha mungu akubaliki sana
Haina maana kuuliza punda alirudi ama hajarudishwa. Fikirin juu ya maisha yenu na watoto wenu ...katika dunia machafuko yanaongezeka jifunzeni juu ya kuondokana na gadhabu ya Mungu inayokujaaa 😢😢😢
Mungu akufunike ndacha.watu waokoleowe
Ubarikiwe Ndacha
Jibu la Yesu kunukuu biblia ni kitabu Cha Mungu... Marko 7:13..
Amina
Alhamdulillah for being a muslim
Mashallah hongera sana doctor sule wewe ni shujaa wa waislam nakukubali sana
Mungu afanye kazi
Ndacha mungu anakubariki sana
Ma sha Allah
All in all mungu awabariki sanaa lakini mdahalo wenu utaibua vitaaaa
Du we shekh Allah akujahalie mwish mwem
Mazinge hajui kusoma
Allihamdullah naipenda sana dini yangu ya islam
Mashallah Allah awaongoze nami aniongoze katka njia iliyonyooka
Alah awapeni mri mregu viongozi wetu wa kiislamu
Allah Akbar
Mtumishi ubarikiwe
Allihamdulila neemati Islam Tupemwisho mwema waisilam wote dunian amiin
Weslamu Sio Imani nzuri