Kiukweli niko speechless hebu tungane kama East Africa tu support art. Issa Mungu abariki kazi ya akili yako maana haya mambo yanaitaji uwepo tu wa kufikiria. Pongezi nyote watanzania.kama umependa ubunifu please nipe like yako👌❤️🇹🇿. Real love from 254🇰🇪❤️
@@jitulamsitunifilms6387 leo naomba niwashauri BINGO MOVIES haikuwa na haja ya kuweka full movie youtube kwani njia hii haitaweza kukuingizia kipato chakutosha, So nn chakufanya ni kutafuta platform internationally za kuuzia movie mfanonzake kama Netflix zipo nyingi kama hizo
Hii movie inatufundisha Kuna kipindi mlango mmoja unafungwa ili uingie kwenye mlango mwingine kuwasaidia jamii nyingine....Yes Africa was meant to be there for help!! What a movie 👏👏
Aiseee mume nikisa asilimia mia BIG UP SANA Kwa Team nzima 👊👊 kama na wewe umekubali iyi movie, storia, uwigizaji basi gonga like apa kwa wingi sana 👊👊👊
Mwamba anajua sana nazani kama ningepewa nafasi ya kuchagua best actor for the all time ningem point huyu AFRICA Nazani hata wakina agent bavo wanahitajika kujifunza kutoka kwako 🎉🎉🎉🎉
Kilicho nivutia kwenye hii move ni sehem ya kuvunja TV na namagar inaonesha jinsi gani mlivo jipanga isarito mwigizaji wa kwanza 🇹🇿 hongera kipanga na gido lah!!nashindwa hata cha kusema hongereni sana
Aise dah, najiuliza hivi nilikuwa naangalia bongo movie kweli!!! Bonge moja la movie kaka umetisha, nilipoona tu jeshi la ukombozi nikajua unakoolekea itakuwa hatari, nimependa usmart wa walinzi
the first time nakuwa interested with our own movies,kiukwel sifa zenu mpewe u have improved a lot,mmefanya kwa kiwango kikubwa tofaut na kipind cha nyuma hope as days.goes on mtafanya makubwa zaid let's go men
kaka nilikuambia sku moja kuwa nitatafuta kila king'amuzi ambacho utaonekana finally na you tube upo tutabanana kila kona much respect bro i see you in Hollywood 👏👏👏🙏🙏
Issa Lito mwamba uyuapa since day1 anaweka record na anavunja mwenyew akuna hakuna akuna tena bongo nzima mleteni mnaemwaminia eshima kwako bro!! Love from Iraq Bagdad 🇮🇶🌍✌️✌️✌️
Africa ❤Africa ❤Africa❤ nimekuita mara 3, Unajua hadi unajua tena yan🤝👊👌, Be Blessed kaka umetisha sana 🙏🙏na feel Bongo kama mbele💃🥰, niliitafuta hii movie kwa MDA mrefu sana ila niliishia kuona trela tu😔, but am glad nimeiona 2pe ya pili baba ❤❤
Uyumwamba Kwa mala yakwanza nilimuona kwenye movie Fran mixer wanalipua soko la mbeya nilimkubali kinoma nilijitaidi kuwaambia wanangu walikuwa wananikataa lakin wanaona balaalake!!.. bongo tunazarauliana sana hatuheshimu kipaji chamtu One love from Iraq Bagdad 🇮🇶🌍✌️
Dah!! Ktk watu ambao walikua wana kuchukulia poa mimi mmoja wapo... ata tuzo uliopewa nili ongea sana kwann ulipewa.... ila bro unahaki ya iyo tuzooo..... sito pita movie yako ata mojaaa... saluteee sanaaaa
@ isarito bro your much talented big up sana bonge moja la action hii ndio action bora Tanzania nzm umecheza na uhalisia mm ni film maker kaka umetisha umezingatia mambo kama yalivyo katika film grow wisely bro una kipaji tuinue baba nahis wewe ndio unaenda kuvaa kitu cha marehemu kanumba na tuzo ya muigizaji bora ilikufaa sana kaka be blessed and big up
Weweeeeeeeh 🤭🤭🤭🤭🤭 Woooooooh ...... Samahani samahani samahani leteni part 2 ....... ❤️❤️❤️❤️❤️❤️ from Mecky Dimpoz🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 always Maharaj the King 👑👑👑 I like this movie so much...... Great job more than enough guys..... Je vous dis Félicitations les gars ..... Hii filamu ni ya Century marafiki zangu
Search season inaitwa USIAMINI utaona movie aswa .... Au operation m22 Binafsi sjaitazama hii ndo nimeanzia kwenye comment kisa niicheki lkn majamaa niliokuelekeza wanafanya poa zaidi
The movie is so educative and it gives more people morale,,,a soldier is a soldier no matter which department but the deference is just the attire..Much love from 254🇰🇪🇰🇪 ❤️. requesting for part 3
natumaini ijayo ni nzuri na hongereni kwa kazi nzuri, kuna kitu nimeona kingekuwa kizuri zaidi.....imetuonyesha bosi kashika glass ya kinywaji kwa hasira, angeivunja kwa mkono kabla ya kuvunja tv maana yeye anahasira sana na nguvu pia.
Kweli hii movie ina mafunzo sana,ile kuvunja Tv na magari ni gharama halafu pia mapigano(action)wako vizuri kwenye stunt,big up Isarito Mwakalindile aka Africa hujawahi kufeli, Tunaomba part 2 japo hata hvyo kazi imeisha wa yule mkuu kukamatwa kwani ushahidi unao na mc mbonde👍
Mimi ni Mlinzi kiukweli hii movie imenifundisha vitu vingi Sana kiukweli Nimeipenda Kaka unajua Sana 🙌🏼🙌🏼 Part 2 tunaisubiri kwa hamu kubwa Mc mboneke kanifurahisha Sana 🤣🤣🤣🤣🤣
Since nimeona hii movie,siko perfect sana ila kuna some mistake,mfano bibi harusi kuvaa shera kutekeleza uhalifu wakati ndoa yake imeahirishwa mchana,hadi giza linaingia still yuko ndani ya wedding gown,still nashukuru bro Isalito umenifundisha mistake moja ambayo nimekuwa nikiirudia kila wakati,hasa plan A ya maisha yako ilipofel hukuzid kuing'ang'ania hiyo plan A yako bali ulichange kwa plan B ya mke wako,It is real Taughtful
Wow wow wow kumbe na sisi tunaweza sana tu sema hatukuamua daah yan wakat naangalia nikajikuta nasoma tena jina la movie ili nihakikishe kwel ni ya Tz hii....!! Just wow bro wa kukajah umeirudisha iman ya me kuanza kuangalia bongo movie asante sana kwa kaz nzur BIG UP😍
Mko vizu sana , Mimi sijawahi kuona movie ya kitanzani a ambayo wahusika wanaonyesha hali halisi kabisa siyo ionesha maigiza ya kwaida. Nyie mnawaza kushindana na hata na movie za Ulaya ,ambao wameanza zamani. kKEEP UP, YOU ARE AMONG HE BEST ACTORS i HAVE EVER IN tz !
Good idea, create and good acting,mkoooo vizuri sanaaaaaaaaaaa Africa as Africa mungu akubaliki,nawish siku 1 nitafanya kazii na ww,I'll be waiting for you brother
Big up sana kwa director na kwa ma stering du mmejitaidi sana kibongo bongo angalao ni marekebisho madogo sana ya light na Times na script kwa bahadhi ya waigizaji ila duh mmebonyeza pazuri jamani
I love this, editings zinaridhisha..just minor things to modify, kama vile walinzi walikua kwenye gari lakn sauti zao zinasikika tulivu bila makelele mengine ya nje, wanaruka kutoka kwenye gari ila sauti ya vishindo vyao vinafanana..ile noise iwepo kuonesha uhalisia.... Close shots kwa kila anaeongea zipewe mda zaidi, ili tupate mda wa kumsoma emotions kila muhusika at a time.. THIS MOVIE IS AWESOME, SHOUT OUT TO 'SAMUEL DAMAS' 🔨❤🔨❤🔨🔥🔥🔥🔨
@@jitulamsitunifilms6387 pamoja sana master, I see you flying. Tujenge vya kwetu, tujekujivunia vya kwetu. Hii filamu yetu sote..BEST ARE YET TO COME!! Fans tunasubiri projects zako 🔥🔥🔥🔥🔥
Kiukweli niko speechless hebu tungane kama East Africa tu support art. Issa Mungu abariki kazi ya akili yako maana haya mambo yanaitaji uwepo tu wa kufikiria. Pongezi nyote watanzania.kama umependa ubunifu please nipe like yako👌❤️🇹🇿. Real love from 254🇰🇪❤️
Shukran sana kaka,.,.Mungu Tu.,.,but OneLove 254 my second Home
@@jitulamsitunifilms6387 samahani mimi ni dada 😂🙏
@@jitulamsitunifilms6387 leo naomba niwashauri BINGO MOVIES haikuwa na haja ya kuweka full movie youtube kwani njia hii haitaweza kukuingizia kipato chakutosha,
So nn chakufanya ni kutafuta platform internationally za kuuzia movie mfanonzake kama Netflix zipo nyingi kama hizo
@@asmashariph5188 🙄🙄🙄🙄
Wasema kweli inapaswa tuwe na app ya east africa online streaming yetu yenye nguvu tuuze kazi zetu kwa faida
Umekosea sana kutaja idadi ya walinzi tuliokuwepo dah mmetisha sana 💥💯💯💯💯
Hii movie inatufundisha Kuna kipindi mlango mmoja unafungwa ili uingie kwenye mlango mwingine kuwasaidia jamii nyingine....Yes Africa was meant to be there for help!! What a movie 👏👏
Nyie aliefika sehemu akstop aje asome comments tujuane, Nyie luka ameweza sanaaa! Kwa mara ya kwanza nainua movie ya kitanzania kidedea 🔥🔥🔥
❤❤Asante
Luka. Wa jua Kali uko juu juu zaidi mmeifanya kwa moyo wote asanteni msichokeee
kwa hizi stunt nimeamua kuja kosoma comment maana washikaj wameua
Oyaa aisee kiukweli mmeua kinomaa 😅😅ila izo BMW mlikua mnavunja vioo mmeniacha mdomo wazi kmke daah hii kalii sana nimeipenda 🏆🏆🏆
Aiseee mume nikisa asilimia mia BIG UP SANA Kwa Team nzima 👊👊 kama na wewe umekubali iyi movie, storia, uwigizaji basi gonga like apa kwa wingi sana 👊👊👊
Mwamba anajua sana nazani kama ningepewa nafasi ya kuchagua best actor for the all time ningem point huyu AFRICA
Nazani hata wakina agent bavo wanahitajika kujifunza kutoka kwako 🎉🎉🎉🎉
Shukran sana kaka wote tupo Kujifunza 💪💪But Respect sana
Dah jamani movie emiisha nailikuwa I meanza Wanaotaka part 2 gonga like 👍
BABAMKWE WA MCHONGO. kurya boy & mzee msharo
kwani part 2 ipo jamani
❤❤❤ kazi nzuri
Poa
Hio ni full move haina party to
Kilicho nivutia kwenye hii move ni sehem ya kuvunja TV na namagar inaonesha jinsi gani mlivo jipanga isarito mwigizaji wa kwanza 🇹🇿 hongera kipanga na gido lah!!nashindwa hata cha kusema hongereni sana
Shukran sana sister ❤
Aise dah, najiuliza hivi nilikuwa naangalia bongo movie kweli!!! Bonge moja la movie kaka umetisha, nilipoona tu jeshi la ukombozi nikajua unakoolekea itakuwa hatari, nimependa usmart wa walinzi
Shukran kaka
the first time nakuwa interested with our own movies,kiukwel sifa zenu mpewe u have improved a lot,mmefanya kwa kiwango kikubwa tofaut na kipind cha nyuma hope as days.goes on mtafanya makubwa zaid
let's go men
kaka nilikuambia sku moja kuwa nitatafuta kila king'amuzi ambacho utaonekana finally na you tube upo tutabanana kila kona much respect bro i see you in Hollywood 👏👏👏🙏🙏
😀😀😀Mpaka tufike Nchi Ya AHADI pamoja 💪💪Respect
Issa Lito mwamba uyuapa since day1 anaweka record na anavunja mwenyew akuna hakuna akuna tena bongo nzima mleteni mnaemwaminia eshima kwako bro!!
Love from Iraq Bagdad 🇮🇶🌍✌️✌️✌️
Shukran sana kaka
Africa ❤Africa ❤Africa❤ nimekuita mara 3, Unajua hadi unajua tena yan🤝👊👌, Be Blessed kaka umetisha sana 🙏🙏na feel Bongo kama mbele💃🥰, niliitafuta hii movie kwa MDA mrefu sana ila niliishia kuona trela tu😔, but am glad nimeiona 2pe ya pili baba ❤❤
@ isarito and @ mc mboneke nawabariki Mungu akawatambulishe kimataifa your much talented guys 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌
Uyumwamba Kwa mala yakwanza nilimuona kwenye movie Fran mixer wanalipua soko la mbeya nilimkubali kinoma nilijitaidi kuwaambia wanangu walikuwa wananikataa lakin wanaona balaalake!!.. bongo tunazarauliana sana hatuheshimu kipaji chamtu One love from Iraq Bagdad 🇮🇶🌍✌️
Shukran sana kaka 🙏💪
Burundi🇧🇮🇧🇮Tunawapenda sana Movie Nzuli
Hongera #isarito hongera Luka ni 🔥🔥 na Judith yupo 😍😍😍❤️
Big up move nzur ,,. Sema sijapenda mlivyo kafanya Ako ka flat mkaamua kukapasua kweli 😃😃😃
Daaaaaaaa!!!!!!! aiseeeeeee huwez amin kama ni bongo sweet sweet hongeren san
Wow wow mara yangu ya kwanza kuwatch african action good work keep it up🙌🙌🙌
Gonga like kama umeipenda hii movie kaa mm naifurahia nikiwa kenya
Movie nzuri sana, Watanzania tukiisapoti kazi zetu nzuri hizi bajeti ya movie itaongezeka tutapata kazi ya kimataifa zitakazo tuweka kifua mbele
Aisee hivi vitu tulivikosa kwa mda mlefu Sana bro, nakukubali Sana nizaidi ya Sana unajua
Aliyependa alivyosema dogo amedondosha elf kumi na tano gonga like ( ilikua saa 1:00 sekunde 24
Atutaki😂😂
Hamjuwi
Kich mbov kadondsh elf 15
Alivo dondosha sikuwepo naomba iludiwe gonga like
Nimefurah kuona watu wa home mmeanza kua na upendo na umoja kama watu wa chuga...Mbeya moja tukiacha na ilo hii ni moja kazi nzur tz
Shukran sana kaka
Dah!! Ktk watu ambao walikua wana kuchukulia poa mimi mmoja wapo... ata tuzo uliopewa nili ongea sana kwann ulipewa.... ila bro unahaki ya iyo tuzooo..... sito pita movie yako ata mojaaa... saluteee sanaaaa
Respect sana Bro 💪🏿💪🏿
Pamoja sanaaa bro
My brother huna kazi mbovu...jitu la msituni halisi🙌
Big up sana kaka isarito bonge moja la story..Action Nzuri sanaaa Nina Kila Sababu ya Kukupongeza Kaka MLINZI Bonge Moja la movie
Shukran sana
Kijana na uku upo 😅🙌🏻
@ isarito bro your much talented big up sana bonge moja la action hii ndio action bora Tanzania nzm umecheza na uhalisia mm ni film maker kaka umetisha umezingatia mambo kama yalivyo katika film grow wisely bro una kipaji tuinue baba nahis wewe ndio unaenda kuvaa kitu cha marehemu kanumba na tuzo ya muigizaji bora ilikufaa sana kaka be blessed and big up
Nyie me ninachojua broo irasito huna mpinzan💯💯hongraa snaaa mzee wa jua kalii au baba femii mungu azid kukuongoza zaid ya hapo
Nimeburudika sana tena zaidi ya sana ingeleni sana movie nzuri nimeipenda kwa 100%
Kazi nzur wakuu nafatilia mve zako Uko vizur mwanangu Africa
Katika story zangu bora kwa mwaka huu hii moja wapo salute kwako mzee baba
Amani kigoye Mzee wa story Za mapigano umekubari kazi ya huu mwamba ☠️🤟⚔️✍️🦅
Shukran sana kaka
Weweeeeeeeh 🤭🤭🤭🤭🤭 Woooooooh ...... Samahani samahani samahani leteni part 2 ....... ❤️❤️❤️❤️❤️❤️ from Mecky Dimpoz🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 always Maharaj the King 👑👑👑 I like this movie so much...... Great job more than enough guys..... Je vous dis Félicitations les gars ..... Hii filamu ni ya Century marafiki zangu
Shukran sana ndugu yangu
May God grants your wishes to arrive so far Brother...... You're the best star of the Century. I really liked the move
@@jitulamsitunifilms6387 part 2 jamani tunaomba 😭😭😭
Yani kila ninavyozdi kuianglia stamn iishe jamn 😊❤@isarito unajua mpka unajua tena
Nimefatlia hii movie duuh imetumia gharama kias chake hafu hamna charactor alie feli safi sana kazi nzur
Movie ya kwanza ya East African action kuwatch hadi mwisho,congrats Tanzanians and a call awake for the other countries 🎉
Misukosuko the best action movie ever
Search season inaitwa USIAMINI utaona movie aswa .... Au operation m22
Binafsi sjaitazama hii ndo nimeanzia kwenye comment kisa niicheki lkn majamaa niliokuelekeza wanafanya poa zaidi
S
Nimerudia Mara mbili kuangalia hii Move ni nzuri sana❣ BIG UP BROTHER 🙏
Daah bonge moja la action movie..! Hongeren kwa waandaaji wote na washiriki kwa ujumla👏👏👏
Shukran sana kaka
🙏🙏🙏🙏@@jitulamsitunifilms6387
Je vous aimes 🇨🇩, vraiment TZn
aiseeeee nimeitazanaaa hii movie kiukweli ni bonge la movie .hongeraa sanaaaa mwambaaaa nmekubali hii kazi,unaweza sanaaa
Cjawahigi kukomenti kwenye movies yeyeto ile ila kwa hii nimekubali utunzi wake🙌🙌🙌🙌.
Yanii wewe Kaka kila nikionaga movie yoyote upo wewe lazima niangalie napenda Sana nafasi yako katika kuigiza kwako all the best.
Asante sister
Daaaahhhhhh vizur sana,, ckuwaza ka nngeangalia ila nmejikuta nataka kujua na sehem ya pili ipo wap
Good
The movie is so educative and it gives more people morale,,,a soldier is a soldier no matter which department but the deference is just the attire..Much love from 254🇰🇪🇰🇪 ❤️. requesting for part 3
BABAMKWE WA MCHONGO. kurya boy & mzee msharo
Safi sana mlinzi,
Dulla wa sanura Anatisha sana uyu Jamaa namfatiilia sana anajua na anakipaji kikubwa sana
Bonge moja la movie, ambalo historia yake inakaribia kufanana na yangu. Ila mimi nilikua kule juu yenu😂😂😂💣. Hongera sana baba femi. Huku ulikiwasha
Shukran sana kaka
2024 October, 23 na watch tena.
Ila isarito mma poopapo 🤔 umenye fijo nkamu gwangu🎉
Tata gwakumwanya akusaje fijo 🙌🙏
@@ifmknowledgepower7333 ndagha Nkamu 🙏
It's a nice movie am enjoying it am from riyadh saudi arabia. Big up guys muko vizuri.mungu awape nguvu muendele kutoa movie nzuri
Uweeee,adi nimesahau kama nilikua na heartbreak jamani,, hongeratulations 👏👏🥳🥳🎉 kaka
Hii n international wide salute mkali wetu wa action movie
Daah nimependa watu walivyojitoa muhanga kuumia, kupoteza vitu daah, aiseee bongo fireee
Next part.... I loved the inspection behind it
Asee saiv unachek movie huku unafurahia story nzuri wachezaji wameitendea haki mlinzi bonge la movie🙌🙌🙌
Respect kaka
@@jitulamsitunifilms6387 pa1 church boy sema unatuangusha kwenye jua kali mtoto kanyooka unafeli wap kaka 😂😂😂
Mbaka nikatamai pia nami ni fanye na yeye move moja jameni 🙏🙏🙏
natumaini ijayo ni nzuri na hongereni kwa kazi nzuri, kuna kitu nimeona kingekuwa kizuri zaidi.....imetuonyesha bosi kashika glass ya kinywaji kwa hasira, angeivunja kwa mkono kabla ya kuvunja tv maana yeye anahasira sana na nguvu pia.
Asee isipochukua tuzo naandamana hongereni Sana washiriki wote...my blood isarito unajua nn namanisha🏆
Nilikua nikiipuza ii movie jamani dah kaka isarito umeweza umeweza umeweza tena ❤️
Jamaninini patio 2 plz muvi tamu xna shukrani shukrani xna ❤️❤️❤️❤️🥰🥰🥰🥰
Bonge moja la movies lina unyama mwingi sana shot out to isarito
Brother unafanya kazi nzuri kiukweli baada ya kutoka uncle JJ wewe ndiye mwenyewe 👏👏👏
Africa Kazi nzuri San mungu akubariki akupe maamuz ya busara nimeipenda sana
Movie ya level za kimataifa inavigezo vyote,kwangu mimi ni movie bora zaidi ya action kwa africa. Can't wait for part two tumuokoe shemeji yetu😜😜 .
Kweli hii movie ina mafunzo sana,ile kuvunja Tv na magari ni gharama halafu pia mapigano(action)wako vizuri kwenye stunt,big up Isarito Mwakalindile aka Africa hujawahi kufeli,
Tunaomba part 2 japo hata hvyo kazi imeisha wa yule mkuu kukamatwa kwani ushahidi unao na mc mbonde👍
Apo fresh kbsa ❤😂ila Tunaitaji ifwatayo ❤😂😂🎉 happy new year !
I'm in love with Africa nilikua namuombea Sana ashinde😅😅😅😅😅😅alhamudillah ameshinda🙏🙏🙏🙏
Mimi ni Mlinzi kiukweli hii movie imenifundisha vitu vingi Sana kiukweli Nimeipenda Kaka unajua Sana 🙌🏼🙌🏼 Part 2 tunaisubiri kwa hamu kubwa Mc mboneke kanifurahisha Sana 🤣🤣🤣🤣🤣
Asante Sister
Vp lukamba hujamuona alinichekeeha kwel,😂😂😂
Duuu BONGE LA MOVIE aisee,naipataje ktk mfumo wa DVD?? BONGO kwa Sasa tupo mbali sana HONGERA SANA 🔥🔥🔥🔥🔥👏👏👏👏
Nakubari Wana TZ kazi nzuri🎥🎬🎞️
Since nimeona hii movie,siko perfect sana ila kuna some mistake,mfano bibi harusi kuvaa shera kutekeleza uhalifu wakati ndoa yake imeahirishwa mchana,hadi giza linaingia still yuko ndani ya wedding gown,still nashukuru bro Isalito umenifundisha mistake moja ambayo nimekuwa nikiirudia kila wakati,hasa plan A ya maisha yako ilipofel hukuzid kuing'ang'ania hiyo plan A yako bali ulichange kwa plan B ya mke wako,It is real Taughtful
Mwenye hii move ninani kwa kweli... aliandika vizuri sana.. ongera sana
Hii siwezi kosa aki ni best one, #bigup brother
Very nice movie watching from Kenya, leteni zingine mingi
Haujawahi kuniangusha roll model wangu keep going we are behind you, tutakusapoti katika kila kazi
Nimependa kumuona Judy wa Luka humu ..
Movie nzuri sanaa
Mbeya stand up
Judith Mrembo🥰
Yes
Wow wow wow kumbe na sisi tunaweza sana tu sema hatukuamua daah yan wakat naangalia nikajikuta nasoma tena jina la movie ili nihakikishe kwel ni ya Tz hii....!! Just wow bro wa kukajah umeirudisha iman ya me kuanza kuangalia bongo movie asante sana kwa kaz nzur BIG UP😍
Shukran sana sister ❤🥰Enjoy
Mi mwenzenu nampenda Sana huyu mnyakyusa japokua nshaolewa dah 😂🙆🙈
Mko vizu sana , Mimi sijawahi kuona movie ya kitanzani a ambayo wahusika wanaonyesha hali halisi kabisa
siyo ionesha maigiza ya kwaida. Nyie mnawaza kushindana na hata na movie za Ulaya ,ambao wameanza zamani.
kKEEP UP, YOU ARE AMONG HE BEST ACTORS i HAVE EVER IN tz !
Kazi nzuri sana nmeipenda km nmeweza kutazama live mwanzo hadi mwisho kwa bando hili 👑😍ndani ya netflix inastahili
Kumbe Tamu ❤️❤️❤️nmelia Hak MUNGU awape afya muendelee kupgania Familia zenu hakka Kla Kaz inamagumu yake.
🔥🔥🔥
@@yusuphanyimike9945 😘
Daah ndo kwa mara ya kwanza naitazama jamn like hata mbili jamn
Afrca nimeipenda iyo uko vizur Broo nilichokosa hapo nikuona wife katekwa ila muv Kali stor nzuri pia
Good idea, create and good acting,mkoooo vizuri sanaaaaaaaaaaa Africa as Africa mungu akubaliki,nawish siku 1 nitafanya kazii na ww,I'll be waiting for you brother
Aiseee kusemesha ukweri hii movie kaliii Mzee dhuuuuuu 😄 mpaka nilikua nailudia ludia aiseeee nime ipenda mubalikiwee
Big up mzée !🫡
Nakukubali kinyama sema umeuwa sana kwenye Mlinzi Tunasubiri Mzigo mwingine
Mwenyezi Mungu Aku raisishiye kwa kazi unayo ifanya ndugu yangu.
Daah nouma saanaaa..sem mchaw part 2 muendelez muhim!!!
nakwombeeni mafanikio zaid ktk kazi yenu,,,kaz nzur sana msikate tamaa endlea kupambana tafika mbali sana
Amen🙏
Huu baba mkwe nilimupenda Sana kweli 😭😭😭😭😭Hakika wabab mkwe wote wangekuuwa hv ndoa nying zingekaa na Amani
MBONA part 2 haipo jaman move tamu kweli
Hongera sana tmt kama ulaya yani wala haichoshi
Big up sana kwa director na kwa ma stering du mmejitaidi sana kibongo bongo angalao ni marekebisho madogo sana ya light na Times na script kwa bahadhi ya waigizaji ila duh mmebonyeza pazuri jamani
Mc Mboneke kanifurahisha kwenye kupiga Salute 🤣🤣🤣
kazi nzuri sanaa ongeza bidii tutafika kamandaaaaaaaaaa
Ongera kwa kazi nzuri. Tunakupongeza kutoka wilayani Rurenge, Mkowa wa Kagera
I love this, editings zinaridhisha..just minor things to modify, kama vile walinzi walikua kwenye gari lakn sauti zao zinasikika tulivu bila makelele mengine ya nje, wanaruka kutoka kwenye gari ila sauti ya vishindo vyao vinafanana..ile noise iwepo kuonesha uhalisia....
Close shots kwa kila anaeongea zipewe mda zaidi, ili tupate mda wa kumsoma emotions kila muhusika at a time..
THIS MOVIE IS AWESOME,
SHOUT OUT TO 'SAMUEL DAMAS'
🔨❤🔨❤🔨🔥🔥🔥🔨
Shukran sana kaka 🙏
@@jitulamsitunifilms6387 pamoja sana master, I see you flying. Tujenge vya kwetu, tujekujivunia vya kwetu.
Hii filamu yetu sote..BEST ARE YET TO COME!! Fans tunasubiri projects zako
🔥🔥🔥🔥🔥
@@jitulamsitunifilms6387
Muenderezo brother lini
ISSARITO bro umeua sana🤙🤙🤙
Mashalaaa! Movie Kali Kali inasisimua misuri,,, awaiting part2
Wow nce movie I need part 2 Mr am from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪waaa
Salute xn East Africa and Tanzania Kwa ujumla