BABA LEVO AMUOMBA DIAMOND AMPANDISHE CHEO - "UCHAWA NAMUACHIA H BABA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 185

  • @PItty322
    @PItty322 2 роки тому +13

    Baba levo ndiye amekomaa tuh wasafi group

  • @kph_news
    @kph_news Рік тому +1

    Baba Levo, much love from Kenya. 🇰🇪🇰🇪

  • @andreabarnaba3054
    @andreabarnaba3054 2 роки тому +26

    Ila baba levo ww ni comedy big up brother

  • @nahanakadiri3969
    @nahanakadiri3969 2 роки тому +22

    Baba Levo mi nakupendaga bure aswa unapoongea na kucheka kiboso yn unaniachaga hoi,afu unavyowapasha live km utani lakn kweli

  • @sophiapeter7843
    @sophiapeter7843 2 роки тому +1

    Kakangu B levo Ba.ivi mmemsikia diamond jaman anamwita kaka.very humble

  • @issmuking3987
    @issmuking3987 2 роки тому +12

    diamond una kichwa nnachokikubali😁😁😁👏

  • @othmanjamal1849
    @othmanjamal1849 2 роки тому +4

    Baada mungu wazazi baba na mama ilo haliepukiki

  • @leonardkambona3608
    @leonardkambona3608 2 роки тому +6

    Jamaa anajua kupangilia speech kabsa knoma yany

  • @ahmedjuma8664
    @ahmedjuma8664 Рік тому +1

    Baba levo nichawa mzuri

  • @MrTop-wj7no
    @MrTop-wj7no 2 роки тому +17

    😂😂😂😂 Baba Levo kweli ni Baba lao kabisa

  • @irenebeddah6524
    @irenebeddah6524 2 роки тому

    I luv u baba levo

  • @rajeep-ni7lh
    @rajeep-ni7lh 2 роки тому +5

    Baba levo 😃😃😃😃😃😃😃😃😃

  • @alicechambaladainty6851
    @alicechambaladainty6851 2 роки тому +14

    Baba levo ameongea vizuri sana leo jmn

  • @stonnerke7901
    @stonnerke7901 2 роки тому +30

    HUYU BABALEVO BANAAA😂😂

  • @husseinchea5524
    @husseinchea5524 2 роки тому +33

    Jamaa ana kipaji cha kuongea na cha uchekeshaji

  • @boniphaceantony4807
    @boniphaceantony4807 2 роки тому +19

    Ukweli ndo huoo...umeshindaa mwambaaa

  • @kabandilwafariala6093
    @kabandilwafariala6093 2 роки тому +25

    I was almost crying because Baba Levo made me laugh so hard.

  • @pozclever854
    @pozclever854 2 роки тому +15

    😀😀😀 kweli kweli B levo

  • @hamishamis8848
    @hamishamis8848 Рік тому

    Nice talk b.levo mtaalam

  • @aminamodi8927
    @aminamodi8927 2 роки тому

    Baba levo karibu anajifungua mtoto wa mondi

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 Рік тому

    baba levo ni poa kweli..na enjoy mno matani zake yaani adi raha kweli kweli...baba levo oyeeee😅

  • @amanikazinja4855
    @amanikazinja4855 2 роки тому +20

    Baba Levo ni comedian Ila ana akili nyingi

  • @stevenkimaro65
    @stevenkimaro65 2 роки тому +2

    Baba levo unajuwa sana

  • @antonymasha6593
    @antonymasha6593 2 роки тому +4

    I like this man

  • @abdoulkarimmabulu1416
    @abdoulkarimmabulu1416 2 роки тому

    Baba levo

  • @Sunshine0222
    @Sunshine0222 2 роки тому

    Baba levo ake❤️❤️❤️❤️

  • @andreabarnaba3054
    @andreabarnaba3054 2 роки тому +12

    🦁🦁🦁🔥🔥🔥🔥

  • @morofox3349
    @morofox3349 2 роки тому +10

    Baba levo kaongea kirundi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @munyentwariissa6534
    @munyentwariissa6534 2 роки тому +8

    Mwabwamwe, kwa kirwanda ubwa nyiyi, ndomanaake!

  • @kenadomedia8244
    @kenadomedia8244 2 роки тому

    Big love from Kenya

  • @ideagene6045
    @ideagene6045 2 роки тому +1

    Cool #official_tella

  • @iddibin4799
    @iddibin4799 2 роки тому +7

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣😅😅😅 Baba levo jamannniiiiiiii mbavu zanguu mimi

  • @gakwisijeovany694
    @gakwisijeovany694 2 роки тому +3

    Nakupenda Baba Levo.

  • @chibubinladen7115
    @chibubinladen7115 2 роки тому +3

    Nakubal be level baa

  • @saidemuamedeali2678
    @saidemuamedeali2678 Рік тому

    Uwongo wasafi bet ni wa kenya

  • @frankfelix3876
    @frankfelix3876 2 роки тому +1

    Safi sana b levo baaaaaaa

  • @KoreanDramaMoviesKiswahili
    @KoreanDramaMoviesKiswahili 2 роки тому +3

    🔥❤🔥

  • @J_a_s_o_n
    @J_a_s_o_n Рік тому +1

    Kuendeleza SHETANI TANZANIA!
    TAFUTENI MUNGU!

  • @GodfreysamwelGodfreysamw-zk2rj

    Jama uyu noma

  • @imanaamen1533
    @imanaamen1533 2 роки тому +3

    So exactly what about peoples who live in Rwanda and Ouganda

  • @qtrqtr8016
    @qtrqtr8016 2 роки тому

    B levo

  • @omaryhajji1393
    @omaryhajji1393 2 роки тому +7

    Baba levo na mwijaku nawaelewa sana 😂😂😂😂

  • @mumenguvuze2093
    @mumenguvuze2093 2 роки тому

    Diamond ni mwekezaji mahiri sana.... From music/ artist and production, Media , Bet, Real estate , Hospitality... wow !!!! . Next .... transport . halafu amalizie MANUFACTURING ... Huyu jamaa has it all planned ... How he has managed to evade the mine field that is called SLAY QUEENS inspite of having them in his life .. is beyond research.

  • @uwezomrpose8594
    @uwezomrpose8594 2 роки тому +13

    Diamond wende tu mujini nababa levo tuwe tunacheka

  • @ahmedysaidy9874
    @ahmedysaidy9874 2 роки тому +2

    Unalaana wew bila ya babako na mamako dimond asingekujua mungu wapili dunia ni wazazi wako

    • @omaryhajji1393
      @omaryhajji1393 2 роки тому

      Kabisa hapo ndo anapofeli baba levo

    • @aljalilatiba9873
      @aljalilatiba9873 2 роки тому

      Hakuna mungu wa pili ila mungu ni mmoja tuu sawa hafananishwi na chochote

    • @ahmedysaidy9874
      @ahmedysaidy9874 2 роки тому

      Umenielewa vibaya huyo alichomaanisha anamtukuza dimond na kumpa cheo baada ya mungu ni yeye na wew inavyonyesha hilo imelikubali lkn mm nimelipinga na wala sijatolea mfano wa mwenyezi mungu najua kama hukuzaa na wala hakuzaliwa na wala hafaninishwi na kitu chochote hapa dunia sikuwa na mawazo kama ulivyodhani wew hizo fikra zako zipeleke uko astaghfilullah usinishilikishe kwenye dhambi nilchokikemea ni hicho kitu anachokifanya kumtukuza mtu kuliko wazazi wake waliomzaa hiyo ni laana itamtafuna.

    • @ahmedysaidy9874
      @ahmedysaidy9874 2 роки тому

      Kama kwel unaijua dini mngekuwa mnawekw darsa lkn nyinyi ndio mnafanya watu wanakuwa wapumbavu hawajui dini kazi yenu kuingia kwenye comment na kuangalia watu ilimuuze dawa za nguvu za kiume Ili watu wakazini.

  • @seiflugendo7141
    @seiflugendo7141 Рік тому

    Ukiachia uchawa utafanya kazi gani

  • @ShaqueeBlackrapper
    @ShaqueeBlackrapper 2 роки тому +5

    Namkubali sana Diamond anawabeba sana wakongwe waliopotea kwenye game

  • @ibrahimsadick6137
    @ibrahimsadick6137 2 роки тому

    Baba levo anafurahisha

  • @saidsalim2561
    @saidsalim2561 2 роки тому +2

    Kamari haraaaamu

  • @joyzach8820
    @joyzach8820 2 роки тому +3

    😂😂😂😂 baba levo eti mwijaku mwehu tunaee nimecheka kwasauti jamani

  • @BoysOverFlowers002
    @BoysOverFlowers002 2 роки тому

    Baba Levo Chizi😁😁😁

  • @issamvugusi9030
    @issamvugusi9030 2 роки тому

    Nakubal kizazi sana bb levo

  • @alimasimbuto8100
    @alimasimbuto8100 2 роки тому +7

    Baba levo 😂😂😂😂

  • @SalimaBuneku
    @SalimaBuneku 4 місяці тому

    🎉🎉🎉🎉🎉🦁🦁🦁

  • @monicasilayo7015
    @monicasilayo7015 2 роки тому

    Noma sana

  • @fredmapunda
    @fredmapunda 2 роки тому +1

    Wewe jamaa ni noma sana

  • @Waytozanzibar
    @Waytozanzibar 2 роки тому

    Hapo kwenye kula kujigaragaza 😋 ingia Tiktok kisha andika waytozanzibar ili uone kula kujigaragaza haha 😂

  • @yusa_jay
    @yusa_jay 2 роки тому +2

    Dah!ila babalevo mi namkubali sana🤣🤣🤣🤣

  • @LadouceurTony
    @LadouceurTony 2 роки тому +8

    Hahahhaha b leve kwani unanini

  • @geraldtarimo3210
    @geraldtarimo3210 2 роки тому +1

    Kigoma,Mara,nyange

  • @kidawajuma5884
    @kidawajuma5884 2 роки тому

    B, levooo

  • @saidemuamedeali2678
    @saidemuamedeali2678 Рік тому

    Duu huruma

  • @samwelkisaka8747
    @samwelkisaka8747 2 роки тому

    Nakupenda mondi

  • @al_hashamneymah1340
    @al_hashamneymah1340 2 роки тому

    B levo baaa

  • @Sunshine0222
    @Sunshine0222 2 роки тому +5

    😁😁😁dah

  • @uhaitvnevergiveup9306
    @uhaitvnevergiveup9306 2 роки тому +2

    Baba Levo karavuzeee 😂😂😂😂

  • @gilbertmalamsha308
    @gilbertmalamsha308 2 роки тому

    Kwa hiyo diamond ni Zaid ya mama na Baba yko.nimekushusha heshima kubwa jinga

  • @revk7747
    @revk7747 2 роки тому +3

    Sielewi hiki kizazi chenye huu utamaduni wa kuamini na kuthamini KAMALI kama njia za kupata kipato, badala ya kujishughulisha, kufanya kazi na kuzalisha bidhaa. It's time serikali ichukuwe hatua kudhibiti huu upuuzi.

    • @rabsontryphon9254
      @rabsontryphon9254 2 роки тому

      Akili umeacha nyumban nn
      Unataka unavotafta na wengne watafte pesa kama ww? We komaa kivyako usilazimishe na wwngne wafanye unavopenda ww acha ujinga mala moja

    • @jumbeojaso5767
      @jumbeojaso5767 2 роки тому

      @@rabsontryphon9254 usikurupuke kujibu nchi au familia hazijawahi jengwa na ku BET.
      Tukiendekeza kubet nchi hii utakuwa ya mazuzu kama ww, unayetamani utajiri bila kutoa jasho.
      Endekeza bet utaiona mwisho wako.

    • @masundelwa
      @masundelwa 2 роки тому

      fanya yako

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 роки тому +6

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️✌️.

  • @mzadomwongozo3671
    @mzadomwongozo3671 2 роки тому +6

    B levo BAAAAAAAAAAAA🤣🤣

  • @mohamedabubakar4694
    @mohamedabubakar4694 2 роки тому

    Per diemuu 😁😁😁😁

  • @jonhmashin2731
    @jonhmashin2731 2 роки тому

    Tupo pamoja

  • @MeriseMwampondele.
    @MeriseMwampondele. 2 роки тому

    Hb

  • @ellylanda8374
    @ellylanda8374 2 роки тому

    Eti ingwe

  • @jimyjastini9995
    @jimyjastini9995 2 роки тому +2

    ❤🦁💎🙏💪🔥🔥🔥🔥

  • @mtazycomedy
    @mtazycomedy 2 роки тому +7

    Uzur wa wcb wanarudisha kdg kafungu

  • @davialkejo6787
    @davialkejo6787 2 роки тому

    Aliee pata kapata tu 😔😔 watu wanajimaliza wenyew

  • @angelicque_officiall
    @angelicque_officiall 2 роки тому +6

    Babalevo 😂😂😂😂😂

  • @noorynmohammedy6063
    @noorynmohammedy6063 2 роки тому +1

    hata wazazi wko hawana thamani mbele ya diamond platnumz duuuh hata hyo Mungu hyupo radhi naww baada ya Mungu Mtume arafu wazazi ndo wafate hao watu wengine

    • @dianarobert3989
      @dianarobert3989 2 роки тому

      Wazazi wake walishafariki si lazima kuwataja kuhusu mtume sidhani kama baba Levo ni Muslim

  • @mdundotv4501
    @mdundotv4501 2 роки тому +6

    hahahahahahahaha jamaa anajua sana.

  • @evodylaurent8349
    @evodylaurent8349 2 роки тому +1

    Hahahahaha h baba sawa ila hapa hafikii

  • @john_1trader
    @john_1trader 2 роки тому

    Tunaisubili kenya

  • @sadikimi6277
    @sadikimi6277 2 роки тому +2

    True guy

  • @sirajikiluvia4575
    @sirajikiluvia4575 2 роки тому +1

    Kanzu itakuponza

  • @melkiadgangai994
    @melkiadgangai994 2 роки тому +1

    Blue chawa

  • @al-jomba7909
    @al-jomba7909 2 роки тому

    Tengenezeni Application ya wasafibet pia

  • @saiditajri4441
    @saiditajri4441 2 роки тому

    Hhhhhhh big up Sana b levo

  • @zuberkalume7053
    @zuberkalume7053 2 роки тому +1

    Mwehu

  • @fralex_1276
    @fralex_1276 2 роки тому +2

    Ila baba levo 😀😀

  • @pipiromk3178
    @pipiromk3178 2 роки тому

    Baba levo shida unaongea sana acha maneno

  • @Fatherjaybadmaan
    @Fatherjaybadmaan 2 роки тому

    Kumbe Kigoma bado kwenu,, haujahamia Moro

  • @onesmoelias2285
    @onesmoelias2285 2 роки тому

    Hahshshshah et wahanangwa

  • @lawijosephezekieli1078
    @lawijosephezekieli1078 2 роки тому +1

    Unajuwa kz piga pesa Mzee

  • @omaryadam6884
    @omaryadam6884 2 роки тому

    Heshimu wazazi wako alafu ndio afuate boss wako,

  • @kurumwagodfrey7052
    @kurumwagodfrey7052 2 роки тому

    B levo fundi majumba

  • @Rizikialiamechannel763
    @Rizikialiamechannel763 2 роки тому +1

    Baba leo mbavu zngu🤣🤣🤣

  • @jumamkwanda8031
    @jumamkwanda8031 2 роки тому +1

    Wa kwanza Mungu wa pili Diamond dah Wazazi hawana nafasi kwako🙆

  • @johnmatias2479
    @johnmatias2479 2 роки тому

    Geita jamani muje

  • @patisondidas6720
    @patisondidas6720 2 роки тому +4

    Wat wenye akili za katikat

  • @hamiskengwa6148
    @hamiskengwa6148 2 роки тому +5

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣 we mkosa Akili ww
    Uwakuroze hiyakalavye