Makosa Makubwa ambayo Wabongo huyafanya wanapotaka kuhamia Marekani, EBM atoboa siri 3 muhimu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 гру 2023
  • Pakua Application ya Upawa ili ujifunze jinsi ya kupika vyakula mbalimbali na kusoma makala muhimu za chakula na lishe
    play.google.com/store/apps/de...

КОМЕНТАРІ • 73

  • @kuruthumhamza5161
    @kuruthumhamza5161 7 місяців тому +5

    Kwa iyo muelimishaj anatufokea au anatwambia😢but i love him thoo

  • @mohamedismail2662
    @mohamedismail2662 7 місяців тому

    100% true EBM namuelewaga sana
    kuna namna nchi yetu inaleta siasa kwenye mambo ya msingi sana ili la rahia pacha hata Tundu Lisu analiongelea sana

  • @muksinimbaruku1233
    @muksinimbaruku1233 7 місяців тому +6

    Huyu jamaa anaonekana ana facts nyingi sana lakini shida sio mzungumzaji mzuri, hawez kuelezea vzr

    • @godwinarnold5344
      @godwinarnold5344 7 місяців тому +2

      Jamaa hajuagi kupangilia maneno alafu anapenda kuchekacheka sana

    • @frocoissango8973
      @frocoissango8973 7 місяців тому +1

      Kila mtu anahahina yake yakuhogea usijaji kuhusu kuhogea kwake usije kusahisha mungu wewe unahina yako yakusema unataka watu hote wahogee kama wewe?

    • @maximusalnono6425
      @maximusalnono6425 7 місяців тому

      That’s true

    • @maximusalnono6425
      @maximusalnono6425 7 місяців тому

      @@frocoissango8973wewe hujui kuandika wala kuzungumza ndo mana huoni tofauti uzungumzaji pia unahitaji taaluma na huyu jamaa hana taaluma ya uzungumzaji

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 7 місяців тому

      ​@@godwinarnold5344
      😅😅

  • @gerttorstin4577
    @gerttorstin4577 7 місяців тому +2

    He's telling the truth about Kenya 🇰🇪 diaspora community.

  • @rosengandile129
    @rosengandile129 7 місяців тому +3

    Sns nawakubali sana kwa kazi nzuri mnayofaya nawafatiia sana from uk

  • @salama1113
    @salama1113 7 місяців тому +3

    Leo mtangazaji umeingia kwenye mtumbwi wa kibwengo jamaa muwazi sana hatafuni maneno😂😂😂😂😂

  • @MK-mz8bz
    @MK-mz8bz 7 місяців тому +3

    Huyo kalewa ukitaka kuja hizi nchi kama mwanafunzi unatakiwa uwe na bank statement iliyo hai ya dola zaidi ya elfu 45.na kama unayo kinakuleta nn huku? Kwani huku hakuna maajabu yoyote.masikini yaani kama wote wapo huku.

    • @chengeson
      @chengeson 7 місяців тому

      Kamati ya roho mbaya uraya nikwenu ludi bongo sasa nini kili kupeleka

    • @EBMSWAHILI
      @EBMSWAHILI 7 місяців тому

      Unakuja na bank statement kama unakuja kwa kujilipia. Kama unakuja kwa full scholarships huhitaji kuwa na bank statement. Mimi nilikuja na full scholarships. Mbili, hata kama unakuja kujilipia, watu hawatumii bank statements zao, mfano mtu anaweza kutumia bank statement ya mzazi au ndugu anasema ndio anamlipia. Na hapo unaposema bank statement ya dola 45,000 unakuja kusoma chuo gani? Maana kuna public universities nyingi bank statement ya dola 15,000 hadi 22,000 tu. Na kama umenisikiliza vizuri nimetolea mfano kama mtu unataka kujilipia kwanini usiende mfano Germany hakuna ada, maana yake bank statement yake ni dola 12,000 tu kwa ajili ya living expenses. Ni vyema kusikiliza vizuri na sio ku-assume

  • @ramamabinda5063
    @ramamabinda5063 7 місяців тому +2

    😂😂😂 huyu mwamba ni hatari sana, kanyooka sana kiukweli

  • @gerttorstin4577
    @gerttorstin4577 7 місяців тому +1

    He's telling the truth about volunteering opportunities.

  • @gnaivasha
    @gnaivasha 7 місяців тому +1

    Safi, EBM amenyooka👏👏👏👏👏

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 7 місяців тому +2

    JAMAA ANACHEKESHA JWELI HAPA HAPO ANAFUHISJA KUELIMISHA SANA

  • @gerttorstin4577
    @gerttorstin4577 7 місяців тому +2

    Challenge ya Germany 🇩🇪 ni lugha. Tatizo kubwa.

  • @gerttorstin4577
    @gerttorstin4577 7 місяців тому +1

    Watching from Kenya.

  • @user-en1uq1eg6h
    @user-en1uq1eg6h 7 місяців тому

    Mbona anafoka

  • @priscillachristiansen4331
    @priscillachristiansen4331 7 місяців тому +1

    Good education ❤

  • @rosengandile129
    @rosengandile129 7 місяців тому

    Safi sana

  • @aminathajohn853
    @aminathajohn853 7 місяців тому +2

    Hapo selikali ndo ijuwe umhimu wa kuwa raia pacha

  • @tupikepamoja5360
    @tupikepamoja5360 7 місяців тому +3

    dahh kaka ni keli anachoongea, mimi ni diaspora nimewezeka Zanzibar airbnb apartment na nimemaliza jengo ila changamoto kubwaumeme, nimelipia tangu mwezi wa nane mwaka jana na risit ninazo na nimewasilisha ZIPA ila hawajali mpaka sasa niamdikako sijapelekewa umeme wa 3face yaani inasikitisha sana, nimepoteza pesa nyingi kama diaspora ila sina la kufanya.Hiyo nguzo ya umeme wanataka nilipie mimi nimekubali sawa lakini lini mtaniletea MITA.
    New year nimekosa kabisa wageni kwa ajili ya ZIPA UMEME , nIPO NUNGWI UMEME MDOGO SANA LAZIMA UWE NA 3FACE, DAHH INANIUMA SANA

  • @endaelkamala8068
    @endaelkamala8068 7 місяців тому +2

    Tunaomba utuletee huyu jamaa Tena Kwa interview ndefu anamadini sana

  • @Jibambeshow254k
    @Jibambeshow254k 7 місяців тому +2

    Huyu ni msukuma au 🤣🤣🤣yani anaongea n force ya nusu million nimependa sana akiongea polepole watanzania hatomwelewa

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 7 місяців тому +1

    Mim sijamuelewa

  • @josephmshana5833
    @josephmshana5833 7 місяців тому

    😂😂😂 asante kwa darasa ila huyu ni Muha hadi Ujiji jaman

  • @MK-mz8bz
    @MK-mz8bz 7 місяців тому +1

    Pombe mbaya saana

    • @sifatiiman
      @sifatiiman 7 місяців тому

      nazani wewe ndio pombe

  • @habibarnabas
    @habibarnabas 7 місяців тому

    Tatzo wa bongo tunapenda kutafuniwa tyu na lawama juu ...

  • @atomphoton5000
    @atomphoton5000 7 місяців тому +2

    Hivi mchakato wa hadhi maalumu umefikia wapi? SKY muulize huyo beberu mwenye asili ya Tanzania

    • @chengeson
      @chengeson 7 місяців тому +1

      😂😂😂dah beberu

  • @silverman6930
    @silverman6930 7 місяців тому

    You spoke so eloquently my bro . Same I will never go back for what purpose? 🇬🇧🌟🇬🇧

  • @roybazigu765
    @roybazigu765 7 місяців тому +1

    Ukweli mtupu, watanzania wengi hatuchangamkii fursa
    Mfano mimi nina watu kadhaa nilishawatumia sana link za kazi na shule na scholarship ila swala tu la kutafuta passport wanazembea na mfano green card lottery mtu nimemtumia link na kila kitu bado anataka nimueditie picha na kumfanyia kila kitu wakati anaweza akafanya alipo na ni rahisi… ndiyo maana wakenya ni wengi sana america kuliko watanzania

  • @IsaacParuz
    @IsaacParuz 7 місяців тому +2

    Mbona mmefanana sana

    • @starjay3052
      @starjay3052 7 місяців тому +4

      wanajuana ndio mana ana adi namba yake mbona ajakupigia wewe

    • @mrshazychannel3359
      @mrshazychannel3359 7 місяців тому +2

      Wote kanda ya ziwa hao

  • @MorisTIGERTHEGREATAmos
    @MorisTIGERTHEGREATAmos 7 місяців тому +1

    Mimi ni dereva wa magari makubwa( roli) nahitaji kufanya kazi marekani nifanyaje na takiwa vigezo gani?

  • @simonmwandu2214
    @simonmwandu2214 7 місяців тому +1

    Huyu jmaa akili yeke anaona kuwa na maisha mazur mpka uwe ulaya au marekani. Africa Kuna maisha mazur na nirahisi kuwa tajili sabb Kuna fursa nyingi kuliko ulaya

    • @jizzo276
      @jizzo276 7 місяців тому

      Mwehu wewe

    • @chengeson
      @chengeson 7 місяців тому

      Akili Una wewe

    • @simonmwandu2214
      @simonmwandu2214 7 місяців тому

      @@chengeson we ndo mjinga unanibishia nn sasa ulaya mtu unakuwa tajili?

    • @EBMSWAHILI
      @EBMSWAHILI 7 місяців тому

      hahahaha unaishi nchi gani? Usizungumze mambo ya kufikirika, tunaoishi/tulioishi nchi zote mbili tunaiona, na sio kusikia ndugu.

    • @simonmwandu2214
      @simonmwandu2214 7 місяців тому

      @@EBMSWAHILI bro naishi ulaya ndug maisha ya ulaya yanausawa huwzi kuwa tajil mtu wa kawaid from chin ukaw tajil mzeee utajil wa ulaya una milikiwa na familia zilezile unakuta campun ilikiwa ya baba mzaa babu yao wajuu wanaendeleza so watu wakawaida tunajuwa mishahara yetu dereva wa maroli na fundi manyumba unajuwa kabs anapokea kiasi gani. Kwa hiyo ulaya maisha ya kula na kuvaa na gari hivyo ni vitu vya kawaida ila huwezi kuwa tajil mzee wazung wanamisha ya kawaida tu madeni mpka siku anakufa na hapo ukiangalia ni den la nyumba na gari tu je hayo sasa ni maisha?? Kwangu mie kuwa bilionea kiulahis ni africa sbbu fursa bdo ziko wazi kbsa

  • @ibrahimkibira9943
    @ibrahimkibira9943 7 місяців тому

    Huyu jamaa anaongea ni ukweli mtupu na haya yote wamesababisha ccm😢

  • @adaboychibu1659
    @adaboychibu1659 7 місяців тому +2

    Una point tatizo una panic sana!

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261 7 місяців тому +1

    Kwan lazim babu watu wakaishi mmarekani

    • @MaryamSaid-id6yh
      @MaryamSaid-id6yh 7 місяців тому

      Wala, Mbona hapo hapo Bongo watu wanaweza kufanikiwa kimaisha. Tatizo Bongo creativity imekosekana. Vijana wanasubiri Ajira kutoka kwa serikali. Mashamba yamejaa lakini Kiijana ana hiyari anunue gari kwanza la millioni 70 kuliko kuinvest kwenye ardhi. Kila mtu anataka kuwa msanii.

    • @sifatiiman
      @sifatiiman 7 місяців тому

      ​@@MaryamSaid-id6yhkilimo gani na wewe kila kitu kiko juu pembejeo unajua kilimo wewe au unaongea tu?

  • @Its_Goodluck
    @Its_Goodluck 7 місяців тому

    awataki kiwanja siku hz,unatakiwa uwe na nyumba

  • @uncleb9294
    @uncleb9294 7 місяців тому

    HUYU JAMA HANAONGEA KWELI TANZANIA HINAJICHELEWESHA KIMAENDELEO KUUSU INVESTMENT ZA WATU WALIOPO NNJE SEREKALI KAENICHINI

  • @priscillachristiansen4331
    @priscillachristiansen4331 7 місяців тому

    To be paid 1000$,🤔🤔

  • @selesjandwa412
    @selesjandwa412 7 місяців тому +1

    Kwan imeitwa Kam VP tuacha na kwa rushwa zetu

    • @sifatiiman
      @sifatiiman 7 місяців тому

      ndio akili zenu mavi matupu

  • @johnmussa4248
    @johnmussa4248 7 місяців тому

    EBM sio EFM

  • @selesjandwa412
    @selesjandwa412 7 місяців тому +2

    Tatizo we umarekan Muha unaropoka sana ebu tuache

  • @ms_teeonly
    @ms_teeonly 7 місяців тому

    EBM 😂😂😂