BABA LEVO AMJIBU DUMA UTACHEKA..! "BONGO MOVIE WANALIPWA ELFU 30,WANAJAZANA SEHEMU KAMA NYUMBU"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 366

  • @mamy8220
    @mamy8220 Рік тому +46

    Baba levo namukubali sana anaongea ukwel 💖💖🙏🙏👋👋amuna shida apo

  • @vicentmlumba591
    @vicentmlumba591 Рік тому +37

    Ivi babalevoo Akilii nyingi hiziiii unatoa wapii 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🤣🤣🤣🤣 salute

  • @kabandilwafariala6093
    @kabandilwafariala6093 Рік тому +37

    Mwamba Uyu Hapa…Nyumbu kama Nyumbu😂😂😂But he’s absolutely Right.

  • @youngtynna4748
    @youngtynna4748 Рік тому +12

    Milioni kwa mwezi Yuko floo ya chini nakaa nae hapo baba love 🔥😃😃😃

  • @omarypetro2419
    @omarypetro2419 Рік тому +1

    Kweli hawa MANYUMBU sasa hapa wanamaindi nini cha zaidi mbona mwamba yupo sahihi tu - hawa wanaojitokeza na kummaindi mwamba nafikiri nyuma ya pazia wanafaida zao binafsi juu ya swala hili ndomana mapovu kibao. #BABALEVO usiogope.✊✊✊

  • @legolitto3d561
    @legolitto3d561 2 роки тому +37

    Selfie kontena🤣🤣🙌🙌huyu ndio b levo baa fundi majumba ya self kontena😅😅🙌🙌🙌❤️

    • @deospackle2158
      @deospackle2158 2 роки тому

      Mambo ya mention😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂that enough!!

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 Рік тому

      Hahaha nimecheka wallah 🤣🤣🤣🤣

  • @givenjackson5449
    @givenjackson5449 Рік тому +26

    Mchaga og Hana mbavu aisee anaenjoy sana❤️🤣🤣🤣

  • @rosemahenge9071
    @rosemahenge9071 Рік тому +22

    Mwamba huyu hapa 🤣fundi majumba nakukubali halafu nakukubali tena🥰🥰

  • @veenpoul900
    @veenpoul900 2 роки тому +44

    Hahahah niliisubir kwahamu sana hii vita yaduma mtaalamu fundi manyumbaa,,,,,the guy is very funny

  • @hhurbert
    @hhurbert Рік тому +7

    Moja kati ya watu makini sana ndani ya WASAFI industry.

  • @imanimbaga3549
    @imanimbaga3549 2 роки тому +41

    🤣🤣🤣 sasa Duma ana mind nini wakati huo ushauri uko sahihi kabisa! Ila nikikumbuka hiyo nyumbu sasa 🤣🤣🤣🤣

  • @mosesmacha1080
    @mosesmacha1080 Рік тому +19

    Baba Levo ni Mwamba, big up!!!

  • @chiefkaitaba8293
    @chiefkaitaba8293 2 роки тому +23

    Aahhh ukweli mtupu alouongea #Babalevo

  • @ibrahimfarha3853
    @ibrahimfarha3853 Рік тому +15

    Bongo movie Baba level anawapenda anataka mjiongeze

  • @fredrickmatiku7783
    @fredrickmatiku7783 Рік тому +24

    Wasafi mediaaa ni media kubwa sana yaani interview ya Babalevo siku mbili Ina views 85k kuna msaniiii katoa album nyimbo youtube siku ya 5 views 25k

  • @bhtmtk3313
    @bhtmtk3313 2 роки тому +13

    Uko sahh kabsa Baba levo wanajlundka ur right

  • @ibrahimyusuph4908
    @ibrahimyusuph4908 Рік тому +15

    😂😂 ukwel sikuzote unauma baba ake levo tuachie nyumbu wetu sisi aseh 😂😂😂🤣

  • @damaskisamalala9635
    @damaskisamalala9635 2 роки тому +35

    Hahahahaaaa uyu jamaa asiwe anahojiwa atatuvunja mbavu🙌🙌

  • @mikeotada1690
    @mikeotada1690 2 роки тому +7

    Namuelewa sana

  • @nyauclassictv805
    @nyauclassictv805 2 роки тому +22

    Ila kama ameongea ukweli Industry ya Bongo Movie ipo cheep sana Tz.

  • @welcometoeat165
    @welcometoeat165 2 роки тому +37

    Asilimia kubwa ya bongo movie hawana kazi ambazo nje uigizaj zkawa znawasogeza ndomana wanapapatka na vtu vdogo 😢 Sasa 30 mtu anachanganyikiwa naona huruma

    • @kiri5807
      @kiri5807 Рік тому +1

      wanachokitizama wao ni jina star . Ukimtizama analala njaa ikisha kujifanya kuisji maisha ya kifakhari kumbe usanii tu .

    • @baimarrajahbuayan6237
      @baimarrajahbuayan6237 Рік тому +1

      Ye anahuakika Gan kama wanalipwa 30

    • @gloryemmanuel1695
      @gloryemmanuel1695 Рік тому

      KINACHOSABABISHA IWE HIVYO NI NINI?ACHA KUONGEA VITU USIVYOJUA

    • @welcometoeat165
      @welcometoeat165 Рік тому +1

      @@kiri5807 hapohapo ni ukweli kabisa! Ustaa wameweka mbele kulko maslah! Wanajituma Sana lakn wanaofaid jasho Lao ni wengne so sad

    • @tatotato506
      @tatotato506 Рік тому

      UYO BABA LEVO YEYE NJE YAMZIKI ANAKAZI GAN ZAIDI YAUCHAWA NAKUMSIFIA BWNAAKE MOND

  • @officialnadoboytz1005
    @officialnadoboytz1005 Рік тому +8

    Hasa hiyo inaubaya gan sasa hela Nimezitowa wap 😂😂😂 Baba Levo jaman 😂😂

  • @raheemcoprovan7705
    @raheemcoprovan7705 Рік тому +3

    Huyuu jamaa anaongea point mno ila kulingana na masihala aliyonayo ndomana watu wanaona kama anawakejeli cos katika hii dunia kila kitu kinaanza na ww mwenyewe kujibrand msanii ni kaz yake yeye mwenyewe if leo ukikubali elfu 20 kesho uwez kataa hiyoo pesa na inshu kama zamalipo huwa zinaenea kulingana na umaarufu wako

  • @princehenry7113
    @princehenry7113 Рік тому +12

    😁😁😁😁unatudharau sana baba levo mbwa weee😁😁

    • @ramadhanikawele2475
      @ramadhanikawele2475 Рік тому

      Kawaambia ukweli

    • @princehenry7113
      @princehenry7113 Рік тому +1

      @@ramadhanikawele2475 yaani we acha tu... Ni ukweli mtupu... Sie wasanii wa bongo move hatuna tofauti na nyumbu🤣🤣🤣🤣🤣

  • @japhethanunda4362
    @japhethanunda4362 Рік тому +3

    Babalevo is very creative about thinking.

  • @Amisikashindi.
    @Amisikashindi. Рік тому +10

    Baba levo eti siwezi toa bila diamond visije kubuma 🤣🤣🤣

  • @josephswai2374
    @josephswai2374 Рік тому +4

    Sasa iv wengine wapo arusha kwa nabiii mkuuu

  • @guccij6236
    @guccij6236 2 роки тому +25

    Nnacho mkubali Babalevo hua anasema ukweli 🤣

  • @juliasbeda2894
    @juliasbeda2894 Рік тому +1

    B levo nakukubali sana

  • @niffonlinetz7214
    @niffonlinetz7214 Рік тому +6

    B LEVO BAAAAAA JAMAA UNA AKILI NYINGI SANA

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 2 роки тому +15

    Namkubal saaan bab lev 🔥

  • @zaikokingnil7727
    @zaikokingnil7727 Рік тому +5

    Baba levo kaongea kweli, anawa challenge tu

  • @leahally4618
    @leahally4618 2 роки тому +9

    We ishi tu babalevo unatupa Raha yan duma ampotezee tu uyu mtu hauez mchukua asee😂😂😂😂

  • @kushkabulika4074
    @kushkabulika4074 Рік тому +4

    Huyu brother nimekubali 🤣🤣🤣🇲🇼🇲🇼🇲🇼

  • @alouisejohn7752
    @alouisejohn7752 Рік тому +1

    Waha noma sana hawajitambui man

  • @patrickmukundichalamila3038
    @patrickmukundichalamila3038 Рік тому +2

    B Levo Mr miakili mingii,Shamsford Kesha kuwakilisha kuwajibia kuhusu Wana bongo movie. Kujiaajiri ni jambo la maana.

  • @josephlugala3182
    @josephlugala3182 Рік тому

    Nimekuelewa b levo

  • @assab3167
    @assab3167 Рік тому

    Unajua sana

  • @imanicharles8538
    @imanicharles8538 Рік тому +2

    The man I do salute everytime G Nako collabo yake Ina miaaka minne,

  • @othinielkamyola3697
    @othinielkamyola3697 Рік тому +2

    USHAURI WA BUREEEE

  • @yuzotv458
    @yuzotv458 Рік тому +3

    Aliecheka kwasauti baada ya Babalevo kumchana mtangazaji Kuhusu kumtegemea Mondi Alike twende sawa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.

  • @prosecutorprince281
    @prosecutorprince281 Рік тому +3

    Hahahahahaaa bora kanumba angekuwepooo, safi sana baba leeeeeevoooooooo🤣🤣🤣🤣🤣

  • @zuwenaalamin8985
    @zuwenaalamin8985 Рік тому +11

    Baba revo anatia hasira🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 huwa nacheka sanaa

  • @hassankereph3712
    @hassankereph3712 2 роки тому +28

    😂😂😂😂 saa 8:23 wapo bagamoyo😂😂😂😂😂😂😂😂😂 baba levoooo

  • @ayubukassim7995
    @ayubukassim7995 Рік тому +14

    😂😂😂😂😂 Dah B levo Ba anasema Ngumi hataki

  • @zayumar2955
    @zayumar2955 Рік тому +11

    😅😅😅🙌🙌🙌 alaf et umnunie babalevo🤣🤣🤣🤣

  • @bekarpaul
    @bekarpaul Рік тому +8

    😂😂😂😂..... Dah baba levo leo umenifanya nicheke sana bro

  • @saidkuwingwa485
    @saidkuwingwa485 2 роки тому +14

    Tupo tayari kwa elfu 70 sabini🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣💪

  • @mathiaslyamunda2526
    @mathiaslyamunda2526 Рік тому +5

    Wasijirudike Kama nyumbu Hilo ni kosa ? 😂😂😂😂

  • @denisngoinde3693
    @denisngoinde3693 2 роки тому +10

    Hahahaha ili jamaa linasemaga ukwel afu linachekesha et eeeh namtegemea mwehu nn

  • @trustvideoproductiontztrus4736

    Aisee

  • @erickmichaelmugele2107
    @erickmichaelmugele2107 Рік тому +7

    Ukiwa Serious na Baba levo utaumia sana😂😂😂😂

  • @moriscollins4494
    @moriscollins4494 Рік тому

    Ila kweli kwenye vipindi mpk home bongo movies hawana maisha utakuta jina kubwaa harafu analala kamlango kama kwa mganga....kutwa kuingiza kwenye majumba ya watu ya kifahari

  • @robsonwisdom1994
    @robsonwisdom1994 2 роки тому +15

    Nyumbuuuuuuu sanaaaaaaa

  • @miburoaaron1804
    @miburoaaron1804 Рік тому

    Tunawapenda sana

  • @uhakikamedia9759
    @uhakikamedia9759 Рік тому +1

    Ukweli mchungu

  • @isaackobelo6650
    @isaackobelo6650 Рік тому +4

    Tuongee tukishindwana kila mtu aende kwake🤣🤣🤣🤣 baba levo

  • @alimkumbukwa8363
    @alimkumbukwa8363 2 роки тому +3

    Baba levo fayaaaaa Sana hahhh

  • @elizabethhonere2931
    @elizabethhonere2931 Рік тому

    Ila una ushauri mzuri sana japo unapiga kwenye mshono aloo

  • @robertempire9542
    @robertempire9542 2 роки тому +11

    Kweli unachokisema baba levo....

  • @Chimamy5242
    @Chimamy5242 Рік тому +5

    Hii vita naifananisha na ya gigi na diva..mmoja anapanic mwingine kutia hasira😂😂😂😂

  • @uwimanauwimana7692
    @uwimanauwimana7692 Рік тому +3

    Baba levo nikwako umejenga kweli we kicha 😁😁😁

  • @kamanapetermayenje6249
    @kamanapetermayenje6249 Рік тому +1

    Daaaah

  • @yama_virginhairthequeen1065
    @yama_virginhairthequeen1065 2 роки тому +3

    UKWELI UNAUMAAAAAAA

  • @alexjovin2981
    @alexjovin2981 Рік тому

    Nakukubali

  • @asaadalbusaidi1870
    @asaadalbusaidi1870 2 роки тому +21

    We baba levo mambwamwe 😂😂😂👍

    • @MrNdanguza
      @MrNdanguza Рік тому

      Hahaha kihaa inafanana na kirundi

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 Рік тому +3

    Baba levo hapoi haboi❤️

  • @jelasnkoma4240
    @jelasnkoma4240 Рік тому +2

    😂😂😂 dakika ya 3:13 Mwijaku kalipwa Mamilioni ya Pesa, Wao wakalipwa Perdiem"

  • @faudhiamalllata290
    @faudhiamalllata290 Рік тому +3

    Babalevo tunakupenda

  • @mymbaralitv2968
    @mymbaralitv2968 2 роки тому +8

    Gari limewaka😁😁😁😁

  • @albogastmselejr4583
    @albogastmselejr4583 Рік тому +1

    Hili Jamaa Nalipendaaa Kinoumaaa Be Levo Bar

  • @rocyncathbert4527
    @rocyncathbert4527 2 роки тому +7

    Nlijuaaa tuuuuuu😂😂😂

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 Рік тому +4

    Dah baba levo umenishinda tabia🤣🤣🤣🤣🤣

  • @azizamohamed7692
    @azizamohamed7692 2 роки тому +12

    Ila kama kunakweli iviii 😂😂😂

  • @silverman6930
    @silverman6930 2 роки тому +38

    He’s right… absolutely.. 😂😂😂😂

  • @selestinsongola2787
    @selestinsongola2787 Рік тому +3

    Ila kweli lazima tuwe na dhamani wasanii was bongo move unashoot weee unapewa 30 au 20

  • @Jjstarfashion3567
    @Jjstarfashion3567 Рік тому +7

    hahaahahahaha...nimecheka mpaka basi baba levo ni atari

  • @jamessimba749
    @jamessimba749 2 роки тому +9

    WAMEMCHOKOZA WENYEWE

  • @panchovalentino3576
    @panchovalentino3576 Рік тому +3

    B Levo blue chawaaa 😄😅 hatar saaana 🔥💯👏💪

  • @claudianijohnmakaranga1620
    @claudianijohnmakaranga1620 Рік тому

    Ww baba levo ni mtiaji sana

  • @luckynoah
    @luckynoah Рік тому

    Baba levo noma san

  • @TamuzaKale
    @TamuzaKale 2 роки тому

    Sio rahisi. Kujibrand unahitaji pesa. Wao pesa wanapata wapi? Huko ndiko kunawapeleka wauze dawa za kulevya na kupata mabwana wenye pesa wawabanduwe hadi watoto wa kiume. Ni kheri mtu uishi kwa urefu wa kamba yako badala ya kufosi mambo. Baba Levo anawafundisha kufake maisha ili uwone wa standard ya juu!

  • @richachenje6622
    @richachenje6622 Рік тому +2

    Fanya vita yamaneno na mtu yeyote sio baba levo ukimtukana anakusaidia kama umesahau na hichi ila akikutukana yy lzm uwe na mhaho

  • @hemedytengu5718
    @hemedytengu5718 Рік тому +1

    Hahahahah😂😂 banana levo bhana et ukinipiga ngumi nakimbilia polisi, yeye Hana mambo yangumi

  • @nba_fortunebello255
    @nba_fortunebello255 Рік тому +3

    Mbona Collabo ya Hbaba na Diamond Platnumz huizungumzii 😎

  • @godymaster8727
    @godymaster8727 Рік тому

    Nikweli

  • @deejeydaev
    @deejeydaev Рік тому

    Huyu mwamba namkubali Sana sijawahi pitwa na interview zake

  • @franknicodemas8799
    @franknicodemas8799 Рік тому +1

    Imeandikwa amelaaniwa amtegemea binadamu mwenza kwa maana moyoni mwake hakuna mungu

  • @mumuog7876
    @mumuog7876 Рік тому

    Daaah baba levo Mungu anakuona jaman nyumbu siyo lugha nzur ujue kuwa nyumbu hawana akili kabsa

  • @dunstannyange7509
    @dunstannyange7509 Рік тому

    Umeongea ukwel baba levo hao bongo movie ni vilaza watup

  • @lebelgross2656
    @lebelgross2656 Рік тому +1

    Kila siku unampya bilevo balaa, ep hutaki ibume mjanja kweli kweli

  • @allykhalid8249
    @allykhalid8249 Рік тому

    Kaka unajua bhana

  • @isaackobelo6650
    @isaackobelo6650 Рік тому +2

    Msijirundike hilo ni kosa? 🤣🤣🤣
    Msiende kama nyumbu hilo ni kosa🤣🤣🤣🤣

  • @edinakyaruzi9226
    @edinakyaruzi9226 Рік тому +1

    Nikweli 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁 ucjiweke chp sikupendi baba lev ila leo nimejifunza na mimi

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 Рік тому +13

    Baba Levo❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @judithhermann233
    @judithhermann233 Рік тому

    Dat enough

  • @ngassajason3990
    @ngassajason3990 Рік тому +1

    nakukubali xana jexh lang ila tu nkuombe kitu punguza ukwel kdogo maana ukwel cku zote huwa unauma xana

  • @KulwaMwankanye
    @KulwaMwankanye 2 місяці тому

    Baba levo bwana

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 Рік тому

    Baba levo yupo sahihi

  • @kizitokasulamo9167
    @kizitokasulamo9167 Рік тому +5

    🤣🤣🤣🤣🤣 ila baba levo dah lakin kasema ukwelii