AINA 4 ZA AKIBA MUHIMU KWA MAFANIKIO YA FEDHA | Victor Mwambene.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 19

  • @MosesKivike-z9q
    @MosesKivike-z9q Місяць тому

    Much thanks brow fir your wisdoms

  • @HappyZinga
    @HappyZinga 3 місяці тому +1

    Nimekuelewa Sanaa ...toka NIMEANZA kukufatilia nimebadilika mnoo

  • @AmadeRachide-z1d
    @AmadeRachide-z1d 3 місяці тому

    Nakuelewa sana kaka kwa kazi mzuri from Mozambique 🇲🇿🇲🇿

  • @ShekhaJamal-t7f
    @ShekhaJamal-t7f 3 місяці тому +1

    Nimesubiri kwa hamu hili somo mungu akuongezee

  • @janetmbwana553
    @janetmbwana553 22 дні тому

    👏👏👏👏👏👏

  • @rosemarysulle9288
    @rosemarysulle9288 3 місяці тому +1

    Victa huwa nakuelewa sana.

  • @BennyPhilip-zq7vb
    @BennyPhilip-zq7vb 3 місяці тому +1

    Mie naitaji hcho cha kanuni 20 za fedha

  • @Edsonnyampundu-v4l
    @Edsonnyampundu-v4l 3 місяці тому

    Asante kaka asaiv nipo vizuri

  • @AshaKachapuka
    @AshaKachapuka 3 місяці тому +1

    Kaka nimekuelewa sana haya ni mafunzo tosha

  • @ibrahimgeorge4656
    @ibrahimgeorge4656 2 місяці тому +1

    Mada yko nizuri ila wewe una angalia upande moja wenye kipato cha chini uja angalia kama bodaboda na mama lishe

  • @ShekhaJamal-t7f
    @ShekhaJamal-t7f 3 місяці тому

    Kaka shukrani sana tena sana

    • @LeonardNdimbo
      @LeonardNdimbo 3 місяці тому

      Mambo vp ndugu kuptia huyu ndugu ebu nielekeze na mm mkuu

  • @maria5514-u2g
    @maria5514-u2g 3 місяці тому

    Mm naomba unisaidie wap niweke pesa ya dharura
    Wap niwekeze na wap niweke akiba
    Msaada kaka Victor

  • @HusnaSharifu
    @HusnaSharifu 3 місяці тому +1

    Sasa MTU anapokea lak3 anaibajet vipi nielekeze yaani asilimia ngap

    • @Haruniiibareee
      @Haruniiibareee 3 місяці тому

      Laki tatu kubwaa yote hiyo unashindwa nini????Mim laki na nusu nanaweza

    • @HusnaSharifu
      @HusnaSharifu 3 місяці тому

      @@Haruniiibareee we nielekeze Tu jamani sielewi najikuta miez inasoma siwez eka akiba

    • @yasinikateula6605
      @yasinikateula6605 3 місяці тому

      Tumia 50/30/20

    • @yasinikateula6605
      @yasinikateula6605 3 місяці тому

      ​@@HusnaSharifutumia 50/ 30 /20