DIAMOND AMFANYIA SURPRISE CHID BENZI, NGOMA YAO MPYA YATAMBULISHWA JUKWAANI! HII IMEENDA🔥

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 469

  • @emmanuelaben-df6yr
    @emmanuelaben-df6yr Рік тому +152

    Chid Benz ukute hi ngoma Ni freestyle but ameimba uhalisia wa maisha yake big up ngoma Kali Wenda ikawa wimbo Bora wa hipohop ya mwaka huu

  • @hamadiayossy190
    @hamadiayossy190 Рік тому +82

    Chibu ni mmoja tu Tanzania, mtapambana kumshusha lkn hamtaweza,Mungu akupe maisha marefu diamond platnumz ❤❤❤❤

  • @jermarlomohammed8568
    @jermarlomohammed8568 Рік тому +19

    Kama umerudia huu mziki zaidi ya Mara 50 nipe like ndugu .chidi never left
    La kasela.

  • @MRWORDBNB
    @MRWORDBNB Рік тому +88

    Pure talent never dies
    Chid Benziiiiii🔥🔥the true rapper 🫡🫡🫡

  • @stevemwachi254
    @stevemwachi254 Рік тому +36

    Hii ngoma naitabiri hata bila promotion itatembea maana alichokiimba chidy ni maisha yake na wengi yanawahusu🔥🔥🔥

  • @sporastica7174
    @sporastica7174 Рік тому +47

    Sauti ya chid benz sijawah isikia popote Tanzania🥰mondi hapa haujafanya makosa mondi wa 2012 ndo huyu sasa amerudi simba

  • @okangakelvin2216
    @okangakelvin2216 Рік тому +12

    WaTanzania msipomjengea Diamond sanamu Dodoma, tutaijenga sisi wakenya Nairobi

  • @sapikiwanga6154
    @sapikiwanga6154 Рік тому +27

    Daaaah,Hadi machozi yamenitoka,chidbenz huyu mtu ni balaaaa,bonge la kipaji,diamond mungu akulinde,hii Ngoma inaenda kumpa pesa nyingi sana chid.thanks diamond.

    • @BHALEEALI
      @BHALEEALI Рік тому +2

      futa machozi mzee tuisapoti ngoma kali CHID IS BACK hapa WCB kule LAFAMILIA 🔥🙌

  • @kisusudaniel6583
    @kisusudaniel6583 Рік тому +42

    Bonge ya ngoma aisee, diamond stay blessed., Chid is a real talented hip hop artist..... Eti kigodoro mwasiti Kakivalia dela...dope

  • @kidmuzy6155
    @kidmuzy6155 Рік тому +47

    gonga like kama umeirudia hii video kama mimi

  • @richkaja3317
    @richkaja3317 Рік тому +38

    Diamond mwenyex mungu akufanyie wepex ktk maixha yako weye ni mfano bora wa kuogea 🙏🙏🙏🙏

  • @irenegeorge3501
    @irenegeorge3501 Рік тому +35

    Chidi anajua sana mashallah kanenepa now❤❤❤

  • @christiannyamamba9089
    @christiannyamamba9089 Рік тому +12

    Huyu dogo anajua sana kucheza na nyakati aisee

  • @nzitogondwe9976
    @nzitogondwe9976 Рік тому +21

    Nimeirudia zaid ya mara Tano mond umespraiz jamaa verse alizo record na zimetolewa imepachikwa sauti yako chid poz ziii like Apo mulio rudia kama mimi

  • @DirectortristanKevin_POKOTTV
    @DirectortristanKevin_POKOTTV Рік тому +7

    Walai nikifa nifikie mbinguni na nikose diamond platinumz nitajua niko jehanam walai this guy may God bless you❤❤🙏🙏

  • @LucasNavy
    @LucasNavy Рік тому +14

    Diamond we ni Mfano wakuigwa na kitu kizuri unakisifiya unaubaya🎉🎉🎉 Hii,Imeendaaaa ,,,,,❤❤❤ More love uje na Ruvuma mwaka Huuu❤

  • @hafidhhafidh1441
    @hafidhhafidh1441 Рік тому +41

    Na ndio mna namkubali sana Diamond platinum big up tu Sanaa kumrudisha chid benziiiiiiiiiiiiiiiii ebu riliz hiiiii song inatugusa sanaaa tuuuu

    • @bensonpeter4692
      @bensonpeter4692 Рік тому +7

      Baada ya Chid kulia sana kwenye Media akihusisha Diamond kumwona hafai tena kufanya mziki kwasababu ya Bangi zake,,leo ndo kaona aizime ki dizaini hii..kama ndo mnazaliwa juzi basi hamtoweza kumwelewa Diamond ni mtu wa aina gani linapokuja swala la Biashara na Kutunza Brand yake.. #SemaHiloGomaNiHatariAisee

    • @mugadimon3563
      @mugadimon3563 Рік тому +3

      Chid benz akiwa kwenye pic alimshika mkono bwana almasi

    • @mugadimon3563
      @mugadimon3563 Рік тому +1

      ​@@bensonpeter4692Hapa kati jamaaa alikua na hali mbaya sana.Sema mwamba amerudi mwili upo.Huyu mwamba akiwa fit hakuna mwanahiphop nchi hii anamfunika kwa perfomance

    • @dogokendiclassic
      @dogokendiclassic Рік тому +4

      Wivu itakua mapema , do you know how many sponsors have invested dollars there, or you're just talking because you were given a mouthful?

    • @bensonpeter4692
      @bensonpeter4692 Рік тому

      Ana sauti yake flani hivi@@mugadimon3563

  • @thatforeign4590
    @thatforeign4590 Рік тому +9

    Yani hapa diamond ka sound kama alivyoanza mziki pure bongo flava pure flames 🔥🔥🔥

  • @gambajunior138
    @gambajunior138 Рік тому +26

    Mamaaeee Chidi is back and Hiphop is alive

  • @hassansela1393
    @hassansela1393 Рік тому +16

    The Kingkong and Diamond hawa watu chemistry yao nikali sanaa❤❤❤❤

  • @andrewkilave3532
    @andrewkilave3532 Рік тому +50

    Hi ngoma itakuwa kali balaaa itoeni jamani

  • @wingstarmsanii9862
    @wingstarmsanii9862 Рік тому +4

    Chidbenz ni 👑 always namwombea tu sana lakn bhang apungushe kiac

  • @GadizoMc
    @GadizoMc Рік тому +5

    Mondi apewe 🌼🌺yake unyamasana mungu awabaliki

  • @josephvenus3259
    @josephvenus3259 Рік тому +19

    Child + Chibu = 💥💥💥💯

  • @hamidawamba
    @hamidawamba Рік тому +14

    Tukipata nafasi katika maisha tusizichezee kwa hanasa ambazo zina madhara badae pombe na mihadarati sio nzur zinauwa ndoto za vijana wengi nchini Mungu atupe hekima ya utambuzi kupamban na hivi vitu yan ukiingia huku heshima inashuka unaonekan si wamaan tena yan unadhalilika Chidi umejifunza na umekua miongon mwa masomo mazur from your status to your downfall nataman ukapate nafasi nyingine ukasimame kama dada yet Rayc inshallah utainuka tana kupigania ugali wako wa daily amen 🙏 nimeandika haya kwauchungu mkubwa mno vijana wenzang stareh bila mihadarati inawezekana ninae andika hapa ni bint tu wa miak 23 bora ujinga wenye faida kulikonujanja wenye hasara

  • @jumaramadhan1533
    @jumaramadhan1533 Рік тому +16

    Diamond ure so talented bro hakuna kama u

  • @elizabethchabluma-zw5qz
    @elizabethchabluma-zw5qz Рік тому +8

    Simba mwenyezi mungu akuweke nimefurai Sana kumkumbu Kaka kila kitu kinawakati wake Sasa hv chid anavyoonekana afya yake imekaa vizuri Aya akifanya kazi itakuwa bomba msimamie huyo broo anajua kwakweli tunaomba asirudie Tena makosa maana hayo madawa ukiyatumia usaminiki unakimbiwa na kila mtu big up diamond usikwamishwe na waja allaah akulinde

  • @tabasamutv24
    @tabasamutv24 Рік тому +10

    Hizo kelele za chid zinaonesha hisia kweli aisee all in all ngoma kali

  • @modesteombeni2863
    @modesteombeni2863 Рік тому +13

    Congratulations kwa wasafi zaidi boss mondi 🎉baba laooo.inani towa machozi bwana 😢❤

  • @mkadinali_ent.
    @mkadinali_ent. Рік тому +33

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤the dual between diamond platnumz and chid benz on Another level

  • @hakamsdigital
    @hakamsdigital Рік тому +19

    Diamond juuuuu weweeeeee🎉

  • @elimuvisioncenter
    @elimuvisioncenter Рік тому +9

    Hizi punch ndio tulikuwa tumezimiss kutoka kwa chid benz ... La FAmilia ... 💪

  • @odaxcontawa
    @odaxcontawa Рік тому +24

    This is great love simba😭😭😭

  • @kilidestinationadventures7268
    @kilidestinationadventures7268 Рік тому +15

    Kwa upande wangu tayar hit song !!!!

  • @DanielFlorian-b7b
    @DanielFlorian-b7b Рік тому +34

    ngomaa moja kali sana simba na chuma

  • @Kabi_47
    @Kabi_47 Рік тому +6

    Dah chid inabidi apatiwe nafac nyingine tena auguse utajiriii❤❤😢😢

  • @chidi_don
    @chidi_don Рік тому +14

    Hii bro ametisha sana 😢😢😢 yani sina hata na kusema bro diamond platinum umetisha bro

  • @georgemushi9944
    @georgemushi9944 Рік тому +10

    Huyu jamaaaa @diamond platnum na team yake hawaoti mipango ila wanapanga mipango na ndo maaana inapangikaaa …. Asante sana Chidy kwa hicho chumaaaaaa , it’s a right time with a right place

  • @nassirkhamiss6789
    @nassirkhamiss6789 Рік тому +41

    Walio rudia mara nyingi tujuane

  • @sumbiasungwa8998
    @sumbiasungwa8998 Рік тому +14

    Kila nikimuangalia chid benz ni Kama namwona lil Wayne. Hivi ni viumbe vilivyojaaliwa IQ kubwa ya uandishi kwa upande wa hiphop japo hadi sasa bado dunia haijawapa heshima wanayostahili

  • @chdmsafitz
    @chdmsafitz Рік тому +15

    KING of music big #diamondplatnumz 💚🔥🔥🔥🔥

  • @alexelieza8802
    @alexelieza8802 Рік тому +2

    Hii Ngoma ni balaa aiseeeee

  • @elizabethcosmas7852
    @elizabethcosmas7852 Рік тому +9

    Nimependa alivyomsaprais hadi chid benzi kaishiwa poziiiii walah ni noma itowen jaman chuma kikal aseee

  • @diasalicastro5353
    @diasalicastro5353 Рік тому +5

    Hapa mond big up broo a real tallent from chidbenz what a verse

  • @daltonkighoma3191
    @daltonkighoma3191 Рік тому +8

    achayi bwana nime penda verse zako big de puis drc j vous ❤❤❤

  • @mohamedslh5478
    @mohamedslh5478 Рік тому +15

    ngoma kali meseji imendaaa

  • @BabaZena-n6w
    @BabaZena-n6w Рік тому +1

    Hats off mr Diamond,,thanx for bringing back my number one artist Mr Chidi Benz.

  • @samwelmwaimu9071
    @samwelmwaimu9071 Рік тому +10

    Fikiria unapewa suprise Kama hii😪❤

  • @kennohg6152
    @kennohg6152 Рік тому +2

    Diamond fanya mpango mufanye video hio ngoma cause iko dope na itamfanya Chidi aende next level...MuCh LoVe FrOm MaLiNdI KeNyA.....

  • @DirectortristanKevin_POKOTTV
    @DirectortristanKevin_POKOTTV Рік тому +5

    May God bless you Diamond Platinumz

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 Рік тому +7

    Dah yn hii ngoma nimeirudia km mara mia simba fanya hii ngoma uitoe kali sana❤❤❤🔥🔥🔥

  • @rayanndizeyes3161
    @rayanndizeyes3161 Рік тому +9

    chidi wangu nakupenda sana bro

  • @Kadesablack
    @Kadesablack Рік тому +2

    Thanks Diamond kwa brazza Chidi unyama mwingi

  • @Onethcorporation
    @Onethcorporation Рік тому +7

    wanaume wanageuka wanawake kila kukicha... chid🫡🫡🎉

  • @salumtitho1407
    @salumtitho1407 Рік тому +5

    Mondi sometime one ❤

  • @ozcanrawaah6426
    @ozcanrawaah6426 Рік тому +2

    Bro nasib una moyo wa tofauti kaka wewe ni mtu mwema sana kaka big up kaka chid wew ni msani wangu bora wa muda wote much love guy's nawakubali sana

  • @nakali79
    @nakali79 Рік тому +64

    Bonge la ngoma, hebu wape mashavu wanahiphop diamond maana wewe una nafasi tayari kwenye game duniani kote

  • @rewardnjau7220
    @rewardnjau7220 Рік тому +7

    nasemaajeeee, hii imeendaaa❤❤❤😅😅😅

  • @shwalysaid3315
    @shwalysaid3315 Рік тому +3

    Hahaha ukute chidi mwenyew alikuwa ajui kama anangoma na mondi🤣🤣🤣

  • @hamzamapilajuniour838
    @hamzamapilajuniour838 Рік тому +2

    Chidbenz king🇹🇿🇹🇿👨‍👩‍👧‍👦❤️🙏

  • @abdullaabdullahmpakanjia2336
    @abdullaabdullahmpakanjia2336 Рік тому +4

    Dooh kumamake kumamake kumamake binadaam omba uteleze(hiki kitu nimekikubal hapa)

  • @D-Man.B-Free
    @D-Man.B-Free Рік тому +9

    Chid Benz Feat Diamond Platnum-Binamu✅✅✅

    • @EvarMonyo
      @EvarMonyo Рік тому

      Nimerudia rudia mpka bando limeisha😢

  • @mkadinali_ent.
    @mkadinali_ent. Рік тому +3

    diamond platnumz is international level broo genius

  • @mohammadfahad3186
    @mohammadfahad3186 Рік тому +5

    Hii ngoma Kali sana

  • @hamadali5607
    @hamadali5607 Рік тому +5

    Big up CHID BENZIII

  • @joels.orinda6352
    @joels.orinda6352 Рік тому +5

    The true meaning of talent ❤ 2 legends

  • @hydarali5118
    @hydarali5118 Рік тому +1

    Hii Imeenda......🙌💣 mondi umefanya unyama mwingi 🫡

  • @irenemacha5661
    @irenemacha5661 Рік тому +4

    Hiii imeenda❤❤❤❤❤

  • @SiliverySixbeth
    @SiliverySixbeth Рік тому +6

    Nyimbo nzuriiiiii

  • @Francomtanzania1998
    @Francomtanzania1998 Рік тому +7

    Daah emotional

  • @Jkone891
    @Jkone891 Рік тому +5

    Tunangoja sana🇰🇪 🔥🔥🔥🔥

  • @FarajaOmary-qf2ge
    @FarajaOmary-qf2ge Рік тому +12

    kaka mashabiki wako tupo bado chid achieni hiyo ngoma

  • @Domy726
    @Domy726 Рік тому +1

    Chid Benz,,,,fundi👋👋👋👋Safi mondi mpe sapoti mwana!

  • @tommydeejones254official8
    @tommydeejones254official8 Рік тому +1

    Ngoma kalii barikiwa sana mondi

  • @Chombezaflava
    @Chombezaflava Рік тому +1

    The true rapper 🙌🙌🙌 chid benz kaomba uhalisia mno

  • @BrokiMaform
    @BrokiMaform Рік тому +1

    Noma sana...that was touching

  • @ommynjei7459
    @ommynjei7459 Рік тому +1

    Nakukubali daimond

  • @kaburaakbar4838
    @kaburaakbar4838 Рік тому +4

    bonge la ngoma aise😊

  • @prosperswai490
    @prosperswai490 Рік тому +5

    Hapo ukute chid kashasahau na mistari yake 😂😂

  • @iddmsangi5638
    @iddmsangi5638 Рік тому +2

    Ngoma moja ya hisia alafu kali ❤️‍🔥

  • @youngtomuller-vh2pu
    @youngtomuller-vh2pu Рік тому +1

    D umeweza✌

  • @salim02tv24
    @salim02tv24 Рік тому +2

    TUNAISHI NAOOO

  • @emmanueldaud8371
    @emmanueldaud8371 Рік тому

    Ngomaa kaliii chid Benz umetisha

  • @amosikondo778
    @amosikondo778 Рік тому +3

    Hii ngoma kali ❤

  • @SYLMASVISIONFORSCIENCE
    @SYLMASVISIONFORSCIENCE Рік тому +1

    Acha tu niseme kitu , jamaaa huyu ni kipaji Sana, Ana rapu sanaaaaaaa

  • @udiabdullah5261
    @udiabdullah5261 Рік тому +1

    Ngoma kali sana❤

  • @jojigeorige1056
    @jojigeorige1056 Рік тому +4

    Dah maniner hii nyimbo hivi hivi ilivyo naweka ringtone yangu. Mistari imepata chorus mamae kabisa! Beat iwe ya hiphop sio amapiano aisee tafadhali sana

  • @ramayonline2281
    @ramayonline2281 Рік тому +1

    Chin Benz x Diamond Platnumz❤❤❤❤❤❤

  • @nimujocentre2173
    @nimujocentre2173 Рік тому +5

    Hii Mbelekooo Ya King Kon🔥🔥🔥

  • @callicevallice7383
    @callicevallice7383 Рік тому +34

    Hii ngoma yangu tayari🔥

  • @Essaramyen
    @Essaramyen Рік тому +5

    Walorudia hii clip tujuane hapa

  • @MikiGermany210
    @MikiGermany210 Рік тому

    Dah chidi una kipaji sana kaka yangu God bless you,bonge la zawadi kutoka kwa big

  • @mkadinali_ent.
    @mkadinali_ent. Рік тому +1

    I don't know why this little kids do hate DIAMOND PLATNUMZ, little kid stay cool ,you all know what i speak about 😂😂😂

  • @bobgabriel2582
    @bobgabriel2582 Рік тому

    Duh chid benz mnyama

  • @ramadhanhamisi7405
    @ramadhanhamisi7405 Рік тому +2

    Diamond African one

  • @alibinali_
    @alibinali_ Рік тому +10

    Hiyo ngoma ni kali sana sio mchezo I hope watatowa video

  • @mkadinali_ent.
    @mkadinali_ent. Рік тому

    Huyo ndyo simba sasa nae mjua ,❤❤❤❤❤mpaka nywele zmensimama ,big bruh love you man all day ,you inspire me a lot my n*gga🎉🎉🎉🎉🎉

  • @khamisbk8569
    @khamisbk8569 Рік тому

    My favourite singer....Chidy benz WA Ilalaaaaaaaaa....halaaaaaaa

  • @bakarykillo2015
    @bakarykillo2015 Рік тому +1

    Chidiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

  • @ahmedkhatibu5387
    @ahmedkhatibu5387 Рік тому +2

    Ila Chid Benz basi tu ,,,,anajua sanaaaaaa