КОМЕНТАРІ •

  • @WillyKanjanja-se6oq
    @WillyKanjanja-se6oq 10 місяців тому +20

    Bado uko vizur Sana nakukubali Kajala

  • @thetas08
    @thetas08 10 місяців тому +24

    Bongo wanahabari na watu mnapenda sana personal life ya mtu kiundani sana hamna issue za maana kabisa daily the same things zero zero wanahabari hamna mpya

  • @angeharushimana7431
    @angeharushimana7431 10 місяців тому +8

    Yani nafurahi n'a majabu ya maman paulla yani maswali yenu ameyajibu vizuri yani tena anawongea ma dogo nipenda sana

  • @wizaraxx1256
    @wizaraxx1256 10 місяців тому +16

    Kwakweli kajala hata maongez yake Bado anampenda harmo napia kajala sikawaida sana vile kupungua kwasai nikama anamaswal mengi anajiliza kwakuachana na harmo

  • @ShawinNdungu
    @ShawinNdungu 10 місяців тому +4

    Kajala mwanamke Bomba nakupenda bure,mama paula likes 👍 for kajala na musubscribe dio mueze kunisapoti pia ♥

  • @chantalmwavita7402
    @chantalmwavita7402 10 місяців тому +13

    Kajala Maman Paula ❤❤❤❤❤

  • @TamuzaKale
    @TamuzaKale 10 місяців тому +12

    This is sick. Watu waulize maswali ya msingi. Mko deep na maswali binafsi.

  • @alexmwangi4464
    @alexmwangi4464 10 місяців тому +5

    Ask relevant questions to the product sponsorship hizi porojo zingine nnje

  • @nispalaurian
    @nispalaurian 10 місяців тому +9

    japo na kujulikana kabla h bado ulimvulia Nguo Madras wetu mnajizarilisha kwa watoto wa dogo Shida Nini

  • @nispalaurian
    @nispalaurian 10 місяців тому +12

    😂😂😂😂 mbona mazoezi ulikua unafanya toka enzi za hamonaze naulikuwa haujawai kuisha ivyo umekonda bwana

    • @chantalmwavita7402
      @chantalmwavita7402 10 місяців тому +1

      Uongo bhana 😂 💪 kajala apo Vizuri

    • @lovenessitiku6293
      @lovenessitiku6293 10 місяців тому +2

      Haha😅😅😅nmecheka kakonda kwel lakin mkubwq mapnz yke kuyaongelea mtandaon

  • @GloriaNduku-mw2jk
    @GloriaNduku-mw2jk 10 місяців тому +3

    Much love mommy wanaume ndivyo walivyo ukiwa nae haoni kasoro yko bt mkiachana anaanza matusi

  • @janethedward4631
    @janethedward4631 10 місяців тому +13

    Akika kajala Mimi nakupa mauwa Yako 🌹kwanza unajibu vizuri ❤pili nakupenda sana 💞 akika kubwa Ishi miaka 💯

  • @abuu_town_tz7341
    @abuu_town_tz7341 10 місяців тому +47

    Nilichokigundua kajala bado anampenda harmonize 😮

    • @mussarashid2216
      @mussarashid2216 10 місяців тому +1

      We ungejua Kajala sasa kwq mfano usingempenda KONDE

    • @shery-bf8xh
      @shery-bf8xh 10 місяців тому +6

      ​@@mussarashid2216naanzaje kumkataa konde me mwenyewe mate yananidondoka😂😂😂😂

    • @mussarashid2216
      @mussarashid2216 10 місяців тому +1

      @@shery-bf8xh Muache kajala haumie TU

    • @mussarashid2216
      @mussarashid2216 10 місяців тому +2

      @@shery-bf8xh 😂😂😂😂😂

    • @nururaymond5
      @nururaymond5 10 місяців тому

      Wanapendana shida hapo Pau nafikiri Harmose kumtamani Mtoto Mzazi kaumia

  • @user-hf6ei6vj2g
    @user-hf6ei6vj2g 10 місяців тому +1

    Love you kajala wang hayo n maneno tu ya mwanaume❤❤❤❤

  • @salmaprecious5774
    @salmaprecious5774 10 місяців тому +14

    Ila umepungua kuachana sio mchezo kuachika ila mnapendana bana

  • @antidiusegbert5562
    @antidiusegbert5562 10 місяців тому +10

    Sema Kajala mwanamke na ujinga wake

  • @aminamusa9174
    @aminamusa9174 10 місяців тому +8

    Wewe wakwanza kujulikana lakini ulisha potea kwenye maskio ya watu hamo ndio kakurudisha mjini na kakufanya ujulikane zaidi mwanzo walikuwa wanakujua wa tz tu sasa ivi unajulikana kimatafa shenzi we uwe na shukrani

    • @SarahWilliam-ik2nc
      @SarahWilliam-ik2nc 2 місяці тому

      Acha dharau haya Bora hata mwenzako anajulikana hata mjini na nchi za nje wewe unajulikana wapi acha wivu

  • @TZ123_king
    @TZ123_king 10 місяців тому +4

    kajala wewe sio mwanamke mzuri wewe ni mwanamke mwongo unayependa kusema uongo na kumuumiza mume wako wa zamani😂😂😂

  • @lazzrchanal1935
    @lazzrchanal1935 9 місяців тому +3

    Tatizo la wanawake ni mmoja tuu jeuri na kiburi mwanamke unaweza mtendea wema kika kitu ila huyo uasili wakibinafsia wakike unawasumbua saana ,ila ninacho kiuona kajala anaguswa kutuko kushikilia vizuri penzi alilopewa na harmo ika harmo unampenda ila kilacho haribu kajala uyo ubinafsi wajinsia lakike lilimsumbua saana hara sasa lina msumbua ila kiukweli anaumia ndanindani kua hayupo ndani tena ya mapenzi ya harmo ,asili yakika mwanamke hupenda kudekeswa na kumpelekesha mpenzi wake inapo tokea hivo sometimes mme hayupo tayari kupelekeshwa kutoelewa kua ndio dizaini ya moenzake anavio taka ili penzi lawo lidumu sasa unapo paniki mmoja kwa mmoja mwamke anachikulia kama hupendi tena alafu anakuzira kutokana na usongo wake moyoni na ubungoni mwake ila badaye anajikemea hila hakubali kujishusha ila aishi fresh na mpenzi kutokana na uyo uzwaifu wao wakuto jielewa.ila wanaumia saana wanapo chukua uamuzi wakuzira mapenzi baasi jeuri ndio inayo watunza ila baala😮😢

  • @sidikassim6759
    @sidikassim6759 10 місяців тому +2

    alfu wandshi wa hbar taften habar za mana sio kla sku diamond hmonise Ali kba Mara kajala anglien tarifa za mana

  • @adiventinapaul7910
    @adiventinapaul7910 10 місяців тому +1

    Your a supper woman kajala pambana Dada, ilo nalo litapita tenda wema nenda zako. Harmonaiz anapendaga sifa tu ona alivyomnyeaga mond

  • @EmerySciences
    @EmerySciences 3 місяці тому +1

    Naku chukuru kajala ila mwana mke niku funga roho ni Emery kivundu from Congo oicha

  • @deogratiasbav
    @deogratiasbav 10 місяців тому +7

    Umezeheka kinoma

  • @corandamisi9005
    @corandamisi9005 4 місяці тому

    Acha kumusumbuwa kajala wangu, kwani uyo harmo ndo mwisho wawanaume ? Kwanza tangiya apo namuchukiya uyo amorapa, kajala love you so mach

  • @meddykamau2139
    @meddykamau2139 3 місяці тому

    Full respect kajala salute you....naomba tupatane...

  • @user-ip9tn7ny9c
    @user-ip9tn7ny9c 10 місяців тому +1

    ❤pole san dada kajal

  • @silageorge1638
    @silageorge1638 10 місяців тому +15

    Mrembo hapa anajutia kudate kijana wa umri mdogo

  • @sophiaobori5232
    @sophiaobori5232 10 місяців тому +2

    Im from Kenya but of all Tz celebrities i love this gal and Zari

  • @GoldenboyBarnabe
    @GoldenboyBarnabe 6 місяців тому

    Ebwana eeeh bado penzilipo kwa mrembo wetu.kwasababu majibu yanaonesha ukweli penzi linaishi moyoni mweke.❤❤❤

  • @TedlineOdwar
    @TedlineOdwar 10 місяців тому

    Much love kajala

  • @AntoineEllepro
    @AntoineEllepro 10 місяців тому +6

    Ndio kajaka umepunguka kbs

  • @kevinsinzore5458
    @kevinsinzore5458 10 місяців тому +1

    we love you kajala

  • @basickasote538
    @basickasote538 10 місяців тому +5

    Kajala nampenda bure

  • @happyjimmy5874
    @happyjimmy5874 10 місяців тому +10

    Nimekuelewa sana huna maneno mengi

    • @happyjimmy5874
      @happyjimmy5874 10 місяців тому +1

      Yaaani yule kaka yule alienae hamlizishi anakukumbuka wewe tu

  • @shungujohnjames5342
    @shungujohnjames5342 9 місяців тому +2

    You didn't love harmonize but did have a true love and he still young it's okay to continue your life and forget khajala .

  • @stellahandenyi254
    @stellahandenyi254 10 місяців тому +1

    Kajala is the coolest chick on tz

  • @faridasaleh4982
    @faridasaleh4982 10 місяців тому +8

    Nakupenda sana kajala wanaume ndo walivo wakiachwa

  • @IddyNgessa-oz3xy
    @IddyNgessa-oz3xy 7 місяців тому

    Kajala acha ujinga wewe harmonize ndo wandoto wako sa
    Tufiche yanin❤❤❤

  • @user-zp8tf8on6u
    @user-zp8tf8on6u 10 місяців тому +1

    Haya maswali msanii WA Kenya hawezi kuyajibu,maana that's kinder private life....

  • @dylanbokasa7108
    @dylanbokasa7108 10 місяців тому +7

    Mimi apa likes zangu

  • @daudipaul-tw1jl
    @daudipaul-tw1jl 10 місяців тому +8

    Nimegundua huyu dada yuko vizuri na anajielewa sana

  • @Amor_23
    @Amor_23 10 місяців тому +1

    Kajala nakupenda 😘

  • @suzieduttu4364
    @suzieduttu4364 10 місяців тому +1

    Brand ambassador hajui chochote hukusu product kajikita na personal issues. Sasa nini maana ya branding?????!!!

  • @kawtharalbarwani1337
    @kawtharalbarwani1337 10 місяців тому +9

    Mbona toyota gari zuri na maafu sana shida ipo wapi kajala nimekukubali

  • @sadickvevoofficial
    @sadickvevoofficial 10 місяців тому +12

    Xa mbna kama kucheka anajilazimisha😊

    • @rabsontryphon9254
      @rabsontryphon9254 10 місяців тому

      Mwanamke ndo anavocheka ww hauelew? Mrembo anacheka ivo

  • @GloriaNduku-mw2jk
    @GloriaNduku-mw2jk 10 місяців тому

    Much love mommy wanaume ndivyo walivyo ukiwa nae haoni kasoro yko bt mkiachana naanza matusi

  • @lookbabes8710
    @lookbabes8710 7 місяців тому

    I love kajala ❤❤❤

  • @user-gs5xd3ji8n
    @user-gs5xd3ji8n 9 місяців тому

    i love yuh kajala

  • @ButwaAndulile-ts4qp
    @ButwaAndulile-ts4qp 10 місяців тому +2

    Kajala unazeeka aisee daa kweli Dunia tunapita..😂😂

  • @user-yd1gm6js4o
    @user-yd1gm6js4o 10 місяців тому +1

    Ya Nini kubeshana 💔 inaomba kajala anamueshemu harmoniz ame jitaide sn Ku pambania maisha yake💪🙏🏾sn yani mwamuke hâta umupe Nini harizike mapenzi ni Nini 🤦mimi ni mcongo 🇨🇩💪

  • @user-bc5kt8hh6n
    @user-bc5kt8hh6n 5 місяців тому +1

    Sister bado anampenda KONDE

  • @happysixbert7091
    @happysixbert7091 10 місяців тому +2

    Penda Sana kajala❤️

  • @jafarchuan8537
    @jafarchuan8537 10 місяців тому +3

    Me Nawakubali wote❤❤️🔥🔥🔥

  • @ANASTAZIARUGEMBE
    @ANASTAZIARUGEMBE 5 днів тому

    Nice hayo ndo yanayomfaa

  • @user-kl7mt8um7w
    @user-kl7mt8um7w 9 місяців тому

    did she also erase the tatoo .......your love was so awesome.............i liked it

  • @user-qq6mv6vh3e
    @user-qq6mv6vh3e 10 місяців тому +21

    Napenda majibu yako unaongea madogo tu

    • @Moses-Kuria
      @Moses-Kuria 10 місяців тому

      Mkenya hajui kiswaili

  • @user-nw3np3kf2t
    @user-nw3np3kf2t 10 місяців тому +3

    Kajala anampenda konde mweeee😂😂

  • @omarappoul
    @omarappoul 10 місяців тому

    pole sana dadaangu kajal

  • @yusuphmwinuka2359
    @yusuphmwinuka2359 10 місяців тому +6

    SINA ELA KIIVYO LAKINI NATAMANI NIMNUNULIE HENES ALEWE ATUPE NEWS😂😂😂

    • @mayrose9772
      @mayrose9772 10 місяців тому

      🤣🤣🤣🤣🤣

  • @elizabethchabluma-zw5qz
    @elizabethchabluma-zw5qz 10 місяців тому +8

    Konde anampenda Sana kuwadis watu kajala ndugu yangu ungekaa kimya hamo anampenda Sana kick kaa kimya Kama Simba ulikosea Sana kurudiana nae

    • @agwalubifaridah7079
      @agwalubifaridah7079 10 місяців тому +1

      Exactly...na nipenda alivojibu maneno huyo mvuta bangi alisema hajaongeza kitu kingine , still ameficha mengi hajaropokwa mengi kaa yule mpuumbavu

  • @selis_doty9604
    @selis_doty9604 10 місяців тому +7

    Tafadhali Harmonize, wachana na maisha ya mwanamke Kajala, ulimkosea akuamuomba hata dunia nzima ikusaidie ili mrudiane, akakusamehe na baadaye ukamfanyia maajabu ya firauni!, Sio vizuri wewe kayajenge maisha yako upya! Lakini ujue kuna chenye kinaitwa "KARMA"!

    • @aggievgs
      @aggievgs 10 місяців тому +1

      hakuna unachokijua wew ogopa wanawake sisi ni watu wa ajabu

    • @enjo2224
      @enjo2224 10 місяців тому

      Mmh

  • @user-mb7oe3pg3y
    @user-mb7oe3pg3y 4 місяці тому

    Nawapenda bure.. napenda Kajal, napenda harmonize, napenda Paula

  • @stevensoso7506
    @stevensoso7506 10 місяців тому +2

    Umezeeka kajala mda haukusubiri

  • @irieboi02babalao10
    @irieboi02babalao10 4 місяці тому

    We love Tanzania news and music 🇹🇿 but the big problem we have is that we dont understand Swahili so iam asking if you can help us by putting english subtitles on some of your interviews so that the whole world will understand...

  • @lutenganolukali2122
    @lutenganolukali2122 10 місяців тому +1

    Kwahyo akitoka hapo atasema alikua kwenye press daaah mnachosha sana

  • @Subira-wo9qc
    @Subira-wo9qc 8 місяців тому

    Nampenda
    Sanakajala

  • @amosidaniel1830
    @amosidaniel1830 10 місяців тому

    Vzr san yan kajala

  • @mkanamc8341
    @mkanamc8341 10 місяців тому +2

    Hayo madili yanakuja nikweli chanzo ni Konde kafanya arudi mjini bana 😂

  • @godfreysudi7264
    @godfreysudi7264 10 місяців тому +1

    Kweli umri au danganganyi

  • @tommillia7816
    @tommillia7816 10 місяців тому +3

    Sorry kajala they have asked you STUPID QUESTIONS.....
    SORRY ABOUT THAT.
    STAY STRONG GIRL..

    • @user-zp8tf8on6u
      @user-zp8tf8on6u 10 місяців тому

      True this are very stupid questions

  • @shannarsaidSwahili
    @shannarsaidSwahili 10 місяців тому +9

    Tunamsubiri harmonize alewe tujuwe ukweli🤣🤣🤣🤣

    • @user-qq6mv6vh3e
      @user-qq6mv6vh3e 10 місяців тому +1

      😂😂😂

    • @agwalubifaridah7079
      @agwalubifaridah7079 10 місяців тому +2

      Yule mpuumbavu alewe aongee tu hatujali

    • @user-xq6qk4uj4u
      @user-xq6qk4uj4u 10 місяців тому +1

      Mwanaume na akili zake hawezi kuwa na mwanamke aachane nae alafu aongee ujinga

  • @masemoolivier
    @masemoolivier 10 місяців тому +2

    Hmm mambo ya mastaaaa! Nasubiri kusikiya @kajala akilitamka jinaao kumzungumziya @mista champegne
    🫡🫡🫡

  • @user-vi2hq6zi9n
    @user-vi2hq6zi9n 10 місяців тому

    I like it

  • @Subira-wo9qc
    @Subira-wo9qc 8 місяців тому

    Nampendasanakajala

  • @magretomondi8312
    @magretomondi8312 6 місяців тому

    Naoma upendo kati yao haija potea. Watu hukosana tena hurudiana. Mda bado upo majaliwa mtakuja rudiana 2024

  • @user-hs6em4yb1s
    @user-hs6em4yb1s 10 місяців тому

    Ww mbwaaa tu konde boy ❤ ww mbwqaa tuu

  • @Abuuabdillah259
    @Abuuabdillah259 10 місяців тому +5

    Amezeeka

  • @Cl_wazlah257
    @Cl_wazlah257 6 місяців тому

    Kajala wa Mr Champagne kutoka Burundi🇧🇮

  • @Boaz22
    @Boaz22 10 місяців тому +32

    We dada wa hizo pads, ata siku moja kwenye biashara usiseme kidogokidogo, mmechukua msanii mkubwa kufanya nae kazi halafu mnakuja kuongea upuuzi, hujafundishwa marketig wewe?? Eti mzigo kidogokidogo, mnaua biashara zenu wenyewe shenz wahedddd

  • @user-oq2dr9sv6e
    @user-oq2dr9sv6e 10 місяців тому

    Mhh wanawake tutumie akili ukimiliki hera bora umtunze. aliyekuzaa kuliko kumuhonga mpita njia kajala utakufa vibaya mama

  • @abubakarmpole4000
    @abubakarmpole4000 10 місяців тому

    Mm zamani sikujui nilikujua ulipojiunga na chama la wavuta mioshi

  • @MwanahawaSaidi-vx7ec
    @MwanahawaSaidi-vx7ec 9 місяців тому

    Nakupenda sana kajal huyo mwana ume asikuchanganye endeley na maisha yako kwani yey ndo kaku leta hapa duniani❤❤❤

  • @fabricemuzungu8078
    @fabricemuzungu8078 10 місяців тому

    Wewe kajala huwa ujiheshimu ...uonikm umeshakuwa kupendana na vifaranga ndio maana vinakuzarau sanaa

  • @jenipherawuor8413
    @jenipherawuor8413 10 місяців тому +2

    The event is about pads and the interview is about her relationship with harmonize nkt😏😏😏😏😏😏

  • @bahatisanga8890
    @bahatisanga8890 10 місяців тому +2

    Ninachokiona mm nyie lazma mtarudiana tu kwa sababu hakuna ana3mkataa mwenyake

  • @jamestera2122
    @jamestera2122 10 місяців тому

    Kajala ana hasiraaa

  • @agnestweve7218
    @agnestweve7218 10 місяців тому +1

    Miaka ulio nayo sio kwaujinga huo unao fanya

  • @user-qk3fi9vk2r
    @user-qk3fi9vk2r 6 місяців тому +1

    Napenda kajala nakupenda sana love

  • @user-kh9lh4du7l
    @user-kh9lh4du7l 7 місяців тому

    N kwel. Bd anampend lkn kajichukulia sheria mkoni nimoj wap y kupunguian majukum

  • @reginamanyangu7258
    @reginamanyangu7258 10 місяців тому

    Gari kauza kusema anaona aibu, et natumia y a paula😂😂😂😂😂

  • @lutenganolukali2122
    @lutenganolukali2122 10 місяців тому

    Kajala ,Paula,. Jina lao ni kausha damu.

  • @MJackton
    @MJackton 10 місяців тому

    Kajala hasisikiye maneno yawatu maybe he didn't even said that

  • @ClaveryMalando
    @ClaveryMalando 10 місяців тому

    Umekonda bwana😮

  • @user-hr7ij2cz9f
    @user-hr7ij2cz9f 6 місяців тому

    Bado anampenda na sio yeye tu wote Bado wanapendana

  • @idrisadalluc4498
    @idrisadalluc4498 10 місяців тому

    Sawa ila ulisha potea Hamo ndie kakuza jina Tena baada yakuingia kwenye mahusiano na apula kapata jina kupitia Hamo shururan iwepo na mugamge yajayo

  • @kawayabushiri9901
    @kawayabushiri9901 10 місяців тому

    ❤❤❤

  • @pingumagongo1997
    @pingumagongo1997 3 місяці тому

    Anahepa MASWALI mjinga sana kajala😆😆

  • @PiusRupia-zc3kp
    @PiusRupia-zc3kp 10 місяців тому

    Ningependa
    Kuwaona
    Kajalan
    a
    Hamo
    Milele
    Nacio
    Kutengana

  • @user-lw7du2tt2d
    @user-lw7du2tt2d 10 місяців тому +2

    Imemshuka sula 😂😂😂😂anaona aibu kumtaja harmo

  • @mwanajinacayemite2336
    @mwanajinacayemite2336 6 місяців тому

    Ukiona mwanamke anatoa siri za X wake ana mapungufu.