The arrangement and standard of this music is on another level. I like the coordination between the instrumentalists and soloist. Blessings to you guys
Nyimbo zenu ,Ni nzuri ,tatizo Waimbaji Muna patisha yesu haya.kuimba kabisa Na Pantalon.Haibu ya namna hii .Tuta endeleya kuwakemeya .ijapo vipawa vyeny vizuri vya mwimbaji
Yani nyie mnajua ni wote wapo vizuri kweny wokovu tambueni kunawachanga pia hayo mavazi hakuna utofauti na aneye toka baa au kwenye umalaya sas sijui tofauti yenu Iko wap jionyesh kuwa kwer unampenda Mungu kujistili ndio tutakuja ww ni nani
Wakati maneno Hayo yanaandikwa hakuna aliyekuwepo na shida ikaja yu Yesu tunayeona huvaa kanzu au gauni that means wanaume ndiyo mnavaa nguo za wanawake kwasbb wanaume wa wakt huo walivaa gauni ndefu calling kanzu.vaeni nguo zenu suti ni za Freemasons mbona mnavaa Hayo ni mapokeo ACHA kuhukumu
@@MaryannNjeri-eh8zzHata Ivo sijaona torati inayosema mwanamke hapaswi kuvalia suruali. Wanadamu mbona wamejiweka kuhukumu suruali kanisani na kufurahia minisketi nje ya Kanisa.ni wapi imeandikwa suruali inapasa mwanaume na si mwanaume. Kumbe.22:5 haijataja suruali wala sketi au rinda. Mwaelewa vipi maandiko nyinyi. Mmesahau wale wa zamani walizivalia kanzu na sasa hivi kanzu hazivaliwi.
@@ellykodindo9974 unfortunately you are wrong and speak what you don't know.This church has the highest salvation rate in the country over the past one year with upto 259 saved in one service... Nyinyi ni wale mnajifanya mahakimu kabla ya siku ya hukumu tume wazoea na kuwasamehe in advance.
Dress properly and when told don't rush to compliment, your voices, vocals, instruments are amazing but dressings for the ladies not pleasant even God can tell you.@@SHAMAYIMMUSICFELLOWSHIP
@@SHAMAYIMMUSICFELLOWSHIP he can't speak again,they're judging others by looking trousers to women, but salvation is not what they speak.leave them we enjoy the service.
Guitarists wenzangu mnasema aje juu ya 🎸🎸🎸🎸. Pita na like Tu👍👍
Jamaa ako sawa saaana
Ako waaaooh
Huyo soloist acha tu
The arrangement and standard of this music is on another level. I like the coordination between the instrumentalists and soloist. Blessings to you guys
Eddy hio solo guitar 🎸 inaweza tu sana.and for the entire team good job and glory to God
Nyimbo zenu ,Ni nzuri ,tatizo Waimbaji Muna patisha yesu haya.kuimba kabisa Na Pantalon.Haibu ya namna hii .Tuta endeleya kuwakemeya .ijapo vipawa vyeny vizuri vya mwimbaji
Here because of my brother Rehoboth keep serving Him there is a reward for this 🙏🏼🙏🏼
Kuna somebody who spoke about and modernity...i really got something about it...mungu ni yule yule ...habadili....
Sijahuku....
Back up wamepakwa mafuta, neema inatosha, sauti zilizoenda chuo kikuu ya mbinguni 🔥🔥🔥🔥
I am in love with this choir..visiting again soon
Bwana yesu nakupenda,powerful song ,keep praising him pple of God
May God bless shamayim for me , I like the comfort and passion you have for Jesus
wow wow wow, vocals, the lead ,the arrangements wow, so perfect
Mziki safi sana kwa utukufu wake Yesu.hats off to your Sound man/lady.
Where I am faced with challenges this song motivates me🙏🙏
Watching from Uganda
Barikiweni sana mimi napenda hio muziki wa sifa kwa yesu
Wow, it is lit, more grace servants of God🙏
Great ministration God bless his servants
Nice tbt Emachichi. I remember when my teacher told me I don't mark uncovered books. Nikifika home naeka mziki naburudika.😇😇😇
Thats awesome may God bless the ua ministry in Jesus Name
Good job wapendwa. Be blessed
More blessings to the Team ❤❤more grace
Amen watumishi you inspiring me guys more grace
Mungu awabariki tena abazidishiye
Powerful...yesu nakupendaa
Bwana Yesu turehemu kanisa lako, (Warumi 1:28)
I thought am alone noticing this.......
Heeee soloist ni moto❤❤❤❤❤ uve challenged me for real😂😂😂😂God bless you
You all looking good ❤...i miss being in the church... soon i will be there
Powerful praise song,,,,, YESU NAKUPENDA
Always 🎉 remembers me of God's Love,Be Blessed Team.
Guitarists 😅you really nailed it
Sipendi kupanda kumwimbia Mungu ukiwa uvaa suluari acha mara moja,maana yeye unaye mwimbia hapendi
Mungu tusaidie😢😢😢😢😢
What a ministration! More grace to this team.
Kitu Cha moto groove kama zote yaan
Am always blessed by this team
Nisaidieni kuangalia nyimbo zangu U-TUBE andika COLASTER GELSON na MUNGU AWABARIKI 🙏🙏🙏🙏
Amen
Let everything that has breath praise Him 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
I pray for the same anointing people mumebarikiwa.
Wimbo mzuri,ila mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanaume... MUNGU uturehemu
NGUO HAZINA TATIZO
Great music
Love you shamayim nkiwa kayole
Moto sana 🔥🔥🔥
Wafungii 😊😊
Thank you JESUS❤❤❤
David mike nakuona welcom back
Tutakupenda milele yesu wetu
Shamayim music❤❤
Hallelujah 🙌
I love this group
Âmene 🙏🙏🙏
Powerful powerful
Wonderful ❤
This is awesome
Mmeimba lakini shida suluwali naona wote kama wanaume badilishen stail
I salute you guyz
Mungu awabariki watumishi lakini mbona sauti za back up mmenyonga sana zinasikika kwa mbali
Safi Sanaa
Noma sana mmetisha🎉🎉🎉
Yani nyie mnajua ni wote wapo vizuri kweny wokovu tambueni kunawachanga pia hayo mavazi hakuna utofauti na aneye toka baa au kwenye umalaya sas sijui tofauti yenu Iko wap jionyesh kuwa kwer unampenda Mungu kujistili ndio tutakuja ww ni nani
Hakuna wakufafana naye
Like song, uniform poa sana
Wacha kuhukumu watu hawa wewe unaweza kuhubiri pokoti na lodwar😮 mavasi marefu hayapeleki watu mbinguni😅
Deutronomy 22:5
So good
Awesome
Wakati maneno Hayo yanaandikwa hakuna aliyekuwepo na shida ikaja yu Yesu tunayeona huvaa kanzu au gauni that means wanaume ndiyo mnavaa nguo za wanawake kwasbb wanaume wa wakt huo walivaa gauni ndefu calling kanzu.vaeni nguo zenu suti ni za Freemasons mbona mnavaa Hayo ni mapokeo ACHA kuhukumu
ROHO MTAKATIFU ANAKAA MOYONI CHA MSINGI JISITIRI VIZURI NA ROHO MTAKATIFU MOYONI
warumi 1:28
Murwa kabisa
Unampenda bwana yesu navisuari venu acheni utani kwaye yesu vigezo namashliti kuzingatiwa
Nani kakwambia kuvalia visuruali ni zambi wewe wajua neema kweli ni kitu Gani
Bado uko kwenye LAW sisi tukiwa tunafurahia neema
@@MaryannNjeri-eh8zzHata Ivo sijaona torati inayosema mwanamke hapaswi kuvalia suruali.
Wanadamu mbona wamejiweka kuhukumu suruali kanisani na kufurahia minisketi nje ya Kanisa.ni wapi imeandikwa suruali inapasa mwanaume na si mwanaume.
Kumbe.22:5 haijataja suruali wala sketi au rinda.
Mwaelewa vipi maandiko nyinyi.
Mmesahau wale wa zamani walizivalia kanzu na sasa hivi kanzu hazivaliwi.
@@MaryannNjeri-eh8zz kabisa kuna watu wanafikri wasipovaa suruai basi wameokoka.
Unamaanisha kwamba tuendelee kuishi kwa kufuata kawaida ya ulimwengu huu kwa kuwa neema ya Kristo ipo tele??@@MaryannNjeri-eh8zz
Mungu haangalii mavazi ya mtu,,, only your heart
Wimbo mzuri Sana lkn waumini ndio wamevaa vizuri kuliko walioko madhabahuni
Please heal and God will bless you.
❤❤❤❤❤❤
Back up zii😟
opek
Where can I worship with this Sunday please
🎉🎉🎉🎉🎉😂
To ladies in the praise, consult your pastors concerning your put ons. Otherwise, kinachokataliwa, kinachofungwa hapa duniani hata Mbingu hukitema.
True..but our pasters are not talking about it..the spirit of Jezhebel is everywhere now,no one wants to rebuke it..sadaka isipungue
Kama hamtageuka mnapoteza muda
Na masuruali ya kihuni
😂wanaimba biashara wanatakiwa wabadilike
Dressing for ladies not pleasant at all.
21:16 ni motooooo
Sikuizi kisii signal yenu hakuna. Kindly
Mavazi has nothing to do with salvation
Na mwanamke avae mavazi yampasayo. Ashamed of this praise team. Shame on you
It's good you've watched
Kabisa
This guy's are decently dressed. Wewe acha zako!!!!
@@pekolobed because you dont read the bible, read the epistles
Thank God Jesus died for us… juu wewe unge pewa nafasi unge ua kila mtu….
Auwezi ukampenda YESU alafu mavazi yenu hayampi hutukufu .Hacha kuchafua jina la YESU bala
Mavazi sio tikiti ya kuenda binguni ni moyo Wacha uwivu, good job worship team am blessed.
We nimuongo,mavazi ya nje yanaendana na roho pia@@TimothyMwema
Kuna utupu umeonekana ama ni suruali unakemea Tu.
Hebu tusome maandiko na tuyaelewe si kukemea tusichokielewa.
Huna haki ya kuhukumu mtu jamani
Hapa mtu haokoki nakuambia hata roho enyewe inapptea
@@ellykodindo9974 unfortunately you are wrong and speak what you don't know.This church has the highest salvation rate in the country over the past one year with upto 259 saved in one service... Nyinyi ni wale mnajifanya mahakimu kabla ya siku ya hukumu tume wazoea na kuwasamehe in advance.
Dress properly and when told don't rush to compliment, your voices, vocals, instruments are amazing but dressings for the ladies not pleasant even God can tell you.@@SHAMAYIMMUSICFELLOWSHIP
@@SHAMAYIMMUSICFELLOWSHIP he can't speak again,they're judging others by looking trousers to women, but salvation is not what they speak.leave them we enjoy the service.
uliwahi fika hapo ukakosa kuhisi uwepo wa mafuriko , wewe funga mdomo
Mungu awabariki watumishi lakini mbona sauti za back up mmenyonga sana zinasikika kwa mbali
Awesome
Amazing
Amazing