Hongera sana mnatoaa sana funzo kwa vijana wakitanzaniaa the way yakuitunzaa furahaa pale anapoipataaa na wanawakee mjaribu kuwa na huruma na wanaumee b'se tunayapitiaaa mambo mengi wakati wa utafutajii kwa mnao pendanaa pendanenii sana na mapenzi hayaishii kwasababu yakucheet Ana no mnaaachanaa baaada ya mioyoo yenu kuchokana!!.😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Dah yani haea mafemu ndo wanavotufanyia hv yani unampa pesa kwa ajil ya kumsaidia kumbe ni mnaafiki anaenda kumpa danga dah,,,wanaokereketwa km mim na hii hali gonga like ❤❤ hapq
Hongereni xana kelvin najua mwanaume akipenda amependa yupo tayari kwa lolote pia kwa vumilivu kutoa hela hali umesikia kila kitu ila Mungu anamwona Mariam kwa dhambi zake.Nachukia xana wanaume wasiopenda kujishughulisha na kupenda kulelewa na wanawake.
Uyu mariam niatari wanaume chungeni sana Yaan anawes kuomba pesa wa mwanaume mingin ampatie mwanaume mingin dunia hii imebadilika wanawake wanaong a wanaume
Aseeee na Bora umekuwa jina la mariamu😂😂😂😂😂 umetisha mariamu 😂😂😂 badilika wenye tabia Kama ya mariamu badilikeni😂😂😂😂 pole Sana kelvini jamani unae mpenda nae kampenda mwingine❤❤❤❤
Mwamba Anapambana kuungua na jua kisa mschana kumbe mschana mwenyewe kipusa angalia huyu Mpuhuz anaongopa mama anaumwa kumbe kuna boya na midevu yake linaudumiwa
Kevi hayo yapo hata Mimi yami niku ta nampenzi namhidu mia kila kitu hadi kodi namlipia rakini yaliyo nikuta makubwa kumbe mpenzi wangu ana toka na rafiki yangu ina uma sana pole Sana umecheza vizuri
Daaah kiukwel jamaa unaweza san mungu akubaliki utafika mbali sana, unajua kuandika story, imenigusa sana adi moyoni👏👏👏👏, me nakupa 🌺🌺🥀🌹💐💐 yako kaka, me ni funny wako.
ua-cam.com/video/2D7qNJwlenk/v-deo.htmlsi=8hg05b8azPzwuW_8
LEO IMETOKA SERIES YETU MPYA YA MAPENZI INAITWA - VAMPIRE LOVE ❤ bonyeza link kuitizama
Movie tingisha
nakukubali sana kelvin na team yako mnatoa mafunzo mazur
Q😊
Q😊q
You kill it my bro kev🔥🔥🔥
Mariam tafadhal bona unafanyia Kelvin, nawe nelly hiyo tabia ya kulelewa na mke congratulations Sana kutoka Kenya ❤❤❤❤❤❤❤
Msanii wangu kelvin!! Pole sana kaka!! Fun wako wa kids kupona kutoka Kenya 🇰🇪 like ZA kelvin!!
Hongera sana mnatoaa sana funzo kwa vijana wakitanzaniaa the way yakuitunzaa furahaa pale anapoipataaa na wanawakee mjaribu kuwa na huruma na wanaumee b'se tunayapitiaaa mambo mengi wakati wa utafutajii kwa mnao pendanaa pendanenii sana na mapenzi hayaishii kwasababu yakucheet Ana no mnaaachanaa baaada ya mioyoo yenu kuchokana!!.😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Mapezinzi sio pesa mapenzi ni hisia kelveni pole sana love you DONTA TV family ❤
Donta tv mnanifanya kama chizi kwenye jalala yan mda ote nachungulia mmetupia kitu gan....kaz nzuri kwakwel hongeren
Nimejifunza kitu hpa asante sana Kelvin❤❤❤❤
Iyi kali kabisa tunaipokeya kwa furaha natena tunafurai kwamana minutes ambayo metupa imeturizisha myoyo yetu❤❤❤❤❤one love one access
Sawa j5 inaendelea
😂😂
Good work Kelvin we love you so much 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Good job team Kevin much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
19:43 dauhgo Tfjkm
😢😢😢🎉😊
Dah yani haea mafemu ndo wanavotufanyia hv yani unampa pesa kwa ajil ya kumsaidia kumbe ni mnaafiki anaenda kumpa danga dah,,,wanaokereketwa km mim na hii hali gonga like ❤❤ hapq
Waaa pole Kelvin kma maisha iko hvo na Mariam mungu akuongose,juu Mariam anakuchit,
Pia nawakubali xana movie zenu zinamafundisho mnooo ❤❤❤🎉🎉🎉
Asante sana
Background music ni wimbo wa Nani Kelvin namanisha artist
Pia mm natamani kujua artist wa huu wimbo @@paschallameck4372
Hongereni xana kelvin najua mwanaume akipenda amependa yupo tayari kwa lolote pia kwa vumilivu kutoa hela hali umesikia kila kitu ila Mungu anamwona Mariam kwa dhambi zake.Nachukia xana wanaume wasiopenda kujishughulisha na kupenda kulelewa na wanawake.
Asante sana
Use the edit icon to pin, add or delete clips.
Nakukumbali kelvin wewe ni kaa mentor kwangu manake nimejifunza mengi kutoka Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Asante sana
Merci sana kaka kevrin mungu akubariki❤@@Dontatv255
Kelvin njooo huku mariam anakuchiti mariam sio poa jamanai kelvin polee i love you kelvin from Kenya 🇰🇪❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Hongera sana ila mimi huchukia wanaume wakupenda kulelewa kweli😢😢😢
Japo2 wanaigiza lakini me mwenyewe najisikiya vibaya
@@starnnystivini164 kabsa😏
@@starnnystivini164 sio to maigizo aya yapo sana kwenye jamii
shukran sana blaza
vip kuusu hiopart yamwisho vizuri kama ungekaatu bila kuimba ndo ungekua mwonekano mzuri kwamba unaumia
Hyo part mliompea Victoria ilikuwa mmpee Loveness au Tina ingekuwa powa but piaaa... Mmetisha good job.
Thank you
Kelvin na loveness mnaendana sana 🤗🤗
Tazani waowane live 😂
Daaaaah
Awa viumbe wakuitwa wanawake awasaminik kabisa
Ndiomana kwangu staki kukulupuka kuoa au kujiingizia kwenye mausiano
Aty ..haitambui Mambo yako hayapi kipa umbele wee ni yupi dume surwali ..wewe much love Kelvin ❤❤❤❤Bigup my G 🔥
Mhhhhhh
Good job team Kevin much love from burundi
Mapenzi bwana aixe niuchizi kweli bro polesana umepitia mengi xana ❤❤
Good job Kelvin much love from Burundi ❤❤❤
Asante sana
Aaaaaa true story jamani wanawake mungu anatuona vilevile waume kama hao pia wapo 😢😢mungu niepushe na waume kama hao 🙏🏻🙏🏻
😭😭😭
Naitwa anastazia nipo dar mhhh!!! Huyu mdada hana at a aibu
Yaani ww mwanaume km unamapenzi ya kweli km hivyo unavo ekti bs upo vizur sana dah na mm pia nahitaj mwanaume km ww❤❤zanzibar
mapnzi ya kibongo utumwa penda uwee chuma ulete...baaadae ujue uwee mlinzi..wachache wanaotambua samani ya upendo...❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Congratulations kelvin with ur group
Jaman Kelvin I love you ❤unajua Sana
Jaman mbona nzuli nakupenda kelvin ❤❤❤❤❤
😂
Tuna hamu jameni tunachoka kusubiri sehemu ya 2 mweshimiwa dondosha mzigo tafazali 💐💯🌹🇿🇲👁️💯🌷
Inakuja soon j5 inatoka sehemu ya pili
@@Dontatv255kote uko mbona mbali sana
Team Kelvin much love from kenya❤
Wa kwanza kabisa leo 😂😂😂😂 duhh mpaka naonekana sina kazi
❤️🙏
@@Dontatv255❤ Nawakubali sana chama langu Donta tv 🤜
@@Dontatv255naomba tuonane kesho
1:06 @@Dontatv255LM kßi8❤
Na unavyojua kulia viky😂....Nawapenda sana from Kenya❤
Lijana ume hovyo lakupenda kulelewa na mwaña mke😢😢😢😢😢
😂😂😂😂😂na ndo ambao wamebaki dunia ya kisasa 😢😢😢😢yaan nimejikuta macho yananitoka wallah
😂😂😂😂 hlo janamke sasa lilivyo linamsumbua kelvin wetu
❤❤kelvin nakupenda sana kwa kazi nzuri pongezi much love from kenya
Asante sana
@@Dontatv255 karibu
Kazi nzuri sana jamani mb zangu zinaisha kwaajili yangu
Kaka we noma mungu akuzidishie maisha malefu unatoa elimu kwa wanaweke nzuri
If u Don't love the man, respect is work and money
Kelven nikweli mapenz ni uchizi ht mm niliwahi kuwa zaid ya hivo nilimpenda mwanaume ila yy alikuwa anampenda mwengine ahaaa ila mung ndie hakim
Pole
Wanawake tutafika mbinguni tumechoka sana 😅😅😅
Hayo sio mapenzi ni ujinga
Ok
😊😊
Aisee Iko funzo kubwa ya maana love from kinshansa- Congo 🇨🇩
Mnaendana sana kelvin na loveness
Much love team Kelvin watching from saudi
Waaah kama mapenzi yanauma hivi shikamooo 😢😢
😢😢 ujiga wamapesi apana siwesi saudia Arabia tune from kenya
😂😂😂🤣🤣 Mambo ya kupika kubusi ni magum
Kevin naomba unambie mwenye aliimba hiyo nyimbo nmeipenda sana
Hama q - hapo mwanzo
Uyu mariam niatari wanaume chungeni sana Yaan anawes kuomba pesa wa mwanaume mingin ampatie mwanaume mingin dunia hii imebadilika wanawake wanaong a wanaume
Kabisa 😭😭
Victoria wacha unafiki mbona unashobo namna iyo surely,wanawake hawabebeki kwel 😢❤
Haiko victoria wetu. Ni Mariam
Mazoea bwanaee
@@GraceVISAMAYANI-gj1xm🤣🤣🤣🤣
Mapenzi ety wanawake akie wah ...Thanks Kelvin for your love...from Kenya
Thanks
Wimbo mzuriii jamani,nmeupenda
Kaimba nani
Nimefika jamani, much love ❤❤ from 🇰🇪
Waaah njoon Uku Victoria kaanza ukora haa imeweza banaaa❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂jaman
@@VictoriaMwigani umeanza tabia mbaya ww😂😂😂😂😂😂😂😂 kitakuramba
Munayuwa sna ❤ kabisa.
Aseeee na Bora umekuwa jina la mariamu😂😂😂😂😂 umetisha mariamu 😂😂😂 badilika wenye tabia Kama ya mariamu badilikeni😂😂😂😂 pole Sana kelvini jamani unae mpenda nae kampenda mwingine❤❤❤❤
Kazi zuri hii nayo imenipea funzo❤
Kelvin umerogwa nn
Nawapenda sana niko Burundi 🇧🇮
Kelvin nyimbo ❤❤mashallh
Asanten sana kwa movie nzuri yenye mafunzo mungu awabariki🙏🙏🙏💯💯💯🔥🔥🎉🎉🎉🎉👍
Asante sana
Safi sana Mnaongoza🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Much love broo
Uwii wapenzi daah viki njooni muone haya anayo yafanya viki..pole kijana wa mwenyewe uzuri umempa hela,,hata mimi n wa kwanza😂😂🏃🏃😂😂
Aki wanawake tuhumie wanaume waaaah wanapitia kwa kazi gumu 😂😂😂😂
Mwanaume gan huyu ww unavaa heren na yy anavaa heren vip tn unamujonga unatuzalilisha wanawake wenzako
Hata mm cjachelewa ❤❤❤ Ongeren DONTA TV pamoja 🎉🎉🎉🎉
🙌🙌
Mariam hii sio poa Kwakweli 😢😢😢😢 Wanawake wajifunze kupitia wewe waone kwajisi yanavio uma😢😢😢 ila pôle sana Kevin😢😢
Kweli Wanawake mnatuumiza sana😢😢😢😢
Waooh kazi nzuri Kelvin part 2 nasubiri mm yani 💟💟
Sawa inakuja
@@Dontatv255 inakua
Napenda kazi zenu big up donta tv🎉🎉🎉
Sawa Asante
Mwamba
Anapambana kuungua na jua kisa mschana kumbe mschana mwenyewe kipusa angalia huyu
Mpuhuz anaongopa mama anaumwa kumbe kuna boya na midevu yake linaudumiwa
Kaz nzur kaka
nimejifunza kitu kwa hii move may God bless you guys munao watch hii move musitoke pure jifunzeni kitu jamani sana sana ss wana wake 😢😢😢
Mwanaume akipenda anapenda sana na anakuwa yupo tayari kwa lolote ila sisi wanawake ndio tunazingua sana
Hiyo kwel mdogo wangu
Umenens
Umenena
Kabisa yn
Uhakika
❤❤ nikweri nibola ukampenda mwanaume masikini Kuliko mwanaume tajil
Kelvin uko vizur mwanangu kaz zako nazielewa sana
Kaka akika wew nimpambanaji mung akutienguvu
Kutoka Burundi Guys ❤❤❤
I Love You Very Much ❤❤❤
Thanks
@@Dontatv255nakupenda
Vick Leo huna akili kabisa Yan yy mwenyewe n maskini alafu ww wachukua pesa ukampe mwanaume mwingine kwel huna huruma ww
Good job team kelvn much love from keny❤❤
Asante sana
Kelvin labda kwakuwa ni move unatufundisha kitu ila isingekuwa ivyo wewe ningekuona boya sana mm apo unipati ngoo kama mapenzi basi
Jamani huyo mariam natamani awe mdgo wangu nimpge😢😢😢
Naeza mpiga hadi anipende aache ujinga
😂😂😂😂 mpige nitakusaidia Tena niletee huku Mozambique 😅
❤si wewe kevoh najikaza hapa Saudia natumia mpenzi wangu msaada kumbe anapea demu mwingine nioshe Choo 😭😭
Good work 🔥❤
Thanks 🔥
Sisi wanawake jamaniiii tumuogope mungu jamani watoto wa watu wanapambana sana juu yetu tuwe tunarizika jamani
😂😂Nahamia Tz pia mimi kama wanaume wanalipwa na wanawake😊😊kutoka 🇰🇪 🇰🇪
Daah good job nawapenda❤
Tunajifunza lakini ndugu zangu
This is reality my friend
Pongez kwenu wanaa donta ila Nelly acha kulelewa na mwanamke 😢😢😢😢😢😢
Mshukuru mungu umesikia kabla hujampa hela,pia hongera sana kevin muvi zako zinzfundisha sana
Wahooooo ,kazi nzuri
Huo ukurasa nouma, Bora uenjoy kaka, Mungu analijua Hilo na wakati sahihî ukifika Mungu huonyesha njia. Amini kwamba
Asante tumejifunza❤❤❤
Yalinikuta aya ila yakapita na saiv nimeforget kila kimoja big shur out kwa sir god
jaman alivo fanya mariam siovema
😮😮
Yaani mwana wana wake nikama mdaktari hatakama unaumwa lazima wakuombe pesa😂😂
😂😂😂😂😂😂 hiyo ni kweli kwa sababu wana wake tuwesi kujitekemea
Poapoa tuko pamoja❤❤❤❤❤
Kevi hayo yapo hata Mimi yami niku ta nampenzi namhidu mia kila kitu hadi kodi namlipia rakini yaliyo nikuta makubwa kumbe mpenzi wangu ana toka na rafiki yangu ina uma sana pole Sana umecheza vizuri
Kelvin você é muito forte😢😢😢😢😢😢
Aiseee I feel that pain pole sana Kelvin yanamwisho hayo mnajua sana kuplay
Good work❤
Pole sana my brother Kevin wanawake wabaya Your biggest fun from kenya
0:32 after upload mapema do best
❤️🙌
Daaah kiukwel jamaa unaweza san mungu akubaliki utafika mbali sana, unajua kuandika story, imenigusa sana adi moyoni👏👏👏👏, me nakupa 🌺🌺🥀🌹💐💐 yako kaka, me ni funny wako.