UCHAMBUZI SAKATA LA FEISAL SALUM, JE, ANAKWENDA SIMBA AU HAENDI?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 жов 2024
  • Follow us on Social Media Platforms
    Instagram:
    Crown FM - / crownfmtz
    Crown TV - / crowntvtz
    Twitter (X):
    CROWN MEDIA SWAHILI: / crownmediatz
    CROWN MEDIA ENGLISH: / crownmediaen
    Facebook:
    CROWN MEDIA: www.facebook.c...
    TIKTOK:
    www.tiktok.com...
    SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: / @crownmediatz

КОМЕНТАРІ • 426

  • @PhilipoNjalika
    @PhilipoNjalika 3 місяці тому +15

    Crown 👑 for life

  • @mathewbundu235
    @mathewbundu235 3 місяці тому +21

    Kiba alicheza sana kumleta Jeff Lea Crown Media.Ila nilitamani jina la kipindi kiitwe CROWN MICHEZO badala ya CROWN SPORTS

    • @muddyhamza9606
      @muddyhamza9606 3 місяці тому +3

      😂 Sasa michezo si ndo sports 😂😂

    • @nkoydavid9658
      @nkoydavid9658 3 місяці тому

      😂😂😂​@@muddyhamza9606

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 3 місяці тому +3

      MSIGOMBANE BASI KIITWE CROWN RIYADHA 😂😂😂😂😂 YOTE SAWA TU

    • @DismasGeraldi-i2s
      @DismasGeraldi-i2s 3 місяці тому +2

      Michezo ni sports na sports ni michezo kilicho kuchanganya wewe ni lugha tu😅

    • @gblessabell2046
      @gblessabell2046 3 місяці тому

      Unajua unacho kiongea

  • @edwincain849
    @edwincain849 3 місяці тому +31

    Hongera sana crown 👑 media,nawapata vizuri kutoka Tokyo Japan

  • @JamesPhiri-sz5qn
    @JamesPhiri-sz5qn 3 місяці тому +6

    Crown Media nawafata nikiwa Zambia lusaka 👑🇿🇲🇹🇿🇹🇿

  • @AslamNyama
    @AslamNyama 3 місяці тому +13

    Kwa uchambuzi huu smalizi MB kwa media yoyote za ya hapa NYUMBANI mmetisha sana

  • @andrewmagelewanya5124
    @andrewmagelewanya5124 3 місяці тому +18

    Expert wa mambo ya usajili😂

  • @HassanHassan-dk5db
    @HassanHassan-dk5db 3 місяці тому +16

    Crown MPO vizuri Sana kuchambua Mpira big up nakupeni nyota Tano.

  • @fireboyfireboy-ib3of
    @fireboyfireboy-ib3of 2 місяці тому +1

    hiv hiz microphone haziwaumiz maskio mpk mnapomaliz kipnd na kila cku mnazivaa na vip haziwakel

  • @JosephTibu
    @JosephTibu 3 місяці тому +23

    mnatish crown ,mnatembea nakiwanja

    • @directorwizard7310
      @directorwizard7310 3 місяці тому +3

      😅😅😅😅😂😂😂😂 Kaka Hawa Watu Nihatari Sana Wanatembea na Kiwanja 😂😂😂

  • @Khatib-xp6fp
    @Khatib-xp6fp 3 місяці тому +11

    Mm naamin fei anaogopew na yanga na akienda simba yanga wote watamkalie fei mpk mashabiki 😂😂😂

    • @saimonijonas4356
      @saimonijonas4356 2 місяці тому

      Kwani huko aliko Azam Fei hakutani na Yanga? au umeongea bila kujua ulichoongea?

    • @Khatib-xp6fp
      @Khatib-xp6fp 2 місяці тому

      Ikikutana na azam wachezaji viongiz mashabiki wooote machoyao kwa fei🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓

  • @Sampovoice8088
    @Sampovoice8088 3 місяці тому +28

    Mupo vizuri sana

  • @lwengephillip7516
    @lwengephillip7516 3 місяці тому +11

    Mko vizuri sana, mnatakiwa muwe huru msifungamane na upande wowote hata kama mna mapenz yenu binafsi ya timu lakn kazi kwanza.

  • @ElishaMgaya
    @ElishaMgaya 3 місяці тому +9

    Mnajua adi mnjua tena walahe.....Hans wew pepon moja kwa moja through analysis ov footbal events especially in transfer👏

  • @amidubebedou3637
    @amidubebedou3637 3 місяці тому +29

    Crown sports nomaa nawafatilia kutoka Qatar 🇶🇦

    • @WalterJosephat
      @WalterJosephat 3 місяці тому +1

      Kuhusu habari ya fei nakukubali saana hance

  • @Sampovoice8088
    @Sampovoice8088 3 місяці тому +24

    Wa kwanza mm

  • @gadafimuemede2985
    @gadafimuemede2985 3 місяці тому +14

    Nawapata pande 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

    • @shaviercharvinho18
      @shaviercharvinho18 3 місяці тому +1

      Beira nampula maxixe emquilemane montepuez pemba nacala em tete au PAnde zipi

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 3 місяці тому +71

    Hao viongozi wanachuki na Simba huyo cy kiongozi wa Azam ila ametumwa na viongozi wa Yanga. Kwann waseme Fei hatakiwi kujiunga Simba?

    • @anathshabani2952
      @anathshabani2952 3 місяці тому +12

      Kwani kiongozi wa yanga anahusika vipi kwenye administration ya azam

    • @AliyussufMakame-js5dp
      @AliyussufMakame-js5dp 3 місяці тому +4

      Vita vinaendelea bado

    • @salamSalehhhhh
      @salamSalehhhhh 3 місяці тому +3

      Simba tuna vita kubwa Sana tufanyeni maombi ndugu

    • @TheMrisho
      @TheMrisho 3 місяці тому

      @@anathshabani2952kwasababu huyo kiongozi ni wa Azam ila shabiki wa Yanga

    • @ameirzapy1318
      @ameirzapy1318 3 місяці тому +1

      Yanga tenaa 😅,, hivyo vipengele mbona kawaida tu, Kwanza biashara Yanga aliijua mapema kuhusu Fei,, ndio maana Azam wamegoma

  • @sakaraboy8951
    @sakaraboy8951 3 місяці тому +1

    WATANGAZ NDIO MASHABIKI.... 😂😂😂😂😂
    WANAUMIA KINOMA FEI KUBAK AZAM FC.
    FEI AMEKUWA CONTENT SASA HIVI

  • @mangeneralsupplies4910
    @mangeneralsupplies4910 3 місяці тому +19

    Mayele na fei toto inakuaje iyo Simba mpya

    • @onekisstv8412
      @onekisstv8412 3 місяці тому +5

      Ila wewe kichaa Kwa kweli mayele kutoka uko Aje hapa tunaweza kumlipa 82 million Kwa mwezi

    • @AngelmackieCharity
      @AngelmackieCharity 3 місяці тому +2

      ​@@onekisstv8412 kichaa niwew Kwan ww ndo unayelipa hizo pesa😂

    • @onekisstv8412
      @onekisstv8412 3 місяці тому

      @@AngelmackieCharity Ngoja tuone

    • @kigodolotv
      @kigodolotv 2 місяці тому

      😂​@@onekisstv8412

    • @RamadhaniKombo-l7w
      @RamadhaniKombo-l7w 2 місяці тому

      Ex

  • @georgenomaawejamaa4472
    @georgenomaawejamaa4472 3 місяці тому +3

    Habar sahih kutoka CLOWN 👑Spots / wanasimba tupunguze weng huu mwaka miwetu 👏👏

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 3 місяці тому +24

    HANSI UPO SAWA HUWA UNAONGEA UKWELI

  • @MuhidinMohamedi
    @MuhidinMohamedi 2 місяці тому +1

    Na bado mtaona mengi kwa huyu jomba ni hatar coz hakurupuki ni mtu mmwenye mtazamo wa tofaut

  • @cosmasthomas9164
    @cosmasthomas9164 3 місяці тому +2

    Upepo wa chama umeshazimwa!signing za Simba siyo za kitoto.chama alipata jina wakati alipokuwa Simba,Simba ni zaidi ya chama

  • @SalumuAlly-d9q
    @SalumuAlly-d9q 2 місяці тому +1

    Ivi studio iyo ni ya nani watanzania wenzangu nikiwa London KY jamani naombeni mniambie mbona sijawahi kuiona nimetoka tanzania juzi tu 2023 oh hongera tunawapa mimi na mtoto wangu

  • @AllyAcudo
    @AllyAcudo 3 місяці тому +6

    Simba tunawezankulipa hata dola laki 6

  • @QareemAlly
    @QareemAlly 2 місяці тому

    Yoooooh King kiba Big up xana umetisha wangu hii ndo crown kiba hawakuwezi tena!!!.

  • @omaryrazalo4302
    @omaryrazalo4302 3 місяці тому +4

    Crown Media hapa ni nyumban you're welcome Beg up to the King kiba sio redio ya familia hii hapa ni nyumban

  • @ibrahimsalim7247
    @ibrahimsalim7247 3 місяці тому +12

    Hapa ni nyumbani

  • @asifreds8787
    @asifreds8787 3 місяці тому +18

    atlest hawa wanajua kufatia ishu za mpra big up brothers

  • @MuhidinMohamedi
    @MuhidinMohamedi 2 місяці тому +1

    Kiba is King Ivo ni kitu Cha kawaida kwake huyu mwamba

  • @TatuLumola
    @TatuLumola 2 місяці тому +1

    Tunawapata na tunawaelewa Sana mmetisha safi

  • @kingofdecember
    @kingofdecember 2 місяці тому +1

    Hii ndio redio yangu ...hapa ni nyumbani

  • @goodluckbenson5869
    @goodluckbenson5869 3 місяці тому +2

    Wamuuze nje then wamrudishe Simba ndani ya dirisha moja hili hili kwani haiwezekani kumuza mchezaji mara 2 ndani ya dirisha moja

  • @Djhansmonstertss
    @Djhansmonstertss 3 місяці тому +9

    Crown Media mpo vizuri san

  • @chidimsafi1279
    @chidimsafi1279 3 місяці тому +8

    Hansi unajuaa Sanaa mpakaa anakeraa

    • @malimoya
      @malimoya 3 місяці тому

      Jamaa anajua uchambuzii mpaka anaboa yaaaan😂😂

  • @simaoguambe3295
    @simaoguambe3295 3 місяці тому +5

    Safi 👉 sana kutoka Moçambique

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 3 місяці тому +4

    TATIZO LA MABEKI WA SIMBA WANAHAMA WOTE KWENYE LANGO LAO. NI WAZITO KURUDI KUKABA HADI WANAFUNGWA. KUENIMAKI I KWENYE LANGO LENU

    • @kenyzach9124
      @kenyzach9124 3 місяці тому

      😂😂😂 nimecheka. wanahama wanafata mpira unapoenda

  • @sidesidekhamiss-uv6kn
    @sidesidekhamiss-uv6kn 3 місяці тому +16

    Napenda sana

    • @twahakabajemi9716
      @twahakabajemi9716 3 місяці тому

      Habari za uongo msemaji wa Azam kaisha kanusha hamsikii

  • @MarryStephano-p5g
    @MarryStephano-p5g Місяць тому +1

    Fei lazma tutaishi nae Simba 👍👍👍

  • @JamesSamweli-y6m
    @JamesSamweli-y6m 3 місяці тому +8

    Kaka ansi mnajua kuchbuaaa

  • @thabitisimba1143
    @thabitisimba1143 3 місяці тому +1

    Hakuna kingine zaidi ya chuki

  • @BinshakbuHemed-gb2zi
    @BinshakbuHemed-gb2zi 3 місяці тому +1

    Mie. Mnaona. Bora. Sjmba. Itafute. Ata. Vyombo. Vyahabarivyao. Mnaiskma. Simba. Kma. Mabwanazemu. Nyie. Mashuwen. Kwel

  • @ngomasniper4949
    @ngomasniper4949 3 місяці тому +15

    Leo mmeongea sana na huyo
    Jamaaa ameipanga tamu vizuri sanaaaa viongozi wafanye uhakika

  • @bbanyikwa
    @bbanyikwa 3 місяці тому +4

    Simba wakimsaini Fei Lazima Yanga wafaidike na Bilioni Moja
    Hayo ndiyo matakwa ya mkataba Wa fei kutoka Yanga kwenda Azam😂

  • @godfreyyaya816
    @godfreyyaya816 3 місяці тому +5

    Crown sports mnajuwaaaa sanah kuliko mfano

  • @alfredingogo604
    @alfredingogo604 2 місяці тому +1

    Muda wa michezo ni sagapi

  • @JumaBonye-j8f
    @JumaBonye-j8f 2 місяці тому

    JUMA BONYE kutoka VIKINDU Kaka Hans Feii TOTO Awezi KUCHEZA KOMBE LA LUDHA

  • @BinshakbuHemed-gb2zi
    @BinshakbuHemed-gb2zi 3 місяці тому +1

    Mie. Mnaona. Bora. Sjmba. Itafute. Ata. Vyombo. Vyahabarivyao. Mnaiskma. Simba. Kma. Mabwanazemu. Nyie. Mashuwen. Kwel

  • @Bandugu-b5p
    @Bandugu-b5p 3 місяці тому +5

    Huyu Hans anajua boli

  • @OmanOman-gu1wy
    @OmanOman-gu1wy 3 місяці тому +2

    Waongo t nawivu wanao kwann kiongoz asikubali fei asiend smb kiukweli nafurah san fei kuchez simb

  • @benardhezron5191
    @benardhezron5191 3 місяці тому +25

    Mko vizuri mpaka mnaboa. Hatari tupu, pure football analyses.❤❤❤

  • @charleslulandalah9785
    @charleslulandalah9785 3 місяці тому +8

    Na mm nipo jmn😂😂😂😂

  • @JumaBonye-j8f
    @JumaBonye-j8f 2 місяці тому

    Juma bonye kutoka VIKINDU 2p0 pamojA KAKA HANS YOU THE BEST

  • @leonardlunguya7112
    @leonardlunguya7112 2 місяці тому

    Kuna wachezaji wengi sana wazuri.Simba waachane na Fei Toto watafute mchezaji sehemu nyingine tofauti na Fei,hizo bil.1.3 wakauze huko

  • @MushuRwega-qp4zm
    @MushuRwega-qp4zm 3 місяці тому

    Huyu dogo ushabiki unamzidi. Eti akiuzwa kwenda Simba kutoka Azam Yanga wanapaswa kulipwa 1b. Uliwahi kuona wapi? Halafu eti anajiita expert wa masuala ya usajili. Duuh!

  • @JosephTibu
    @JosephTibu 3 місяці тому +15

    SIMBA NGUVU MOJA

  • @bakarimakalo7128
    @bakarimakalo7128 2 місяці тому

    Simba imesajili wachezaji wengi wazuri sana. Watasahau Chama na Fei Toto na hata Kibi Denis. Vyuma vilivyopo vinatosha sana.

  • @MarthaMlemeta-cm3xk
    @MarthaMlemeta-cm3xk 3 місяці тому +3

    Siasa za mpira. Simba kwa nn hawaipendi na ndio timu iliyoonyesha njia kwa mpira wa Tanzania. Itafikia tu mafanikio yake.

  • @Giaraa
    @Giaraa 3 місяці тому +1

    Hamna kipenge cha hivyo eti ukimuuza Simba, Yanga alipwe 1B😂😂

  • @elizabetPaul
    @elizabetPaul 3 місяці тому

    Aacheni kuongea uongo wapumbavu nyie ndio maana umefukuzwa wasafi...mbwaa nyie aacheni kuaharibu watu kisaikologia

  • @salimobeid1470
    @salimobeid1470 3 місяці тому +1

    Nilichokiona kuna tofauti kjbwa kwenye uchambuzi crown mmetulka sana sio makelele na mazogo kama media nyengine nyingi kwenye uchambuzi wao

  • @lameckgideon8188
    @lameckgideon8188 2 місяці тому

    Kipindi kizuri fanye mpango mpatikane kweny ving'amuz vya Azam Ili tuwapate

  • @nkoydavid9658
    @nkoydavid9658 3 місяці тому

    Huo mfumo wa kijinga aliuleta Robertinho na ubrazil wake..hao watu hawawekezagi kwenye ulinzi sana .. ni kupeleka moto tu

  • @LucianaJoachim
    @LucianaJoachim 2 місяці тому

    Tufikishie ujumbe mgunda asaidiane na huyo kocha maana anajua mpira wetu, timu zimejipanga maadii ni wengi chondechondea kama mlivyosema wachezaji wazuri lakini je kocha

  • @wavinonoclassic1274
    @wavinonoclassic1274 3 місяці тому +3

    simba pia isisahau kusajir beki na kiugo mkabaji hpo ili yasiwe yaleyale

  • @hustler8395
    @hustler8395 2 місяці тому

    Jamn mbona sielewa fei si walichangiwa ili kuvunja mkataba yanga? Uo mkataba wa yanga kwenda azamu yenye hicho kipengele ulitoka wap

  • @ALLIHosseni-vz5up
    @ALLIHosseni-vz5up 3 місяці тому

    bruoh's and c*s hapo grown mnatisha hao jamaa wawil g.lea na mwenzie nilikuwa nawachki tangu wapo tvE

  • @HospiaceMata
    @HospiaceMata 3 місяці тому

    Viongozi wafanye chochote kumpata fei toto ataongezeza kitu pale simba

  • @MohamediBinabdi
    @MohamediBinabdi 3 місяці тому +1

    Hii ndo media ya kueleweka sasa sio hizo za kuchambua kishabiki😢

  • @PrinceJeremia-t3o
    @PrinceJeremia-t3o 2 місяці тому +1

    Mko vizur

  • @geraldtulugenda4117
    @geraldtulugenda4117 3 місяці тому

    Kwahiyo nafasi ya akina Chasambi, mzamiru, ngoma, kibu haipo tena? Maana naona kinapangwa kikosi kipya chote

  • @LucianaJoachim
    @LucianaJoachim 2 місяці тому

    Hans unatukosea chama yake yamepita inamaana hatuwezi kusajiri mpaka upepo wa chama aaa hans punguzeni zalau zalarau, chama aliamua muda mrefu kuwa msariti wa pesa za injinia ,ndicho kimponza mbona hamsemi kwa kuwa nyie yanga hans, na mkija kutusifia kwa umafiki tutawachamba kama mmetoka kunya mavi,

  • @Sesakwaukweli3
    @Sesakwaukweli3 2 місяці тому

    Jaman tunaomba Na kisiwani Pemba tuipate hii radio maana radio nyingi zinaishia Unguja tu kuskilikana huku Pemba tunahitaji pia

  • @MwalimuAdamu
    @MwalimuAdamu 3 місяці тому +1

    Anakuja fei mzigo upo tunakimbiza mwizi kimya kimya simba nguvu moja

  • @lonesomekabora5547
    @lonesomekabora5547 3 місяці тому

    Hapo swala la kwenda au kubaki linategemea pia mchezaji kama mchezaji kaonyesha nia ya kutoka Azam wakimbakisha km anataka kutoka anaweza asi perform

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 2 місяці тому +1

    Iyo ngum

  • @InnocentMashauri-l6y
    @InnocentMashauri-l6y 3 місяці тому +4

    vzr

  • @longinuskomba9887
    @longinuskomba9887 2 місяці тому

    Unachambua wachezaji tusiowahi kuwaona 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂..! Bongo raha sana

  • @SebastianMahendeka
    @SebastianMahendeka 3 місяці тому

    Boss tunaomb tumsajir Feisal simb ilud kwenye fom yake

  • @MelkioryDigha-ry8nu
    @MelkioryDigha-ry8nu 2 місяці тому

    Kipindi Cha michezo Huwa sangap crown FM?

  • @halimalachpat1927
    @halimalachpat1927 2 місяці тому

    Hizo ni chuki binafsi za young kama fedha inatolew vp ss wanambania tena

  • @barakamalemi
    @barakamalemi 3 місяці тому +3

    Nimekubari kazi nzuri I respect you guys

  • @AdaBoyzzy
    @AdaBoyzzy 3 місяці тому

    Hapo studioni majina ya wachambuz nitajieni mbona Kama walikuwa wasafi

  • @jumannemsengi2195
    @jumannemsengi2195 3 місяці тому

    Ila ikumbukwa akienda SIMBA lazima walipe Bilioni 1 ndio mkataba

  • @MohammedJaizan-yf5yt
    @MohammedJaizan-yf5yt 3 місяці тому +1

    Kipengele gani hicho Cha bilioni Moja kwa mchezaji ambaye ushamnunuwa? Hili shoga huwa hbr zake sio kweli .
    Huyu hawezi akaisungumzia Simba kwa mazuri manake basha wake anae mlea yupo utopolo

    • @AbubakariRamadhani-fj8ff
      @AbubakariRamadhani-fj8ff 3 місяці тому

      Mohammed ww ni mtoto wa kiislam matus ya nn

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 3 місяці тому

      ​​@@AbubakariRamadhani-fj8ffSASA KAMA ANA BASHA LAKE HUKO MATOPOLO MACHOGO FC ASISEME???

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 3 місяці тому +1

      TUAMBIE BRO KATIKA HAO SENGE GANI HILO TUPATE KUMJUWA 😂😂😂😂

  • @shanelmbunga1301
    @shanelmbunga1301 3 місяці тому +2

    Mnavotamka neno chama mnaharibu media

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 3 місяці тому +1

    We hans huna jipya unamtafutia crown wasikilizaji tu ila hakuna kitu kama hicho. Hizo habari umezitoa wapi kama sio kwa Momo? Mnabumba habari mwisho wa siku mtakuwa kama udaku tu

  • @IbrahimPetroMollel
    @IbrahimPetroMollel 3 місяці тому +4

    Habar za hapo studio simba wamesajili wangapi

  • @AbrahmaniIbrahim
    @AbrahmaniIbrahim Місяць тому

    Uchambuzi wa crown sports unafanyika muda gn

  • @AlexGwambie-xr2hm
    @AlexGwambie-xr2hm 3 місяці тому

    Baraaa linakwenda kutokea msimu ujao Kwa Wana lunyans tutulie mna yajao yanafrahisha

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 3 місяці тому

    ZA NDAAAAANI WASIO IPENDA SIMBA NI MATOTO YA HARAMU HAYO 😂😂😂😂😂😂😂 MACHOGOOOOOOOOO

  • @AmaniRamadhani-rw8jp
    @AmaniRamadhani-rw8jp 2 місяці тому +1

    Tuko pamoja ❤❤❤

  • @johnstonemasabile4620
    @johnstonemasabile4620 3 місяці тому +1

    Haipo Sheria ya namna ya kumfunga mchezaji asiende timu anayooo takaaa

  • @EmanuelSangija
    @EmanuelSangija 3 місяці тому +1

    Uto tu wanasababisha

  • @roberttagaya9098
    @roberttagaya9098 3 місяці тому

    Huyo kiongozi ni Popat tu wala sio mwingine. Kwani huyu ndio anavi nasaba na Yanga.

  • @BoniphanceChitulo
    @BoniphanceChitulo 3 місяці тому +2

    Fei toto lazm aje Simba

  • @thadeylyimo9772
    @thadeylyimo9772 3 місяці тому

    Hiyo ni ngumu... Fei haeindi Simba.. labda alimaliza mkataba..

  • @JechaMakameIssa-gs2bl
    @JechaMakameIssa-gs2bl 3 місяці тому

    jamaa kachangamka huku na kujipa ma vyeo 😢😢😢😢 kule mbona alikuwa mnyonge sana

  • @SostenesyMngongo
    @SostenesyMngongo 2 місяці тому

    Msemaji wa simba ni tapeli halafu ni mwongo kwa kifupi hakuna mayele wa fei toto

  • @tubonemahalack7505
    @tubonemahalack7505 2 місяці тому +3

    Crown media hapa ni nyumbani mko vizuri ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤