NIMEPENDA KUA UNAJIELEWA JAPO UNAFANYA UNAO WANAWAKE LKN UNAJIFICHA NDIO HESHIMA KWA KUMJARI MWANAMKE WAKO SIO KM SALEH ANAPATA MWANAMKE AKIWA MBALI YEYE NDIO NAFASI YAKE YA KUJIACHIA STAREHE AZISHI TULIA NA MKEO ALLAH ATAKUONGOZA
Mtangazaji huyu vipi, kama amekuja kumkejeli na kumlia vitu vyake, hadi akiondoka kamaliza kula vyote, sijui kaja na njaa Hana swali la maana Unapokwenda nyumba ya mtu uwe na adabu, sio umuache hana chakula Fata kilichokuleta
Nimependa sana huwa nashangaa eti kungwi unaonyesha chumba chako kwenye Midia mpk unapojisaidia mnashindwa na huyu mwanaume jmn
Kuna siku Saleh utapewa sumu😂😂 Mega S/O to u brother Saleh unafanya kazi kubwa kaka
Mmmmh Mbona kuna kichaka nyiee🙌🙌🙌🙌🙌hamuwezi kufyeka hilo chaka hapo nje?????????
Yaani huyo dada alivosema “ kukumisi” nmeshangaaa😢😢😅😅 alafu hata hajawahi kumuona
Nimeludia kumalizia interview yangu mpendwa mie shabiki yako sana salehe kwenye hiki kipindi chako huyu kaka kweli kafundwa aswaaa uwezi ukaonyesha seem ya kulala uwezi onesha unyago uwooo
Huyu naye kivulande, eti anasema umenisurprise na waliambiana tutakuja😂😂😂😂😂
Mashaallah mzuri mwenyewe cku zote ukiwa busy na maisha yako utaambiwa unaringa unajickia
MTANGAZAJI HUJUI KUTANGAZA KABISAA.. yaani unakera hadi interview naiona inaboaaa
Ila swalehe upendezi bwana ukivaa hereni
Mtangazaji yuko vizuri
Sasa maisha gani ya hivi??? Yaani mtu anaishi mbali na mwenzie tena nchi za mbali
Nlijua lazima atauliza kula anavyopenda kula
Kwa alama hizo ulitakiwa kua shekh kivurunde
Ila sulesh wee mbea bhana staki
Mashaallah! Kaka very handsome, humble🎉
Nakupenda kivurande
Saleh ukitaka kumuweza mweke mavyakula ata kukuzungusha atapunguza😂😂😂😂
Salehe m
Noma MPa gengeni
Ila saleheeee kwakula ujambo ndugu yangu
Salehe mrohooo😅😅😅iuwiiiiiiii kibokoo
Kumbe kivurande kaka angu nikajua mtani wangu mdigo kumbe mbondei mwenzangu
Tujuane wabondei
Wap Jamila mafishi ...wajina uyo Jamila wa maskati
Salehe na kivulanda mwafanana
😂😂
Mashallah Pambana mdogo wangu salehe naona juhudi zako
Jamani wewe salehe unapenda kula wewe kijana ila pambanaa😂
Huyu salehe sijui salehe chefuuuuuu.. yaanii ni kama anamdharau mwenzie sijui. Yaani not professional kabisaaaaa, hajatulia
Very true, he is not professional wala hajasomea, kaanza kujaribu tu, kuangalia wengine, kuiba ideas na kubuni..wala hajafanya lolote la journalism
Saleh thanks for the show, ask him about his scar on the face is it a birth mark ? Why can't he remove it?
😅😅😅saleh kulakula tu
NIMEPENDA KUA UNAJIELEWA JAPO UNAFANYA UNAO WANAWAKE LKN UNAJIFICHA NDIO HESHIMA KWA KUMJARI MWANAMKE WAKO SIO KM SALEH ANAPATA MWANAMKE AKIWA MBALI YEYE NDIO NAFASI YAKE YA KUJIACHIA STAREHE AZISHI TULIA NA MKEO ALLAH ATAKUONGOZA
Basi ya zunguni raha sio kama yatazania
😂😂😂😂Kuna chakula 😂😂😂ila Saleh 😂😂😂
Mtangazaji huyu vipi, kama amekuja kumkejeli na kumlia vitu vyake, hadi akiondoka kamaliza kula vyote, sijui kaja na njaa
Hana swali la maana
Unapokwenda nyumba ya mtu uwe na adabu, sio umuache hana chakula
Fata kilichokuleta
huyu mwanaume kupika anajua ataoa kweli 😢
Natamani siku moja niende Tanga
Saree yeye ni msungo ndomana hajuwi maana ya msungo 😂
Kivurande kwa hio wanawake wa Tanzania hawajiheshimu au
Mimi no shabiki wako kbsa
Hajazaliwa mwezi wa 5 kweli
Saleh kulakula😂😂😂😂
Bii mwanahela alikuwa wa moto
Salehe unamaliza ubuyu wa mwenzio
JAMANI KAMA MTATUELEWA TUNAOMBA HUU MZIKI MUUONDOE KWENYE MAHOJIANO MAANA TUNASIKIA FUJO TU
Salehe ukienda mahali uko radhi udokoe hata nyama jikon kuliko kutoka bila kula😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😅
Salee anakitendea haki iki kipindi maan nicheke2😂
S upange chumba kimoja ujenge
Saleh mbeA
❤🎉
Usimkaribishe huyu mtangazaji mroho, mtovu wa adabu, anakula kama hajawahi kuviona
😅😅😅😅
Kiburande maana yake mluga yetu ya kirundi kiburandero ni mkosefu wa adabu najina mengine ni atari
Kivurande.sio kiburande
Sasa huyu ni mtz bhn wee 😂😂😂
Saleee 😂mbea wewe
Huyu naye kivulande, eti anasema umenisurprise na waliambiana tutakuja😂😂😂😂😂