Kweli kabisa lazima Serkali iwe makini sana na hawa vijana wa Makachu maana walkuwa washanza kupotea . Yaani kazi yao ni kufanya fujo tu na mambo ya ulaanifu hapo forodhanii. 🏝️
Vijana wajitafutia ajira sasa hivi serikali ndio inatafuta sheria tele mpaka bima mh. Wapeni masharti wafuate ya kawaida tu lkn kuanza kuwaekea mambo ya eti uniform mh hapana kwa kweli
Pia kiewepo kifungu kinachowataka hao wapiga makachu hawatumii au kuuza madawa ya kulevya. Katika hayo marasta yanaficha vidonge vya dawa za kulevya, pia kiwepo kibanda cha cha Polisi kuhakikisha usalama wa raia na wageni, na mateja wakioneokana hapo au wanazurura na kupita kutoa matusi ya nguoni wakamatwe. Utawaona mateja wanazurura ovyo na kuwaghasi watalii wakijifanya wao ni watembezi wa watalii. Mateja wanaudhi sana humu majiani.
Sisi tumepiga makachu vichwa vyetu vinaheshimika Leo imekuwa kero halafu sisi tulikuwa hatupig makachu na wanawake na wanawake wakijiheshim.foro mmeigeusa sehem ya siasa wapen kazi hiyo sio ajira km ajira je wanalipa kod.
@pilimwanza8117 basi na wawape hizo safar za nje lkn hapo wasiruhusu kuichafua Zanzibar visiwa vilivyo na historia ya nidhamu na heshima, leo kwa sababu ya uhuru waliopewa kila mtu anafanya anavyopenda. Visiwa vina nuka kwa uchafu kwa kuvunjiana heshima na kwenda uchi kike kiume. Ndio mana visiwa vimekosa barka, joto na njaa ndio vimetawala.
Mashallah ahsant mumefny vzr
Apo kwenye stara mumeiona kwenye makachu tu ilhali jamii nzima y zanzibar imechafuka watu wanatembea uchi na mabaa yamejaa sv
Kweli kabisa lazima Serkali iwe makini sana na hawa vijana wa Makachu maana walkuwa washanza kupotea .
Yaani kazi yao ni kufanya fujo tu na mambo ya ulaanifu hapo forodhanii. 🏝️
Sawasawa ❤
Mawazo yangu waachiwe wanaume tu wafanye hayo makachu.
Hata hayo marasta wasiruhusie si utamaduni wetu wala si katika uislam
kwanini wanawake hushima ngani hiyo.
Fursa imegeuka deal, ukichunguza sana utakuta mkubwa kageuza MTAJI wake. Moja ni hili la kuwapa sare maalum😂😂😂
Duu mnaruhusu wanawake hapo mtihan huu
Siku zote mlikuwa wapi bwanaweee ahhhh
siruhuda wanawake.
Vijana wajitafutia ajira sasa hivi serikali ndio inatafuta sheria tele mpaka bima mh. Wapeni masharti wafuate ya kawaida tu lkn kuanza kuwaekea mambo ya eti uniform mh hapana kwa kweli
NAMIMI NAOMBA SERIKALI ECHIMBE ZAIDI KINA CHA MAJI APO
Pia kiewepo kifungu kinachowataka hao wapiga makachu hawatumii au kuuza madawa ya kulevya. Katika hayo marasta yanaficha vidonge vya dawa za kulevya, pia kiwepo kibanda cha cha Polisi kuhakikisha usalama wa raia na wageni, na mateja wakioneokana hapo au wanazurura na kupita kutoa matusi ya nguoni wakamatwe. Utawaona mateja wanazurura ovyo na kuwaghasi watalii wakijifanya wao ni watembezi wa watalii. Mateja wanaudhi sana humu majiani.
Kweli kabisa..alafu vijana wengine ni wezii wanakwenda pale forodhani kwa ajili ya kuibia watu tu.kwa hlyo na hilo pia Serkali iliangalie
Ahhh hawa banaa waheshimiwa ovyoo sijui wanakaa na nani hupanga huo utumboo ahhh haya bana
Mtu hajui kuogelea mnamruhusuje na hiyo ambulance hosptali hazina leo muweke hapo mh
Msituzinguwe mbwana masharti mpk nguo ah me nikirudi napika makachu frsh
Sisi tumepiga makachu vichwa vyetu vinaheshimika Leo imekuwa kero halafu sisi tulikuwa hatupig makachu na wanawake na wanawake wakijiheshim.foro mmeigeusa sehem ya siasa wapen kazi hiyo sio ajira km ajira je wanalipa kod.
Kwa mtazamo wangu mimi, hii kazi ni hatarishi... Kuna haja ya kujenga public swimming pool! 😅
@@JCMaxima km kweli wanawapenda hakafu utamadun umepotea sahivi vipambio tu
Wajengeeni njia maalum ya kupita wanapo piga makachu(RAMP) ili kupunguza ajali
Navyakul pia muwawek Bahar inatiy njaa
MKURUGEZI NAOMBA KINA CHA MAJI KIONGEZWE AU KUCHIMBWA ZAIDI
WATAFAUTE KAZI WAFANYE, HIYO SIO KAZI KAMA NI KUOGELEA NA WAOGELEE SEHM NYENGINE, WAPEWE FIBER WAVUE SAMAKI.
Jambo usilolijua hawa watu wanapata mpaka safari za nje we umekaa hapo wapewe mishipi.