Ongereni sana watoto wangu wa kigoma for changing negativity to opportunity.. usicheze na watoto wa kigoma ukicheza nao lazima utagoma tu.. niushauri tu... Watoto wa mkoa ulioleta ukombozi Tanzania.
Mwijaku na Baba Levo wanajua kutengeneza soko kwa wasanii wao...Jeshi na Mondi...hivi sasa wanafanya kazi pamoja...those who raise eyebrows on their beef are now hiding...these boys
Kukosa aibu ni mtihani mzito sana! Watu wazima mnajidhalilisha kwa vitoto vidogo sababu tu ya pesa! Ndiyo hata mkiambiwa mtoe roho za walio kuzaeni au mlio wazaa au ndugu zenu wa damu sababu ya pesa mnazitoa roho zao bila breki!
Ongereni sana watoto wangu wa kigoma for changing negativity to opportunity.. usicheze na watoto wa kigoma ukicheza nao lazima utagoma tu.. niushauri tu... Watoto wa mkoa ulioleta ukombozi Tanzania.
Akili yako hipo katika ukabila , sasa mwinyijaku na Baba Levo waikomboa Tanzania kwa mtindo gani ?
Uyo mwijaku monyew kazaliw morogor kakulia morogoro
I jus like the confidence of mwijaku, talks from the fact that he is learned the other is Just priiiii aaaah😂😂😂
Msomi anakuwa mjinga
🤣🤣😂😂😂 Baba levo umejua kunifurahisha ahahahaha😂😂😂. Umejua kunikerea huyo shoga mwijaku amekosa hata point ya kuongea 😂😂🤣
Their confidence is something else 🤣🤣🤣
Mwijaku na Baba Levo wanajua kutengeneza soko kwa wasanii wao...Jeshi na Mondi...hivi sasa wanafanya kazi pamoja...those who raise eyebrows on their beef are now hiding...these boys
Noma sana Hawa jamaaa 🤣🤣🤣🤣 wakiunqana kwenye mambo ya maana wanaweza kutengeneze hela za kutosha
Waha wameingia mjini😆😆😆 idea nzuri
Best interview you guys are comedians ni vile hamjui
🤣🤣🤣🤣Siamini huyu ndo mwijaku alikuwa pale tht katulia kwenye kona hachangii hata hoja, wallah nimekua nimeyaona
Kweli pesa ni kitu kingine......wasanii wanaishi kisanii sana...mwiba big up sana kwa comedy yenu hahaahah
Hawa watu wako serious sana na pesa.Big up.
Mwija Kuku, uwe unabadilisha hiyo kofia 🤣🤣🤣🤣
baba levo ameongea point kuliko mwenye diphoma/diploma ya chuo kikuu
Baba levo ni blue chawa ni level nyingne mwijaku na ujanja wako wote umezidiwa na levo
Kabisa be levo ba noma kwa maneno
😂😂😂😂😂😂hivi aliye waweka hawa pamoja aliwaza nn😂😂😂😂😂
Hawa Hawana ugomv ninjaa tu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 this two aren’t serious can’t stop laughing 😂
😂😂😂😂 Hii Mwiba tatoa Ba yangu Ubaki na Mwi yako
🤣🤣🤣🤣🙌🙌
Kaka Mwijaku respect
Best interview napenda gisi munaigiza nakubishana katika maneno yenu by the way munan laugh sana 😆 😄 🤣
This guy's are so funny
I love much baba levo
Ila Mwijaku Ni Kama Hana mshipa wa Aibu 😂😂😂
Kwan hawa watu walikuwa serious au🤣🤣🤣🤣🤣
Kigoma moja aise marumbano ya nini😂😂
Awa wajomba wanatrend kuliko ata wasanii
Mdomo ndo ugali wao hao😂😂
baba levo ajaanza kuongea nshaanza kucheka 😂😂😂
Hahahaha kumbe hawa ni Comedi sasa nimewasoma
🤣🤣🤣 Hawa wanani vunja sana… Love tokea Kenya
Team Mwijaku 🖐
Baba levo🔥🔥🔥
These guys are really a WOW
hizi ela tusipoangalia zitatupeleka pabaya maana MTU anaropoka tu
Leo Mjomba Mwijaku nakupa Big up ,umemzidi Babs Levo fundi majumba
Kwa lipi 😂
🤣🤣🤣🤣duuuh jamaa hatari sana
Nampenda sana uyu kaka
Jamani nipeni kazi maana hawa watu walikuwa wehu sasa hivi ni mawakala wa makampuni.
Guys you know what you are doing. 💪🏼💪🏼💪🏼👍
Et nmwndikia yan mwijku ni kam mvuta bangi iv..eyes says it all🤪🤪🤪
Haha,Mwijaku nd Baba levo ni fire
sipati picha mwijaku angekuwa ndo spika wa bunge 🤣
Very funny.
Naeza toa Ba yangu ubaki na mwi yako😂😂😂😂
Mwijaku 🔥🔥🔥🔥🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂baba levo🙌🙌🙌🙌
They are funny😂😂
huyu mwijaku kuma sana ndiyo maana famiria yake anaisha sana
Natafuta boss Mimi chawa mzuri tu 😂🤣🤣🤣
Mwijakuu na baba levooo
Baba levo anaakili kuliko mwijaku
Hata mimi analysis yangu inaniambia hivyo
He's not perfect although he desires to meet Diamond platnumz
Good mwijaku
Eee wapo kazini
Afu Hawa jamaa ni marafiki kinoma ukija kuangakia deep
Nimefrah sana hawa jamaa kushirikiana kufanya kaz
In Kenya we say "wacha kaumane"..
🤣🤣🤣🤣🤣Hawa ni wachekeshaji wanazingua sana
KUMBE WASWAHIRI HUJUANA KWA VIREMBA, NAONA KWA SASA HIVI HAO NI ZAIDI YA MWAMBINO NA KONDE .
B levo 👍
Watengenezee move
Kaz kaz
millad kama video ni matangazo utuombe
ALAFU KAMA HAMJUI HILI LIMWIJAKU NDO LINAMPOROMOTE DIAMOND
Mnatisha jamani
noma sana ❤️
Kofi anytime
Mimi huwa namsikitikia H baba
5:01 🤣🤣🤣
Kigoma mmepata wawakilishi🤣🤣
😜😂😂😂 nimependa uwepo wenu hapo mmenipa buludani sana leo bishana yenu ndo kulayenu namepata buludani sana leo
Chawa wote hawa
😄😄😄😄😄😄😄hhhhhhhh eti angejiandikia yy mwenyewe
Kukosa aibu ni mtihani mzito sana! Watu wazima mnajidhalilisha kwa vitoto vidogo sababu tu ya pesa!
Ndiyo hata mkiambiwa mtoe roho za walio kuzaeni au mlio wazaa au ndugu zenu wa damu sababu ya pesa mnazitoa roho zao bila breki!
Jamii yetu inaanza kukubali upumbavu wa namna hii, kuwachekea hawa wajinga ni kuendeleza huu upuuzi!
Tafuteni pesa nyie vilaza.
Punguzen makasiriko
Kina nanI?
Nyinyi muko ku dili ingine munaikaliya diamond na harmonize.
Hapo wehu wamekutana😂😂
😂😂😂😅😅 hawawatu wawili nikituko
Hahahhaah,
Toa BA ibaki MWI.
hahaaahhhaah
Machawa Bora duniani
B levo mnyama
Hii nayo ni aina ya comedian aiseee
Following
Nyinyi shawa tuu
you desrory Bongo Music
Wote niwendawazimu😂😂😂😂
Mwijaku moto wakuotea mbali
😂😂😂😂😂😂😂mpige kibao huyo
Hawajamaa kiboko💪💪💪
Hawa jamaa Ni commedian😂😂😂😂
Oyooooooo mwite baba levo mkal wakuzabua kofiii
ila kaka mwijaku unatembelea nyota ya baba levooo
Waha machawa
Baba levo umeongea ujinga flan baada ya kumushukulu mung kwanza et unamshukur raise😟
Hayo majigambo wekeni Yanga na sijui simba. Toeni pesa huko
😃😃😃🔥🔥
Baba Levo anamadini kuliko mwenye Digrii Mwaijaku.
Hawa hawako serious..wote ni ma mwehu
Baba lev saf sana
Machawa kazi mnayo😆😆😆
kwa haraka unaweza sema wako serious kumbe wapo kikazi
🤣🤣hii huwa siichoki