P-Square wazinguana tena, tatizo ni pesa na Mr P kumuonea wivu Rude Boy!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

КОМЕНТАРІ • 105

  • @ramayonline2281
    @ramayonline2281 Місяць тому +9

    Mungu awasaidie sana hawa mapacha 😢😢😢😢 daah kweli walimwengu siyo wa kuwapa nafasi

  • @abubakarimsere
    @abubakarimsere Місяць тому +13

    Kila mmoja angaalie maisha yeke muziki umewashinda😢😢

  • @IbrahimShan-qu3um
    @IbrahimShan-qu3um Місяць тому +1

    Shida 1 Mr p mungu kampa kipaji Cha kuproduse na kuchezea ila rude boy anajua sana mziki Sasa iyo so nzuri kunichukia ndugu yako mnaefanana kila k2 mungu akupi vyote rude boy msanii mzurii🙌

  • @franccoz94
    @franccoz94 Місяць тому +11

    Ndugu wakigombanaa chukua jembe ukalimee

  • @Young_boys24609
    @Young_boys24609 22 дні тому +1

    Very good 👍❤

  • @Its_Goodluck
    @Its_Goodluck Місяць тому +3

    Mapacha huwa ni kawaida kutofautiana ila huwa wanapendana sana

  • @user-vy2bc6xg3i
    @user-vy2bc6xg3i Місяць тому +12

    Sio bure kuna mtu anawachanganya hawa watoto. Kuna mtu yupo nyuma anawachanganya hawa watu na huenda hatoki mbali huenda wako nae karibu

    • @missp1814
      @missp1814 Місяць тому

      Inawezekana mtu akachangia kuwavuruga ila shida kubwa ni wao kuruhusu.....itakuwa mahusiano baina Yao yalikuwa sio mazuri tu ndo maana inakuwa mtu mwingine kuwagombanisha....Ndugu wanaopendana wamekuwa wote wanajuana vizuri hata mtu akitaka kuwavuruga mnashtuka mapema,ila sio hao p square wanashida

    • @kwzjkwz3532
      @kwzjkwz3532 28 днів тому +1

      kuna kaka yao anaitwa Juda

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 Місяць тому +2

    Hawa nao utafikiri sio ndugu ?! 😢😢 Mbona hawapendani sana

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 Місяць тому +6

    Walipo OA tu shida zikaanza

  • @user-fl1xz3ln3c
    @user-fl1xz3ln3c Місяць тому +4

    Pesa ni noma

  • @mfalmekaitaba2425
    @mfalmekaitaba2425 Місяць тому +3

    Mm ni shabiki mkubwa sana wa #Rudeboy🎉🎉🎉 jamaa anahandika sana

  • @kevo_da_clever
    @kevo_da_clever Місяць тому +5

    Hawa jamaa watauana

  • @Qqambaa
    @Qqambaa Місяць тому +7

    Nikipata subs ata mmoja nitafurahi tanzania ni majirani wazuri nawapenda sana tunaishi nao mombasa vzr 2

  • @user-bw2qo6bg1n
    @user-bw2qo6bg1n Місяць тому +1

    Heeeeee😢😢

  • @lovirinaa
    @lovirinaa Місяць тому +1

    I feel sorry for them jmn ndugu tena mapacha wana gombana kisa money/music so sad I wonder her the mother is feelin

  • @davidtentacion3104
    @davidtentacion3104 Місяць тому +3

    😂😂ila mr pesa ni muharibifu sana kwa kila idara

  • @DjMswati
    @DjMswati Місяць тому +6

    pesa haina ndugu niliongea na RUDE BOY aliniambia yote😊😂😂

    • @marthyporteah
      @marthyporteah Місяць тому +1

      acha uongo 😅

    • @DjMswati
      @DjMswati Місяць тому

      @@marthyporteah kwel😂😂

    • @RayChausa
      @RayChausa Місяць тому +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂Producer wake ndio wewe😂😂

    • @DjMswati
      @DjMswati Місяць тому

      @@RayChausa 😂😂🤣

  • @ngoniempire2181
    @ngoniempire2181 26 днів тому

    Peter mpambanaji sana aisee namkubali, huyu Poul bishoo

  • @user-lk9rh5xp4u
    @user-lk9rh5xp4u Місяць тому +4

    Pesa ni fitna sana

  • @worldhappiness1181
    @worldhappiness1181 Місяць тому +8

    Hawapo siriaz hao mapacha. Wana hela, famous, wanapendwa, mahandsome, sasa wanataka nn na hao 😅

  • @AbdulMaeda
    @AbdulMaeda Місяць тому

    Rude ni 🔥

  • @MbalasaJRMwakabalile
    @MbalasaJRMwakabalile Місяць тому

    Rude boy Genious sana

  • @mamy8220
    @mamy8220 Місяць тому

    Inauma 😢😢

  • @allymtunge5530
    @allymtunge5530 Місяць тому

    Mama kwenye maishaa nisiraha kubwa sana

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 Місяць тому +2

    Hawa jamaa walitikisa kwa vibao vyao moto moto, aise hawakua na mshindani ilikua sio pw

  • @tarickroshan
    @tarickroshan Місяць тому +1

    ulianza vizur ila mwishon umamaliza kama mtu asie kua na akili

  • @patrickmarco964
    @patrickmarco964 Місяць тому

    😢😢 kaz nayo

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 Місяць тому

    Yan undugu na pesa nivitu viwili tofauti..naijua iyo

  • @Green_v4w
    @Green_v4w Місяць тому

    ila kwa mziki rudboy yupo vizuri

  • @Farajahelene23031
    @Farajahelene23031 Місяць тому

    Paul okoye

  • @Mbisamazembe
    @Mbisamazembe Місяць тому

    Work hard guys

  • @RahmaAwadh-ul9yu
    @RahmaAwadh-ul9yu Місяць тому

    Imeshashindikana basi tena

  • @tomshiii485
    @tomshiii485 Місяць тому

    Nilijitahidi sana kuwapatanisha lakini mke wa Mr P akutaka niwe nakanyaga kwake, mpaka sahiv nimeamua kuwaacha na mambo yao, japo wananiomba sana nizidi kuwapatanisha

  • @HENRYSILUNGWE-i1j
    @HENRYSILUNGWE-i1j Місяць тому

    Aaah me niko nao apa kwa asley mihogo yaan wamegoma kabisa kula mihogo na samaki kwa pamoja ko imenibidi niwagawanishe sema Peter anazngua

  • @tiktokTviral
    @tiktokTviral Місяць тому +3

    PESA SHKAMOO.!😂🤣😃😄

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Місяць тому

    ✌️👊👍.

  • @stevkaliona4107
    @stevkaliona4107 Місяць тому +10

    Aiseeee bro@sky tumewachoka hawa jamaaaa mda wao umepita jamani ❤🎉gonga like kama wewe ni team@simulizi na sauti 🎉like zenu❤

  • @user-hi8le2vb7z
    @user-hi8le2vb7z Місяць тому

    watu wajifunze sasa....pesa hainaga adabu wala heshima😊....hao ndo tunaambiwa wametoka kifuko kimoja cha uzazi

  • @user-px3po9lt8g
    @user-px3po9lt8g Місяць тому

    Mr p anazingua jana kanipta kama hanijui mbezi

  • @user-ch3ku3yx2z
    @user-ch3ku3yx2z Місяць тому

    Mi mwenyewe mama mtoto ananiibia pesa kitu kingine

  • @DM_15
    @DM_15 Місяць тому

    Kumbe raster man anakibunda kuliko Sharon boy,

  • @JohnRossan-pk5cl
    @JohnRossan-pk5cl Місяць тому

    Hawa jamaa sijui ni mapacha gani wasiopendana

  • @nickone8585
    @nickone8585 Місяць тому

    Kuna watu wanamtumia Mr P

  • @HamisimohamediChilumba-n4k
    @HamisimohamediChilumba-n4k Місяць тому

    Wanazingua pesa ni nn

  • @user-wu8qe4fv4j
    @user-wu8qe4fv4j Місяць тому

    Wandugue wa damu awo Je watu Baki Pesa

  • @ClassicUsed-jg6ri
    @ClassicUsed-jg6ri Місяць тому +28

    Hao jamaa naishi nao hapa Lagos Mr p anazingua sana hata kunisalimia hataki ... Sababu anajua naongea sana na rude boy. Jana nilikua nao studio walikua hawaongei

    • @Harmonizee
      @Harmonizee Місяць тому +2

      walikuja kwenye sherehe yangu ya kuzaliwa jana, hawakuzungumza hata Pamoja.

    • @WilsonSonoko-qi5be
      @WilsonSonoko-qi5be Місяць тому +1

      M mwenyewe nlimuona juz alikua anaendesha gar kidogo amgonge kakaake sema mwamba anazingua sana

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 Місяць тому +3

      😂😂😂😂😂😂mpoje nyie

    • @ProsperSantos
      @ProsperSantos Місяць тому +1

      Dah acha tu kaka juzi niliwaalika kwenye part lakini kila mtu alikua busy na mambo yake sema peter mkorofi sana ila ndawalekebisha mana ata mwenzie anataka aame lagos

    • @mansouromary9246
      @mansouromary9246 Місяць тому +1

      😂😂😂oyaaaaaaaaaaaaaa

  • @sund2553
    @sund2553 Місяць тому

    MaPacha wasio pendana daaah kweli pesa ni shenani

  • @zclassicfashionz1573
    @zclassicfashionz1573 Місяць тому

    Awa jamaa walipaza mbaali sana sauti ya mtu mweusi.

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 Місяць тому

    Washatuchosha awo jamaa na maugomvi Yao..

  • @ShowdaddiKatuya-me2fp
    @ShowdaddiKatuya-me2fp Місяць тому

    Munauwakika Hawa ni mapacha kweli

  • @allyjumaally8353
    @allyjumaally8353 Місяць тому

    Wana semaga mapacha wachawi walogane sasa

  • @FeisalKhatija
    @FeisalKhatija Місяць тому

    Awa mmoja inabid afe ili mambo yawe sawe kati ya Mr p na rude boy Inabid mmoja afe

  • @queenofireland898
    @queenofireland898 Місяць тому

    Pesa ni shetani munaweza kuvunja undugu kwa ajili ya pesa it's not good at all 😢

  • @abudoeugenio6903
    @abudoeugenio6903 Місяць тому

    Wasizinguwe watu. Tumewachoka.

  • @user-sw6uo6rv6j
    @user-sw6uo6rv6j Місяць тому

    Mr p ni yupi mm hata cwajui

  • @Badvoice707
    @Badvoice707 Місяць тому

    Hakuna binadamu yeyote duniani watakao kaa pamoja wasigombane hiyo haipo na haiwezi tokea kwa hiyo ni kawaida tu

  • @jdeoffspliny2594
    @jdeoffspliny2594 25 днів тому

    Hapo mchawi ni jude anaogopa wakiungana watakuwa na nguvu na kudai haki zao jude mpigaji tu mm aliwa nizurumu bhana

  • @user-xc7qj7ze7m
    @user-xc7qj7ze7m Місяць тому

    Muwe mnaleta habali kama mmeenda shule eti mapacha hagombanagi

  • @AllyMaritini
    @AllyMaritini Місяць тому

    Hichoo ndio mnakiweza iv kwanin mnajifikilia nynyi tu iv nyie mnao endeshaa iz media niwatanzania kweli mmepumbazwa na pesa na sio masrahi ya taifa lenu nyie ni hasarah kwa taif wekeni hoja zinazo jengaa taifa UMOJA NI USHINDI

  • @CredoMatanga
    @CredoMatanga Місяць тому

    Mond mabillboard 😂

  • @willtzee837
    @willtzee837 23 дні тому

    Ukiwa na kaka anaitwa Jude (Juda Iskarioti) NI shida sanaa, badala ya kuwasaidia kutatua mzozo yeye anaegemea pande moja, boooonge moja la kiazi yaani kaka yao

  • @fiston-asifiwe
    @fiston-asifiwe Місяць тому

    Nilikuwaga shabiki wao ila niliachaga baada ya kugundua kuwa ni mapacha wa mchongo tu

    • @mariamkibindo1741
      @mariamkibindo1741 Місяць тому

      Mmmh wamchongo kivip yaani kuwa sio tumbo Moja kwa mama mmoja,🤔

    • @fiston-asifiwe
      @fiston-asifiwe Місяць тому

      @@mariamkibindo1741 tumezoea kuona mapacha wakiwa na ushirikiano mkubwa ila ao ugomvi mara kwa mara

    • @pendo8082
      @pendo8082 Місяць тому

      Ivi ww huoni wanavyo fanana

    • @LatifaCharles
      @LatifaCharles Місяць тому

      Uyu mpuuzi shabiki andazi

  • @richkaja3317
    @richkaja3317 Місяць тому +1

    Nyie wapumbavu tu

  • @mfalmekaitaba2425
    @mfalmekaitaba2425 Місяць тому

    Mm ni shabiki mkubwa sana wa #Rudeboy🎉🎉🎉 jamaa anahandika sana